DUH ALIEKUA MWENYEKITI CHADEMA ATUHUMIWA KUTEKWA NA VIGOGO WA CHAMA HICHO HAWA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 534

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l 2 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu jamaa haja tumwa Wala haja pew pesa sema wa tz huwa ukweli hatuutaki na ungo ndio tunao ushabikia kama uongo alio ufanya kiboko ya wachawi na mkapigwa Hela huku napo Wana halibu wao halafu Wana itupia lawama sirikari tatizo ma bwabwa wamekua wengi

    • @luthermartin1098
      @luthermartin1098 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwann hakujitokeza miaka yote

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน +1

      Chadema ni watekaji ila kuna wajinga hapa wanadhani chadema ni wachamungu na hii ndo kazi ya chadema wanateka na kuwa watu

    • @brycesonmwamengo1976
      @brycesonmwamengo1976 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu kweli

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 2 หลายเดือนก่อน +40

    Nilipo anza kuangalia hii clip nikajua ww nimmoja wakombozi wa nchi hii...lakin jibu ni rahisi sana kwa mwenye akili timamu. Kwakauli yko kwamba walikuteka na gari ya halima wakakulazimisha useme maneno yanayo yataka..na bc jubu nikwamba hata hapo ulipo jibu ni kwamba umebanabushwa na kulazimishwa kuya sema hyo😢😢 upo chini ya ulinzi hvyo htuna haja yakuku laumu ila wakikua acha hulu nenda kawaombe msamaha chadema. Na hao ulio nao hapo sio waandishi wakawaida hao ni watekaji.
    Wanao kubaliana nami gonga like 👍za kutosha..

    • @ibrahimtesha2733
      @ibrahimtesha2733 2 หลายเดือนก่อน +3

      Fake! Hyppocrite! Umelipwa Sh ngapi?

    • @friedliverpool8158
      @friedliverpool8158 2 หลายเดือนก่อน +3

      Jamaa muongo wa kiwango cha juu

    • @EmanuelWilsoni
      @EmanuelWilsoni 2 หลายเดือนก่อน +2

      Unatafuta cheo gani rafiki mwaka huu kunauchaguzi maana kwamba uteuliwe kwa ujinga huo hamna wewe hapo unaropoka tu

    • @AbdulkarimAisha-ex5kp
      @AbdulkarimAisha-ex5kp 2 หลายเดือนก่อน

      good

    • @alexmachare6495
      @alexmachare6495 2 หลายเดือนก่อน +4

      Kosa lako NI uchawa.

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ukweli ndiyo hi huyu bwana anasema ukweli chadema is behind every thing

  • @NethrinePaul
    @NethrinePaul 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka siku Moja utachomwa moto wa milele siku moja

  • @ShabaniDumana
    @ShabaniDumana 2 หลายเดือนก่อน +5

    Umenena ukweli bro

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri unayofanya ya kujenga Nchi

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 หลายเดือนก่อน

      Uyu mamako ana usika nini kenge wewe

    • @MaryLee-sh4nd
      @MaryLee-sh4nd 2 หลายเดือนก่อน

      Mamluki uyo

  • @JamilaAbdallah-f9l
    @JamilaAbdallah-f9l หลายเดือนก่อน

    Kaka pole sana ,Ila acha kung'ang'ania dunia.

  • @BjleonardBhianda
    @BjleonardBhianda 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huu ndiyo ukweli wenyewe..Mungu akubariki sana na kukulinda..tulio wengi miongoni mwa Watanzania tunampenda sana raisi wetu kwa sababu naye anatupenda.

    • @samboy5033
      @samboy5033 2 หลายเดือนก่อน +1

      akili yako imejaa matope

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 2 หลายเดือนก่อน

      Mama ni bonge la raisi

  • @AthumanKinyange
    @AthumanKinyange 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana maana tulikuwa hatufahamu chochote nimekueleva vizuri sana Asante sana maana Hawa jamaa duuuuu

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 2 หลายเดือนก่อน +4

    Badala ya kumtukana huyu ni chanzo kizuri cha uchunguzi, matukio yote yachunguzwe na majawabu sahihi tupewe na hatua kali zichukuliwe, siasa hapana kwenye uhai.

