Mashallah nimependa n nimevutiwa n utengenezaji wako w mtindi, nimeshajaribu Sana nyumbani kutengeneza lkn sikuwahi kupata mtindi Mzuri hvy na mwisho wasiku namwaga maziwayote. Asante n ubarikiwe Kwa kutufundisha. SWALI LANGU JE WAPI NAWEZA KUPATA HIYO YOGHURT CULTURE
Mamy Leo nmeenda kuitafta culture kwa kipara nmekosa nlikua naomba Kama unajua duka lingine jina lake pliz nikaisake nna maziwa mengi nataka nifanye yogurt pliz
Asante sana kwa somo zuri, Napenda kujua baada ya masaa nane ya awali umesema nakoroga ule mgando je baada ya hapo naweka kwenye fridge masaa sita ndio inakua yogurt?
Nashkuru Dada umenisaidia sana Ice cream zinaenda sana,niambie soko la yogurt napata wapi ,namaanisha nauzia wapi? Ili watu wanunue? Mahotelini au madukani au wapi?? Samahani nifahamishe Dada.
Ahsante dada iyi kitu nilikuwa natamani sasa jusi yakutengeza hi maziwa Ahsante saaaaaaan sasa tuletee hio video ya gutengeneza culture naisubili kwa ham💃💃💃💃💃💃😘😘😘😘😘
@@mziwandabakers8297 sijui nisemeje mimi mungu akubaliki naakuoe maisha malefu sababu nimejifunza bitu bingi gutoka kwako nikwaju niko nchi zawatu lakini naamini nikimaliza muktaba ndagutafuta kunavitu vingi naitaji unielekeze
Hivi hawa viumbe wano dislike ni wa dunia ipi? Kama hukupenda si afadhali upite zako tu! Kazi nzuri dada! jitahidi... Mungu abariki kazi ya mkono wako... aamin
Wow hongera sana, na asante kwa ujuzi Mungu azidi kukubariki, kwa mikoani hiyo culture inaeza patikana, If you won't mind naomba contact zako utusaidie kutuma if possible
Ma shaa Allah shukran sanaa ndio kwanza kujua Allah akubariki habibty, na hii culture inapatikana wapi Dada?nijaribu yakwangu in shaa Allah #watoto wanapenda
Your tutorials are always very simple and easy to follow. Nice voice too. Keep it up.
Thank you dear
Wow mtindo rahisi na ambao unavutia mungu akuongeze fahamu na akili yako dada naomba tuwasiliane ndo unipe ideas more ❤❤❤
Mashallah nimependa n nimevutiwa n utengenezaji wako w mtindi, nimeshajaribu Sana nyumbani kutengeneza lkn sikuwahi kupata mtindi Mzuri hvy na mwisho wasiku namwaga maziwayote. Asante n ubarikiwe Kwa kutufundisha. SWALI LANGU JE WAPI NAWEZA KUPATA HIYO YOGHURT CULTURE
Shukran sana kwa feedback, fika kariakoo gerezani utapata hiyo
Mamy Leo nmeenda kuitafta culture kwa kipara nmekosa nlikua naomba Kama unajua duka lingine jina lake pliz nikaisake nna maziwa mengi nataka nifanye yogurt pliz
😋😋😋😋 mimi ya strawberry 🍓! Lazima niijaribu.... Keep inspiring Dada
Much love dear
Samahan hiyo culture inapatikana maduka yapi na inaitwaje iyo culture nikienda kutafuta madukan
ukieza uniambie
Asante dear kwa shule nzur naomba mawasiliano na ww nahitaji huyo culture niko handeni tanga
kacha ndiyo nini??
Dash aisee, sio kwamba naelewa! Sauti yako ni tamu sana!!! Asante.
Hongera sana nmeipenda sana...... Hiyo culture tunaipata maduka ya viungo? Km tunakopataga hizo ladha?
0768859358 piga utafahamu zaidi
@@mziwandabakers8297 asante sana.
Asante sana kwa somo zuri, Napenda kujua baada ya masaa nane ya awali umesema nakoroga ule mgando je baada ya hapo naweka kwenye fridge masaa sita ndio inakua yogurt?
Naam baada ya masaa sita kwenye fridge ndo inapendeza zaidi kunywa ila inakuwa ishakuwa yoghurt
@@mziwandabakers8297 Asante sana, ubarikiwe mummy
Wow nmependa sana mafunzo yako lakini hiyo culture inaweza patikana kwa supermarket au
MashaaAllah basi pia utaweza kutengeneza cheesa na ghee toka maziwa
Kipenzi asante na hongera na ni namna gani nitapata hii culture ya kutengeneza
Culture zinapatikana wap Ili nasi huku kijijin tujaribu kutengeneza?
