Polisi 8 Kuuawa Kibiti: Polisi Wajibu Mashambulizi waua Majambazi Wanne

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Majambazi walioua Polisi zaidi ya kumi sasa tutawashughulikia kikamilifu na hakuna atakae baki Wananchi mtuwie radhi katika hili mtaona sura halisi ya jeshi la polisi akiongea kwa hisia kali Msato Marijani Mssanzya - PC (Kamishna wa Operesheni na Mafunzo)

ความคิดเห็น • 277

  • @kissakabuje6577
    @kissakabuje6577 7 ปีที่แล้ว +9

    inauma saana, Mungu awape uvumilivu na kuwatia nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu

  • @ruqaiyaibrahim1865
    @ruqaiyaibrahim1865 7 ปีที่แล้ว +16

    Mmmh mnanikumbusha baba yangu MNDOGO aliuawa mwembe chai/ dar poleni sana jaman

  • @kassimmsimba9152
    @kassimmsimba9152 7 ปีที่แล้ว +13

    Naogopa sana nguvu itakayotumika kuwasaka waha wahalifu naomba hekima busara itumike jazba isitangulie mbele baada ya oparation ninataka watanzania tujifunze jambo je watakuwa ni wale mashekhe wachochezi na magaidi au ndiyo Alshababi wenyewe, poleni wafiwa mungu awape subira.

  • @godfreykanelela9448
    @godfreykanelela9448 7 ปีที่แล้ว +11

    rip mungu yu pamoja nasi ukiua kwa upanga na we utakufa kwa upanga

  • @leahkazeba5850
    @leahkazeba5850 7 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana wafiwa mungu awe pamoja nanyie

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +2

    poleni sana jeshi la polisi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema palipo na wema peponi AMEEN

  • @kassimmsimba9152
    @kassimmsimba9152 7 ปีที่แล้ว

    kunatatizo kubwa tu, majambazi wa kuua askari 8 na kupora silaha si tukio la kitoto busara hekma zitangulie na sio jazba mimi natoa wito kwa jeshi la polisi fanyeni kazi zenu kwa uadilifu na msifanye vitu vinavo wafanya raia kuamini vitu tofauti na hatimae watu kukosa mapenzi na imani na jeshi lao, poleni sana wafiwa Mwenyezi mungu akupeni subra.

    • @yassinenglish8027
      @yassinenglish8027 7 ปีที่แล้ว

      Innalillah wa-inna ilayhr Rajiun! Hili ni tatizo kubwa na pigo kwa jeshi la polisi. Niwape pole familia za marehemu waliofikwa na msiba huo wa kuuawa kwa watu wao waliowapenda na kuwategemea. Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi. Ila ningependa kutoa rai kwa serikali yetu ingawa sidhani kama inasikiliza maoni ya wananchi,
      1. Ijitahidi kujenga na kukuza mahusiano mazuri na yenye ukaribu kwa wananchi wao na kuachana na mambo ya siasa kwenye mambo mazito.
      2. Polisi waepuke kutumia mabavu dhidi ya raia, hii inatengeneza mwanya mkubwa kwa raia kujitenga na jeshi la polisi hali inayohatarisha na kukwamisha juhudi za kiusalama na wakati mwingine hata wao wenyewe kuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupatwa na majanga ya namna hiyo na zaidi ya hapo.
      3. Polisi litumie akili, hekima, busara na uwezo wa kiintelijensia katika kutafiti au kukamata mhalifu. Nasema hivyo kwa sababu utakuta wanatumia silaha, nguvu na jazba nzito kwa jambo la kawaida sana. Pamoja na juhudi za serikali kuwapatia vifaa vya kisasa ila isiwe sababu ya polisi kujiona wababe. Nadhani unakuta wanatumia silaha za moto kwenye jambo ambalo lingetumia akili tu ya kawaida na saikolojia ya kumlainisha mhalifu ajisikie yupo kwenye chombo salama.
      4. Polisi waachane na tabia ya uonevu kwa raia kwa sababu wao ndio msaada mkubwa kwao hasa katika usalama.
      5. Serikali ingeunda tume ya siri ya kushughulikia uchunguzi na ukamataji wa silaha zisizohalali kumilikiwa na raia. Hii itapunguza sana matukio ya kijambazi na ujambazi wenyewe.
      6. Dhana ya uzalendo imetoweka ndiyo maana upendo wa wananchi na nchi yao umepungua kiasi cha kuona haki ya kupokonya maisha ya wengine kwa maslahi binafsi. Mfumo wa mapato serikalini ungeangaliwa upya na kuvitaka vyombo mbalimbali kama polisi kujisifu katika kuingiza pato la nchi kwani huwenda wakawa wanatumia nguvu na uonevu kwa wasio na hatia kwa kuwatoza faini zisizostahili. Mfano kumbambikia raia mnyonge makosa kwa kisingizio cha uzururaji.
      7. Serikali iwe inatennga vipindi maalum kwa jeshi la polisi kuhudhuria semina mbalimbali za kiintelijensia na kijeshi zinazolenga kuongeza ufanisi pasipo kuleta madhara kwa yeyote.
      8. Hali ngumu ya kimaisha. Serikali inapaswa kuangalia namna ya kupunguza makali ya changamoto za kimaisha kwa raia wake. Ikumbukwe wazi kuwa Rais ndiye mfariji mkuu wa nchi kwa wananchi wake. Kwahiyo kuwa na misimamo isiyoashiria upendo kwa wananchi wake kunaweza kuathiri usalama wake na taifa kwa ujumla. Tuyachukulie matatizo haya kuwa funzo kwetu. Ndhani inawezekana baadhi ya mapendekezo niliyoyataja hapo yanafanywa ila nguvu ya kuboreshwa iangaliwe upya, tunakosea wapi, viongozi wanapaswa kuwa na maono ya mbeleni na siyo kuwaza siasa na maslahi binafsi.
      Yangu ni hayo tu.
      Mungu ibariki Tanzania na Afrika yote mchana na usiku, daima na milele. Amina!