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kaka anachoongea kina ukweli ndani yake

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana ana matatizo. Hajasema alichotaka kukisema😂😂

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 2 หลายเดือนก่อน +6

    Shetani amejiinua wazi2.Nilikuwa najiuliza sana habari za shetani leo tumemwona amejichagulia mlango wa kuzimu ubarikiwe sana

  • @Jay_2010.
    @Jay_2010. 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hahaaaaaaaa tutasikia mengi mwaka huu

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 2 หลายเดือนก่อน +3

    Takataka kabisa wew

  • @MakoyeMakoye-i4h
    @MakoyeMakoye-i4h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mzee

  • @KizaConstantino-cq2vz
    @KizaConstantino-cq2vz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Chama cha chadema kinastahili kufutwa la sivyo tubaki na mfumo wa chama kimoja chenye demokrasiya ndani ya chama kimoja asante kwa kuweka ushahidi hadharani

    • @clememallya4257
      @clememallya4257 หลายเดือนก่อน

      Tunahitaji vyama vingi. Wewe posho inakuponza km kupo kwa nini hawafuatilii. Mngewakamata mweke hadharani kwa nini mnaficha?

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema,wanatekana,halafu wananyanyua vichwa kusema serikali inawateka.

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu anataka msaada ...hana lolote

  • @SeifumpeliMpeli
    @SeifumpeliMpeli 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe kunawati wanafurahia watu wanafurahia watu wanavotekwA na kuuwa.huyu jamaa hana hata uchungu wa maisha ya watu

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alafu maneno na mwili havina ushilikiano kbs muogope Mungu ndugu zambi itakutafuna aisee

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 2 หลายเดือนก่อน

      Baadhi ya Maaskof wakatoriki ndio wanaounda genge la utekaji

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hizi comedy haswaa

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila njaa bhana😂😂😂😂

  • @PaulinaNyanzalashija
    @PaulinaNyanzalashija 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama samia tupo nyuma yako mam pambana songambele akina wote kazi iendelee samia hooyeeee oyeed

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unayemsifia ndo anakauli ya mwisho, na kama viongozi wa chadema ndo watekaji kwa nini msiwakamate???? Na kama chadema wanangumvu za namna hiyo kwa nini hawajapata katiba mpya, huyo huyo unayemsifia ndo huyo huyo ambaye anaweza kusema waliokuteka wakamatwe na wakakamatwa. Nakupa pole maana hujulikani uko wapi

    • @clememallya4257
      @clememallya4257 หลายเดือนก่อน

      Mbona mdiwakamate na hiyo gari ya chadema mngekamata

  • @lifardKombolela
    @lifardKombolela 2 หลายเดือนก่อน +2

    we nitapeli mjinga mjinga mmoja

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakuwa Scotland yard wapo Marekani baasi inatosha kukuelewa level yako ipoje! 😅😅😅

  • @danielkavugha189
    @danielkavugha189 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mbona hai make sense. Kama ingekuwa kweli hayo unayosema na ulikaa kimya Toka 2012 na Leo matukuo ya utekaji ndio yameonhezeka maana yake hao chadema wamejijenga vizuri kwenye utekaji na unakiri jeshi la polisi wanajua sema hawana Cha kufanya je? Huogopi kutekwa Tena kwa kuwasema vibaya hao watekaji?. Hebu lipangeni vizuri Hilo jambo jamani. Mjue hiyo ni Moja ya dharau kuwa watu hawa reason.

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maelezo ya huyu jamaa, Polisi wanajua watekaji wa CHADEMA.Lkn hawataki kuwakamata watuhumiwa na hata kesi zikipelekwa kwao wanazizima!!.Hii inamaanisha CHADEMA wana njama pamoja na Polisi za kuteka watu, au pengine Polisi wanahongwa? Huyu jamaa akamatwe na kuhojiwa ili tujue ukweli.

