Kisa kizuri sanaa mashaallah Allah awalinde masheikh wetu wazidi kutukumbusha kila cku na Allah atupe atuondolee shetani tuachane na mambo yakuskiliza music nakuangalia movie tuwe na time yakuskiliza darsa sote waislam ili tunufaike shukran sheikh salim kwa ujumbe muhimu Allah akujazi kheri 🙏
Japokuwa mimi sio muumini wa imani ya dini hii. Ila ni mpenzi sana wa mawaidha ya huyu shekhe Kipozeo. Kwani nimsikilizapo moyo wangu hupata burudani sana. Isitoshe kwa hiki kisa cha huyu mtu kimenifundisha mambo mengi sana ya kiimani. Tunatakiwa tuwe na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu. Mali zote niza kwake na hivyo mali zisitufanye tukasahau kumuabudu Mwenyezi Mungu.
The Treu all Muslims ❤❤
Nakuelewa sana sheghe mungu akupe mwisho mwema
Mashallah mungu akuzidishe na akupe maisha marefu inshallah mawaidha mazuri ya kututia moyo
Mashallah jazakallahu
186........👂💯
Grande sheik
Mashaallah tabarakaah
Yaarabi tupe mwisho mwema Shukran sheikh wetu
Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
Allahu Akbar Allah Akram 🕋🙏🕋. Shukran jazzakkah Allahu khery. Kisa kizury MAA Sha Allah 🙏🕋🙏
Subhannallah 😓 Allahu Akbar!Allahu Akbar! Allahu Akbar. Innallillahi wainnaillahi rajiun 😢.. Musibbah..! Husnul Khattimah Yaa Rabby 🙏🕋🙏
Namkubali sana ...
Kisa kizuri sanaa mashaallah Allah awalinde masheikh wetu wazidi kutukumbusha kila cku na Allah atupe atuondolee shetani tuachane na mambo yakuskiliza music nakuangalia movie tuwe na time yakuskiliza darsa sote waislam ili tunufaike shukran sheikh salim kwa ujumbe muhimu Allah akujazi kheri 🙏
IshaAllah ni muhimu sana kusikiza mawaidha kuliko kuangalia movies na muziki
😂😂😂 safi sana
..s
900
Shekhe wangu maashallah
Japokuwa mimi sio muumini wa imani ya dini hii. Ila ni mpenzi sana wa mawaidha ya huyu shekhe Kipozeo. Kwani nimsikilizapo moyo wangu hupata burudani sana. Isitoshe kwa hiki kisa cha huyu mtu kimenifundisha mambo mengi sana ya kiimani. Tunatakiwa tuwe na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu. Mali zote niza kwake na hivyo mali zisitufanye tukasahau kumuabudu Mwenyezi Mungu.
basi ujue akili Yako Ina Afya. Fuata haki ndugu yangu wa damu. Akili haidanganyi.Nafsi Yako imependa jambo la haki ifuate.
Karibu sana
Mungu akuongoze katikai njiya ilinyoka lnshallah
@@roberttagaya9098 🤝🤝
naam shekhe
Amiin
Allah huma amiin
Mashaa Allah
Allah atujaaliye mwisho mwema
Aamiin amiin amiin sote
Toa sheikh usiogipe maadamu ni Aya za Allah
Swadakta
1
111
Mashaallah
Kipata
Mashallah
Mashaallah
Mashallah