Dada nimeona umeongelea kuhus kacha kwaiy sijaelewa iyo kacha kwa neno jingne ni Nini ili nielewe vzr
Asante Sana darasa zuri. Je mama nata kufanya biashara nauzaje glass
Hii inategemea upatikanaji wako wa maziwa,glass 2000 kwa 1500
Nashkuru Dada umenisaidia sana Ice cream zinaenda sana,niambie soko la yogurt napata wapi ,namaanisha nauzia wapi? Ili watu wanunue? Mahotelini au madukani au wapi?? Samahani nifahamishe Dada.
Soko la yoghurt ni kubwa dear inategemea na eneo uliopo jaribu kidogo kidogo
Madam sijui wap nimekosea nimetengeneza ila inavutika
Mash Allah tabarak Allah 😍 jazaka Allah kheir 🌹 mungu akuzidishie afya, ujuzi na moyo wa ktufundisha.
ummousty listadai hello my sister how are you how's everybody else family please I need your contract I want to see me this ice cream very well please
Ubarikiwe sana nielewa vzur ila iyo culture inapatikana wapi
Me Nakupenda jmn,Unafundisha vizuri sana
be blessed
🙏😘
Asante kwa somo iyo culture inapatkana maduka gani
Ndio maduka makubwa dar au supermarkets
Nadhani hio culture ni mtindi wa kuvumbikia mtindi wa hamira
Najua watu wa Nairobi wajashikanisha hio kacha. Aisuru tuwatch tu, tukisonga. Thanks for the upload.👌👌👌
😂😂culture.utapata hapo Pradip Nairobi
@@mercyambuka9214 mi ata bado sijashikanisha Ni Nini. Kiswahili Ni ngumu manze
Following from Kenya, naomba utu elimishe on culture sijaifahamu
Thank you so much, angalia my new video nimejaribu kuelezea
likes za wakenya.this is soo easy
👍
Naomba kujua hiyo kacha mpendwa
I like it....but kacha ndio nini kwa kiingereza, tell me pliz
It's culture my dear,ndo neno la kiinglish🥰
Asante naweza pata wapi culture
Na Je inaweza ghalim kiasi gan?
Naomba unielekeze hayo maduka ya gerezani yanadeal na Nini?
Mashaallah nitafanya hivi kipenzi napenda sana mtindi nitakuwa najitengezea nyumbani maana 😋😋😋 asanteee kwa ujuzi kipenzi nakupenda bureeeeeeeeee
Amiin shukran
Dada samahan hyo kacha ndio nn naomba unisaidie plz
Nauliza aje...how many days should it stay before expiry date
Love your style of cooking am learning
Asante sana lakini culture ndo sijaelewa...can i buy it at the supermarket??
Unaeka ndani ya friji au friza na itakaa kwa mda gani bila kuharibika?
asante kwa elimu nzuri. lita tshs ngapi?
4000
Mashallah 👌 hiyo kachaa inapatikana wap?
Mziwanda_bakers karibu
Thnx bunch... Name of the culture please if you won't mind
Chr hansen
"Chr" stands for or I just say Chr?
@@ernistmunene3081 it's a company name,look for culture with that company name...asking from where??
@@mziwandabakers8297 dar es salama napata wapi hiyo culture
Waoooooo hongera ila sijaelewa kacha ni nini iyo uliyoweka baada ya kuchemsha maziwa ndo ukagandisha ni nn hiyo
Shukran, hiyo ni kacha ni kiungo kinachosababisha Igande
@@mziwandabakers8297inauzwa wapi
Kinauzwa sehemu gani
Uko p dada naomba kuuliza Kuna kitu Kuna kitu kinaitwa stabilizer kinatiw kwenye mtindi jee ndo nn
Where did you find culture I'm in Nairobi
Pliz mziwanda help me dar sehemu gan nyingine tofaut na kwa kipara ..leo nmeenda nimekosa ..pliz asisit na jina Kama hutajali
Wow your the best dear l have learnt a lot
uliposema kitu kacha .
ni nini hii? naomba maelezo sijakifahamu
please
Culture yogurt ni bei gn super market?