  • @ZaidHamasiZaid
    @ZaidHamasiZaid 2 หลายเดือนก่อน +4

    Haa haa unafurahisha ama unasikitisha..kama ni kweli. Mungu yupo Anakuona.

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 2 หลายเดือนก่อน +2

    Njaa mbaya sanaaa !!

  • @gangan4618
    @gangan4618 หลายเดือนก่อน +1

    Unataka cheo, wewe huna akili kama MACCM wengine walivyo.

  • @LuganoAmwamsojo
    @LuganoAmwamsojo 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂huyo jamaa muongo atari

  • @IMODESIGNER-ej6gj
    @IMODESIGNER-ej6gj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ni njaa Ase Hongela

  • @MlawaClemence
    @MlawaClemence 2 หลายเดือนก่อน +1

    da !😂😂😂 Huwa nailaan sana njaaaaa na njaaa mbaya sana na kama wamekutuma waambie sijawakuta hauna point yoyote

    • @eliasngariba6403
      @eliasngariba6403 2 หลายเดือนก่อน

      Inaonekana wewe una jua wateja

  • @LeonardChilemu
    @LeonardChilemu หลายเดือนก่อน

    Mhuu hii Kali mtu kujichinja mwenyewe ila siasa zisivuje damu za watanzania wa mzee Nyerere mtalaaniwa

  • @omaryramadhani290
    @omaryramadhani290 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dah bro ubarikiwe Kwa uongo mungu anakuona ulaa iwe na kizazichako pia choko wew

    • @abdulhussein7774
      @abdulhussein7774 2 หลายเดือนก่อน

      Msenge ww

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 หลายเดือนก่อน

      Huna unalolijua kuhusu siasa zaidi ya kufata mkumbo.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda kasome kitabu cha Dr Slaa kinaitwa NYUMA YA PAZIA ili fuvu lako lipate kuona liondooane na giza

    • @Visiona897
      @Visiona897 2 หลายเดือนก่อน

      Endelea kushupaza shingo na kujitoa ufahamu. Chadema wanatekana wao kwa wao huo ndo ukweli ila kwasababu wewe ni empty set kichwani ndo maana huamini.

    • @SleepyBacon-zx9rm
      @SleepyBacon-zx9rm หลายเดือนก่อน

      Tamaa mbaya sana

  • @MwitaMwikwabi
    @MwitaMwikwabi 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kuma lako ww mbwa sana nenda ufe

  • @DenesceFredericks
    @DenesceFredericks 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaa ni shushu auvmpelelezi kwa jinsi ya muonekano wake kuma sana huyu

  • @francisdavid001
    @francisdavid001 หลายเดือนก่อน

    Nilikaa nasikiliza kwa makini alipoanza mapambio ya kusifu na kuabudu nimeingiwa na shaka😅

  • @KATANYAMA
    @KATANYAMA 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe Scotland Yard ni ya Marekani sikuwa najua aiseeee

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ohoooo kumbe chadema wanamiliki pingu je, Halima mudehe nayeye ana Sifa gani ndani ya Chama!?

  • @princessplatnum4416
    @princessplatnum4416 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂wana jitekenya afunwanacheka wenyewe 🤣🤣🤣 ila wemzee muongo

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 2 หลายเดือนก่อน

      Hujuwi chochote wewe, huyu ni mkweli kwasababu hata risasi za kihuni za lisu ilikuwaje dereva waliekuwa pamoja kule mbele isimpate hata moja. Pumbavu chadema yote.

  • @JumaHiza-mq7ch
    @JumaHiza-mq7ch 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema ni makuma sana eanatengeneza matukia slaa pia aliwahi kusema

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 หลายเดือนก่อน

    MWOOOOOONGOOO WEWE. Miaka yote ulikuwa wapi kuyasema haya? Mungu atakulaani wewe.

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ujio wa vyama vya kisiasa vinatufikisha hapa, hii ni hatari sana.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makubwa Sana Duuu

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaona point

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umepewa sh ngapi

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brother wewe apandikizi, sina shaka umelipwa vizuri.

