𝗝𝗲! 𝗡𝘂𝗯𝘂𝘄𝗮 𝗡𝗮 𝗞𝘂𝗳𝘂𝗻𝘇𝘄𝗮 𝗤𝘂𝗿𝗮𝗻 𝗠𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗡𝗶 𝗞𝗮𝗯𝗹𝗮 𝗞𝘂𝘂𝗺𝗯𝘄𝗮 𝗔𝗱𝗮𝗺?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มี.ค. 2024
  • 𝗖𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘁𝗼𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗺𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗱𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗶𝘀𝗹𝗮𝗺𝘂 𝗶𝗸𝗶𝘄𝗲𝗺𝗼 𝗗𝗮𝗿𝗮𝘀𝗮(𝗗𝘂𝗿𝘂𝘀) 𝘇𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗲𝗶𝗸𝗵 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗞𝗲𝗻𝘆𝗮 𝗻𝗮 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 ,𝗺𝗮𝘄𝗮𝗶𝗱𝗵𝗮, 𝗸𝗵𝘂𝘁𝗯𝗮𝗵, 𝗳𝗮𝘁𝗮𝘄𝗮 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗰𝗵𝘂𝗼𝗻𝗶, 𝗤𝘂𝗿𝗮𝗻, 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗶𝗿𝗶 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶
    𝑻𝒉𝒊𝒔 𝒄𝒉𝒂𝒏𝒏𝒆𝒍 𝒆𝒏𝒈𝒂𝒈𝒆𝒔 𝒊𝒏 𝒕𝒉𝒆 𝒅𝒆𝒍𝒊𝒗𝒆𝒓𝒚 𝒐𝒇 𝒗𝒂𝒓𝒊𝒐𝒖𝒔 𝒕𝒓𝒂𝒊𝒏𝒊𝒏𝒈𝒔 𝒊𝒏 𝒕𝒉𝒆 𝑰𝒔𝒍𝒂𝒎𝒊𝒄 𝒓𝒆𝒍𝒊𝒈𝒊𝒐𝒏, 𝒊𝒏𝒄𝒍𝒖𝒅𝒊𝒏𝒈 𝑪𝒍𝒂𝒔𝒔𝒆𝒔 (𝑫𝒖𝒓𝒖𝒖𝒔) 𝒐𝒇 𝒗𝒂𝒓𝒊𝒐𝒖𝒔 𝒔𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉𝒔 𝒊𝒏 𝑲𝒆𝒏𝒚𝒂 𝒂𝒏𝒅 𝒊𝒕𝒔 𝒐𝒖𝒕𝒔𝒌𝒊𝒓𝒕𝒔, 𝒔𝒆𝒓𝒎𝒐𝒏𝒔, 𝒍𝒆𝒄𝒕𝒖𝒓𝒆𝒔, 𝒇𝒂𝒕𝒘𝒂𝒔 𝒐𝒇 𝒔𝒄𝒉𝒐𝒍𝒂𝒓𝒔, 𝑸𝒖𝒓𝒂𝒏, 𝒂𝒏𝒅 𝒊𝒔𝒍𝒂𝒎𝒊𝒄 𝒆𝒅𝒖𝒄𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏𝒂𝒍 𝒑𝒐𝒆𝒎𝒔
    🪩EMAIL:
    𝗌𝖺𝗅𝖺𝖿𝗂𝗒𝖺𝗁.𝗍𝗏@𝗀𝗆𝖺𝗂𝗅.𝖼𝗈𝗆
    #AhlulAthar, #salafi, #abdallahhumeid, #alihsaantv, #sufi, #quran, #quranrecitation
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 178

  • @salafi.
    @salafi.  4 หลายเดือนก่อน +5

    Sheikh Al Albani رحمه الله
    www.al-albany.com/audios/content/836/

  • @user-vg2fb5nq6w
    @user-vg2fb5nq6w 3 หลายเดือนก่อน

    ماشاءالله

  • @hassanibrahim7870
    @hassanibrahim7870 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi sheikh humeid kitaeleweka in sha Allah

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 4 หลายเดือนก่อน +13

    Haya ndo matatizo ya kutanguliza ufahamu wao. Hawa masufi wanatabu sana sheikh abuu al khatwaab endelea kuwatandika balaakahllahu feekum

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      Amtandike nani ww huyo mpotoshaji ataka kujifananisha yy na mtume s a w hiwezi hata mitume wenzake amewashinda mwambie akasome wahabi mpotoshaji

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@saba-gv3mj
      Duh hii Kali kwa hiyo na wewe wakubali mtume ndio binadamu wa kwanza kuumbwa ??? Yani mtume Aliumbwa kabla Adam alyhimaa salaam

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 2 หลายเดือนก่อน

    Shukran Sheikh usiache tembe ndogo ya upotefu ibainishe

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 หลายเดือนก่อน

    Upotoshaji 😢😢

  • @haroubsalim779
    @haroubsalim779 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi kazi yao kuraddi tu hawana kazi nyengine isipokuwa kuwahukumu waislamu.

