As long hujapewa talaka dida bado ni mke wa mtu labda ujitoe ufahamu tu lkn kama kweli unaijua dini huwezi subutu na kusema umeachika wakt bado hujapewa talaka ni mke wake halali kabisa
Ila dida ukiwa Kama kioo Cha jamii hutakiwi kuolewa na kuachika ukafurahi. Angalia watu wengi wapo nyuma yako wanatakiwa wajifunze kupiria kwako. Kuolewa na kuachika mara 4 sio ufahari kabisa. Muombe MUNGU Hilo Pepo litoke uvumilie kwenye ndoa alafu wadogo wako huku chini tukajifunza kupiria kwako
Mtihani kweli kweli yaani kama hata ndoa za mwanzo hakupewa talaka sijui kama ndoa ya muheshimiwa ni halali jambo muhimu waume muwe mnatakiwa kuiyona talaka kwa mtarajaliwa wako kama alishawahi kuolewa
Yaaani harusi ilivyotangazwa kipindi watu wakatoa michango mikuuubwa harusi kuuuubwa afu ukaa ndani ya ndoa miezi 2... yaani wanajuuuta na michango yao kabisaaaaa
Ukiwa unachwaachwa jiulize una kasoro gan shida yawewe Uwezi kukaa na mwanaume eshima una Domo limekizd yan wewe ni km oteli 2 watu wanalala wakiamka wanasepa jichunguze alafu chukua atua
Dida umeckia vzr kwenye mitandao na miwani yako km mchomelea mageti 🤣🤣usituzeveze hp 🤣🤣nadhn dida ndoa ilimshinda kwa 7bu ya kumbi la moto kuoa mke wa 3 🤣🤣🤣sawa Huna mume tumekuckia na sio single lady ni single mother ww bhn lady itokepi🤣🤣🤣
Leo tunaandika ukiwa haupo duniani mungu akulaze mahali pema peponi
Dida nakupenda sana yani mungu akupe maisha marefu my dear
😢
Amelala dadaaaetu😢
😢😢
As long hujapewa talaka dida bado ni mke wa mtu labda ujitoe ufahamu tu lkn kama kweli unaijua dini huwezi subutu na kusema umeachika wakt bado hujapewa talaka ni mke wake halali kabisa
Daah masikin dida😭😭😭😭mungu akulaze mahala pema pepon amina
Dada dida Huwa nakupenda sana nimuwazi sana huwa upendi kukaa nakitu moyoni mungu akujaalie
Kamaliza😢😢
Mungu akupe kauli sabiti dida wetu tutakumis sana zidi ya sana
Kwani dida una kitu gani special na kikojoleo kama cha wenzako
Mdigo wengi dida yamekukuta 😂😂 unawatizama na kucheka Mpka rahe nimejikuta nacheka nikitazama lokole na baby ali
Mungu akulide mahali peponi dida wg
Pole sana kwa kumpoteza dida jamani
Si kwa uvaaji huo dida umeshakua mtumzima ujiheshimu uvae vizuri my
Nakupenda sna my sista
Ila dida ukiwa Kama kioo Cha jamii hutakiwi kuolewa na kuachika ukafurahi. Angalia watu wengi wapo nyuma yako wanatakiwa wajifunze kupiria kwako. Kuolewa na kuachika mara 4 sio ufahari kabisa. Muombe MUNGU Hilo Pepo litoke uvumilie kwenye ndoa alafu wadogo wako huku chini tukajifunza kupiria kwako
Dida nakupenda sana mungu akupe maisha marefu
Maisha yameishaa
@@OccerIkigodua za kuku
Ingependeza kumuombea Allah amuongize kufany matendo mema kaul yko ingefany kaz had wakat huu
Amin
Dida kacharuka huyooo😁😁😁
Mtihani kweli kweli yaani kama hata ndoa za mwanzo hakupewa talaka sijui kama ndoa ya muheshimiwa ni halali jambo muhimu waume muwe mnatakiwa kuiyona talaka kwa mtarajaliwa wako kama alishawahi kuolewa
