UKIANGALIA MIZIGO MWEZI WA RAMADHANI FUNGA YAKO INAENDA BURE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @KhadijaSalum-nf5mf
    @KhadijaSalum-nf5mf 8 หลายเดือนก่อน

    Tushazowea nchi za kigeni Alhamdullillah masaa mengi lkn Allah anatuletea wepesi mpaka watoto wetu kwa masaa hayo kufunga ramadhan

  • @AbdulshakuurMohammad
    @AbdulshakuurMohammad 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mahusiano hayafai vyovyote vile na kuwasiluana na mchumba haifai mpaka umuoe

  • @OmanHubi-q5x
    @OmanHubi-q5x 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kipozoa kama umesoma unafelu kwmb wa chane Ramadan bada ya apo warejeane hakuna dini inayo kubali ngono baba m mungu kila siku yuko mm huwa wananishangaza sana hawa watu mm nimeskiliz hii interview ila sheke majibu jako kama unawaogopa awo wa bongo kuwapa elimu ww😢😢😮😮😮

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 8 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli ndo wako hivyo masheikh wengi tu, wanatuangusha kabisa! sheikh nyundo marehemu ndo nyundo kweli kweli! Allah amrehemu

    • @OmanHubi-q5x
      @OmanHubi-q5x 8 หลายเดือนก่อน +2

      Amin kaka ❤️💯

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 8 หลายเดือนก่อน +2

      Tz hakuna mashehe ni mashehena tu akiwemo huyo kipozeo mwenyewe huo ndo ukweli ni wasanii tu na elmu hawana

    • @mustaphaishmael3237
      @mustaphaishmael3237 8 หลายเดือนก่อน

      Huna hikma wwe... Sheikh katumia hikma na busara nyingi kujibu

    • @OmanHubi-q5x
      @OmanHubi-q5x 8 หลายเดือนก่อน

      @@mustaphaishmael3237 ww kocho vp acha kuingilia mamb huyajuw kasome kwnz ingekua una akil ungecheka ikisha ukapita 😜

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa izo nyimbo zinazoimbwa
    Zina mausiyano gan pls

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo hamna dini ya msimu, iwe Ramadhan au Ijumaa au siku za kawaida

  • @user412
    @user412 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama munataka kujifunza andaeni kipindi maalumu cha Dini sio kwenye vipindi munaweka mawaidha Kisha munaweka muziki yenye kuhamasisha zina, pombe na maasi mengine

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 8 หลายเดือนก่อน

    Masuala ya dini ya Kiislamu, hio miziki ya background ya nini? Someni msihemkwe tu!

  • @amisselutaviamisselutavi3833
    @amisselutaviamisselutavi3833 8 หลายเดือนก่อน

    Hekma zimahitajika kutokana na uko mazingira gani ktk kufikisha elimu kunamengi kanyoosha bila kukonakona ila tatizo letu tunapenda sana kushushana hadhi kwa kualia sana makosa kuliko pwent mbona kasema mengi yahusuyo makatazo napo je mbona hatukoment?

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 8 หลายเดือนก่อน

    Najukubali sana kipozeo

  • @AllySully
    @AllySully 8 หลายเดือนก่อน

    Kipozeo ww ni mnafiki mkubwa sana unauza maneno ya mungu Kwa thamani ndogo ya Dunia elimu huna halafu unajifanya unajua mbabaishaji .

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe Mwenye Elimu Mshukuru MOLA Kwakuwa Naelimu Kuuuuubwa. Mpaka Yakuwazarau Watu. Inashangaza Saaana. Nandivyo Ilivyo Wasiojua Kujiona Kama Wanajua Hali Yakuwa Hakuna Wanachokifahamu.

    • @hamisisalimu6908
      @hamisisalimu6908 8 หลายเดือนก่อน

      Ujasiri huu unapata wapi ndugu yangu muislamu? Unamuita sheikh kipozeo ni mnafiki? Hujui kwamba unamdhulumu? Nakusihi uumche Allah

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh kipozeo bado huja alikwa futari kwa daimond huko ndiko kwenye mizigo utaona live na huku ukimiza mate

  • @user412
    @user412 8 หลายเดือนก่อน

    Wasafi nyinyi munafanya kila kitu kwa mzaha. Yaani hata mawaidha munawekw biti!!

