Founder TZ - Zamani (Official Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
- Music by Founder TZ performing "Zamani" (Official Release)
Stream/Download - ziiki.media/Zamani-FounderTz
Listen to Founder TZ on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/foundertz/song/...
Apple Music: / founder-tz
Spotify:open.spotify.com/artist/4LiVq...
Connect with Founder TZ on Social Media:
Instagram: / iamfounder_tz
+For More Information Booking Founder TZ Management:
Contact for Interview or Business:+255 717 192 251
©2024 Ziiki Media All rights reserved.
#FounderTZ #Zamani
Kiukwel founder anajua kama unakubali weka like yako zifike 400
Zikifika si unalipwa na TH-cam...ilaa harmonize
Faunder nakuona mbali sana Mungu akutangulia maana unajuw sana
fikeni kwangu
Tafuta ela mzee like azikupeleki popote man
@@yprealityvsgames4390 fanya sku moja uje unitazame nikiwa kazini hafu ndio utajua kama kazi nafanya au laah
Kiukwel dogo anajua sana kbx Kama unamkubali founder tz ndondosha like hapa
dg unajua kuimba ni hatar kama unamkubal founder weka like zakutosha👇👍👍
KUBWA HII ndio kufika kutoka Kenya please likes zangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂
Yes 😊
Safi sana wimbo mzuri
Dogo anajua san big up 🎉
huyu dogo ako vizuri
Kabla ya ku comment wewe gonga like apa kwanza team founder tz
Like za babu tale ziko wapi weka 90 like apa
Natokea Nigeria 🇳🇬🇳🇬 mnipeni like 💖 zangu team founder 🇹🇿🇹🇿
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakwanza hapa nipeeni likes zanhu🎉🎉🎉
Bro hata mimi ni msanii ni subscribe kutoka kenya
@@BRAMITA254 sawa bro
mhh😮
@@pendosaimomi naomba uni subscribe na mimi pia😭😭
We sio mkenya , wakenya tuko airport saivi tunachoma ndege zote moto
1). Diamond Platinum
2). Harmonize
3). Alikiba
4). Mbosso
5). Founder tz
Hii ndo horotha yangu sasa....... . Wapi likes za huyu Dogo?
Vp
@@TonnyfrenkMwakagenda rayvanny je??
@@TonnyfrenkMwakagenda Freshy
Kwaiy mbosso na founder ni bora kuliko maroo na rayvanny 😂
Bila rayvanny uongo
Dogo wewe Mungu amekupa njia ya mafanikio makubwa sana tena sana utafika mbali mdogo wangu
❤❤❤❤ from Rwanda 🇷🇼 you're so talented child founder tz anae kubali nami basi likes ndugu.
Ngoma Kali kinomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🙏
WANAOMKUBALI Founder Tz kwamba anajua gonga like ata zifike 500 TU ❤
Wenye wanatamani Founder Tz achape kolabo Na Mbosso wagonge likes hapa💕🔥
Representing my fellow kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Fire fire ❤❤❤❤❤
Mbn cjawahi kupata likes zenu maisha yng yoye🙄🙄🙄🙄
Natokeya Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kihukweli kijana anajuwa kazi🎉🎉🎉🎉
Any Kenyan here....🇰🇪🇰🇪🇰🇪 My favourite young bongo artist
Tuko pale mapema sana team founder
From NYARUGUSU CAMP 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakukubali sana founder tz unajuwa sana kijana Mungu azidi kulinda kipaji chako daima nakupenda sana 👑🙏 nipeni likes zangu plz from 🇺🇸
Jaman tuzaeni Mwenyezi Mungu utoa vipawa mbali mbali kwa kila mtu ktk kuzaa uwenda mwanao akawa rais, waziri, mjeshi,police, msanii,mcheza mpira haya yote n matunda ya kuzaa bila kuogapa watoto watakula nn
