JO MEDIA
JO MEDIA
  • 306
  • 337 954

วีดีโอ

KATIBU MKUU WA MALAIGWANAN AZINDUA NYUMBA YAKE YA KIFAHARI,MGOGORO WA MALAIGWANAN MONDULI WATAMATIK
มุมมอง 1143 หลายเดือนก่อน
KATIBU MKUU WA MALAIGWANAN AZINDUA NYUMBA YAKE YA KIFAHARI,MGOGORO WA MALAIGWANAN MONDULI WATAMATIK
TANZANIA IMEUNGANA NA NCHI ZINGINE DUNIANI KUADHIMISHA SIKU YA UTALII
มุมมอง 533 หลายเดือนก่อน
TANZANIA IMEUNGANA NA NCHI ZINGINE DUNIANI KUADHIMISHA SIKU YA UTALII
MBUNGE WA NGORONGORO ATOA TAMKO LA KUSIMAMA NA RAIS SAMIA
มุมมอง 1904 หลายเดือนก่อน
MBUNGE WA NGORONGORO ATOA TAMKO LA KUSIMAMA NA RAIS SAMIA
CCM HATUHUSIKI NA KAULI ZA ALIEKUWA MKUU WA WILAYA YA LONGIDO
มุมมอง 1234 หลายเดือนก่อน
CCM HATUHUSIKI NA KAULI ZA ALIEKUWA MKUU WA WILAYA YA LONGIDO
MAKONDA AAHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MAAGIZO YA RAIS KWA WAKAZI WA NGORONGORO
มุมมอง 1395 หลายเดือนก่อน
MAKONDA AAHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MAAGIZO YA RAIS KWA WAKAZI WA NGORONGORO
WAKAZI WA NGORONGORO RUKSA KUSHIRIKI UCHAGUZI
มุมมอง 365 หลายเดือนก่อน
WAKAZI WA NGORONGORO RUKSA KUSHIRIKI UCHAGUZI
WANANCHI WA ARUSHA KUNUFAIKA NA MADUKA TECNO KWAKUPATIWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA SIMU JANJA
มุมมอง 435 หลายเดือนก่อน
WANANCHI WA ARUSHA KUNUFAIKA NA MADUKA TECNO KWAKUPATIWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA SIMU JANJA
BILIONI 7 ZA RAIS SAMIA KUFUNGA TAA UWANJA WA NDEGE ARUSHA.
มุมมอง 1015 หลายเดือนก่อน
BILIONI 7 ZA RAIS SAMIA KUFUNGA TAA UWANJA WA NDEGE ARUSHA.
TAZAMA MAKONDA AJA NA SWAGA MPYA BAADA YA SINTOFAHAMU ILIYOTAWALA.
มุมมอง 535 หลายเดือนก่อน
MAKONDA AJA KIVINGINE BAADA YA KIMYA CHA MUDQ MREFU KILICHOZUA TAHARUKI KWA WANA ARUSHA
UCHUMI DUNI BADO KITENDAWILI KWA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI
มุมมอง 1975 หลายเดือนก่อน
UCHUMI DUNI BADO KITENDAWILI KWA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI
BARABARA ILIOKUWA KICHOMI YAPATA DAWA, WANANCHI KIJIJI CHA MWIKANSE NA MAMIRE WAISHUKURU TARANGIRE
มุมมอง 637 หลายเดือนก่อน
BARABARA ILIOKUWA KICHOMI YAPATA DAWA, WANANCHI KIJIJI CHA MWIKANSE NA MAMIRE WAISHUKURU TARANGIRE
HIFADHI YA MANYARA YA NEEMESHA MAJIRANI ZAKE KWA MIRADI KEDEKEDE YA KUZUI TEMBO NA KUEPUKA UMASKINI
มุมมอง 217 หลายเดือนก่อน
HIFADHI YA MANYARA YA NEEMESHA MAJIRANI ZAKE KWA MIRADI KEDEKEDE YA KUZUI TEMBO NA KUEPUKA UMASKINI
MARAFIKI WA SERENGETI USWIS WAIPIGA JEKI TAWA
มุมมอง 137 หลายเดือนก่อน
Katika kuunga mkono jitihada za serikali kwenye uhifadhi na ulinzi rasilimali za wanyamapori, udhibiti ujangili, udhibiti wa wanyama wakali na waharibifu ambao husababisha athari katika maeneo ya wananchi, marafiki wa Serengeti Uswis wametoa msaada wa vifaa mbalimbali pamoja na mafuta ya magari kwa ajili ya kusaidia doria kwa askari. Msaada huo umekabidhiwa jijini Arusha na Bi Suzan Shio Kwa ni...
