Pongezi kwa kamanda wa polis kanda maalum ya Dar es salaam na jesh la polis kwa ujumla kwa kazi nzuri pia ss wananch hatuna budi kutoa ushirikiano katika kuwa fichua wahalifu badala kuwaachia polis tu peke yao na kuishia kuwa tupia lawama ni jukumu letu sote ss wananchi na jeshi la polis kuleta aman katika taifa letu pia pole kwa wale walio jeruhiwa na Mungu awafanyie wepesi asente
mimi kama askari kanda ya arusha nawapongeza sana askari wenzangu kwa kazi nzuri walioifanya na tumekula kiapo kulinda nchi raia na mali zao kamwe hututokubali walio wachache waivuruge amani kwa tamaa zao tutazidi kupambana nao usiku na mchana M/mungu awe nasi kwenye vit hii
Pongezi yangu iwwlafikie askari wote Tanzania ,hakika mkitoweka cku moja tu,Basi nchi haitakua nchi,nyie Ni watu muhimu sana kwetu,japo Kuna watu wachachechi wasiotqmbua kazi kubwa mnayoifanya,Mungu awalinde na kuwazidishia,binafsi nawapenda,hongeren mliofanya kazi kubwa kiasi hiki
Baadhi ya watu siku hizi hawataki kufanya kazi kupata kipato cha halali ndio wanaoamua kujiajiri kwenye genge la ujambazi matikeo yake ndio kuishia kufa ........hongereni polisi wetu kwa kazi nzuri kuhakikisha usalama wa raia
Hongera sana Millard Ayo kwa kazi nzuri kwa tupatia Habari sisi tuliyoko nje ya nchi pia nina wa pongeza maskari kwa kazi nzuri walio ifanya pamoja na rahia wema walio shirikiana kutoa taarifa kama izo mungu azidi kuwa pigania zaidi katika Kazi zenu
Amna Abduliazizi Mashaa Allah swadakta wallah umeongea ukweli ila ifike wakati wana nchi tusikubali kufuata mkumbo wa wanasiasa tuwachie wao na kampeni zao zisizo kwisha wallah umenifurahisha kwakua sis weneakili zetu tusukubari kufuta mkumbo kwa masrai ya watu
Nchi haitekwi na wahuni wachache au wengi, crime does not pay na mshahara wa dhambi ni mauti na karama ya Mungu ni uzima wa milele, safi sana polisi there's glory and sometimes gold in doing the right things
Fatwima Makungu unafki huu unaletwa na baadhi ya wanasiasa, kwa mukusudi, kutaka kuigombanisha serikali na wananchi, sasa askari wakifanya kazi yao kuweka sawa mazingira hatarishi yenye viashiria vya kuvunja amani. hao hao wanaanzisha unafki wao, askari waonekane wabaya kwa wananchi. keep it up askari wetu.
Pongezi kwa jeshi la police.Pia wananchi tukickia milio ya risasi tusikimbilie kwenda kuangalia maana risasi hazichagui.Tazizo letu kubwa tunataka tuwe mashuhuda
Tanzania njia ya amani sna alhamdulilah..maan lisasi zinapigwa kwengn huku watu wanapandwa na presha😁😁😁😁😁maan hatujazoe purukushan wallah...naipend mno njia yangu...asante mungu kwa kuwa tanzanzania...mungu ibaliki tanzania,bariki viongoz wote na rais wetu pamoja na viongoz wetu wa dini zote......imic u home swety home tanzania....+968🇴🇲
Big up milard ayo upo serious na kazi yako sio bloggers wengine kupost Udaku tu Wa siasa tena Wa kwenye magazeti we unaingia front tunapata news on time.Allah akupe zaidi bro
tanzania nilikuwa nishanza kuchukua amani inatoweka kumbe askari tunao mashalaah halafu hadi raha watu wasafi wanaushirikiano bado maskin na matajir tuko pamoja leo askari hongereni
Kama ningekuwa na mamlaka hao asikari ningewapandisha cheo maana walitumia akili nyingi kupambana mahali atalishi sana ktk mchanganyiko Wa RAIA wema mungu awabariki sana

poa kaka tuko pamoja .....uliapa kwa kusema utajitoa kikamilifu kwa mungu ........
Bilal Kitiku
mmmh
Hassanova junior kumbe pes wa Diamond ni jeshi salut mkuu nakuona sana kwenye coment
Hassanova junior tunawaambea kwamungu awape nguvu
Kam umesikia..maiti mtalajowa.piga like hapa
Asante sana mirladayo kwa kazi nzuri, na pia shukurani kwa askari kwa kazi waliyoifanya.
Kweli kabisaaaa!!!