  • @user-vn3fk6rf5l
    @user-vn3fk6rf5l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Balaakallah feekum yaa sheikh

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน

    kaeli watoto wetu tuangalie pa kuqapeleka kusoma Dini
    kwa kweli
    Duhhh watu wanyoa Kiduku

  • @user-sm1kt5xd8k
    @user-sm1kt5xd8k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Siwatu watariki wanao tumiya hawa nimawahabi kwaajili yakulipwa nawasuudi huyo kijana nimsomi amesòmeshwa nawasomi mola atamuhifadhi amen

    • @AjatAJAT-ef8tm
      @AjatAJAT-ef8tm 4 หลายเดือนก่อน

      Saudia waanalipa mawahabi sio nahao masuudia ndio wenye kuwafunga na kuwatesa mashekhe wa kiwahabi niambie kuna ukweli gani hapo wee muogope mungu

    • @abuhandhala8952
      @abuhandhala8952 4 หลายเดือนก่อน

      Hehehe ilmu na amenyoa kihuni 😂 bora ninskize bwana pastor badala ya saidi Makorokocho

    • @abuuuthaymeen7049
      @abuuuthaymeen7049 3 หลายเดือนก่อน

      @@abuhandhala8952
      Hapana nikosa kumskiliza mshirikina hasa pastor ambae anaujuzi na kufru yake kwa kumshusha musilam aliefanya maaswi ya kunyoa na ni mu’umin. Hakufurishwi said na hashushwi kiwango cha kumfadhilisha kaafir. Rekebisha hili akhy sio sawa

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hata walio kuwa wakimpinga mtume MUHAMMAD S. A. W na wao walikuwa na hoja na waliwaaminisha watu hoja zao na kuaminiwa kwa ushawishi mkubwa. Siku zote kitu kizuri hupigwa vita na kibaya hupambwa.

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haifai kukumbusha dhambi ya mtu baada ya kutubia , picha za Ustadh Said tunazo ziona kwa sasa zote amevaa kofia wala hajakata duku ila mumeichukuw picha yake ya zaman ili tu kumtia dosar ,na Allah amekataza katik surat Alhujurat,
    Pia katika sunna tunatakiwa mut kuangalia aibu yake sio ya mwezake, Allah atuongoze

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nafurahi siku hizi Salafi waangalia Sana maulidi tena mwanzo mwisho Alhamdulillah niliona hawafuatiliii Na kukataza kutowaskiza watu Wa maulidi kumbe wao waskiza

    • @yazidurashidi8443
      @yazidurashidi8443 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani maulidi ni haya maneno ya saidi au?

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe unafuatiliza raddi za masalafy alhamdulillah 😂😂😂😂 masalafy wako chonjo mkiwadanganya watu tu wanawaweka wazi uchi parwanja..

    • @omarmohammad1528
      @omarmohammad1528 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Safi kbsa​@@user-bp6fb6wo5u

  • @AliAbdul-ve5ve
    @AliAbdul-ve5ve 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu ustazi kanyowa hivi kweli balaa hapa

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe kaongeza maneno yake katika hadithi shehe muogope ALLAH

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 4 หลายเดือนก่อน +3

    A.alaikum ndugu yangu Abdallah Hemeid nakuomba kama ndugu yako katika sunna,tafadhal tafuta time umueke sawa huyu Shafii sababu kuna watu washaanza kumfuata, shukran.

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ushauri mzur lakn tafuta namba za sheikh umtumie huu ujumbe maana hii channel sio yey anaye isimamia

    • @an-noormedia2881
      @an-noormedia2881 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tunamfuata saana

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@an-noormedia2881jahal na njaa inawasumbua

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio vijana tufaa kusoma kuepuka watu wajiga kama hawa

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 4 หลายเดือนก่อน

      @@an-noormedia2881 kher fanyeni subra maoni yenu yatafanyiwa kazi In shaa Allah

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa matwarika kidogo kidogo wanaenda kwenye ukafiri

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      Utakwenda kwenye ukafiri ni ww wahabi munao mzushia mtume s a w

  • @user-od1xx3tk9y
    @user-od1xx3tk9y 3 หลายเดือนก่อน

    Shekh said kumbe ananyoa pank Daah

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mnyoa panki

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 4 หลายเดือนก่อน

      Amaa kweli usiwazarau wakata vidukuu 😂😂😂😂 .Sasa wewe saidi wadai ni kipenzi ya mtume s.a.w je hukuionaa hadithi inayokataza kukata panki??😂😂

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 4 หลายเดือนก่อน

      Unazslau MTU kwa mwonekano.

