Haleluya. Mimi siyo msabato lakini ninapenda sana kumfuatilka Mch. Mbaga na mafundisho mbalimbali anayotupa wana wa Mungu. Mungu aqabariki sana kqa kipindi kizuei cha maswali na majibu.
Kupenda Ni mpaka ujue kupenda lakini kama hujui kupenda hata kama unapenda hutajua kupenda..🤔 kumbe kupenda Ni mpaka ujue..HIVI WATU WANAPENDWAJE..????👌👍
Pastor i wish i knew this before, a man married me for only 3 years and he left me with 2 sons, i have been struggling to raise them alone, pastor please niombee napenda kuolewa tena 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Emmy john ujikaze ata na mimi nimepata suluisho kisha kutizama iyi video.kama unapenda kulinda ndoa wewe chukuwa atuwa ya kujishusha na kubali kusamehe yote.
Haleluya. Mimi siyo msabato lakini ninapenda sana kumfuatilka Mch. Mbaga na mafundisho mbalimbali anayotupa wana wa Mungu. Mungu aqabariki sana kqa kipindi kizuei cha maswali na majibu.
Amen Pastor we are blessed with this preaching...Thanks.
Amen
Nabarikiwa sana PASTOR na namna ya ufundishaji wako BWANA akuzidishie maisha marefu
Amina kabisa na Mungu atukuzwe milele asante mchungaji nimejifunza sana
Pastor,,, we fundi sana yani.... Kusoma psychology kuna saidia sana, huwezi kuchoka kusikiliza mafundisho yako,,, nabarikiwa sana
ubarkiwe sana mtumishi
Bwashe Kuna Vito kichwani mwako mungu amekubariki
Pastor Mbaga Mungu akutunze
Eeee Mungu nisaidie mimi kwakweli
asante mtumishi kwa elimu nzuri ya kuishi vizur na ndoa zetu nimebarikiwa sana
Amina. Pastor nimepata kitu hapa.ubarikiwe sana kutuelimisha.
Asante baba unanibariki nataman hata ningefaham unako patikana unipe ushaur
Umekwama au
Mtumishi Mungu Akubariki sana yani mfudisho yako yako sawa kabisa Asante Mungu kwa mtumishi wako.
Nimepata point maalum Mchungaji.
Asante sana maana nimeelewa kitu
Nduu hatar
ee mwenyezi mungu nipe hekima na busara👏
Mungu akubariki mchungaji kwa somo zuri sana.
Muku akutunze pastor Mbaga.Karibu Wilaya ya Songwe
Amen..... Nabarikiwa sana na mafundisho yako yananikuza sana kiroho.....ubarikiwe Mch Mmbaga
Hv mbaga ni mtu wawapi
Asante Sana
MUNGU atukuzwe kwa somo zuri sana
Ubarikiwe sana pastor mafundisho yako yana baraka sana
Download App inayoitwa Maombi kwenye play store yako
Tafuta hekima.
Tafuta busara,
Tafuta akili.
Hekima INA nguvu,
Hekima itakuketisha na wakuu..
Hekima itakupa Mali(itakutajirisha)👏👏👏👍👌🙌🙏
Amen
Nimebarikiwa sana Mungu akubarik sana. Sijui unapatikana wap mm mgen hum
Asnte
Safi sana mungu akupe uzima ili uzidi kutoa elim...