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa Sasa tumtazame Mungu tu Hawa wote ni wasemaji wa binadamu sio wa Mungu hatuwezi kuamini au kutoka kuamini Mungu mwenyewe atatenda

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 2 หลายเดือนก่อน

      Chama cha matukio!Bila matukio hakuna chama maana ilani iliyochaguliwa imetekelezwa asilimia 98 na bado muda mwingi sana!Kwa sababu hiyo wanasiasa uchwara wanavizia matukio tu kwa sasa! hawana la kukosoa kwenye ilani!Tuwe makini na wavizia matukio!

  • @AmmarSadik-x5u
    @AmmarSadik-x5u 2 หลายเดือนก่อน +11

    Sasa wewe nyau ulikua wapi acha shobo ulijiteka wewe na mafisi wenzako

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndio mwehu kabisa habari yake wala si mpya iliandikwa hadi kwenye magazeti na vyombo vya habari labda kama mwaka huo 2014 ulikua chalii sana au ulikua kijijini kwenu.

    • @mutabebwa-bm6pm
      @mutabebwa-bm6pm 2 หลายเดือนก่อน +1

      We mwongo

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ulimsaidia kujiteka acha hizo

  • @restimarymassawe3776
    @restimarymassawe3776 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ni kweli Mungu ajifunue mwenyewe,kama ni uongo malipo yatakuwa hapahapa duniani, ndugu Zangu hatukuja na kitu duniani Wala hatutaondoka na kitu chochote tuishi kwa kumuohofu Mungu aonaye sirini,,siku ya mwisho tutapewa hesabu matendo Yetu tulioyafanya hapa Duniani ,

  • @JenniferJohnmshi
    @JenniferJohnmshi หลายเดือนก่อน

    Mungu anakuona we baba

  • @thamani5842
    @thamani5842 หลายเดือนก่อน

    Serikali yetu sikivu,
    Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama,
    Musiwachekee chadema,
    tunaipenda sana Tanzania yetu
    Musimpuuze huyu jamaa alotoa huu ushuhuda
    Chadema hawapendi watanzania, wanataka kutufanya km Libya

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 หลายเดือนก่อน +7

    Unawashukuru waandishi mbona hatuwaoni uko peke yako Kuma wewe

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 2 หลายเดือนก่อน

      Mama yako nae anayo ujue! Matusi hayajengi mpendwa!😢😢

  • @stephanofissoo6981
    @stephanofissoo6981 2 หลายเดือนก่อน +1

    We fala kweli

  • @JosephatMohereikerege
    @JosephatMohereikerege 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe nani amekwambia kawa mama anakosa

  • @PeterKajana
    @PeterKajana 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jinga tu!

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu jamaa ccm wamemtuma apige campeni ya ccm Hahahah

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 2 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika? Msikilize anaweza kuwa na jambo la maana.

  • @AlexAbraham-w9e
    @AlexAbraham-w9e 2 หลายเดือนก่อน +8

    We kuma tuu

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lenu ndio hili! Mitusi tu. Kwani umezaliwa na kichwa! Au mama yako hana hiyo...😢😢😢

  • @BakariHassan-l6e
    @BakariHassan-l6e 2 หลายเดือนก่อน +6

    Da kazi ipo

    • @mutabebwa-bm6pm
      @mutabebwa-bm6pm 2 หลายเดือนก่อน

      Una lako.jambo au umeshapata chochote

  • @benolduka
    @benolduka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lione, mama samia anajenga na sister tukiwa wapi

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema wanaviomgozi wahuni na majambazi wa kubwa

  • @costandomba4077
    @costandomba4077 หลายเดือนก่อน

    Jitambue huo niuzembe waserekari chadema awajawahi kumiliki Dola tunalaumu chama chenye dola

  • @ajoseph31
    @ajoseph31 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi kweli chadema iteke watu wake, na wasikamatwe na vyombo vya usalama, na chadema iteke watu wake isiteke wa wa ccm ni watu wake tu, Mungu atakushulikia km kibaka

    • @AshrafLema-n5r
      @AshrafLema-n5r 2 หลายเดือนก่อน

      Hilo jinga tuu kama wenziye wanaoteka bila kutumia elimu.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwongo

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukuu wa wilaya huoooo umeupata

  • @ibrahimame9805
    @ibrahimame9805 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbna hunyooshi maneno . Njaa inaku changanya.