  • @user-tr9qx4wb4s
    @user-tr9qx4wb4s 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shida ya masalafi uwezo wenu WA kufahamu ni mdogo Sana

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 4 หลายเดือนก่อน

      Ewe jaahil ufahamu wa Dini ya Allaah huchukuliwa kutoka kwa Salafus Swaaleh
      والسابقون الأولون من المهاجرين والأنصار والذين اتبعوهم بإحسان رضي الله عنهم وأعد لهم جنات تجرى تحتهاالانهار خالدين فيها أبدا ذلك الفوز العظيم
      ومن يشاقق الرسول من بعد ما تبين له الهدى ويتبع غير سبيل المؤمنين نوله ما تولى ونصله جهنم وسائت مصيرا
      فإن آمنوا بمثل ما آمنتم به فقدھتدوا وإن تولوا فإنما ھم في شقاق فسيكفيكھم الله وھو السميع العليم
      فعليكم بسنتي وسنة الخلفاء الراشدين عضوا عليها بالنواجذ

    • @suleali4915
      @suleali4915 3 หลายเดือนก่อน

      Dini ni nzuri ila kuna wapuuzi wanasababisha ionekane ngumu . Watu siku hizi wanasoma ili kuja kumsoa fulani

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu si sheikh kwakweli unapotosha watu ,,,,ni mbaya Sana kufanya makosa wakati unajua ukweli utakwenda kuangamia

  • @ShabanHassan-td3lx
    @ShabanHassan-td3lx 4 หลายเดือนก่อน

    Assallam allaykum

  • @bagalucha
    @bagalucha 4 หลายเดือนก่อน

    Matarika ni mtihani mtupu,kila kitu hujifanya wao wnakijua,wanapingana na Allah bila kujijua,masikini roho zao.

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu 4 หลายเดือนก่อน

    Haha maghurafi wana kazi sana sh abdallah humeid twakupenda kwa ajili ya allah wape haki yao wapige mboko mpaka waache upuuzi wao ni shahawa zao tuh

  • @iddriziki8032
    @iddriziki8032 4 หลายเดือนก่อน

    لا حول ولا قوة الا بالله

  • @feisalomar-hr3hq
    @feisalomar-hr3hq 4 หลายเดือนก่อน

    Sheh mm nimependa huo mkato wa mwele tu kichwani unajua waswahili wanasema akili ni mwele hawajakosea unapo kata nusu nusu hata akili Huwa nusu waislamu tusomeni dini tujitahid tusisubir kudanganywa na wanaojiita masheh Hawa ndo wanao urudisha uislamu nyuma

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo kweli naamini kwamba mohammed na yesu NI tofauti na Allah na jehova ni tofauti ISA bini maliamu na yesu NI tofauti Na hawakutani kabisa kabisa

  • @ShabanHassan-td3lx
    @ShabanHassan-td3lx 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugizangu katk Imani, n ndugizangu katk manhaj, haifai kuyasambza maaswi ya ndugi ako muislam katk mitandaon au mujtaama,mnaswihi ndugi ako katk maaswia yk ili agutuke na atubie kw Allah. Nakusudia hyo clips ya said alonyoa kiduku, kw mbora wa viumbe katukataza kunyoa nyele nusu na kuacha nusu, timefundishwa kunyoa zote au kuacha zote.

  • @abudardaiasaa7700
    @abudardaiasaa7700 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wallah kweli sheikh abdallah humeid huyu jamaa anaropokwa sana enge pembeza kumuekea kikao maalumu ukaamnyoosha anawatatz sana vija kwa shubha zake kiukweli

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      Ww Huna ujuwalo huyo humeid kusoma quran hajui vizuri tafuta video akikosolewa na bachu mwanzo akajifunze kusoma alafu ajee akosowe watu hakuna mjinga kama huyo humeid