Amina pastor
Ubarikiwe sana,Nina changamoto kali,nikupateje unishauli
Hii hekima uliyonayo sio ya dunia hii Bali ulipewa na mungu mwenyewe mungu akubark Sana umenifungua macho
Thanks pastor With the lesson that build people spiritually (wisdom and knowledge)
Nimeipenda Mkuu
Mungu wetu alie hai azidi kukupanguvu ktk kaz yake njema mtumish mbaga
Mungu nipe nguvu ya ufamu
barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho mazuri mungu azidi kukutumia
MUNGU ni upendo, yeye asiye na upendo hamjui MUNGU
Lekasi
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa na mafundisho yako sana
Kupenda Ni mpaka ujue kupenda lakini kama hujui kupenda hata kama unapenda hutajua kupenda..🤔 kumbe kupenda Ni mpaka ujue..HIVI WATU WANAPENDWAJE..????👌👍
Barikiwa sana mchungaji nimejifunza kitu
Mafundisho yako mazuri sana nimeyapenda
Mungu akubariki sana
LINA MATAGI a
Asante pastor
Ahsantee mchungaji nimejifunza kitu leo
Paster nakushukuru kwa mafundisho yako yanabariki
Be blessed man of God
Kwa kwl nimebarikia🙏
Hakika Mungu ni mwema naomba Mungu anipe hekima
mungu anipe loho mtakatifu aniongoze katika jiya yakweli
amen
Barkiwa pasta
AMINA
Kwani mpira wa miguu Una ubaya gani Mchungaji?
Mungu asifiwe, umeisaidia sana ku suluisha tatizo yangu.kwa anzia sasa ivi nimepata solution. Mungu akubariki.
Amen
Pastor i wish i knew this before, a man married me for only 3 years and he left me with 2 sons, i have been struggling to raise them alone, pastor please niombee napenda kuolewa tena 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akupe haja ya moyo wako
@@MahubiriPrMmbaga amen
Kwakwelimchasante🎉😊🎉🎉🎉🎉😊😅
Nabarikiwa na mahubir yako pastor
Blessed
Baba nimepokea hilo. nabalikiwa
Nakuelewaga sana PR mbaga ubarikiwe sana
Amina
Ubarkiwe pastor
Amen, in god I believe
Sabato ni kwaajili ya mwanadamu na Si mwanadamu kwajili ya sabato inamaa gani muchungaji nashidwa kuwelewa nifafanuli tafadhali
Ubalikiwe
Mchungaji mm napenda Sana kuwa mwana saikolojia
Pastor, kwa nini tusicheze mpira wa miguu?
Barikiwa pasta nimekupata
AMEN AMEN AMEN AMEN thanks 👍
Mungu akubariki sana pastor
Napenda sana mafundisho yako kwa sbabu nimejifunza mambo mengi katk ndoa yang
Roz Adada amen
Iko powa
Mungu akubariki mchungaji wangu.
Ubarikiwe san pastor
Dr Myles Munroe speak all about this
Exactly, He is his student!
In fact mtumish
Hekima na maarifa 👍👍 points taken
Amen
Mungu yu mwema,tupati busara baba
Mafunzo mazuri sana asande
Asante mchungaji..amina
ubarikiwe sana MTUMISHI
asante sana nimejifuza mengi sana
Mungu hakubariki mtumishi
Mchungaji mungu akubaliki sana
Nice lesson
Ahsante Mchungaji Mungu akubariki sana tupo pamoja
Asante kwa kufungua ufahamu wangu
Ubarikiwe Sana pastor, ujumbe mzuri..
Ameni
Very true AMEN
Ee Mungu tujalie maarifa,hekima akili na busara..
Mungu akubariki umeniponya
Uko vzr
Asante sana pr
Mungu akunariki sana mbaga
Mungu akubariki
Pst unajenga Sana maisha yangu
Asante sana mchungaji
Naombeni namba ya huyu mtumishi jamani please
2021 💝
Hallelujah! 🤲
Hatari Sanaa
Amen mutumishi wa Mungu
Ninashida sanaa na namba ya pasta huyu, mwenye nayo jamani anisaidie
mbaga napenda sana maneno yako ila "siyawezi"
Emmy john ujikaze ata na mimi nimepata suluisho kisha kutizama iyi video.kama unapenda kulinda ndoa wewe chukuwa atuwa ya kujishusha na kubali kusamehe yote.
haha
Mungu aniongoze kuwa na akili ameeen
Asante Sana
Ubarikiwe
asante pr