Unatisha sana founder tz , kama unamkubali gonga like mpaka zifike 100 hapo chini 👇👇
Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 🙋🙋🙌🙌🙌mnipeni like 😮😮
Kazi founder tz nakukubali kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
wewe ni hatari sana sasa hivi nitakuita brother duuh wewe ni hatari sana
Zambians 🇿🇲🇿🇲 came early. We're here and will always be there for such melodies
Hakika mi sio mpenzi wa nyimbo ila nakukubali Sana Mungu adumishe kipaji chako
Pamoja sana kijana support kubwa from USA 🇺🇸
🎉🎉team found tz bila ya kuandika kitu gonga like kwanza apa kama una mkubali huyu dogo❤❤
Mungu nimwema pambana dogo kuimba unajua
This Boy is soo talented🎉❤
Nduguzangu tuendelee kumsapoti foundertz kwapamoja tuishambulie ngoma hii
Founder kama ulivosema,"nataka kuwa na brand kama mondi nami Kesho nitambe" iyo brand lzm upate tupo nyuma yako🙏🙏
Vipaji vipo ila huyu dogo sio kipaji to ni zaidi ya vipaji 🎉❤❤❤na hisi kua kuimba anivunyonya kwa mama yake mzazi
Anyone from kenya 🇰🇪 and East Africa weka like kama unamkubali founder tz
@@emmanuelepem7802 naomba uni subscribe hata mimi ni msani kutoka kenya
Tupo kwa maandamano
Dah dogo mungu amutangulie kwa kila Jambo make anaimba nyimbo z mahadili syo mapenzi
Kutoka Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 wakwanza hapa nipeeni likes zangu .
Kama unangojea video ya hii ngoma kama Mimi weka like
Huyu ni moto🔥🔥🔥
Mwanangu karudi ❤❤ tunakupenda san kenya 🇰🇪 wakwanza leo tunae mpenda mtoto wet ama mdogo wetu kwa wale tulio zaliwa 2000😂😂
Wakwanza from burundi guys gongeni like
Courage petit garçon, va de l'avant, Dieu te bénisse abondamment 🙌🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✍️
Nimekuuuuuuuujaaaaa kupiga salutiiiii kama mwanajeshi kijana hatarii huyu wapi liKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE za
Katika maisha ya hapa dunian Mungu ndo kila kitu, Mungu akupe hitaji la moyo wako kipenz chetu 🙏🙏
Shabiki namba moja tokea Kenya twapenda KAZI zako founder❤❤❤❤❤
Nmeupeda wimbo wa dogo wetu,,keep it up ukona kipaji kikumbwa xana,, second harmonize
From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi nipewe likes mukinifuata, Kenya twakupenda😊
❤❤❤❤❤ like hata kumi km unaamn dogo silaa ndo staa ajaye
Here let's support kijana huyu 🎉🎉🎉big up founda tz me nipo kenya kila hatua nakufatilia #ChingaKenboy
Utafika mbinguniiiiiiiiiì mwane2 goodwork
Huyu dogo ni very talented naomba like tafadhali
Zuri kabisa❤❤❤❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dogo kwa babutale ndio sehemu sahihi sana ulipotua usiangalie maswala ya Pesa ,sheria ya Pesa ipo kati na mwisho najua una safari Bado unakua angalia mikumbo na matamanio yanaweza kukuzidi ila chunga kibri kisije kukuendesha changamoto zinaweza amua kesho yako mbovu au kesho nzuri❤ wewe ni mdogo kwangu sana lakini natamani makubwa juu yako founder👊 keep it up Young Bro
huyu dogo ako sawa kabisaaa, i am from kenya but your songs bro are hitting. Wapi likes zake FOUNDER
GEN Z KENYA LIKES🇰🇪🔥✌️UYU DOGO ANA TALENT KWELI ONE LOVE TZ🇹🇿
Wa kwanza jamani,dogo upo juu jamani,twakupenda kutoka 🇰🇪🇰🇪
Hii ngoma tunaomba ifikishwe crown 👑 hapa ni nyumbani 🏠 let's go 🔥🔥🔥🔥
hawawez kumuita huyu dogo yupo chini ya babu tare ni product ya WCB