Kabisa tena mtoto wa kislamu anaongea maneno kama hayo kweli yani hana hata hofu na muumba wake nasfi inamuhadaa
@@zainaabdallah809ukweli umedhihir kaka
Hawa kweli walikuwa wanapendana
Nakupenda sana Dida kwa msimamo wako
Lovely 🌹 Da dida
Dida alijitapa kumbi lamoto yupo nae miaka2 hakuna asichokijua kuhusu mh sasa kiko wap ndoa miez 3 😁😁
alisema miaka saba
Alisema miaka saba😂
@@Assam8885 ndoa miezi tatu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@heyumi2340 😂😂😂😂
@@salmahabdallah7203 hatariiiiiiiiiiii
Dida kama sio wewe vile,,,lingekua na mwingine ungecheza atareee🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Ndio basi tena dida imebaki history my wetu pumzika kwa amani😢😢
😢😢😢
Mh Yani ungwkikua wa maana nungesema ila unavyojipaisha nakuona hovyo sanaaaa ww dada
Dida kama dida ilanawapenda tu mnapo washushua pia mnajishushua love sana didaaaa mke halali muheshimiwa kimbilamoto
Nimecheka mpaka nimesaau shida zote za dunia,endeleeni kutufurahisha,
Leo,leo ni yako Dada kila siku ya wenzio leo Yakooo
Pua kama tunguja unajishebedua tuu eti mimii adija mpuaa .ulipoolewa hukujua yule kumbilamoto hana mke acha wehu
Dida tunakupenda sana, hongera kwa kazi yako nzuri, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
Kaz yke haikua nzur nasas ndo wakt wakumuombea kwawing
Sasa huyo dida gume gume alioshindikana aolewe na nani labda mwanaume ambae hajitaki
@@fadhilaongezaongeza226 mwanamke mcharuko kama huyo wa nini huyo ni msumbe sugu haoleki hata Kwa nini
Ina lillah waina ilah rajiun msibaa huu
Swadakta
Na kafa kwel 😢
Kwanini mnachangishaga watu michango lakini hasara tu
Dida leo kapatikana😂😂😂😂😂😂yupo out in 7 months 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂mdomo komoooo😂😂
Sanaa hidari wa kusema ya wenzake
Inna illah waina Lilah lajoun Mungu akusamehe kwa yote ..akupe kauli thabiti
😭
Yani siwezi kosa hiki kipindi chenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Dida anakuwa mkali 🤣🤣🤣🤣
sanaaaa amevurugwa
dida una pua kubwa sana limekaa kama LA kiume loh, ucwe unawasema wenzio
HaCker wa video za WASANII ANASWA Kenya
th-cam.com/video/iPYLzGpU5pE/w-d-xo.html
Hahahaha
😅😅
🤣🤣🤣daaah mungu akusamehe bure
Dida co mzuri ni wakawaida Sana sema ni hela Zina mbeba anajipendezesha ndio mana anaonekana hivyo na umaarufu pia unambeba.
Dida Mimi nakupenda sana
Umaarufu wakupewa nawatu so mzuri😢
Wewe dida Rudi Kwa mmeo Acha ujinga umeshakuwa MTU mzima
Dida leo😂😂😂
Jameni dida haezi rudi uzito wakaburi Ajuwae nimaiti dida siyo mnafik nakama dida Amerudi hege ficha
Juma kwa umbea jamani afalio tuzo🤣🤣🤣
Dida jaman nakupenda buru 😂😂😂😂😂😂😂
Mzee wa kitaa hajui kucheza anarukaruka tu kama wazungu, ila Jumma lokole. Kiboko yupo vizuri sanaaa
Miss you😢😢😢😢
Hahaha Dida jmn🤣🤣🤣
Sio kua huna ndoa,ni imeachwa sababu Una domo kubwa na linanuka,na nilikuambia waniacha mm Kwa sababu Una kazi Ila nilikuvumilia na domo la kunuka
😢😢😢😢😢
Dida bado hajaachika ni mke WA MTU izo mbwembwe za TV Tu dida ni mke halisi WA MTU ni kweli Hana achika
