cdm kuna #binadamu lakin ccm kuna #watu tofauti ya mawazo na utendaji vimeonyesha. fananisha mwazo ya LISSU , msigwa. na nassari dhidi ya msukuma lusinde na milinga utajua ccm wapo kwa ajiri ya chama sio Tanzania
ninyi viongozi wa sasa mnadhani mna uwezo mkubwa na mnaona mbali kuliko waliowatangulia.dhamila zenu zinaonekana wazi kutafuta mkikosacho kwa sasa huku mkifumba macho kwakutaka liwalo naliwe ilimradi kutimiza tamaa zenu bila kujali mstakbali wa kizazi hiki na kijacho.
muungano ulizaliwa 1964 wewe LISSU umezaliwa 1968 mmoja Kati ya wajinga alikuwa baba yako aliyekubali muungano wewe hujui sababu ya kuungana Kama usivyojua kwa Nini baba na mama walioana umeingia bungeni ukaapa kulinda katiba katiba ipi ya tanganyika au tz jitoe kwanza ubunge usubiri tanganyika
Tundulussu mungu akuweke hakika ni zaid ya wanasiasa wote nchini
Historia inafaa kukumbushwa,wasiofahamu wajue.5-12-2020
Hapo ni sawa na wabunge 100 wa CCM Big up lisu
mnahamishwa kwenye mada ccm itaendelea kuwababaisha milele msipofunguka ilikua cuf sasa uamsho
Haya sasa...moto umewashwa...
Nani amemuona mh mwinyi Akipitia katiba na kumfatilia MR lisu kamanda
Tundulisu kichwaaaaa
cdm kuna #binadamu lakin ccm kuna #watu tofauti ya mawazo na utendaji vimeonyesha.
fananisha mwazo ya LISSU , msigwa. na nassari dhidi ya msukuma lusinde na milinga utajua ccm wapo kwa ajiri ya chama sio Tanzania
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Kichwa kinazungumza
Tundu antipas lisu
ninyi viongozi wa sasa mnadhani mna uwezo mkubwa na mnaona mbali kuliko waliowatangulia.dhamila zenu zinaonekana wazi kutafuta mkikosacho kwa sasa huku mkifumba macho kwakutaka liwalo naliwe ilimradi kutimiza tamaa zenu bila kujali mstakbali wa kizazi hiki na kijacho.
elieza mabula sana sana
stop talking what you don't know! you better ask what is uamsho and
our aims.
muungano ulizaliwa 1964 wewe LISSU umezaliwa 1968 mmoja Kati ya wajinga alikuwa baba yako aliyekubali muungano wewe hujui sababu ya kuungana Kama usivyojua kwa Nini baba na mama walioana umeingia bungeni ukaapa kulinda katiba katiba ipi ya tanganyika au tz jitoe kwanza ubunge usubiri tanganyika
Weye umezaliwa mwaka gani
Kumbe Kuna mijitu haina akili aisee.. Msongoro akili huna kaa kimya
Mm sioni umuhimu na faida ya huu muungano