    • @user-jx8gr6yu1w
      @user-jx8gr6yu1w 4 หลายเดือนก่อน +2

      wewe uliekuwa hukosei una juzuu ngapi kichwani baba, alafu tangia ue na akili kisawa Sawa haujawahi kuteleza ktk maneno yako we?, Sasa basi elewa kukosea ktk kusoma Qur-an ni ktk madhaifu ya kibinaadamu na sio kusema uongo, Sawa ustath

    • @abuhandhala8952
      @abuhandhala8952 4 หลายเดือนก่อน

      Asa ukimtetea shekhe saidi alonyoa kihuni si afadhali tumskize bwana pastor 😂

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-jx8gr6yu1w sawa kukosea ni katika binadamu ww angalia hio video anavo soma ndivo sivo kama ww ni msomi ukikosea unarudi hapo hapo ukajirekebisha kama ww umesoma kweli quran kusoma hajui hio ndio kweli mulize ufodhuli na kutukana wanazuoni na mtume s a w alisema kutakuja zama watu wakiwatusi wanazuoni wakijifanya wanao ilimu kumbe anawapoteza ndio hao humeid kina kassim mafuta na wengineo na kumzushia mtume s a w ww shabikia ila kiyama ndio fainal

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      @abuhandhala8952 huo ndio uzuka mulio nao mawahabi sasa kunyoa ki huni na kumzushia mtume s a w ipi mbaya nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tawhed tatu mtume s a w hajafundisha wala maswahaba hawazijui tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji kazi yenu kuchunguza watu kabla hujaeka picha ya sheikh said mwanzo angeweka yake wakati wa ubarobaro wake na mapungufu yake alafu ndio umseme mwenzako someni dini wacheni ushabiki humeid atawapoteza na ashawapoteza

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mtume hakunyoa panki wala masahaba zake.

    • @vich2mussa997
      @vich2mussa997 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akulinde ndugu katika uislam anatangaza amani Huku ameficha mapanga mtihani huuuu

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ndomaan niliikubal kuwa salafy maana hakuna uongo ni dalili tu wallah

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hivyo kudai ALLAH ana tawhidi Tatu si uongo?

    • @user-py3cb3kx9p
      @user-py3cb3kx9p 4 หลายเดือนก่อน +3

      Wajua maana ya Tauhid kwanza wewe? ​@@MuhidiniNassor

    • @suleymanislam4015
      @suleymanislam4015 4 หลายเดือนก่อน +1

      Masufi hawajui tauheed ukitaka kukosana nao mpeleke kwenye tauheed

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi kwa nn mashekhe ivi sasa hamuamrisha watu kufanya mema kaziyenu kuhadidiana NAWACHUKIA SANA

    • @user-kz4ub9nj8f
      @user-kz4ub9nj8f 4 หลายเดือนก่อน

      Kuradi n sehemu ya dini ndg ukiacha huu upumbavu unaendelea hii dini itakuwa haipo mafundisho sahh yatapotea akhii ivi unaic kp kilichowapelekea manaswara had yesu kumuita mungu ni pale uongo na uzushi ulipoenea na watu wakanyamazia mwishowe ule uongo ukawa kweli na mpaka Leo wanaamin yesu n mungu

  • @makameally1962
    @makameally1962 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaza abdallah humeid una kosea kwenye kazi Yako ya dawa unaweza ukajiona uko sawa lkn kumbe ikawa huko sawa kwasababu ya kuchukuwa picha za watu bila ya ruhusa za wenzako

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 หลายเดือนก่อน

      Hawa watakatifu wa sasa tuwa angalie tu Kwa kweli

    • @user-pc1gj5qp6n
      @user-pc1gj5qp6n 4 หลายเดือนก่อน

      Haqq lazima ibainishwe watu wafahamu nani Hawa masufi na itikadi zao imefanana na wakristo kwa kuzuwa watu wa batil watabaki mpaka yaum saa na watu wa haqq watabaki mpaka yaum saa

    • @user-kz4ub9nj8f
      @user-kz4ub9nj8f 4 หลายเดือนก่อน

      Ila yeye kuzungumza uongo dini ya Allah na tafsr mbovu s kosa n sawa yeye ruhusa hyo kapata wap kuwa na akili zenye maarifa chukulia mfano upumbavu huo anauongea mtu yupo hai au maswahaba akina omary... Yaan unasapot ujinga

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la mawahabi ni ufahamu mm nimemfahamu vizuri ostaz saidi.na ndivyo ilivyo Aya za mwanzo wa sura ya arahmani.hapo hakuna mtu aliye muita mtume Muhammad mungu.kwanza hata hiyo hadithi ww unae isoma hufahamu.hapo tumeambiwa tusi shabihiane na manasara juu ya kumsifu mtume.maana wao walimuita mwana wa mungu,au mungu .lkn hapo daraja la mtume lipo pale pale.

