MRISHO MPOTO AMLIZA WAZIRI NAPE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2023
  • MRISHO MPOTO AMLIZA WAZIRI NAPE

ความคิดเห็น • 98

  • @user-kc2nj7tv8s

    Hongera sana mr. Mrisho Mpoto. @Mh. Nape, ubinadamu ni zaidi ya vyeo, viongozi wetu tujali haki na usawa kwa wote. Duniani tunapita!

  • @barakamwenda-qk6xq
    @barakamwenda-qk6xq ปีที่แล้ว +5

    Mungu mwema utapona muombe munguwako nasiwatanzania twakuombeapia ishalllh uatponakaka

  • @user-ms4ny8nk6e

    Asante kwaujumbe wako mpoto hakika mafumbo umenifany nikumbuke. Mengi sana

  • @nelsonnyamle

    Hayo unayoigiza kunawatanzania wanapitia huwa wanaenda kuomba msaada pale radio free Mwanza.Wakati huo hawa wanaotaabika rasmali zao ambazo zingewasaidia zinaliwa na kundi la wachache kwenye taifa lao hal ni mbaya kweli kweli.

  • @simonetz7036

    Pole sana Mrisho mpoto, lkn wewe ni mnafiki jambazi kama viongozi majambazi waliobungeni. Mpuuzi sana wewe RAIA hatujawahi kunufaika na wewe, mpuuzi mnafiki mkubwa. Kuwa realistic jifunze kuwa WATANZANIA tunateseka mno Kwa ujinga wa serikari na wizi

  • @user-rr7qe4qo6l

    Kongole Sana kakangu Mrisho Mpoto unaubunifu mwingi story nzuri unajua kufiksha ujumbe

  • @JohnWolo-nr5fg
    @JohnWolo-nr5fg ปีที่แล้ว +7

    Msani chawa uyu iviutabadilika lini wewe mtumzima acha uchawa Bwana

  • @user-cs4xr4oy2d

    Nakupongeza sana kwa kipaji ulichonacho mungu akubariki

  • @maulidially7971

    Ubunifu wa Hali ya juu you have done ma brother

  • @Ambwene
    @Ambwene ปีที่แล้ว +4

    Chawa washaanza kujitangazia ajali mamamae ngoja zianze kutokea kweli

  • @user-ix1gh6cq5p

    Hongera Sana mrisho mpoto👏👏👏

  • @clementchagwa8787
    @clementchagwa8787 ปีที่แล้ว +1

    Congore nying kwako kaka M MPOTO, napendezwa na Kaz zko rakin dunian too wapitaji ombi lang kwako niombe utafte mtuu mwenyewe huitaji na mziki kama wako ili Hya unayo yafanya SIKU na SAA yetu ikifika kutoweka hapa dunian bc tusitoweke navyo vipaji tulivojaariwa Na Mnyaazi MUngu naomba Sana risisha kipaji chako tupate wasanii Kama ww napenda sana Kaz yako kaka God bless you mor an mor 🙏

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 ปีที่แล้ว +2

    Eeeeh!jamani pole sana Mungu atakufanyia wepesi

  • @GiftyTandala-rk6vj

    Pole Bab mungu Yuko pamoj n wew utapona

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +3

    Mbunifu ndio Huyu hapa Sasa. Gooo Mrisho Goo

  • @masuddyplatinums

    Pole xana bro

  • @iddyngaiwa

    Mpoto namba moja tz

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 ปีที่แล้ว +3

    Naona mnavyo jaribu kupaka rangi upepo

  • @emmanuelmush379

    hi ndio real sanaaa ubunifu wa hali ya juu brother 100%