Amen,asante Mtumishi kwa ufafanuzi mzuri wa Paradiso.Kwa kifupi paradiso ni sehemu ya Mangojeo ya watakatifu wakisubili hukumu ili kuingia ule mji mtakafifu.
Hilo jibu lako sio tupe mafungu yanayo sema kua mtu atatoka paradiso apitie katika kaburi lake ndo atoke kumlaki Yesu aise mtu wa Mungu angalia usije ukawaongoza wengi kwenda upotovuni angalizo mtu wa Mungu.
Bariki wa mtumishi wa Mungu Esther. Kweli mbinguni watu hawataenda ki madhehebu bal ni moyo safi.
Amen,asante Mtumishi kwa ufafanuzi mzuri wa Paradiso.Kwa kifupi paradiso ni sehemu ya Mangojeo ya watakatifu wakisubili hukumu ili kuingia ule mji mtakafifu.
Asante Kwa somo zur
Mungu akubariki mama Esther ❤
Naomba Mtumishi Esther ukichukuliwa kiroho na Bwana Yesu, umuulize hilo swali kuhusu kuabudu siku ya Sabbat utujibu
Ubarikiwe sana Mtumishi Kwa kutufafanilia vizuri wengi tulikuwa hatujui
Amimnaa ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nmepata kitu 🙏🙏🙏❤️
Amen barikiwa sana mtumishi
Ubarikiwe Sanaa mutumishi wa Mungu nimefunzwa wengi
Mungu akubaliki mtumishi
Amen
amen
Amen Amen !!
MBARIKIWE SANA KWA HUDUMA NJEMA MTUMISHI WA MUNGU. MTIWE NGUVU NA WEPESI KATIKA HUDUMA.
❤❤❤❤🎉 Ameeeni
😍😍😍
Hilo jibu lako sio tupe mafungu yanayo sema kua mtu atatoka paradiso apitie katika kaburi lake ndo atoke kumlaki Yesu aise mtu wa Mungu angalia usije ukawaongoza wengi kwenda upotovuni angalizo mtu wa Mungu.
Naomba mafungu yanayo sema kuwa mtu akifaanaenda kuishi paradiso tafadhal nisaidiwe.
?? ???
Amen barikiwa Sana mtumishi.