  • @seifathumani3524
    @seifathumani3524 7 ปีที่แล้ว

    poleni sana walinzi wetu wa taifa,kwa msiba mzito wa kitaifa,mungu awaweke mahali pema peponi ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki,wote waliohusika na mauwaji haya ya askari wetu wasakwe kwa gharama yoyote.

  • @mamymamy8971
    @mamymamy8971 7 ปีที่แล้ว

    mungu ibariki tanzania poleni sana wanafamilia wote mungu awape subra kipindi hiki kigumu hawa watu ni wabaxa sana ee mungu tusaidie

  • @hussenhassan5287
    @hussenhassan5287 7 ปีที่แล้ว +3

    Ushaur wang kilasilaha yaselikal ingedungwa microcheap for secret ili ikiibiwa silaha isomwekwenye GPS uwondo utakuamwishowasilaha kuibiwa

  • @simbasalumu5394
    @simbasalumu5394 7 ปีที่แล้ว +1

    Tukumbuke hakuna anaependa mwenzake apate shida au matatizo, Pia hawa askari wetu waliopatwa na matatizo wana ndgu na familia na watoto ambao wanawategemea, Pia tukumbuke kuwa hawa watu lengo Lao cyo kuua polisi pekee, Mkuranga/Rufiji viongozi wangapi wa vijiji na watendaji wamekufa, chakujiuliza kama polisi wanapigwa vile je mm na wewe tunataka, cyo mda wa kuanza kushabikia kwa sasa, nimda wa kupeana moyo kwa haya matukio, leo kwao kesho kwetu, Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema Peponi. Amina

  • @sabinamakumbuki3308
    @sabinamakumbuki3308 7 ปีที่แล้ว

    mungu ibariki Tanzania poleni sana jeshi LA polis

  • @zenasalumu2560
    @zenasalumu2560 7 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana jeshi la polic

  • @bwizayasini2153
    @bwizayasini2153 7 ปีที่แล้ว +10

    poleni sana jishi LA polisi

    • @gwantwaemanuel2219
      @gwantwaemanuel2219 7 ปีที่แล้ว +1

      inauma sana mungu awarehem

    • @waxmoney3212
      @waxmoney3212 7 ปีที่แล้ว +8

      mungu ibariki Tanzania iwe na Amani

    • @lucyyohana7444
      @lucyyohana7444 7 ปีที่แล้ว +2

      +Wax Money kabisa jamn aman ni muhim sana tucthubutu kuipoteza pollen police wetu kwa pigo mlilopata lkn naamin watapatikana tyu

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 7 ปีที่แล้ว +1

    wote walio fariki kwenye matukio haya polisi pamoja na hao majambazi basi mungu azilaze roho zao mahali pema peponi.......

  • @DanielDaniel-ey8th
    @DanielDaniel-ey8th 7 ปีที่แล้ว +1

    Pumzikeni kwa Amani, Amina!

