SHEIKH KIPOZEO AFAFANUA KAULI YAKE: NAPENDA MIZIGO ILA WALE WASIO NA MZIGO KWA DHARURA SAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024
  • Sheikh Kipozeo amefunguka kufafanua kauli yake "Napenda mizigo, ila wale wasio na mizigo kwa dharura sawa" ambayo ilizua gumzo mitandaoni wiki chache zilizopita.
    Amedai dharura ambayo ameizungumzia sio kwa kuzini bali ni kwa kufunga ndoa.

ความคิดเห็น •

  • @asiriyaaljabriy434
    @asiriyaaljabriy434 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii qauli ina kudharaulisha wewe mashaallah Allah kakujaalia elm maneno ya kipuuzi ya mizigo sheikh acha

  • @rifatisultan3212
    @rifatisultan3212 4 ปีที่แล้ว +3

    Shekh umejibu vzr sana

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe achaga hizi interview sababu kuna watu wanakujua vzr kuliko hao wanaokuhoji

  • @hemedishabani3360
    @hemedishabani3360 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @sandpardegera7246
    @sandpardegera7246 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu shekhe uelewa wake ni wa juu sana amewaacha mbali sana wengi sema hawajijui wanabaki kumlaumu

  • @msafirisaidiphd6723
    @msafirisaidiphd6723 3 ปีที่แล้ว

    mashallla

  • @alisaleh2507
    @alisaleh2507 3 ปีที่แล้ว +1

    SIDHANI KAMA KAKOSEA KUTUMIA NENO MZIGO,UNATAKIWA UTUMIE LUGHA AMBAYO HADHIRA ITAKUELEWA ZAIDI

  • @salukisendi9333
    @salukisendi9333 3 ปีที่แล้ว +2

    AMESEMA.WASIO NA MIZIGO NI KWA SHARURA TU. SS HIYO DHARIRA NI IPI KWA MKE AMBAYE UMEOA. DHARURA NI JAMBO GHAFLA NA LA MUDA MFUPI. ME NAONA SHEHE HAPA UMETUPIGA CHANGA

    • @deedeejameel6028
      @deedeejameel6028 3 ปีที่แล้ว

      Huyu ndio zake ameshaoa mara mia. Na ana watoto amrwatlekeza.
      Sio shekhe huyu kabisaaaa naweza SEMA ni ana act tu Mimi siwezi msikiliza hata chembe

    • @deedeejameel6028
      @deedeejameel6028 3 ปีที่แล้ว

      Anajua dini lakini Hana taqwa anafanya mzaha na dini. Hathamini wanawake na pia kazi yake kuoa na kuacha na akizaa anatekeleza watoto.
      Shekhe gani anakula drugs (mirungi))
      Huyu ndie yule fuata maneno yangu usifuate vitendo. Isitoshe hata hivyo vitendo mhhh ATI wasiwe wanaachana lol kutoka kwa mwenye kuoa na kuacha

    • @noorynmohammedy6063
      @noorynmohammedy6063 3 ปีที่แล้ว

      @@deedeejameel6028 mmmh mbona makasiliko hvo vp au naww miongoni mwa alio waacha na kutelekezwa?

  • @nawwarsultwaan6404
    @nawwarsultwaan6404 3 ปีที่แล้ว

    Ni vizuri ulivo fafanua

  • @abuuhilary4609
    @abuuhilary4609 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu ni shehena sio shehe

  • @fabilmpingo8903
    @fabilmpingo8903 4 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam alykum

  • @swaumuabdul6592
    @swaumuabdul6592 3 ปีที่แล้ว +1

    Jiepusheni kulopoka mitandaoni achani kujizalilisha

  • @jumafadhil9018
    @jumafadhil9018 4 ปีที่แล้ว +2

    Bola Shee ulivo fafanua Mana wengine wanapenda kumaanisha maana tofauti tofauti unajua Shee wengine wamejawa na unzinzi ndomana ukisema kidogo tu teali wamemaanisha

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 3 ปีที่แล้ว +3

    Huy mzee anaelimu akitulia anaongea point sana ila yakimfika anaropoka

  • @mwadinimwadini4068
    @mwadinimwadini4068 3 ปีที่แล้ว

    Naam Sheikh Kipozeo

  • @mathewxmzambelejr9420
    @mathewxmzambelejr9420 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mzigo

  • @deedeejameel6028
    @deedeejameel6028 3 ปีที่แล้ว +1

    Kichefu chefu

    • @mbarakamagogo9974
      @mbarakamagogo9974 3 ปีที่แล้ว

      FIKRA YA MTU INAFANANA NA VITENDO VYAKE!!!?