Pongezi yangu iwwlafikie askari wote Tanzania ,hakika mkitoweka cku moja tu,Basi nchi haitakua nchi,nyie Ni watu muhimu sana kwetu,japo Kuna watu wachachechi wasiotqmbua kazi kubwa mnayoifanya,Mungu awalinde na kuwazidishia,binafsi nawapenda,hongeren mliofanya kazi kubwa kiasi hiki
Mimi ndio mahana sk zote nawathamini sana mahaskri wetu hongereni sana jeshi letu la tz kwa ujumla
Baadhi ya watu siku hizi hawataki kufanya kazi kupata kipato cha halali ndio wanaoamua kujiajiri kwenye genge la ujambazi matikeo yake ndio kuishia kufa ........hongereni polisi wetu kwa kazi nzuri kuhakikisha usalama wa raia
Hongeeraa sana Millard Ayo
hongerni sana jesh la police kwa kazi nzuri uliyoifanya.... amen
Nawaponeza sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri wanayo fanya
hongera kwa kuwaua hao maana ni hawafai hata katika ufalme wa mungu
Alie sikia muuza mishikakiiiii 3:01 gonga like
Asante saana polisi kwa kazi nzuri mliyoifanya
Hongera kwa jeshi la polis kwa kazi nzuri
Hongera sana Millard Ayo kwa kazi nzuri kwa tupatia Habari sisi tuliyoko nje ya nchi pia nina wa pongeza maskari kwa kazi nzuri walio ifanya pamoja na rahia wema walio shirikiana kutoa taarifa kama izo mungu azidi kuwa pigania zaidi katika Kazi zenu
hongereni sana kwa jeshi la polisi mmepambana vizuri sana mmeonyesha uwezo wenu tunazidi kuwaombea muwe salama siku zote mnapo pambana na majambazi
SAFI SANA ASKARI WETU PONGEZI KUBWA SANA KWENU 💪💪👏👏👏👏👏👏👏
hongera police kwa kaz nzuri,,pia millardayo hongera sana kwa kaz yako unahakikisha hatupitwi na matukio big up
Asante sana millard ayo
hongera kwa jeshi la polisi kwa kaz nzuri sana, tena sana.
Saf sana askar hongeren bora mmewauwa hawa
Hongereni sn jeshi letu kwa kazi nzr sn.
Asante jesh la polisi mmefanya kaz nzuri san
Hongereni sana jeshi la polisi kwa kudhibiti uharifu huo
kazi nzuri kwa askari walioshambulia hao majambazi
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mirady nakukubali Sana aubaatishi. Abali ni za kweli💕💕
Hongeleni san askali wetu Kanda ya dar salam kwa kazi nzuri
Hongera sana Jeshi la polisi, mmefanya jambo la kishujaaa, hii imedhihirishia waTanzania mpo kazini na hamshtukiziwi na majambazi.
Ahsante sana askar
hongera zangu ziwafikie maasikali waliopambana na majambazi mpaka wakawaua
Hongereni sana askari wetu
xafi xana Askar wetu kwa kazi zuri mimi nawapongeza xana tena xanaaaaaaaa
hongera sana kamanda kwa kazi nzuri ya kuokoa wananchi wako
Asanteni Sana jeshi letu
Amna Abduliazizi Mashaa Allah swadakta wallah umeongea ukweli ila ifike wakati wana nchi tusikubali kufuata mkumbo wa wanasiasa tuwachie wao na kampeni zao zisizo kwisha wallah umenifurahisha kwakua sis weneakili zetu tusukubari kufuta mkumbo kwa masrai ya watu
Nchi haitekwi na wahuni wachache au wengi, crime does not pay na mshahara wa dhambi ni mauti na karama ya Mungu ni uzima wa milele, safi sana polisi there's glory and sometimes gold in doing the right things
prince saimon congra2lation to them for gud task
kazi nzuri kwa askari police
hongereni sana askari wetu , wenzao wanatafuta wao kuja chukua kwa urahisi
Hongera Jeshi letu la polisi.....
Muda mwengine wanafanya vizuri sana lakini muda mwengine wanazingua lakini tuwape hongera sana.....