Catche ni bro gani? Na ntapataje please
Hongera na Ahsante kwa somo,,Mungu akuriki,,ila naomba kuuliza hyo culture inapatikana wapi?ahsante,
Maduka ya kariakoo dadaa
Ahsante dada iyi kitu nilikuwa natamani sasa jusi yakutengeza hi maziwa Ahsante saaaaaaan sasa tuletee hio video ya gutengeneza culture naisubili kwa ham💃💃💃💃💃💃😘😘😘😘😘
Video itakuja wiki ijayo utafurahi naamini
@@mziwandabakers8297 sijui nisemeje mimi mungu akubaliki naakuoe maisha malefu sababu nimejifunza bitu bingi gutoka kwako nikwaju niko nchi zawatu lakini naamini nikimaliza muktaba ndagutafuta kunavitu vingi naitaji unielekeze
@@fabiolafabulauwimana4020 karibu sana Fabula..Ameen kwa Maombi Mazuri
Kacha ni nini jamani? Na inapatikana kwenye Maduka gani
MashaaAllah mapishi yako mazuri sana Dada Nimependa Allah akuzidishie,, hii culture inapatikana wapi na ni nini?
Mom hiyo yourghut starter naweza pata Kwa duka gani? Niko mombasa
Check maduka ya kusindika utapata naimani
Je maziw yakiwa lita mbili kipimo cja hiyo kacha ni kile kile ama kinabadilika??
Nakupenda Sana jaman we ni msaf na unaelekeza vizur nahitaj culture nipo dodoma napataj mpenz
Karibu 0768859358 WhatsApp kwa oda yako please
Awesome. But kama mtu Ana fridge anaweza tumia nini kingine
Hiyo culture inapatikana kwenye maduka ya vitu gani?na hizo flavour
Ya chakula vya usindikaji,keki na vyakula
Nimekupenda bure mamii na sauti yako taamu kama maziwa yanavyooonekana asante kwa kututoa gizani
🥰🥰kuhusu sauti umefanya nicheke..
Shukran
Hivi hawa viumbe wano dislike ni wa dunia ipi?
Kama hukupenda si afadhali upite zako tu!
Kazi nzuri dada! jitahidi...
Mungu abariki kazi ya mkono wako... aamin
Amiin 🙏 ukipendwa na wote ujue unakosoro nyingi lazima wakuchukia wawepo...Allah akulipe wema
Hao viumbe wale waliopata maendeleo na wanachukia wenziwao wasipate kumbe umewaona 😅
MASHALLAH MASHAALLAH MASHAALAH..Tafadhali nauliza Kacha(siko sure spelling) yanunuliwa wapi?Shukran
Amiin, zaidi inapatikana Nairobi ...dar imeadimika
Shukran..Please Dadangu unajua jina la duka nitumane Nairobi au niangalie,Please.Shukran sana kwa kunijibu
Haina preservatives
Kacha ndyo ile inaitwa yoba fit au ni nyingne
Kacha ni ipi?inafananaje na inapatikana wapi?
Thanks for enlightening us.
MashaAllah sijachelewa chupa kama hz naweza pata wapi
Hiyo remedie ya kugandishia inapatikana wapi? Maduka ya aina gani?
Ya usindikaji
Madam sijaelewa kacha ni nini
Nimependa...ila itakua vyema ukishare brand ya kacha unayotumia, flavours pia.
Mm nimeyafuta culture sijapata
Yan we dada sijui nkushukuruje🥰🥰🥰may Allah bless you
Amiin Yaa Rabb
Culture ndy nini
Nimejifunza sanaaaaaa😋😋hasa hiyo ulochanganya ili kugandisha maziwa sjuaskia vzuri inairtwaje n naipata wap?sor n hizo radha hizo jmn wap nazo
Culture, vyote vipo
@@mziwandabakers8297 Arusha naptia wapi
Hio kacha mbona hauinyeshi hio kikaratasi chake vizuri unajuwa ukifundisha watu unavyo vitumia uvionyeshe sura na vipi inakaa
Dada umeshaleta hizi kacha na unauza bei gani??
Nimeleta dear 0768859358
Jina la chaka kwa kingereza nini, nakuwomba please., I love the procedure
Following too am interested
Its culture my friends not chaka,its fermented milk
@@mziwandabakers8297 😘 thnx
@@mziwandabakers8297 na hii culture ntaipaataje
Wallah Leo ndio naangalia vd zako mashallah mungu akuongozee nmekupendaa Sana'a Sana'a nataman tuwe tunawasilia for love my c* kwakunisaidia zaid
MashaAllah shukran ,karibu sana
@@mziwandabakers8297 umeongeza nn sijaelewa
Kacha Ni nini
Very nice
@@mziwandabakers8297 anawezaje kupata vipi hizo mchanganyiko?