  • @WahabuKombo
    @WahabuKombo หลายเดือนก่อน

    Kwani hamwaelewi haoni wanafuzi wa wayahudi?

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani huja soma Iqra

  • @saydsultan9499
    @saydsultan9499 4 หลายเดือนก่อน

    Hii Raadi imemfanya huyu bwana kama muuza kahawa sokoni

  • @moneymaker461
    @moneymaker461 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtoto mbona kachonga nyusi zake na nywele kanyoa kama jogoo ama mwenzetu sio riziki

  • @Abdulracheed
    @Abdulracheed 4 หลายเดือนก่อน

    Tuwe na mipaka ya kumsifu mtume. Mnapoelekea mtakufuru kama manasara na Mayahudi

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu itakuwa anajuwa zaidi kuliko masabaha au hajui kitu atumia hawaa za nafsi yake

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona shamsu walqamar imekuja ya nne

  • @user-tr9qx4wb4s
    @user-tr9qx4wb4s 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio mana mwanadamu ni mbora na akatajwa mwanzo

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 4 หลายเดือนก่อน

    Wacha kua nyumba ya pazia kama mwanamwali jitokeze

  • @mohamedadam7880
    @mohamedadam7880 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu dj ama hutangaza dini mbona mapya haya hatuyajui

  • @yousufbadrou32
    @yousufbadrou32 4 หลายเดือนก่อน

    Twataka style mpya ya kiduku eid yaja

  • @user-sm1kt5xd8k
    @user-sm1kt5xd8k 4 หลายเดือนก่อน

    Wewenimwana kharamu hatababa huna hasidi mkubwa wataka kumuaghamiza mtoto wawatu wewe huna mtoto msomi laana zikushukiye

  • @hashimshariff2743
    @hashimshariff2743 4 หลายเดือนก่อน

    Makhawarij nyinyi twajua hii silsila yenu haikuanza hapa imetoka mbali. Usimjua ndio hutajua thamani yake. Ikiwa nyinyi mawahabi mumempatia mungu viungo ya kuwa ana miguu na mikono basi tuwaweke wapi.

    • @user-py3cb3kx9p
      @user-py3cb3kx9p 4 หลายเดือนก่อน

      Enda kafute Aya Zilioko katika Quran basi

  • @awatifomar5185
    @awatifomar5185 4 หลายเดือนก่อน

    HUYU DJ SAID HATA HUU UKATAJI WA NYWELE PANK PIA ANAYO HADITHI YA UONGO AU? AU AMEKATA TU KUMUASI ALLAH

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 4 หลายเดือนก่อน

    Hii chinja ya uyu mtu yaonyesha alipewa shahada kabla shahada.bora kijana chako awe dwanzi kuliko ziazi rojo

  • @hashimshariff2743
    @hashimshariff2743 4 หลายเดือนก่อน

    Na shida yenu ni kutomjua mtume mohamed Swalalahu aleyhi wa salam cheo chake na daraja yake. Ndio wale walisema hakuwa mtume yuwala chakula na yuwaenda sokoni. Yaani kama sisi hana tofauti. Lakini ikiwa mitume wenyewe wamjua cheo chake nyinyi hamumjui tuwape majina gani

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      Je Mtume Muhammad alikua na utume kabla ya Adam alyhi salaam?? Jibuni hilo swali usijaribu kukwepa

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo picha ya pili huna kofia mana yake nini?

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe wamchukia mtume akisifiwa wakereka sisi hatukumfanya mtume nimungu wala mtoto wamungu

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 4 หลายเดือนก่อน

      Waliowafanya mitume yao ni Mungu walianza hivyo hivyo kupechuka mipaka katika kuwasifia mitume

    • @hashimshariff2743
      @hashimshariff2743 4 หลายเดือนก่อน

      Taratibu abu usijitie katika madhambi. Ukiwa utamfanya mtume mungu huna dini.

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 4 หลายเดือนก่อน

      Sheikh Said Tafsir yake kanukuuu wapi?

    • @MainlandMwanza-ln3zh
      @MainlandMwanza-ln3zh 4 หลายเดือนก่อน

      Dadaangu Naima hakuna anaekereka kwa kusifiwa Mtume swalla-llahu 'alaihi wasallam bali sheria inatutaka tusifanye chochote linalohusu dini au ibada ila kwa maelekezo ya Allaah na Mtume wake (swalla-llahu 'alaihi wasallam) na sio kwa kumfuata mwanachuoni yoyote yule au mwengine yoyote yule .