  • @davidbendera5480
    @davidbendera5480 7 ปีที่แล้ว

    poleni ndugu zetu mlioopteza ndugu zenu.pia poleni sana jeshi la polisi.

  • @petermahoiga7882
    @petermahoiga7882 7 ปีที่แล้ว +19

    MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUEPUSHE NA MABAYA YOTE.

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 7 ปีที่แล้ว

    polen sana

  • @784055
    @784055 7 ปีที่แล้ว +4

    pole sana jeshi la Polisi na familia za marehemu

  • @nzuna5049
    @nzuna5049 7 ปีที่แล้ว

    Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi, amina

  • @mathiaslukas1233
    @mathiaslukas1233 7 ปีที่แล้ว +5

    Mungu alitoa mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe

  • @omaryabdalah2044
    @omaryabdalah2044 7 ปีที่แล้ว +3

    poleni ndugu Jàmaa na watanzania wengu kwa vifo vya askari wetu.

  • @fatumahalifa6623
    @fatumahalifa6623 7 ปีที่แล้ว

    innallillah wainnailah rajiun mungu warehemu askar wetu kwan kwan wanajitolea kwa ajil yetu

  • @issakasara6636
    @issakasara6636 7 ปีที่แล้ว +1

    Innah llilah wainnah illahi rajiun Allah awape shufaa ndugu duh Allah awajaalie makazi mema Inshaa Allah

    • @hassanussi1747
      @hassanussi1747 7 ปีที่แล้ว

      Issa Kasara
      إنا الله وإنا إليه راجعون

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 ปีที่แล้ว

    Ewe Muumba mbingu na aridhi tunakuomba uwalinde nguvu kazi yetu ya taifa kwani hawalali kwa jili ya taifa letu la tanzania Amin

  • @IbraKiruwasha
    @IbraKiruwasha 29 วันที่ผ่านมา

    Rip jeshi daa inauma sana ndugu zetu

  • @erickdioniz4217
    @erickdioniz4217 7 ปีที่แล้ว

    polen sana ndugu na jamaa wa marehemu

  • @adiosmalobo4507
    @adiosmalobo4507 7 ปีที่แล้ว +4

    poleni

  • @brunokarangali4596
    @brunokarangali4596 7 ปีที่แล้ว

    Watanzania tufunge nakumuomba mungu atuepusha na aya mabaraha ya kutisha, nchi yetu ina istoria moja tu yakupigana vita kwahyo tuombe isijekutokea tena

  • @shupajunior2282
    @shupajunior2282 7 ปีที่แล้ว +4

    Polen sna najiuliza ni wapi tunaelekea jamn serikali wapen wananch uhkika mara kutekwa mra wanaotulinda wanauwaw tunakwendwa wapi

  • @emmanueldavidy4913
    @emmanueldavidy4913 7 ปีที่แล้ว

    poleni sana makamanda wetu

  • @arafsaaa8844
    @arafsaaa8844 7 ปีที่แล้ว +1

    duh allah barik tz😢😢😢😢😢

  • @MrAsifiwe
    @MrAsifiwe 7 ปีที่แล้ว

    Poleni Makamamda,,hebu sasa muuvae huo ukamanda

  • @mariachahe7077
    @mariachahe7077 7 ปีที่แล้ว

    inauma sana poleni jeshi La polisi, R.I.P

  • @tembaapriscus7640
    @tembaapriscus7640 7 ปีที่แล้ว

    poleni xana jeshi polisi kwa kuwapoteza wenzenu .ushauri wangu kwa uma ni kwamba ulinxi ni watu sote si kwa askari tu .tunaomba ushirikiano kwa rai wema kutoa taarifa punde aonikanapo mtu ambae unawasiwasi nae

  • @hasanipoy3976
    @hasanipoy3976 4 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @hamisiseif7562
    @hamisiseif7562 7 ปีที่แล้ว

    Poleni sana askariwetu mungu yupo pamoja nanyinyi ila kwatukiohilo ndo mujifunze kwamba jambazi c mtuwakumchezea nyie mukiwaona majambazi gonga lisasi tu mpaka washike adabu

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 7 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana Polisi.....RIP

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว +5

    ni more than pain aise polen. saaan Nchi yangu Tz police kwa ujumla na wafiwa ,,,yan mkikamat ao ni kichwa kwa kwichwa iyo itakua tu migaid