Unajua,mdog,wangu,kazah✍️💯💯🎹🎤🎙️
Found tz ni atari kuliko wengine ebu gonga like Yako apa tujuwane
Wapi likes za founder toka Kenya ❤❤❤
Nomaa noma na nusu like inakataa kwangu
Founder Tz On Top🔥🔥 Nipe Hata Like 300 Guy's👏👏 Kama Ngoma ZAMANI Tumeipokea Vizuri
Inakuaje, nahitaji tufanye kazi moja
Kizazi kipya hichi hapa, kama unakubaliana na mimi gonga like hapa ili kumsuport mdogo wetu @foundertz 🔥 🔥
Very nice kijana keep it up 😢🎉😢🎉😢🎉@Professor Relax from Kenya 🇰🇪
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 force a toi jeune 🦁
Mi ni mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ila nipo uharabuni Qatar 🇶🇦🇶🇦🇶🇦 dogo ameweza👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 nipe like if unashabikia founder
Aliyekuuliza Nani kama upo uarabuni
Kimoja brother+254 twamkubali dogo
@@wb_kid5 wewe
Wa kwanza mimi nipeni like zangu 😂😂❤❤❤
Kaza dogo mungu Yuko pamoja na wewe🎉
Aisee huyu dogo azina ya baadae hapa bongo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Founder tena 🔥🔥👑
First one ❤
Mimi wa kwanza naomba like kama 10 bc❤
Kama UNAMKUBALI mndogo wangu founder weka comment hapa
ANYONE FROM KENYA PIGA LIKE as we reject finance bill
#kenya
Kijana wangu mkalii xana 🇧🇮
❤❤❤❤❤❤ From burundi dogo ANAWEZA SANA 🎉🎉🎉🎉
Uyu dogo ni mukali🎉
Naipenda nyimbo zako sana good job little boy much love from KENYA 🇰🇪❤❤❤
Noma sanaa
Dogo unajua from my heart ❤️ dogo Mkali sanaaa Mungu akubariki sana mdogo wangu
Na like kiniwa 🇲🇬🇲🇬 ila kumbuka watu wa kigoma tuna kupenda sana mtoto wetu pambana na sisi tuna pambana uko oman💸💸🇹🇿🇹🇿♥️♥️
Ume tungaje apo zamini❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kutoka hapa Wisconsin USA 🇺🇸🇺🇲 pamoja sana
Naku fwatiliya sana mwanangu toka kongo 🇨🇩, endeleya ku Challenging Your Dreams #founder ❤🎉🎉🎉
Respected to you Founder mwili mdogo mambo 'na mawazo makubwa
Huyu kija atakuja kuwafunika wasaanii wengii anakipaji kikubwa kama wa wazo yako yako kama yangu juu ya msaani wetu Faunder tz gonga like ifike 2k
Twaitak vidio man hii ngoma kiukweli imenigus vzr twende kaz mtto unajua
Wa kwanza huku🎉🎉🎉
Hyu dogo ni hatar sanaa.. jarbu kufikilia ni nani alianza kwa umri mdogo na akatoa ngoma kama za hyu dogo. Tumpe like zake founder tz
Mashallah hii ni ya maana sana iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kana nawew umeiyona moto gonga Like twendeni sawa
Kigoma Bado tuko na wewe kama unapenda vipaji kutoka kigoma gonga like hapa
Huyo ni mrundi ww katokea kwenye Kambi ya wakimbizi ww,
@@omarylukindo5306sio Mrundi ni Mcongo
Tunapenda vipaji tokea Tanzania kwetu usiseme kigoma
Lakini alitoka uko akaanza kuishi wapi?@@omarylukindo5306
😂😂mkongo mtoto wa watu@@omarylukindo5306
Wakenya wa senge kazi utapeli tu acheni shobo na nchi yetu .mabwabwa
😂😂😂we senge
@@shaddoofficiodpozz3297 we kumamayo
Huyu kijana anaenda mbali sijui wangapi wanakubaliana na mm🤗
Huyu dogo kweli katisha kama unamkubali achia like tukisonga,,,,,
HUU UPENDO UMEPOA💕💕💕 OYA WEEE MZIKI MTAMU GONGA LIKE ZANGU HAPA
Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤
One Love song ...nakupata nikiwa Katoro Geita.. dogo tupo pamoja nawe
Dogo founder ni fundi kama unakubali naomba like Jameni hata 20❤❤❤