Alicheka kwa muuza mishkaki like hapa
Hongera san jeshi la.polis kwa kaz nzur
Big up jeshi la police waliopambana na majambaz
Poleni sana ndg zetu daaah watu wanafamia kilakona mmmh
Kaz nzr xana jeshi la polis
askari hongereni kwa kazi nzul mlioifanya mung azdi kuwapigania
Mshukuru mungu weye ndo alokuokoa
Hongereni sana jeshi la police kwa kupambana na uhalifu kwenye nchi ya Tanzania nahakika uhalifu autotokeya tena
Allah atupe salama Tz yetu
asante saaana askari wetu kwa kazi nzuri!! nimewapenda walla
Dooh pole muuza mishkaki mungu ni mwema
ongeren sana police wa tz
hongeren Makamanda wetu, Mungu awalinde
asante jeshi LA polisi
hongera kwenu polisi Allah awazidishe nguvu na doria iendeleee mda wote
ummi mohammed tundurisu. anasema wasiuwawe
Hongera zetu jamani mungu azidi kutulinda na kutuongezea ujasiri huo huo
Za mwizi ni Arubaini Askari nawapeni maua yenu kwa kazi nzuri mliyofanya
Abdu babu umeonaeee yani ss wabongo tumekuwa wanafki kuliko uzalendo shukran Allah kuwawezesha policy wetu kuzuia uharifu hongera kwa jeshi la policy
Fatwima Makungu unafki huu unaletwa na baadhi ya wanasiasa, kwa mukusudi, kutaka kuigombanisha serikali na wananchi, sasa askari wakifanya kazi yao kuweka sawa mazingira hatarishi yenye viashiria vya kuvunja amani. hao hao wanaanzisha unafki wao, askari waonekane wabaya kwa wananchi. keep it up askari wetu.
Mzee saba mungu akunusuru na hilo na jengine
thnx jesh letu
Safi sana polis kazi nzur sana
Big up jeshi letu muendelee kutulinda
asha salum hongera sana jeshi raporiss wanawatesa sana wananch bora wameuwawa
Heko Polisi kwa kazi nzuri mnayofanya!
Pongezi kwa jeshi la police.Pia wananchi tukickia milio ya risasi tusikimbilie kwenda kuangalia maana risasi hazichagui.Tazizo letu kubwa tunataka tuwe mashuhuda
hongela askali wetu Tanzania
Poleni sana
Hong3r3ni milard ayo kwa kutupasha habari za kusisimua...endeleeni na kaz yenu nzur
Tanzania njia ya amani sna alhamdulilah..maan lisasi zinapigwa kwengn huku watu wanapandwa na presha😁😁😁😁😁maan hatujazoe purukushan wallah...naipend mno njia yangu...asante mungu kwa kuwa tanzanzania...mungu ibaliki tanzania,bariki viongoz wote na rais wetu pamoja na viongoz wetu wa dini zote......imic u home swety home tanzania....+968🇴🇲
Hongera jlp
hongera sana police
SUBHANNA LLAH
Poleni sana hongera kwa police
gud job ze bongo sojaz
Pongezi kubwa sana kwakamanda wajeshi lapolis dar es salaam kwakazi mliyoifanya
Mzee kakosa choo hahahahshahaa pole sana Mzee.
Muuza Mishikaki kanichekesha sana. Hongera kwa Jeshi la Polisi
Vijana tufanye kazi za halali tuache ujinga ,unauawa kama kuku kisa kutaka mali za haraka.Hongera jeshi letu la polisi.
Ni kwel kabisa kaka
Well done!!
nice. good job.
duhhh inatisha..ila pongezi kwa askari
Pole sana sana
Dah polen sanaaa
thanks police,gd work
hivi kwa mfano polisi wagome kufanya kazi je kingetokea nini jana kkoo.hongera sana polisi
Hussein H Kitambi
police wamefanya kaz kubwa nawapa hongera sana...
Big up milard ayo upo serious na kazi yako sio bloggers wengine kupost Udaku tu Wa siasa tena Wa kwenye magazeti we unaingia front tunapata news on time.Allah akupe zaidi bro
big up our sojaz punguzen hawa jamaa wanasumbua inchi
safisana hongereni
Moyo fahamu sina.... mimi nahisi nimeshakuwa Marehem.....
pongezi sana jeshi lá Tz
pongezi nyingi kwa jeshi la polisi limefanya kazi kubwa sana siku ya jana....
pongezi nyingi kwa jeshi la polisi limefanya kazi kubwa sana siku ya jana
Et wee Nani, mie muuza mishkakiiiiiiii 🤣🤣🤣mungu awanusuru na wapone waliopigwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
very nice
tanzania nilikuwa nishanza kuchukua amani inatoweka kumbe askari tunao mashalaah halafu hadi raha watu wasafi wanaushirikiano bado maskin na matajir tuko pamoja leo askari hongereni
hogela Sana asikali Wetu typo pamoja
Hongera jeshi ra polisi
Jmn htr kwann hamfanyi kz mpaka nichukue vya wenzenu
hongera sana police wetu
hongeren cn wote mliosaidia hili janga
Kama ningekuwa na mamlaka hao asikari ningewapandisha cheo maana walitumia akili nyingi kupambana mahali atalishi sana ktk mchanganyiko Wa RAIA wema mungu awabariki sana
Honger sana police .huyo anayewaponda sijuwi anataka nini sasa
pongezi jeshi la polisi!
safi sana polis wetu
Asanten san jeshi retu ra polisi tunawapongeza