  • @Selemanian
    @Selemanian 7 ปีที่แล้ว

    safi sana. Wapigwe tu hao majambazi

  • @varentinemhoja8019
    @varentinemhoja8019 7 ปีที่แล้ว

    Daaa R.I.P wapambanaji wetu lkn Mungu asaidie na hao majambaz wote waliobaki wauwawe pia

  • @mahmoudukusso4488
    @mahmoudukusso4488 7 ปีที่แล้ว

    kwa kweli hili ni tukio la kutisha na kuhuzunisha ,lkn bado Nina imani na serikali,wizara husika na jeshi la polisi kwa pamoja tutafanikiwa kama taifa
    Mungu ibariki Tanzania

  • @chubimabassa4460
    @chubimabassa4460 7 ปีที่แล้ว

    Polesana jeshiletula Porisi

  • @ismailkasim7960
    @ismailkasim7960 7 ปีที่แล้ว

    Daaa nomaaa sana

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 7 ปีที่แล้ว

    watanzania pollen sana... inauma sana watz baaz kushangilia askari kuuliwa? ama kweli MTU huvunja utu wake mwenyewe.

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว +2

    Allah inusuru Tanzania yetu

  • @edinahjames1976
    @edinahjames1976 7 ปีที่แล้ว

    jamani huko pwani sasa tumechoka kila cku mauaji......Eeeeeh mola tuhurumie kila cku rufiji

  • @jumahassani6165
    @jumahassani6165 7 ปีที่แล้ว

    Aisee

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว +2

    hili genge litakua limeandaliwa na liko imara mm imeniuma sana maana hawa c jambaz cjui niwaiteje hawa mbwA mwitu!!!!!

  • @johdefinnest1928
    @johdefinnest1928 7 ปีที่แล้ว +2

    muuaji akifiwa hulia machoz halis na sio bandia mlishaambiwa muwe mnafnya kwa kitendo cha harakaharaka

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 7 ปีที่แล้ว

    polen saana makamanda hao majambazi usiwaache kabisaaaaaa

  • @veronicalucas580
    @veronicalucas580 7 ปีที่แล้ว

    duu tumeumia sana kazeni but hao watu watatukost acha maneno mengi kuwen Sirius

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 7 ปีที่แล้ว

    msiba mkubwa inanikumbusha walivyo dunguliwa raiya vijana wadogo kwa risasi na kupoteza maisha pale mwembechai na mwanafunzi Chiku Adhumani akitokea shule kupigwa risasi mpaka sasa kilema,,

  • @sakinandoile4758
    @sakinandoile4758 7 ปีที่แล้ว

    Mmmh... so sad AMANI ya Tanzania iko wapi?? walinda usalama wanauawa je wananchi tusio na mafunzo!!! so sad

  • @jazirshabanishabani6962
    @jazirshabanishabani6962 7 ปีที่แล้ว +7

    Raia wangapi ambao wanakufa kwa kuuliwa na mapolisi lakini hamshughuliki leo mmeguswa mnaanza kusema asakari 10 kwa raia 50 wapi ambao wanauchungu kati ya jeshi la police na raia muache ujinga

  • @mottofoundationinc.3492
    @mottofoundationinc.3492 7 ปีที่แล้ว +6

    ACHENI MIKWARA NYIE......SIMNGEWAUA WOOTE WAKATI MNAPAMBANA NAO..

  • @coutinhofanaka2839
    @coutinhofanaka2839 7 ปีที่แล้ว

    Mnastahili kupewa pole, ila punguzeni ubabe kwa raia maana inafika wakati tunashindwa kujua kama mpo kwaajili ya ulinzi wa raia au mpo kwaajili ya kututesa.

  • @verocletus1082
    @verocletus1082 7 ปีที่แล้ว

    Mungu awe pamoja nanyi katika mapambano ya kusaka hiyo mijambaz

  • @nassorozawiya5778
    @nassorozawiya5778 7 ปีที่แล้ว

    polisi 7 kuuwawa.......,,,,, huyu aliye andika heading inaonekana c mtanzania.

  • @swedijuma7873
    @swedijuma7873 7 ปีที่แล้ว

    inasikitishaxana poleni sanapolisi nalazima muhakkishe mnawatia mbaroni ikiwezekana naowauwawe

  • @lailakheir5106
    @lailakheir5106 7 ปีที่แล้ว +1

    Nawao wakipatikana wauliwe kma vizuri

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    Amna chochote kazi yenu ni kuwaoneya upinzani na wasema kweli

  • @alexmuema9570
    @alexmuema9570 4 ปีที่แล้ว

    Aifai

  • @soudmohamed2274
    @soudmohamed2274 7 ปีที่แล้ว

    Poleni sana lkn tutaamini vipi km na nyie hao mliowauwa ni majambazi kweli au mmeamua kuua Raia wasio na hatia?