  • @eliudnguge9013
    @eliudnguge9013 ปีที่แล้ว

    halafu hiyo dharula siyo zinaa

  • @husseinkhalfan9467
    @husseinkhalfan9467 4 ปีที่แล้ว +2

    Na bora ulivyo fafanua mana wapo waliowaza mambo ya shari katikati maneno yako.

  • @ibnuhajartvonline2448
    @ibnuhajartvonline2448 3 ปีที่แล้ว +1

    Na ww muweka picha hii Tafadhali ondosha picha hiyo

  • @mariamswalehe3933
    @mariamswalehe3933 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndo wale wale tu kasoro tarehe ss ndo tunatakiwa tuige kutoka kwenu lakin mmekua wa ajabu tufanyeje Sasa Yani wewe hata alifu kwako sisomi

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 3 ปีที่แล้ว

      Ndio tatizo lko na hapo ndio mwisho wa mawazo yko

  • @rogermomodesty3568
    @rogermomodesty3568 3 ปีที่แล้ว +1

    Shee gani unapenda matako

  • @sharifisangyo8038
    @sharifisangyo8038 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmemdhalilisha
    Sheikh kwahizo picha siosawakabisa.

  • @alinur2035
    @alinur2035 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani kila mtu na choice yake. Au vipi?

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @mwinyimwinyiibrahimu6432
    @mwinyimwinyiibrahimu6432 3 ปีที่แล้ว

    Shehe.kipozeo.mchangamfu.na.ivo.ndivo.inavotakiea

  • @samirybinaliy2564
    @samirybinaliy2564 3 ปีที่แล้ว +2

    ndondocha kwer ili zee

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 3 ปีที่แล้ว +1

      Weye je Nani Kama huyu ndondocha bas we utakua zombie Tena vempayer hasa mshenzi we

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh Nini kwa zarura

    • @oyay2821
      @oyay2821 3 ปีที่แล้ว

      Ikiwa uko jangwani na hakuna namna nyengine pia na huyo mwembamba

  • @abdulrahmanomar6189
    @abdulrahmanomar6189 3 ปีที่แล้ว +1

    Ww si sheikh ni muhuni tu

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio muhuni!!

    • @abdulrahmanomar6189
      @abdulrahmanomar6189 3 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 هداك الله على جهلك

    • @abdulrahmanomar6189
      @abdulrahmanomar6189 3 ปีที่แล้ว +2

      @@jumakapilima5674 kajifunze dini yako kwanza kisha ndio umtetee uyo anaejita sheikh.... nakuusia ndugu yng

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulrahmanomar6189 wewe ndio hujui dini kabisa!!

    • @abdulrahmanomar6189
      @abdulrahmanomar6189 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jumakapilima5674 sasa ww ayo maneno alozungumza uyo jamaa unahis yanafaaa

  • @stephenmadembwe4784
    @stephenmadembwe4784 4 ปีที่แล้ว

    Kwani mahojiano yamefanyika CHOONI au?
    Hizo tyres vipi?

    • @SLTN4503
      @SLTN4503 4 ปีที่แล้ว +2

      sasa wewe shida yako ni kuona wapi wanafanyia mahojiano ao kusikiliza mahojiano?

    • @abdoulrahimmigomba3885
      @abdoulrahimmigomba3885 4 ปีที่แล้ว

      Hapana ni Masjid (Msikitini). Misikiti mingi huwaga tunaweka Tyres ili kurahisisha shughuri za usafi.

    • @ntakirutimanaali6885
      @ntakirutimanaali6885 4 ปีที่แล้ว

      Hujuwi hata kuandika kijana rudi shule utajuwa hapo nisehemu gani

    • @halimaathman8220
      @halimaathman8220 3 ปีที่แล้ว

      Tiles sio tyres, ni gari hilo kwani?