WANANCHI WA ARUSHA HAMTA TESEKA TENA,NITAPIGA SPANA WATUISHI WAZEMBE NA WABADHILIFU
มุมมอง 387 หลายเดือนก่อน
WANANCHI WA ARUSHA HAMTA TESEKA TENA,NITAPIGA SPANA WATUISHI WAZEMBE NA WABADHILIFU
MAKONDA AOMBA KUHAMISHIWA MKOA MWENGINE JANUARY 2025
มุมมอง 947 หลายเดือนก่อน
MAKONDA AOMBA KUHAMISHIWA MKOA MWENGINE JANUARY 2025
HARIBU MAZINGIRA UENDE JELA MIAKA ISHIRINI,
มุมมอง 127 หลายเดือนก่อน
HARIBU MAZINGIRA UENDE JELA MIAKA ISHIRINI,
WANANCHI WAJITOKEZA TAKUKURU KUTAKA MTENDAJI ALIYEKAMATWA KWENYE MKUTANO wa RC MAKONDA AACHIWE.....
มุมมอง 3437 หลายเดือนก่อน
WANANCHI WAJITOKEZA TAKUKURU KUTAKA MTENDAJI ALIYEKAMATWA KWENYE MKUTANO wa RC MAKONDA AACHIWE.....
RC MAKONDA ATOA WANASHERIA KUSIMAMIA KESI YA MTOTO ALIYEBAKWA TENGERU.
มุมมอง 327 หลายเดือนก่อน
RC MAKONDA ATOA WANASHERIA KUSIMAMIA KESI YA MTOTO ALIYEBAKWA TENGERU.
MAMA ALIETAKA KUMTUPA MTOTO APATA HURUMA YA RC MAKONDA
มุมมอง 297 หลายเดือนก่อน
MAMA ALIETAKA KUMTUPA MTOTO APATA HURUMA YA RC MAKONDA
RC MAKONDA USO KWA USO NA ANAYETUHUMIWA KWA MAUAJI NA KUNING'INIZA MAITI KWENYE MITI
มุมมอง 527 หลายเดือนก่อน
RC MAKONDA USO KWA USO NA ANAYETUHUMIWA KWA MAUAJI NA KUNING'INIZA MAITI KWENYE MITI
WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKAL NA WAHASIBU WAKUTANA KUJADILI NAMNA YAKUDHIBITI FEDHA HARAMU
มุมมอง 67 หลายเดือนก่อน
WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKAL NA WAHASIBU WAKUTANA KUJADILI NAMNA YAKUDHIBITI FEDHA HARAMU
MTENDAJI KATA YA BWAWANI MIKONONI MWA POLISI AKIDAIWA KUWA CHANZO CHA MIGOGORO YA ARDHI.
มุมมอง 1037 หลายเดือนก่อน
MTENDAJI KATA YA BWAWANI MIKONONI MWA POLISI AKIDAIWA KUWA CHANZO CHA MIGOGORO YA ARDHI.
AFISA ARDHI ARUSHA DC AKAMATWA NA RC MAKONDA AKIPOKEA RUSHWA YA MILIONI 5.
มุมมอง 2037 หลายเดือนก่อน
AFISA ARDHI ARUSHA DC AKAMATWA NA RC MAKONDA AKIPOKEA RUSHWA YA MILIONI 5.
NAYAJUA MAISHA YA FAMILIA MASKINI,NITAKUA SAUTI YA WANYONGE
มุมมอง 18 หลายเดือนก่อน
NAYAJUA MAISHA YA FAMILIA MASKINI,NITAKUA SAUTI YA WANYONGE
AIBIWA MUME PAMOJA NA MALI ZAKE "ANASEMA NAZIDI KUPAUKA"
มุมมอง 18 หลายเดือนก่อน
AIBIWA MUME PAMOJA NA MALI ZAKE "ANASEMA NAZIDI KUPAUKA"
UKIWA MUNGO SIWEZI KUKUPENDA"WATENDAJI WAONGO WANAONGOZA KUPOTOSHA VIONGOZI"
มุมมอง 38 หลายเดือนก่อน
UKIWA MUNGO SIWEZI KUKUPENDA"WATENDAJI WAONGO WANAONGOZA KUPOTOSHA VIONGOZI"
WADAU MBALIMBALI WAMAENDELEO WAJIPANGA KUINUA SEKTA YA MADINI NCHINI
มุมมอง 88 หลายเดือนก่อน
WADAU MBALIMBALI WAMAENDELEO WAJIPANGA KUINUA SEKTA YA MADINI NCHINI
WAJASILIA MALI WATOKA KIMAISHA ZANZIBAR NA UCHUMI WA BLUE
มุมมอง 28 หลายเดือนก่อน
WAJASILIA MALI WATOKA KIMAISHA ZANZIBAR NA UCHUMI WA BLUE
MAKONDA AMCHANA RPC MKOA WA ARUSHA
มุมมอง 1308 หลายเดือนก่อน
MAKONDA AMCHANA RPC MKOA WA ARUSHA