Yaaani harusi ilivyotangazwa kipindi watu wakatoa michango mikuuubwa harusi kuuuubwa afu ukaa ndani ya ndoa miezi 2... yaani wanajuuuta na michango yao kabisaaaaa
Yaan ni hatari sana
🤣🤣🤣🤣
Anajua mwenyewe yaliyomkuta
Yamemfika leo Dida🤣🤣
Jamani mke huyo hamtaki kuowa hapo😶
Mtihan
WADADA TUHESHIMU NDOA KUZINI TUNAMUUDHI MUNGU ALLAH ATUSIMAMIE
Ndoa yako ipo kwangu
Namunukuhu didy. I'm single lady lol 😜
akili za Dida nazipendaaaaa😂
Saaana
😂😀😁😀 wallai hawa
Ukiwa unachwaachwa jiulize una kasoro gan shida yawewe Uwezi kukaa na mwanaume eshima una Domo limekizd yan wewe ni km oteli 2 watu wanalala wakiamka wanasepa jichunguze alafu chukua atua
Nilijua tu akuna ndoa zilikuwa sinatafutwa hela wachangiwe wapige pesa duuuuuu
Juma mungu anakuona walah 😄😄
I just love Dida wallah.😅😅
Dida pole dada ake ndio kazi
Suruali ya Juma tu mie hoi
Manake kwanza nicheke😂😂😂😂😂
Dida Jimbo liko waziiii eeeeeee
Mnanikosha sanaaaa nyie vijana yaaani naipenda sana Mashamsham 😢 yaaani ukiwa na mawszo. SIKILIZA MASHAMSHAM
Dida kama makaka umepata SEMA lingine
Dida weee
Dida maneno unayatupa ayo mwanaume anao akiamua ata mke uweje so chunga maneno
😢😢
Kwa uzuri ngan ukatae kuolewa mke wa 3 sura km nyani looooooh!!!
Kwani kajiumba yeye unamkosea Mungu unamtusi Mungu , MUOMBE MSAMAHA Mungu!
Subhanallah
Dida mbona umekuwa mkariii😅😅
Did katulia kama.maji ya mvua
Ndoa ni kher
Wote weu
Nice
😢😢😢😢😢😢😢
Are you serious guys?
😂😂😂😂
Walikuwa wanamchamb na kigodoro
Ndoa nikujamiana kma hakuna hilo hakuna ndoa hp
Leo wakwanza ❤️🤣
Dida ❤️
Partner😄😄😄
Yn dada libaya xn ili sjuw huko chini kupoje mana ilo domo nahuko chini ndo kupo pwaaaaa km ilo domo mfyuu
Ikija posa hatupokeii unatusumbuaa
ATI kwa shepu, ipi hyo anaongelelea 😂😂
Naili uwachike lazima uwe nataraka
Taraka sio lazima swala ni kuachana tu kama mmeshindwana
Jeni uelewi uislam,taraka razima nandowa aifungwi nyengine bira yataraka,yeye iyo ndoa aliyo ifungwa yapili lazima awenataraka kwaivyo ndowa yake yapili ilikuwa patiri
Kama kitu ujuwi bora yake kimya tu wewe wajuwa nini kuhusu swala la talaka 😏
@@lailaoman3856 talaka hata akisema kwa mdomo bila kuandika inaswihi
Talaka lazima bila talaka hata aende wapi haolewi
@@sikukuuchuo3093 talaka sio lazima iandikwe hata akisema kws mdomo nimekuachs instosha iwe mwanamke au mwanaume akitamka ty umeachika au umemuacha
Dida umeckia vzr kwenye mitandao na miwani yako km mchomelea mageti 🤣🤣usituzeveze hp 🤣🤣nadhn dida ndoa ilimshinda kwa 7bu ya kumbi la moto kuoa mke wa 3 🤣🤣🤣sawa Huna mume tumekuckia na sio single lady ni single mother ww bhn lady itokepi🤣🤣🤣
Kumbe dida aliolewa mke wa4
Dada dii💓
Duuuuuh mitambo hiiiiiii
ACHIKEE NINIII JICHOOO LA YULEE BABA NI TAMU MNOOO
Dida km umerudi kwa mume sio vibaya! Kwani kuna ubaya gani! Umekuwa mkali! 😅
Jimbo hiloooo
JIMBO LIPO WAZI
Huwa mnanifulahisha sana nyie🤣🤣
Kwani lazima utoe hadi makohozii 🤣
Lokole bana
🤣🤣🤣🤣ni mchelee huooo
Kelele tupu hamna nidhamu hovyo kabisa.