Mchungaji Alietekwa Akutwa Amefariki Dunia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Mchungaji alietekwa kama Roma akutwa amefariki dunia azikwa na watekaji ndugu wamfukua na hivi ndivyo walivyo mzika

ความคิดเห็น • 75

  • @mamymamy8971
    @mamymamy8971 7 ปีที่แล้ว +3

    kuna watu wanafanya haya mambo kwa makusudi ili wananchi waichukue serekali ya magufuli ila mungu mungu yupo ipo siku kila kitu kitakua adharani mungu tupe utulivu ktk inchi yetu

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว +3

    Allah atusameh makosa yetu polen wana familia Allah awape subira

  • @ayubusanga5861
    @ayubusanga5861 7 ปีที่แล้ว

    Oh God the Creator of all visibles and invisibles, Humbly I Beg You so much To cut Devils' chains troubling our Country Tanzania nowatimes, Amen!

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 7 ปีที่แล้ว +1

    Hope taarifa zitamfikia Baba #BishopNgwajima na kutuletea update...
    #Wapigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
    Hakuna namna

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 ปีที่แล้ว +3

    Amakweli baadhi ya watu Tanzania wamegeuka kuwa washenzi kiasi hiki tazama jinsi watoto wanavyolia kwa machungu shauri ya mpuuzi au wapuuzi wachache wamemuuwa mtu pengine ndiye aliyekuwa na jukumu kubwa katika familiya na jamii aliyokuwa akiiongoza anyway tumuachie MUNGU maana yeye ndiye mwenye hukumu ya haki na iliyo kweli

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว

    mtu imbwenge.....umenisaidi kuuliza ...asante.

  • @ibrahimbalhawasel5458
    @ibrahimbalhawasel5458 7 ปีที่แล้ว +3

    POLENI SANA KWA MSIBA MLIONAWO,NI KITENDO CHA UNYAMA KILICHO FANYIKA.

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @katerinadada6481
    @katerinadada6481 7 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @missmuunasharifu2323
    @missmuunasharifu2323 7 ปีที่แล้ว

    jmn jmn muogopen mungu

  • @MaryamMaryam-nt5so
    @MaryamMaryam-nt5so 7 ปีที่แล้ว

    😢😢😢tanzania wapi tunaenda

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว

    poleni wafiwa jaman

  • @jenifferachieng337
    @jenifferachieng337 7 ปีที่แล้ว

    So sad poleni sana

  • @barick
    @barick 7 ปีที่แล้ว

    Dah! Huu utekaji mpaka lini haya mauaji mpaka lini je ni nani huyu

  • @armanichicandow1225
    @armanichicandow1225 7 ปีที่แล้ว

    tumefika pabaya sana

  • @fatma2496
    @fatma2496 7 ปีที่แล้ว +2

    Hivo vitu vipo tangu zamani, uhalifu, utekaji, uwaji, uvamiaji nashangaa mnafanya kama ni mapya Tanzania

    • @OmarAli-wr1ti
      @OmarAli-wr1ti 7 ปีที่แล้ว +1

      Fatma Ww kama unaona ni Kawaida ndugu yng subir atekwe Babako mzazi ndio ujue raha yake

    • @gine9011
      @gine9011 7 ปีที่แล้ว +2

      Fatma Mambo ya kawaida sivyo
      Ngoja atekwe mamaako nae si kawaida

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 7 ปีที่แล้ว

      Fatma uja utekwe ww kaa utasema ni kawaida hebu cheki hio akili yako kaa yafanya plz!!!! eti nikawaida daaaah!!!! unaroho Kali basi bila kusita unatamka hivyo ilhali watu wamalia!!!!!!mmmmh!sikuwezi!!

    • @nessa4899
      @nessa4899 7 ปีที่แล้ว

      Fatma Ngoja utekwe wewe

    • @saidykipalo9116
      @saidykipalo9116 7 ปีที่แล้ว

      good night

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    mhmh nyie mungu yupo atatujulisha hapaha duniani haya tuambieni huyo nae katekwa na nanani?

  • @فاطمةجمعه-ذ8ع
    @فاطمةجمعه-ذ8ع 7 ปีที่แล้ว

    maskini poleni sna😢😢😢

  • @fotinata7181
    @fotinata7181 7 ปีที่แล้ว

    Hakika ni uzun

  • @khajiharuna873
    @khajiharuna873 7 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za Taarab

  • @nekaagripa3993
    @nekaagripa3993 7 ปีที่แล้ว

    This is so scarry...