ความคิดเห็น

  • @LuciaPascal-q4h
    @LuciaPascal-q4h หลายเดือนก่อน

    Saf sana. Karambi nime mic vituko vyako

  • @JosephMangera-k9i
    @JosephMangera-k9i หลายเดือนก่อน

    Tuma makuru na jambia wapo

  • @JosephMangera-k9i
    @JosephMangera-k9i หลายเดือนก่อน

    Tuma makuru na jambia wapo

  • @JosephMangera-k9i
    @JosephMangera-k9i หลายเดือนก่อน

    Tuma makuru na jambia wapo

  • @JosephMangera-k9i
    @JosephMangera-k9i หลายเดือนก่อน

    Love makuyun

  • @patrickgasper687
    @patrickgasper687 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye sikio na asikie. 👑,anarudi

  • @PetroBunzari
    @PetroBunzari 3 หลายเดือนก่อน

    Kazonga well done

  • @PetroBunzari
    @PetroBunzari 3 หลายเดือนก่อน

    Dah jamn namis sana kikosi changu 839kj much love,, ila jambiaa mmmmh

  • @MeshakiMollel
    @MeshakiMollel 4 หลายเดือนก่อน

    839KJ duh mic sanah hz moment

  • @IbrahimOmar-tu5tc
    @IbrahimOmar-tu5tc 7 หลายเดือนก่อน

    Kazonga upo vzr na side

  • @theboysbuilding7274
    @theboysbuilding7274 7 หลายเดือนก่อน

    Gad ya nne boyz any one here

  • @GiovannsperattoGallus
    @GiovannsperattoGallus 8 หลายเดือนก่อน

    Our mother makuyuni💪💪

  • @leopardmichael-jk9qp
    @leopardmichael-jk9qp 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman masikali wenzangu nmewamisi

  • @Khery-hi7rg
    @Khery-hi7rg 9 หลายเดือนก่อน

    mcheza kwao utunzwa umeupiga mwing mama etu chiku ISSA nakuombea uzidi kubarikiwa na mwenyezi mungu na milango ya rizki izid kufunguka

  • @Khery-hi7rg
    @Khery-hi7rg 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana sister chiku mungu azid kukulinda

