CASSIAN AMGEUKIA VIKALI GAMAYWA KUNENA KWA RUGA NA MASHETANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman mm natamani muelewa uyu mtumishi na mungu awasaidie mumuelewa mtumishi anacho kifundisha nikitu kilichopa katika Dunia ya leo mungu awasaidie

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 35 นาทีที่ผ่านมา

    Waogo hawa wana muchezeya Mungu. Mungu awasamehe sana

  • @edwardnkungu4226
    @edwardnkungu4226 นาทีที่ผ่านมา

    Kasin ni nani mpaka amchunguze roho ? Kwa kweli leo umenikera kwa kumpa roho mtakatifu changamoto na ni dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu. Omba neema ya Mungu sana

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu amemkana MUNGU kabisa alafu ananena kwa lugha useme pana MUNGU? Mungu anataka utakatifu 💯 mtumishi wa Mungu Cassian songa mbele kuna ambao wataelewa na kuokolewa

  • @gidionYeremia-n5z
    @gidionYeremia-n5z 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen mtumishi wa Mungu uko sahihi hadi siku ya mwisho

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaaa mungu yuko hapo kweli . Ongea Cassian

  • @sarahmwasyoge1830
    @sarahmwasyoge1830 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen umesema kweli

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maana Yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu. Isaiah 57:15
    Roho wa Mungu anakaa ndani yetu lakini inabidi tuchunguze njia zetu na kuhakikisha njia zetu ni takatifu kila mara.

  • @andrewcharugamba7498
    @andrewcharugamba7498 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa yeye kila mtu anakosea tu haya utaenda mbinguni mwenyew

    • @hezekiamhapa7395
      @hezekiamhapa7395 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa hiyo unataka watu wakikosea asiseme ili watu wapotee?? Acha mambo Yako soma neno la MUNGU linasemaje. Je waweza kuthibitisha kwa andiko hata moja linalosema wavae suruali??

    • @BishopEllie
      @BishopEllie 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      HUYU AMESHAMKUFURU ROHO MTAKATIFU, ATASEMA LOLOTE LINALOPITA KWENYE MAWAZO YAKE. OLE WA WENGI WANAOPOTEA KWA SABABU YAKE. HUYU HAJAJUA NEEMA YA MUNGU ANAFIKIRI KWA MATENDO YAKE ANAHESABIWA HAKI.

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakika hapo hapana kabisa Roho mtakatifu kabisa Ani hiz ni nyakat za mwisho hayo ni mapepo kabisa

    • @BishopEllie
      @BishopEllie 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      USISHIRIKI DHAMBI ZA WATU WENGINE

  • @Yoelfabian
    @Yoelfabian 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii nakataa huu ni ushetani kabisa

  • @VanithMsigala-c5b
    @VanithMsigala-c5b 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani jamani naogopa sana ni mapepo hayo nimeshuhudia nilikuwa timu ya maomba so mtumishi WA BWANA onya KABISA anayepinga hajui

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makanisan mengi ya Leo yanamtukuza shetan kwa viwango vya juu kuzim yashangilllia wenye macho ya rohon ndio wanaoona

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie amen

  • @FhkkjdXjfhjj
    @FhkkjdXjfhjj 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki ameeee

  • @edwardnkungu4226
    @edwardnkungu4226 6 นาทีที่ผ่านมา

    Casian hubiri injili acha kuongea na mavaz ya watu. Hubiri Neno la Mungu watu wapone . Kunena kwa lugha ni fundisho la neno la Mungu. Halafu wewe unahangaika na kuleta changamoto za kuvunja watu moyo ni injili ya kweli. Wewe ni mtu tu huna kipimo cha imani

  • @BishopEllie
    @BishopEllie 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAKO WAPI WAZEE WA HEKIMA WAMSAIDIE HUYU KIJANA, MAANA AMEKENGEUKA

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Thunderstorm

  • @BishopEllie
    @BishopEllie 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAUJUI NINI KUJAZWA NA ROHO MTAKATIFU, UNAPOTEA MAANA HUJUI MAANDIKO. TUSIWE WAALIMU WENGI MAANA TUTAPATA HUKUMU ILIYO KUBWA ZAIDI.

  • @BishopEllie
    @BishopEllie 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    UNAHITAJI KUPIMWA AFYA YA AKILI

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unae coment ujinga acha upumbavu????????????

  • @BishopEllie
    @BishopEllie 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani suruali inakusitiri wewe? Kasian NAKUONYA KAMA MTUMISHI WA MUGNU. KAMA BADO HUJAMKUFURU ROHO MTAKATIFU ITAKUWA NI NEEMA SANA. MUNGU HAWEZI KUKUPA KILE UNACHOKILAANI. MDOMO WAKO UTAKUPELEKA JEHANAMU UKIFIKIRI KUWA UNAMSAIDIA MUNGU KAZI. HIVI UNAJUA ILIPOANDIKWA MWANAMKE ASIVAE MAVAZI YAMUHUSUYO MWANAUME, SURUALI ZILIKUWA HAZIJAVUMBULIWA BADO. NA UNAJUA SABABU WALIANDIKA HIVYO?????????????? MUNGU AKUREHEMU SANA KWA KUMUITA ROHO MTAKATIFU NI ROHO YA SHETANI. ROHO WA MUNGU ANAWEZA KUJA JUU YA MTU YEYOTE ANAYEMPENDA. NDIO MAANA HUJANENA KWA LUGHA MPAKA LEO. UNAWEZA KUMSAIDIA MTU ASIMKOSEE MUNGU LAKINI USIMGUSE ROHO MTAKATIFU KUMLINGANISHA NA KOPE ZA MACHO. I FEEL SORRY FOR YOU MY BROTHER. DO NOT BE HOLLIER THAN THOU.

  • @gidionYeremia-n5z
    @gidionYeremia-n5z 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We charugamba endrew ww nimjinga sana ndio ataenda pekee yake

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijakamilika bado, wala sineni kwa lugha, bali naomba roho wa Mungu aniongoze niwe mkamilifu katika roho na kweli.