  • @munirmaulid8155
    @munirmaulid8155 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi nì waislamu hamna cha wahabi wala masalafi, tunataka kujua ukweli hatutaki kujua nani ndo mhindi.
    Tuambizane ukweli na tukatazane mabaya

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 4 หลายเดือนก่อน

    Akaamuwa kukata denge akaweka na mekap ili anonekane beautify 😂😂 duniya imeisha

    • @SaidBassadik
      @SaidBassadik 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @kiddrc353
    @kiddrc353 4 หลายเดือนก่อน

    Kama picha ni bidaa mbona mnaweka video na picha za saed .....

  • @user-tr9qx4wb4s
    @user-tr9qx4wb4s 4 หลายเดือนก่อน

    Et kuficha sura ndio sunna😅

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน

    Wacha kuchanganya aya za qurani iqra nisura yakwanza kutemshwa

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 4 หลายเดือนก่อน

      Ewe dada jieke mahala pako,ni Ayah 5 za kwanza kuteremshwa ziko katika surah al-Alaq sio Surah kamili haipendezi kwa mwanamke kufanya ulivyo fanya wewe halafu bila elimu

  • @user-rk3ej3ej2h
    @user-rk3ej3ej2h 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno kasema nani katika wanachuoni au wasema tu kwamba hiyo fahamu yako

  • @MsamiMuhammad-jn8tz
    @MsamiMuhammad-jn8tz 4 หลายเดือนก่อน

    Abuh khaula wew huna kazi za kufanya?? Fundisha yanini unahangaika na watu wenye elimu??? Kama waweza agiza mjadala utolewe makamasi mbn kila anae zungumza wa mraddi ni elimu gani mlizo nazo za kukashfu watu ninyi ???? Wahabi jitambueni basi. Mbn mwajiona mmefaulu hivo ??

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 4 หลายเดือนก่อน

    Wakristo nao wanasema yesu alikuepo kabla ya Ibrahim masufi wanasema Mtume Muhammad SAW alikuepo kabla ya Adam

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 4 หลายเดือนก่อน

      Hata watu wote walikuwepo kabla ya Adam, Kama hamjui hilo Ulizeni wenye kujua.

    • @user-py3cb3kx9p
      @user-py3cb3kx9p 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdullahmasakata170 let Dalili , wacha kufuata Hawaa

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdullahmasakata170
      Wewe umepiswa wewe una Dalili ya Maneno yako hayo??

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 4 หลายเดือนก่อน

      @@abuurayaan3902 Unataka kujifunza au kubishana? Lipi lengo lako?

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-py3cb3kx9p Wewe lengo ni kujua kisha ufuate au lengo ni kupinga kisha ufuate. Mimi siwezi kufuata anae dharau na kujivuna na kujiona yeye yupo sahihi zaidi ya waislam wengine. Huu haukuwa utaratibu Wa mtume MUHAMMAD S. A. W, na maswahaba zake na waja wema. Kama waja wema walikuwa wakitoa mawaidha hivi basi yuko sahihi na ninyi mpo sawa, Kama sivyo msifuate mtu bali fuateni uislam na misingi yake.

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 4 หลายเดือนก่อน

    Na huyu humeid anaweza kuyaweka bayana madhaifu na madhambi yake? Au yy hana madhambi

    • @user-pc1gj5qp6n
      @user-pc1gj5qp6n 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ni jahil murakaba sababu huelewi haqq

  • @makameally1962
    @makameally1962 4 หลายเดือนก่อน

    Nipe Hadith iliyo kuja na tawheed 3

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 4 หลายเดือนก่อน

      Hata sio hadith bali ni aya miongoni mwa aya za Qur'aan
      Soma suratul Maryam aya 65 utakutana na mgawanyo wa Tawhid mara tatu
      Halafu punguza ujinga mwingi kichwani unaposema Tawhid tatu❌
      Sema aina tatu za Tawhid ✔️
      Wala sio Tawhid tatu utaonekana jaahil murakkab

  • @user-sm1kt5xd8k
    @user-sm1kt5xd8k 4 หลายเดือนก่อน

    Kafiri niwewe kafiri mkubwa

  • @m.othman866
    @m.othman866 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba tangu amtowe kojo mwenzenu hadi leo mnamuogopa.. Mjitokeze mkae mezani muone kazi yake....😂

    • @user-pc1gj5qp6n
      @user-pc1gj5qp6n 4 หลายเดือนก่อน

      Mwenzenu nani? Muhammad Bachu sio katika manhaj salaf wewe bado hujafahamu haqq ama ww jahil murakaba

    • @MbuyaMbuya-wi7ke
      @MbuyaMbuya-wi7ke 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kweliiii kabisaaa hawana hoja mawahabi hujifanya wanajuuua hawajuii hata kidogo

    • @m.othman866
      @m.othman866 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-pc1gj5qp6n Mjitokeze mkae nae mezani mione kazi yake. Msibwekee ndani ya mageti.. Nendeni kama ndugu yenu muone kazi..

