Nilikua natamani sana hili la kutumia culture..asante kwa kushare nasi! Utofauti wa culture kulingana uzito vipimo vinakuaje..napenda yogurt nzito kidogo
Kwa wanaouiza kama huna culture unaweza tumia fresh yogurt kikombe kimoja. Process ni hiyo hiyo tofauti tu ni kwenye kuweka culture utaweka fresh yogurt
Hello mziwanda bakers shukrani kwa Masomo yako nime jifunza mengi kutoka kwa Channel yako naomba kama unaweza kutufunza kutengeza lemon blueberry cake na pinacolada cakes.. asante
Mashalla kazi nzuri
Asante sana nimejifinza
Asante dd UBARIKIWA
Ni shingapi hiyo culture
Nilikua natamani sana hili la kutumia culture..asante kwa kushare nasi! Utofauti wa culture kulingana uzito vipimo vinakuaje..napenda yogurt nzito kidogo
Ubarikiwe sàna naomba kujua napataje culture nipo arusha
Asaalam aalykum ,shukran sana mzigo nimeupata,somo limeeleweka.nimetengeneza mtindi mzur maa shaa Allah.Allah akulipe kheri.aamyn
Alayka salaam habbipty, shukran karibu tena
Sasa kama maziwa yana maji mengi itajuaje
Asante sana,unatusaidia sana
Asante sana kwa somo, ila sasa kama sina Culture nitatumia nini mbadala wake
Nimeipenda naomba kujua jinsi ya kutengeneza mtinfi
Mashalaaah naomba namba jinsi ya kupata culture
Uko juu.
Nashukuru kwa vidéo hii
kw kibaha culture inapatikana sehemu gani naitaji sana
Kwa wanaouiza kama huna culture unaweza tumia fresh yogurt kikombe kimoja. Process ni hiyo hiyo tofauti tu ni kwenye kuweka culture utaweka fresh yogurt
MashaAllah ❤❤
Big up to you lovee
Proud of you dia
Selfless lady !!
Naomba namba
Bei gni iyo culture
Hiyo culture ya patikana wapi
Calture ninini mi dawa au
Nice😋😋😋😍
MashaAllah....Mimi Niko Zanzibar nahitaji hiyo kacha ya yogurt....nitaipataje?
Asante mamy unanibariki kwa darasa lako
🤝🤝❤
@@mziwandabakers8297 naomba no zako tuongee
Mbona hujibu hizo kacha zinapatikana maeneo gani
Hongera dada naomba kuuliza hiyo kalicha inasaidi nini kwenye hayo maziwa?
Culture zinapatikana wapi supermarket au
Culture ni kitu gan?
Mnapatikana wapi
Asante sana
Dad mm ntk kwa ajil y biashara
Ladha naipata wapi
Hello. Why can't you boil the milk the normal way
Hiyo cutulre inapatikana wapi na sh ngapi tunahitaji
Hiyo culture tunazipata wapi kwa moro
Nitakutafuta Whatsapp nijifunze zaidi
Nimejaribu kupiga hizo number lakini hazi go through please help
Yanakaa mda gani
Dada naomba unionyeshe picha ya kacha maana nipo in'je ya Tanzania utakuwa umenisaidia
Thanks so much for all this ,just to ask how many litres should the culture be used
The whole package can be used in 250ltrs
Ohh thanks alot for this
Nahitaji kujifunza vipi kuhusu vipimo?
@@mziwandabakers8297 naomba kujifunz
Halloo Salam Aleikum Nimefurahi Sana Na Nigependa Kujua Zaidi Dadangu Ningependa Kufanya Biashara Ya Kuuza Yougat
Nahitaji vifaa dada
Nahitaji culture za yogurt na mtindi
Hello mziwanda bakers shukrani kwa Masomo yako nime jifunza mengi kutoka kwa Channel yako naomba kama unaweza kutufunza kutengeza lemon blueberry cake na pinacolada cakes.. asante
Ichor kijiko cha kupimia kacha napataje
Madukani
samahani starch hawaweki
Kacha naipata wap dada
Upo mkoa gani?
Culture ni nn jamani
Dada unafundisha vizuri sana 🙏...naomba kujua maziwa ya pakti yanafaa?
Hapana dear sina elimu ya maziwa ya pakti
Tumia fresh kutoka kwa ng'ombe kupata matokeo mazuri zaidi dear
Good
Kacha ni nn
Dear culture inahifadhiwa wapi?? Naomba utufahamishe inahifadhiwa wapi
Kwenye fridge.
Sehemu baridi
Is this Kenyan contact or Tz
Ninaomba kujua arusha naipata wapi culture,nimetafuta kwa baadhi ya maduka cjapata
Masha Allah shukran sana...hizi culture twazipata wapi Kenya?plz nielekeze
Zipo kenya
Maneno meengi please be straightfoward.
Sure
Kacha ndio nini
aslkm lazima uanze na lit5
Namba za mawakala wenu wa culture hawaeleweki tupeni Namba zenu direct
Nimefurahi sana shida hiyo kacha tu
Nahitaji culture ... zote ..ni shngp nipo mosh
Habari nahitaji culture ya mtindi ni sh ngapi
Asante sana