Asante kwa somo mpnz.....samahani ninapenda kufahamu culture inapatikana wapi???
Kariakoo ndugu yangu zinatokea Nairobi
Je supermarket haiwez kupatkana?
@@mziwandabakers8297asante kwa video yenye manufaa ila kacha ndio nini kwa kizungu?
@@imranbasy4022 kizungu ndo culture dear
Huo mchanganyiko kijiko kimoja nawez kupta wapi
Wow hongera sana, na asante kwa ujuzi Mungu azidi kukubariki, kwa mikoani hiyo culture inaeza patikana, If you won't mind naomba contact zako utusaidie kutuma if possible
Ofisi namba 0768859358
@@mziwandabakers8297 habar yako dada
dada hyo kuacha napata wapi mbona kila ninae muuliza hajui
Culture ndo nn dada na inapatikana wap??
Ma shaa Allah shukran sanaa ndio kwanza kujua Allah akubariki habibty, na hii culture inapatikana wapi Dada?nijaribu yakwangu in shaa Allah #watoto wanapenda
Dada barikiwa sana naomba mawasiliano yako ili nijue culture naipata wapi mungu akuinue kwa somo nzuri
asante maadam🎉❤
Mdada yogurt kacha ndo nini ya kuweka kwenye maziwa?inanuliwa wap? Tuelekeze mamy
Inapatikana kariakoo
@@mziwandabakers8297 kkoo tu?so sehem nyingine hatuez kupata
@@reallyshiners9555 kwasasa ninazo pia 0768859358
My dear friend hiyo culture ni nini na inapatikana wapi
Hiyo ni chachu yakugandishia maziwa zinapatikana masokoni
AA nauliza hio kacha ndio nini?
Nimejifunza Sana leo, iyo culture inapatikana wapi
0768859358
Tunapata wapi kacha?
Where do I get the strawberry en vanilla flavor.
Tutapata wapi hizi vitu
Hi...thanks for sharing. where can someone get the culture.
From where if I can locate you
@@mziwandabakers8297 I'm from Nairobi, Kenya
Where can I get culture in Nairobi
Hello Mziwanda Bakers, do you use raw milk or pasteurized milk?
Hiyo kacha inaeza patikana Kwa supermarket?
Inaweza pia
Curture ndio nini na inapatikana wapi
Mi naomba kufaham vifaa vya kutengenezea yogurt vinapatikana wap
Hello sister naomba gisi yakutengeneza mtindi please
Sijaelewa gisi
Io uliyochanganyia umesema inaitwa culture inapatikana supermarketi?
No supermarkets hamna 0768859358 WhatsApp namba hiyo kwa mahitaji ya culture
Hizo ladha nizile zinazotumika kwenye ice cream?
Naomba kujua flavour za banana na Strawberry zinapatikana wapi?
Masokoni, supermarket
Anti samahani culture ndio nin sijaijua bado naomba unifahamishe fresh
Culture inapatikana wapi au maduka gani hapa mjini,,,?!
0768859358
Hizo ladha za banana,, strawberry ..vanilla znapatikana wapi Dada?
Masokoni zipo inategemea na mkoa uliopo, kama dar kariakoo zipo nyingi tu
Hongera culture napata wapi?
Saafi...af hiyo kacha inapatikana wapi?
can I use plain/natural yogurt instead of Culture
You may dear
@@mziwandabakers8297 culture zinapatikana kwenye maduka ya vifaa gani dear. Mi nipo moro nimezunguka supermaket zote amna. Maelezo pls.
@@mwanaidilwena954 Moro hakuna dear ama sifahamu anaeuza ila sisi huwa tunawatumia wateja wetu 0768859358
Culture nini
@@mziwandabakers8297 hyo culture haina jina lingne?
Ninaweza kupateje viungo kama vanilla ama stroubery
Supermarket wanauza hizo ni radha
Hizo flavours umeweka kiasi kipi? How long is the shelf life of this homemade yoghurt?
Can I use long life milk or the packed milk to make yoghurt?
SHELFLIFE is 1 month
Kwa anayetaka kutengeneza yogurt kwa maziwa Lita moja anaweka culture kiasi gani...?
Culture ndo kitu gan jaman ciijui
MashaAllah thanks allot dear
Wow... Inaweza kukaa muda Gani isiharibike?
Mwezi mzima fresh
hizo kacha na kile kilainishi cha ice cream . unauza?
Ndio nauza weka oda yako kwa namba 0768859358