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siwezi kuangalia Hadi mwisho maana niliiona inaongeza Cha maana

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hii ccm inavyo ichukia chadema hivi wasikie wanateka watu wakee kimya mpaka mda huu jameni tumuongope Mungu Mzee umelipwa ngapi ujè kudanganye watu

  • @yailoelieza7904
    @yailoelieza7904 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chawa huyu sio wa kusikiliza

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole หลายเดือนก่อน

    Mimi nazani kunakila sababu ya mbowe kufatiriwa kwa karibu sana

  • @NoelyMziray-gi4xv
    @NoelyMziray-gi4xv 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ngoja yakukute

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 2 หลายเดือนก่อน

      Yalishamkuta hukooo chaaadomo
      Ndiyo maana anaongea

  • @CleyKobelu-j8n
    @CleyKobelu-j8n 2 หลายเดือนก่อน +4

    ndugu zangu watanzania wenzetu . kama unaushaidi wà kutosha tunakuomba nenda kituo cha police au nenda ofice za usalama wa taifa ili uweze kutoa ushaidi wa kutosha na siyo kujitokeza azalani na kuanza kulopoka . kwani kama ni kweli usemalo je police wetu wapo wapi katika ili swala .

  • @HamisiAmani-z9l
    @HamisiAmani-z9l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo chadema. Wa na husika

  • @athumanmbaraka5192
    @athumanmbaraka5192 2 หลายเดือนก่อน

    Akisemacho uyumjomba m kwang ua nakizungumzia kilack, kunawat wanakosa uwelew CHADEMA tokakipind siowatuwema lengolao nikutaka kuichukua hiinch kishacc wananch tupatekuteseka m nipo kama hatutabadilika bas tumekwisha

  • @benomdaile7081
    @benomdaile7081 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wewe ndo unajua cha msingi ilinde Tanzania na Amani yetu.🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @DaudiMalogo
    @DaudiMalogo 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona hakuongea kipindi hicho alichotekwa anazungumza leo!? Acheni upambe usiokuwa namanufaa. Anajipendekeza apate kanafasi ulikuwa wapi kiyazungumza hayo!?

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 2 หลายเดือนก่อน

    acha kuongea ujinga WEWE, miaka yote hiyo ulokua wap kujitokeza kutamka hayo?! KIUKWEL NJAA MBAYA SANA!!!

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 หลายเดือนก่อน

    Huo ndio ukweli, hizo siasa chafu hupangwa na hufadhiliwa. Ni muhimu wananchi wakaelimishwa juu ya hiyo mbinu na propaganda inayoambatana nayo. Wafadhili wa nje ni wale ambao wamekuwa wakiinyonya Africa. Huaandaa na kuweka madarakani watu wao kwa faida zao. Viongozi wa hapa Africa lazima wawe wanaishi na ndugu zao hapa Africa. DRC imeharibiwa na viongozi waliokuwa wanaishi ulaya nusu Congo nusu.

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe ndugu yangu acha uwongo huwoo usaliti ulio nao aisee unamaanisha kuwa ata juzi ni chadema walio teka huyoo mzee wawatu Mungu anakuona

  • @janemwaipopo
    @janemwaipopo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umepewa sh ngap 😅😅😅 poleeeee

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 2 หลายเดือนก่อน

    Neno ilo🙏🏾🙏🏾🙏🏾wanao laumu isema vibaya CCM hawajawai kukaa chadema, tuliondoka chadema mchana niatali. Namkumbuka sana mzindakaya kunipa kadi ya CCM. Mama anakosa sisi wajaslia mali tumepata Ajila anuani za makazi kupitia Mkurugenzi wa (w) ya Chunya kambona nikazi ya mama watanzania tutajilaumu baadae chadema Siyo michongo🤣🤣

  • @hamidasaif4065
    @hamidasaif4065 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa kijana

  • @aloycef812
    @aloycef812 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Eti marekani kuna scotland yard kwel ww ulitekwa

  • @zabronmshana3277
    @zabronmshana3277 2 หลายเดือนก่อน +4

    Peleka ujinga kuleee mpuuzi wa hakiliwewe

  • @nestor384
    @nestor384 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mbuzi kama mbuzi wengi Jamii haiko huko tena
    We mbuzi kama mbuzi wengine.

