SABABU YA MKE WANGU KUNIACHA PEKE YANGU EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @Crabtree1844
    @Crabtree1844 วันที่ผ่านมา

    Asante kututia moyo, mtumishi. Mungu asifiwe!

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire วันที่ผ่านมา

    Ushuhuda wa kufanya watu wamtukuze Mungu siku zote. Tusimame kama Ayubu mtumishi wa Mungu ambaye alipitia mateso mpaka mke wake akafikia kumwambia amtukane Mungu afe. Lkn Ayubu alimtizama Mungu na kumtegemea Mungu pekee.
    Watu wanaweza wakakukatia tamaa lakini wewe kama wewe unafaa usimame na kujinenea na kusimama kwenye nafasi yako. Ubarikiwe sana mtumishi kila mmoja ana kibali machoni pa Bwana

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie amen amen

  • @beatricesiyajali3699
    @beatricesiyajali3699 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙏

  • @AlexwaliobaAlex
    @AlexwaliobaAlex วันที่ผ่านมา

    Kwel mtumish

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa, tuwe watu wa kujiamini kwa lolote lile.
    Kama huna hela hutambuliki popote pale, utabaki kudharauliwa, licha ulisoma au la.
    Tutumie magumu yetu kuongea na Mungu ili ayachibu kulingana na maumivu yetu.

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mutumishi kwa yote yanayokukuta.

    • @beatricesiyajali3699
      @beatricesiyajali3699 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏🙏🙏❤️‍🔥🙏🙏🙏🙏