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 8 หลายเดือนก่อน

    Wale wa “Proud to Be…..” Gonga like hapa!!!

  • @AMBINHED
    @AMBINHED 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuwa na kimada hairuhusiwi kabisa sio mwezi wa Ramadan tu, hata mwezi wa kawaida.Na sheikh anasema unaweza kuongea sio kweli muuslamu umependa peleka uchumba na muowane hakuna janja janja.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa,sijaona cha maana alicho kiongea mpaka muda unaisha zaidi yakujichekeleza kama mjinga hivi, asie jua kutumia elimu yake daah tunako elekea?

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 8 หลายเดือนก่อน +3

    Background sound ni kumbwa, ina boa sana @wasafimedia

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 8 หลายเดือนก่อน

      Simu yako ndugu mbona wengine tunasikia vizuri.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 8 หลายเดือนก่อน

    Kipozeo jiangalie vizuri majibu yako unasikilizwa na wengi wacha usanii

  • @jumannetoronto5996
    @jumannetoronto5996 8 หลายเดือนก่อน

    Waandishi mnaferi wapi mtu ajamaliza kujibu swali mnatoa swali lingine dini sio mahakamani mwachieni sheghe afafanue vizuri maswali yenu ndio muulize tena hapo waandishi mmeteleza

  • @kassimamir219
    @kassimamir219 8 หลายเดือนก่อน

    Huo mziki vp tena jaman, na Kuna maneno ya ALLAH yanatoka?

  • @nasirmohamed1589
    @nasirmohamed1589 8 หลายเดือนก่อน

    Wakwanza kuangalia mizigo ni nyinyi mashehena

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂kipozeo

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 8 หลายเดือนก่อน

    Kipozeo anashindwa kujibu kwa mkato kwani mziki wenyewe si haram sijui anawaogopa mabosi wake

  • @saidseif1860
    @saidseif1860 8 หลายเดือนก่อน

    Kila siku mwamuuliza mizigo tu😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 8 หลายเดือนก่อน

      Si alitaka hayo mwenyewe? Anapenda mizigo! Kujidhalilisha tu, hawa ndo mashehena elimu anayo kuitumia hataki, kama anaogopa kuongea vile

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 8 หลายเดือนก่อน

      @@aairraahseif5648
      Ndio watangazaji wetu wanakopi swali lili kila wakati.
      Wakimwita Abby Cham watamuuliza unapenda kula ugali

  • @ramazanzibar8264
    @ramazanzibar8264 8 หลายเดือนก่อน

    .mpk hapo kipozeo anataka kuhalalisha mahusiano ki2 ambacho ni kharam katk uislamu

  • @salimsibabu9027
    @salimsibabu9027 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona kuna wimbo huku mnasililiza mawaidha hapo mlifeli kabisa

  • @salummziwanda9278
    @salummziwanda9278 8 หลายเดือนก่อน

    naaam

  • @AbdulshakuurMohammad
    @AbdulshakuurMohammad 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa ww jaya monkari hutoi Huo mziki vp nak kusikiliza mziki ni haram

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj 8 หลายเดือนก่อน

    Kipozeo umefeli humuogopi mung unaogopa watu

    • @nizarurassa6480
      @nizarurassa6480 8 หลายเดือนก่อน

      Hongera Kwa wewe uliyefaulu

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 8 หลายเดือนก่อน

    Muongo huyu jua halijawai kuzama saa tano usiku

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 8 หลายเดือนก่อน +1

      Lkn jua limeshawahi zama saa nne usiku!usikatae

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 8 หลายเดือนก่อน

      @@aairraahseif5648 nchi gani ?

    • @abdillahimohd8614
      @abdillahimohd8614 8 หลายเดือนก่อน +2

      mm nipo canada jus linazama saa 4 :30 Usiku

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 หลายเดือนก่อน +2

      Unabisha Kua unajua au unabisha Kua haujui? Uliza watu walioko kwenye hemisphere ya mbali canada au hata ulaya baadhi ya majira usimwite mtu muongo kwa jambo usilolijua.

    • @amininuru9270
      @amininuru9270 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo huna unachojua na utaki kuelimika tembea uone ndo utajua

  • @KhadijaSalum-nf5mf
    @KhadijaSalum-nf5mf 8 หลายเดือนก่อน

    Kipozeo zero brain sikubaliani nae