Habari ndio hiyo, nimeipata kikamilifu. Mungu azidi kukunyang'anya yaliyo yako na akujaze yake ili ufungue masikio ya hawa wakristo waweze kuacha kusherehekea kumbukumbu za kipagani na warejelee njia sahihi. Asante
Mimi nakupenda mno mtumishi maana maneno unayotoa Ni ya Kiroho kabisa na yana nguvu. Umefunua ukweli kabisa wenyewe. Atakayepingana na huu ukweli, amuombe sana Mungu amfungue macho ya Kiroho, maana haya maneno huwezi kuyaelewa bila kuwa na Roho Wa Mungu
KWA KUMSEMA MTUMISHI WA MUNGU MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE LAZIMA UTAPIGWA! MUNGU AKUREHEMU NA UENENDE KWA HEKIMA KAMA KWELI UNAMSKILIZA MUNGU, TUSIISHIE TU KUJUA NENO LA MUNGU BALI TUENENDE KWA HEKIMA: WAKOLOSAI 3:16 'Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote". KATI YA VITU WATU WANAPUNGUKIWA NI HEKIMA YA KUNENA, KUWASILISHA, KUONYA, KUKEMEA, KUFUNDISHA NK NA BAADAE KUJIKUTA WAMEANGUKIA KWENYE GHADHABU YA MUNGU AU MIKONO YA SHERIA, KUMBUKENI ANAYEKUSAPOTI ANA INTEREST SAWA NA YA KWAKO, USIANGALIE KUSHABIKIWA ANGALIA KAMA UNAYONENA YANA HEKIMA NDANI YAKE.
Umbarikiwe sana mchungaji tufumbuwe macho
Barikiwa mtumishi nakupenda sana
Habari ndio hiyo, nimeipata kikamilifu.
Mungu azidi kukunyang'anya yaliyo yako na akujaze yake ili ufungue masikio ya hawa wakristo waweze kuacha kusherehekea kumbukumbu za kipagani na warejelee njia sahihi.
Asante
Ubarikiwe sana mtumishi
Amen Amen mtumishi
Amen Amen ubarikiwe kwa hii kweli.
Kaka mungu akubariki sana umenifanya niwajuwe manabii wa uongo
Mungu aliufanya moyo wa farao kuwa ngumu na sio matakwa ya farao ila ni mpango wa Mungu katika mishen ya ukombozi
Kazi nzuli mutumishi
Mimi nakupenda mno mtumishi maana maneno unayotoa Ni ya Kiroho kabisa na yana nguvu. Umefunua ukweli kabisa wenyewe. Atakayepingana na huu ukweli, amuombe sana Mungu amfungue macho ya Kiroho, maana haya maneno huwezi kuyaelewa bila kuwa na Roho Wa Mungu
Miiii sijuiiii?????