  • @cheddykibwita7471
    @cheddykibwita7471 7 ปีที่แล้ว

    jemc kaijage ataisoma kibiti hukooooo

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Kumbe mulikua mnawajua walipo Ao majambazi mpaka wamefanya tukio ndio mnasema mtawafwata uko walipo mnapajua siku njingi sehemu zao

  • @mako331
    @mako331 7 ปีที่แล้ว

    TANZANIANS STOP POLITICIZING EVERYTHING, sio kila saa siasa, poleni mashujaa

  • @aliomarbakar6924
    @aliomarbakar6924 7 ปีที่แล้ว

    mimi nataka niwaulize polisi mpaka jambazi anamiliki silaha ninyimkowap laiya hawezi milikisilaha kwahiyo bas mnawajua vizuri mshindwe tu kuwakamata

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 7 ปีที่แล้ว

    Nashndwa kujua niuzembe kiasiga mpaka wore kwa pamoja wauwawe iv kama pols wote hao wameuwawa .VP. Kuhusu wana nchi ulnzi wao

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +1

    So sad

  • @mauyakaya2006
    @mauyakaya2006 7 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana jeshi la polisi, mge tutajiya majina ya hiyo mijambazi ilio uliwa na kutuonyesha picha za maiti yao

  • @jerrysonpontian7429
    @jerrysonpontian7429 7 ปีที่แล้ว

    i trust global tv ,,,,,sorry for the families who lost their lovely one dr pcs😩

  • @josephmihambo4872
    @josephmihambo4872 7 ปีที่แล้ว +20

    Watafutwe popote walipo wakamatwe kwa njia yoyote ile wapatikane

    • @marblebaswige614
      @marblebaswige614 7 ปีที่แล้ว +9

      sio wakamatwe hapana baada ya kutoa maelezo wana lengo gani jeshi la polisi na aliye watuma ni nani ndio wapelekwe kusikojulika hata ikiwezekana watupwe kwenye pipa la acid

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 7 ปีที่แล้ว +3

      pipa la acid.......nimechekajeeeeee

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    Laana ya Mbarikiwa inaanza na ile yaNgorongoro na Bandari

  • @stanlecioussimba5404
    @stanlecioussimba5404 7 ปีที่แล้ว

    Wananchi tunapokamata majambazi tukiwa kwenye harakati ya kuyachoma moto, police mkituwahi waga mnatuzuia na mnaondoka nayo, mkimanisha mnahuru wakati jambazi yeye hana huruma na matokeo yake ndiyo haya. But poleni sana ila tunapowakamata muwe mnatuachia tu na sisi wananchi tunafanya maamzi yetu, ili wapungue.

  • @allyfaraji6472
    @allyfaraji6472 7 ปีที่แล้ว

    mimi naona ao wanaoua wanatumiwa na watu frani. ila ipo siku watafahamika akina nani wanawaandaa watu magaidi.

  • @katefarmlwafu1156
    @katefarmlwafu1156 7 ปีที่แล้ว

    POLENI SANA,MUNGU ATUNUSURU NA MAJANGA HAYA.KIUKWELI MM BINAFSI IMENIUMA SANA TENA SANAA.

  • @IbraKiruwasha
    @IbraKiruwasha 29 วันที่ผ่านมา

  • @nassormohamedyhamisimwariz1217
    @nassormohamedyhamisimwariz1217 7 ปีที่แล้ว

    Kwa teknologia iliyopo sasa cm ikiibiwa inasoma GPRS unajua ilipo. Kwa nn silaha za majeshi yetu zisifungwe GPRS ili zikiingia ktk mikono ya watu wabaya mnajua zipo wapi kwa muda mfupi baada ya tukio?