  • @CANARYMASENGULA
    @CANARYMASENGULA หลายเดือนก่อน

    Sawa bro umenena vzr lkini nikuulize hao chadema Hadi hapo wananguvu kulikon polis?na s/Kali kwann wasikamatwe

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkuu sana wasiojulikana watajulikana kwa maneno na matendo yao na damu za ndugu zetu zitapatiwa haki upesi

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe na msiba ni watu wakuogopa sana mwanzo nilizani kunamashiko kadli ulivyo enderea nikagundua wewe ni msaaulifu nimegundua chadema ni chama makini na chaupinzani wakweri nilikua sikiamini chadema sasa nimegundua ni chama makini na nitishio kwa ccm tutajua mengi

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 2 หลายเดือนก่อน

    Na kumbuka walisema chama iki tutakilinda kwa dam na kushinda ni lazima kwa sababu iyo wameona njia ya kushinda ni kuwajaza watu of ili waogope bos watakao kuunga mkono kwa maneno yako machafu ni wale tu walio lambiswa asali pamoja nawe ila kwa mimi kwa selikali iii apana aifai ata kwa bule

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaah kumbe ndivyo ilivyooo mnnasingizia mama ,wapo wenyeweee ,mama unda timu ya uchunguzi wasikupake matope usoni

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 2 หลายเดือนก่อน

    Luka 3:14,
    Askari Nayo wakamhukiza sisi nasi tufanye Ninii Akawambia Msithulumu Mtu awe yeyotee wala kumshataki kw uwongoo na mutozelewe na msahara wenuuuuu.
    13/09/2024

  • @LukasSikanyi
    @LukasSikanyi หลายเดือนก่อน

    Hii njaa mbaya sana

  • @MedardBenedictoRwabutondogoro
    @MedardBenedictoRwabutondogoro 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninaomba polisi mumkamate huyu jamaa awasaidie kwenye utekaji yawezekana huyo ndiye mmojawapo wa watekaji.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 หลายเดือนก่อน

      wakati yeye mwenyewe alitekwa pia na kuchapika kanusurika kidogo afe.😂😂😂😂

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kweli uchaguzi umekaribia harafu ccm aanze kuua watu inakuja akilini kweli??? Si ndio wakati wa kufanya mazuri zaidi! , hapa kuna namna chadema wanafanya ili kuchafua ccm . Chadema Wachunguzwe wanaunda matukio ili wapate cha kuongea

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 2 หลายเดือนก่อน

    We ni mpumbavu kama wapumbavu wengine yaani ii ni njia ambayo imeamua ccm kuzimisha mambo aya kwanza ukisema ni chadema tulia alitoa kauli ya kusema mtu akimkosoa lais unyoke nae ata akinikosoa mimi nyoka nae na wengine wengi walisema mtu akikaa na kicm chake na kuwa chafua watu motandaoni awa watu wakipotezwa polis msiwatafte sasa apo utasema nn mpka tukawa na imani na ccm tena

  • @johnlightmkose4723
    @johnlightmkose4723 2 หลายเดือนก่อน

    Ok TANZANIA KUWENI NA AKILI MJINGA ATAAMINI ILA MWENYE AKILI ATAFIKIRIA SANA MIMI (MATEKA ) KAPEWA CHA KUONGEA AKIGEUZA MANENO ALIYOPEWA ....

  • @AbdulkarimAisha-ex5kp
    @AbdulkarimAisha-ex5kp 2 หลายเดือนก่อน

    umelipwa sh ngap!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Butiku anaweza kutumwa kusema kitu kama hicho maajabu hayooo