  • @jodeinjmj7843
    @jodeinjmj7843 7 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭 jaman poleni sana ndugu yaani saizi tutaishi kwawasiwasi sasa

    • @saidykipalo9116
      @saidykipalo9116 7 ปีที่แล้ว +1

      jamani naomba mnisaidie mchungaji huyu alie tekwa ndio yule ndugu yake na gwajima? au nimwengine? naomba mnisaidie

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 7 ปีที่แล้ว

      Saidy Kipalo waah mi mkenya but pia nataka jua kaa ndie ndgu wa gwajima juu juzi jumapili kanisani nilimsikia askofu akiongelea hili swala la mchungaji kutekwa

    • @saidykipalo9116
      @saidykipalo9116 7 ปีที่แล้ว +1

      ok thanks me nipo dar es salaam nadhani kesho naweza pata ukweli then nitaku breaf? wewe una itwa nani please?

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 7 ปีที่แล้ว

      Saidy Kipalo poa nasubiri nijue ukweli kaka! juu nilimsikia gwajima juzi jumapili kwa utbe!juu mm nimkenya but niko Saudi kikazi!but hua naangalia matukio kwa utbe Kenya kwetu tz sote wamoja hua naangalia yaliyojiri!

    • @saidykipalo9116
      @saidykipalo9116 7 ปีที่แล้ว

      mmh ok saudia kwema huko! nivizuri kufatilia kujua dunia na matukio yanayo tokea!

  • @queenoflove628
    @queenoflove628 7 ปีที่แล้ว

    wot is happening in my country

  • @khajiharuna873
    @khajiharuna873 7 ปีที่แล้ว

    Taarab

  • @yamatabaraka7803
    @yamatabaraka7803 7 ปีที่แล้ว

    Nafsi yake ilazwe pahala pema

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว

    jamni

  • @evanciaernest4470
    @evanciaernest4470 7 ปีที่แล้ว

    mh!!!!!!!!

  • @khajiharuna873
    @khajiharuna873 7 ปีที่แล้ว

    Taarabu

  • @mtuibwenge5902
    @mtuibwenge5902 7 ปีที่แล้ว +8

    huyu naye ni Makonda au Magufuli waliye mteka huyo mchungaji ? wapinzani wanachochea fucho kisiri siri, mpaka watu waichukie serekali ya Magufuli. subirini mtakipata mnacho kitafuta kwenye inchi hii. mnafikiri warundi na wacongo wanafurahia kuishi makambini.

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 7 ปีที่แล้ว

      Mtu Ibwenge umeona eeeeh acha mimi nifunge bakuri langu nikojoe nilale maana bado mdogo sana mie.

    • @andrewnyambega5590
      @andrewnyambega5590 7 ปีที่แล้ว

      umeongea point sasa nhojs lije puuzi moja linaloshabikia siasa za kipuuzi..utasikia pumba soon

    • @jodeinjmj7843
      @jodeinjmj7843 7 ปีที่แล้ว +5

      Mtu Ibwenge kweli kabisaaaaaaa waambie wajue maana ni shidaa kila baya makonda kila baya magufuli alafu wote wanaowakandamiza viongozi wetu ukute niwahamiaji tu hapa Tanzania kama niwahamiaji watuachie nchi yetu wakawapige madongo viongozi wao huko nchini kwao pumbavu sana wanataka watuwekee nchi yetu matatani

    • @mariammarco1554
      @mariammarco1554 7 ปีที่แล้ว +4

      Mtu Ibwenge umeongea point watu wapuudhi wasijitambua utasikia aliyefanya hivi nimakonda na Magufuli

  • @ARFIddy
    @ARFIddy 7 ปีที่แล้ว

    POLENI xana

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni njaa yawezekana wamekuwa laki 3 tu!kumtoa roho mwenzao kwa kitu cha kijinga. Damu ya mtu huwa haipotei kamwe. MBONA watajitaja.

  • @matayolepwaan3251
    @matayolepwaan3251 7 ปีที่แล้ว

    pileni sana

  • @bashitemakonda1540
    @bashitemakonda1540 7 ปีที่แล้ว

    BADO GWAJIMA NAE TUNANGOJA SIKU SINYINGI

    • @eddahwangatia2344
      @eddahwangatia2344 7 ปีที่แล้ว

      BASHITE MAKONDA
      ngojea sana eti afe Askofu Gwajima...utakufa Wewe mwenyewe,...maana Gwajima aliisha funikwa na Damu ya mwana Dondoo wa Mungu.

  • @yusufalmamari4236
    @yusufalmamari4236 7 ปีที่แล้ว +3

    huyu nae nimakonda au nimakufuli semeni ss maana muzidi kitu kiki toke ya makonda makufuli haya semen na hapa

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 7 ปีที่แล้ว

    so, bad. Polen, xna

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว

    So sad poleni sana