  • @jasminemwaluvalile5005
    @jasminemwaluvalile5005 7 ปีที่แล้ว

    Jamani R.I.P makanda wetu daah

  • @JustInnocentBoy
    @JustInnocentBoy 7 ปีที่แล้ว

    Don't cry sir

  • @florameza9529
    @florameza9529 7 ปีที่แล้ว

    mm nafokiri mcplan kwenda kuwashughulikia majambazi mciwe mnatangaza mwende kimyakimya mcicema wanackia wanasepa

  • @ngomabway2517
    @ngomabway2517 7 ปีที่แล้ว

    Hatari sana kikweli

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 7 ปีที่แล้ว

    duuh mtihan yaan binaadamu sasa hatuna iman tena na mkoa wa pwan

  • @ngomabway2517
    @ngomabway2517 7 ปีที่แล้ว +2

    Ila najua vyombo vyaulinzi vipo soon tutapata majibu haiwezekani watu wachache waharibu sifa ya nchi yetu pamoja nakuuwa ndugu zetu. Hatujazoea mambo haya kikweli lakini mwishowe yataeleweka tu.

  • @juliethmsafiri4711
    @juliethmsafiri4711 7 ปีที่แล้ว

    wakatwekatwe vichwa bana.....

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 7 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana ndugu zetu mlofiwa na ndugu zenu

    • @privammbando1238
      @privammbando1238 7 ปีที่แล้ว +1

      tupo ktk kipindi kigumu sana yatupasa kuliombea taifa , ee mungu tunusuru

  • @daimavlog
    @daimavlog 7 ปีที่แล้ว +1

    Polis wana SMG wanatekwa
    Na kuuwawa dah!

  • @mtashigalaxy3058
    @mtashigalaxy3058 6 ปีที่แล้ว

    Askari waliapa kua watalitumikia taifa lake kwa hali yoyote iwe ya shida au raha na wanaslogan yao kwamba walizaliwa cku 1 na kufa itakua n cku 1 chamcng makamanda pigen kaz kuhakkxha mnaleta Aman tz,

  • @kilimoajira2457
    @kilimoajira2457 7 ปีที่แล้ว

    Watanzania wenzangu askari ni ndugu zetu na si maadui zetu. Wapo kwaajili ya kutulinda sisi na Mali zetu, tuwape ushirikiano, tulishawahi kujiuliza kama askari polisi wasingekuwepo nchi ingekuwaje? Vipi kuhusu usalama wetu? Mungu awatie nguvu familia zao kwa kupoteza wapendwa wao.Tuwape ushirikiano askari

  • @hajisaidi3288
    @hajisaidi3288 7 ปีที่แล้ว

    hatar xan

  • @bosiabu6607
    @bosiabu6607 7 ปีที่แล้ว

    maneno tu yaifai jitahidini sana kuangamiza uhalifu fanyeni operation ondoa silaha haram naona mtatoboa

  • @aminayasin2906
    @aminayasin2906 7 ปีที่แล้ว

    askar jaman muwe mnaukaribu na wananchi wananchi ndo wanaona vitu vingi mtaan imefikia hata wananchi wanawaogopa baada nyinyi ndo mnatakiwa kua karibu na wananchi ili mjue vingi mnajibu wananchi vibaya rais hawasikii wananchi wanayomwambia bas ata achukue maon ya wananchi afanyie kaz yy hilo hana ni kujibu wananchi maneno ya kuumiza na kusikitisha mm nawashaur maaskar wetu kuen karibu na wananchi mtapata mambo mengi na sehem za majmbaz wanapokaa muwe mnatusaidia sio kutukandamiza

  • @matanosaid5790
    @matanosaid5790 7 ปีที่แล้ว

    Hii kali sasa

  • @mussamaida6373
    @mussamaida6373 7 ปีที่แล้ว

    Wewe emanueli nyansilo angalia hizo statement zako zitakuja kukuletea matatizo bure nakukumbusha majeshi hayana siasa hizo siasa zenu peleken kwa hao viongoz wenu Wa kisiasa kama akina magufuli lowasa na wengineo

  • @ARFIddy
    @ARFIddy 7 ปีที่แล้ว

    SBUHANA LAH. MUNGU.
    SAIDIA..WALIMWANGU. .
    WAKO. .

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 ปีที่แล้ว

    Nikweli hatukubishii afande watafuteni muwauwe tu nawao

  • @rukiaabdallah92
    @rukiaabdallah92 7 ปีที่แล้ว

    Nyinyi wenyew munakufa na sis raia tufanyeje na hixo silaa za moto wanazitoa wapi nyiny wenyewe ndo mnawapa

  • @saidbakari3169
    @saidbakari3169 7 ปีที่แล้ว

    hawa wanaoilaumu na kukejeli polisi ndio majambazi wenyewe kwa hiyo polisi msihangaike anzeni na hawa wanao comment ujinga uwezo wa kuwapata mnao