  • @makameally1962
    @makameally1962 4 หลายเดือนก่อน

    Ww mwenyewe ni mpotevu na tawheed zako tatu

    • @user-pc1gj5qp6n
      @user-pc1gj5qp6n 4 หลายเดือนก่อน

      Haqq ni haqq hata mukatae warongo nyie wazushi mafedhuli wapumbavu siwapendi

  • @jumakitadu8674
    @jumakitadu8674 4 หลายเดือนก่อน

    NAKUPENDA bure humeid

  • @nassorsuleiman451
    @nassorsuleiman451 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sijafaham mnyoa panki

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 4 หลายเดือนก่อน

    dawa ya salafi sio kejili na dharau

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 4 หลายเดือนก่อน

    NA NYINYI MULIKUWA MASUFI NA SASA NI MAWAHABI---PESA NDIYO ZILIWABADILISHA

    • @user-py3cb3kx9p
      @user-py3cb3kx9p 4 หลายเดือนก่อน

      KUFUATA QURAN NA SUNNAH NA UFAHAMU WA MASWAHABA NDIO KUPENDA PESA? AMA KUFUATA HAAWA ZA NAFSI NDIO UONGOFU

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ustadh said unawakera sana masalafi

    • @eshematran7206
      @eshematran7206 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ustadh said hivi ni ustadh huyu
      والله المستعان

    • @Biziman-pu4kf
      @Biziman-pu4kf 4 หลายเดือนก่อน

      Anamkera na MTUME piya

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 4 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi wanatetemeka mpaka matako 😂😂😂

    • @shabaniwilson
      @shabaniwilson 4 หลายเดือนก่อน

      Ukhti @Naima labda nikueleweshe kitu, huyu Wala hamkeri mtu, Bali kazi ya salafi ni kuelimisha na kuweka sawa pale ambapo Kuna upotoshaji.
      Labda nikuulize swali dogo tu hapa chini:
      "Mfano ukimwona mtoto wako mwenye umri wa miaka 4 anavaa kiatu Cha Kulia Mguu wa kushoto, na kiatu Cha kushoto anavaa mguu wa Kulia" Je utamuelekeza jinsi ya kuvaa inavyotakiwa au utamwacha hivyo hivyo..????,,.
      Barakallahu fekum.

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      Duh huyu Dj ndio Ust kwako??

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน

    Hata masalafi wengi waingia ushia

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe waumwa toa Ushahidi Salafi yupi amekua shia
      Na Mashia kuenea Africa Mashariki wamekaribishwa na nyinyi Masufi ndio ndugu zenu na munashurikiana katika Bida'a zenu za birthday ya mtume kama munavyo dai

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 4 หลายเดือนก่อน

    MAWAHABBI NA MASALAFI HAWA WOOTE WALIKUA NI MASUFI NA NDIO HISTORIA ZAO.KILICHOWABADILISHA NI PESA..ANKARA..MAOKOTO NDIO TATIZOO

    • @user-py3cb3kx9p
      @user-py3cb3kx9p 4 หลายเดือนก่อน

      SASA MTU ANAPOTOSHA MAANA YA QURAAN, ANAHARIBU DINI TUKUAACHE UHARIBU AMA?

    • @binaamour318
      @binaamour318 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo abadala humeid yy hakocei ? Kw kipimo gani?

  • @user-sm1kt5xd8k
    @user-sm1kt5xd8k 4 หลายเดือนก่อน

    Muateni mtoto wawatu musimuadhameni watoto wenu kama hawataki kusoma basi wachani uhasidi aliyepewa kapewa. Mola kampa ilimu yenye manufaa

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน

    Wacha kuweka picha zake nyinyi mwasema picha niharamu mbona hamuna ukweli nani takubali maneno yako

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 4 หลายเดือนก่อน +2

      Utakufa na husda hii dawa ni haq ndo mana mwatukana ila ndo yaenda mbele pole ndugu yangu kaa chini soma hizo chuki zaki zitakuua tu na pressure