  • @YusuphKayanda
    @YusuphKayanda 10 หลายเดือนก่อน

    Jambia yupo?😂😂

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 10 หลายเดือนก่อน

    Hovyo Mno CHADEMA Damdam Tunadai katiba mpya

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 10 หลายเดือนก่อน

    Kawaogopee wazeee wenzio,

  • @samwelgabriel2175
    @samwelgabriel2175 10 หลายเดือนก่อน

    Maji yataletwa na serekali siyo ccm

  • @frankkimaro4696
    @frankkimaro4696 10 หลายเดือนก่อน

    Mtu mzima lakini kuna vitu umepungukiwa,, roho mbaya Sana hii duuh😢

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee hana akili

  • @JuliusMowo
    @JuliusMowo 10 หลายเดือนก่อน

    Wew ni bogazi umezeeka kenge wewe

  • @RobertNdaskoy
    @RobertNdaskoy 10 หลายเดือนก่อน

    Umri wako na unacho kizungunza aviendani kabissa

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 10 หลายเดือนก่อน

    Mzee Sabaya kawashkia hawa wakoro,waliovalisha kampuni jina la chama cha siasa

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee anastahili kuwaomba WATNZANIA rathi ,, ametukosea Sana kwa hotuba yake ya hovyo , kwakarne hii unakuja kuwaambia wamasai eti kudai katiba haina sababu maana haileti maji , Mbona usiwaambie katiba ilioko ya 77 kwa uhovyo wake ndio inawaondoa katika maeneo Yao nakuwapeleka uhamishoni ? Tena anadiriki huiita katiba ni uchafu , Amesahau kua hiyo katiba pamoja na ubovo wake ilifanyaga kua diwa mwekiti wa halamashau baadae mkuu wa wilaya ,,, Eti leo kwa upofu wa cheo alichopewa uanaiita uchafu ,, toka hadharani omba rathi ,, unawadanganya watu kua walioandamana Arusha walioletwa kwa malori Mzee wamasi unawahutubia hotubia matango pori wanakuangalia ukiongea wanakushangaa hawakushangilii wanakuona mwongo flani hivi, Jifunze kitu kwao ,, Eti unasema wapinzani wasiletewe maji kanakwamba wapinzani sii watanzania walipa Kodi au kua moinzani haupo kwamujibu wa Sheria ? Unaongea kuwagawa watanzania ,, unamuuliza mkuu wa mkoa anakushanga ,, Punguza kujipendekeza kwa viwango hivyo utajithalilisha Sana , jiandae kuchambuliwa ,, tabia zako hulka yako toka udiwani kata ya ilkidig'a na ulipokua mkuu wa wilaya ya Serengeti na Sasa ukiwa mwenyekiti wa CCM mkowa wa Arusha ,, hutuba za wapinzani kila wakati nizakuwaunganisha watanzania Ila hotuba zenu viongozi wa CCM nikuwafarakanisha watu , Sasa kwataarifa yako walioandamana Arusha hawakuletwa NI watanzania, nimtu kichaa tu ndie ataongozwa na ujinga kuyabeza maandamano makubwa Kama haya ,, Nawaonya Wana CCM kwakiburi chenu na upofu wenu wa shibe rushwa mwisho wenu umefika ,,

  • @JohnManyilizu-w6p
    @JohnManyilizu-w6p 10 หลายเดือนก่อน

    Falasisico

  • @isayamapela2087
    @isayamapela2087 10 หลายเดือนก่อน

    Jaa baya sana

  • @MwesigePoul-bg4jd
    @MwesigePoul-bg4jd 10 หลายเดือนก่อน

    Kufilisika kimawazo jadili unawasaidiaje jamii siyo unajadili kuwandamana kuwandamana nihaki yakilamtanzania

    • @MwesigePoul-bg4jd
      @MwesigePoul-bg4jd 10 หลายเดือนก่อน

      Mm nikisema bado utumwa bado.upo huundo utumwa wafikla

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 10 หลายเดือนก่อน

    Wazee kama hawa safari waminywe sana na kibano, sikia maneno anayosemaa katiba italuletea maji. Ndio wazee wajinga sana hawa

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ni wa fimbo

  • @PAULMWAKILASA
    @PAULMWAKILASA 10 หลายเดือนก่อน

    I SEE WE HAVE LONG WAY TO GO...