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nacha ajabu anaebainishwa Allah hupoteza wangap wamepotezwa kwa kubainishwa na masalafi usidhanie wote ni wajinga kma ww wapo masufi kma ww wanaelewa na ni waadilifu hivo huwauliza na kuwauliza maswal vijna wao

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hao mashia c walibainishwa waislam wengi wakawajua na daawa yao imeishiwa nguvu na kutumia kwao hela

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@IbrahMiracle-em4shumesahau kuwa mahasidi ni misalafi

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 4 หลายเดือนก่อน

      Sisi tunayakubali maneno yake wala hujalazimishwa wewe uyakubali.
      Hatuwapendi masufi kwasababu wanatumia akili matamanio na bidaa/ uzushi
      Halafu kwanini wakikosolewa watu Wa bidaa mnakasirika
      Kwaivo waachwe ili waendelee kuharibu dini yetu hebu muogopeni Allah

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa hana akili sawa sawa ebu mchunguzeni

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 4 หลายเดือนก่อน

    Acheni propaganda zenu nyie. Munakuwa kama wakristo wakisema katika biblia John 8:58 yesu aliwaambia ukweli ukweli nawaambieni kabla kuwepo Ibrahim mimi nilikuwepo.
    Acheni kupotosha aya za kitabu. Hebu soma ukamilishe hizo Aya uelewe vyema. Acheni kumsingizia mtume Muhammad kwa udongo wenu.
    Allah almuataan

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani mngu hana uwezo huo

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 4 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo amewezesha hivyo ? Mungu anaouwezo wa kukuwezesha ukaimeza bahari waemje hapo acha ujinga

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

    Ww wahabi na wwndio watusi watu alafu ww mshenzi wamzushia mtume s a w tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji na mtume hajafundisha wala maswahaba

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kupayuka usijiadai hujaelewa kilicho ulizwa
      Mjibie Dj wako Je Mtume Muhammad alipewa utume kabla Ya Adam alyhi salaam??

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      @abuurayaan3902 mm kuelewa ni meelewa vichwa vetu si zakiwahabi punguwani wazushi munao mzushia mtume s a w mtume s a w sikama mm au ww jiulize ww na huyo sheikh wako anae wapoteza na Adam a s wakati alipokosea akamwambia Allah nisamehe kupitia kiumbe huyu mwema mana Adam alipoumbwa alipofungua macho aliona jina lailahillah mohammad rasululah sasa ww na huyo sheikh wako ilimu ndogo mtume s a w aliumbwa zamani na huyo sheikh wako mwambie basi mtume s a w ndio bwana wa mitume wote akiwa Adam pia uko ndani

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 4 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj
      Acha uwongo toa ushahidi wa Maneno yako hayo mbona masufi hamuoni haya kuzua uwongo katika Dini
      Ulipata wapi hayo na nani alikutangulia katika wema walio tangulia kwenye Karne Bora tatu???

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 หลายเดือนก่อน

      @abuurayaan3902 nyinyi mawahabi wapotoshaji hata mukipewa ushahidi mwakataa kazi yenu kumzushia mtume s a w ww wahabi na mkiristo hamuna tafauti wazushia mtume s a w tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji mtume s a w hajafundisha wala maswahaba hawazijui sasa kama unao ushahidi mulize na huyo sheikh wako na huyo alie mfundisha sheikh wako tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji wanafiki ukijibu nakupa elfu kumi ya Kenya ukishindwa kutoa ushahidi ww mnafiki na mashekhe wako

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 4 หลายเดือนก่อน

    UKIFA SUFI HUINGII PEPONI.......??

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 4 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi wanamtaga huyu ustadh 😂😂😂 ekeni niqaash na nyie mbona munabweka mbali au koko nyie mukae kweny kiti tuone kama hamjatetemeka mpaka makalio

    • @user-xh4ym6ik2h
      @user-xh4ym6ik2h 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa masufi nako kuna masheikh kumbe aw waropokaji yan unataka kusema adam katanguliwa namtume yke sal na salaam haya bc kubali kua ulikuwepo kabla ya Babu yako masafiihu kabisa hawa

    • @user-xh4ym6ik2h
      @user-xh4ym6ik2h 4 หลายเดือนก่อน

      Yan masalaf ambao wanachokisema wanachukua kwenye qur'an na sunnah kwa ufaham ambao walifaham maswahaba lakin laja lijitu likasema mawahabi bc hata wale maswahaba nimawahabi maana tunafuata nyayo zao الله اكبر

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-xh4ym6ik2huna ushahidi?