  • @friedliverpool8158
    @friedliverpool8158 10 หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga huna ujanja wa kutuletea maji kodi zetu ndiyo zinaleta maji mzee wa ovyo

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 11 หลายเดือนก่อน

    Innalillah wainna illayhi rajiun🙏

  • @charleskidongososi8643
    @charleskidongososi8643 11 หลายเดือนก่อน

    we ni vara

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 11 หลายเดือนก่อน

    WAPUMBAVU NYIE DAWA YENU MUENDELEE KUKATWA MIGUU TU

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 11 หลายเดือนก่อน

      halafu mungu alivo wajabu pengne naww ambae huendeshi pkpkp ukakatwa miguu au mikono au ukafa mapema2 iwe kwaajali au kansa hapo ndipo utajua kweli mungu yupo

  • @johnsadiki8886
    @johnsadiki8886 11 หลายเดือนก่อน

    Wamelala fo fo go ,viongozi wa boda boda hamna haki ya kumuamlia mwendeaha boda boda mwingine asi andamane ,hayo ni mambo binafsi , mkiendelea hivyo siku moja mtafikia kumpangia mmoja wenu alale Mara ngapi na mkewe,bado msimamo wetu boda boda si usafiri salama wa uma ,maandamano yamefanyika ,Sasa mnasemaje!!? Wapuuzi hamjielewi

  • @maryr4033
    @maryr4033 11 หลายเดือนก่อน

    Well done Baba Khatibu you have big vision for this country. May Almighty God keep you safe.

  • @maryr4033
    @maryr4033 11 หลายเดือนก่อน

    Well done girl's Keep it up.

  • @DanielDangote-mr6qt
    @DanielDangote-mr6qt 11 หลายเดือนก่อน

    Brother mxukuma hela ipo hawajui

  • @LissuDaudi
    @LissuDaudi ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano yake

  • @LissuDaudi
    @LissuDaudi ปีที่แล้ว

    Chuo mawasiliano yake

  • @Gerald-c1r
    @Gerald-c1r ปีที่แล้ว

    Asante kwaujumbe wako mpoto hakika mafumbo umenifany nikumbuke. Mengi sana

  • @simonetz7036
    @simonetz7036 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mrisho mpoto, lkn wewe ni mnafiki jambazi kama viongozi majambazi waliobungeni. Mpuuzi sana wewe RAIA hatujawahi kunufaika na wewe, mpuuzi mnafiki mkubwa. Kuwa realistic jifunze kuwa WATANZANIA tunateseka mno Kwa ujinga wa serikari na wizi

  • @HassanMohamedi-nk4do
    @HassanMohamedi-nk4do ปีที่แล้ว

    Kwaiyo kama tangazo au

  • @josephleomashauri5107
    @josephleomashauri5107 ปีที่แล้ว

    kua na adabu mbowe sio kaka yako ni baba yako

  • @MagrethNtonja-gy2ee
    @MagrethNtonja-gy2ee ปีที่แล้ว

    Wallah we did it bhn makuyuni for lyf

  • @Jescamaganya-su8es
    @Jescamaganya-su8es ปีที่แล้ว

    Kwan alipata akali mrisho au maigizo

  • @SamwelKibenelo-bs9sg
    @SamwelKibenelo-bs9sg ปีที่แล้ว

    Tatizo

  • @Elohim-y9w
    @Elohim-y9w ปีที่แล้ว

    Hongera sana mr. Mrisho Mpoto. @Mh. Nape, ubinadamu ni zaidi ya vyeo, viongozi wetu tujali haki na usawa kwa wote. Duniani tunapita!

  • @KapandileMagulya-vz6mu
    @KapandileMagulya-vz6mu ปีที่แล้ว

    Pole san