MashaaAllah uzuri dini yetu ya uislam haijataka muislam apate shida ila watu tu hatuelewi clip Tam sana vijana watumie vipaji walivyotunukiwa na Allah mwenyewe
Asalaam alyekum yani katika jambo mashekhe wetu wamefanya kitu kizuri ni kuwalika hawa wanamichezo wetu ni njia sahihi pia kuwatumia wasipotee katika njia sahihi in sha Allah
Siku utakapozunguukwa nA wahuni wakakupora na kukukong'ota vizuri Ndio utajua kuwa ni muhimu muislamu kuwa jasiri na mwenye ujuzi wa kupambana na mambo kama hayo yakikutokea
@@shavanyyahya5153 qur An imekataza kuharamisha vilivyo halalishwa wala kuhalalisha vilivyo haramashwa sasa unaposema mchezo huo niharam inatakiwa utoe ushahidi wa AYA au HATHIDHI nawala siokuongea tu kavukavu 👂👂👂
Haraam haifai Sheikh wacha kutumia Hadith za mtume kupotosha umma , Allah hapendi mja wake apigwe usoni nahuu mchezo wangumi ili upate pointi lazima ngumi iende usoni huoni Hilo no Jambo Haraam kabisa Allah anakuona na ataenda kukuuliza.
Allah amekataa mjawake kupigwa usoni na point ya ngumi ni mtu umpige usoni , kiupande wangu jinsi nilivosoma Jambo la ngumi za namba hii no Haraam na Allah hapendi
Kuwa muislam ni bahat sana 🤲
Mawahabi kuweni na inswaafu kwa mashekh zetu
MashaaAllah uzuri dini yetu ya uislam haijataka muislam apate shida ila watu tu hatuelewi clip Tam sana vijana watumie vipaji walivyotunukiwa na Allah mwenyewe
Mchezo wa boxer ni Haramu.
Kipozeo anacheza na Akili za watu tu.Uhuni mwingi
جزاكم الله خيرا على هذا
Asalaam alyekum yani katika jambo mashekhe wetu wamefanya kitu kizuri ni kuwalika hawa wanamichezo wetu ni njia sahihi pia kuwatumia wasipotee katika njia sahihi in sha Allah
Huyu Shekhe kipozeo ana kipaji cha hali ya juu sana. Na ni mwenye upako.
Jazakallah khayran
Mbona fupi utam unakata
Allah awalipe kheri kwa kutuelimisha
Ukiwaona Kama wanaume kwel Kumbee hata Ndevu wananyoa.Si wangeweka ndev kwanza ili wawe Masheikh kweli.
Ungekuwa kimya na wewe ungeonekana kama mume lakini hukuweza kustahamili.
@@omarsakawa2070 Ko Mtume alikaa kimya?Hakueleza kuwa mtakapoona Munkar Fanyen nn??Acha maneno ya Watu wajinga wasio na elimu.
ila kiukweli ile michezo ya ngumi ni ya kishetani sizani kama allah anayakubali riski haram kabsa ile😭😭
Umesikia alichosema!! ??
@@shafiismaily9223 na wewe umeelewa nilichokiandika
Siku utakapozunguukwa nA wahuni wakakupora na kukukong'ota vizuri
Ndio utajua kuwa ni muhimu muislamu kuwa jasiri na mwenye ujuzi wa kupambana na mambo kama hayo yakikutokea
@@shavanyyahya5153 qur An imekataza kuharamisha vilivyo halalishwa wala kuhalalisha vilivyo haramashwa sasa unaposema mchezo huo niharam inatakiwa utoe ushahidi wa AYA au HATHIDHI nawala siokuongea tu kavukavu 👂👂👂
Kweli!! kupigana kwa kutafuta pesa haifai) ukijifunza kwaajili ya kujirinda na wahuni, wezi na wengine kama hawa yafaa kufanya hivyo.
Allahu ya alaam
Mashekh wa kisufi mnapotosha watu sana
Mashallah. Dah hii Crp fupi sana Shekh bado tunapenda kumsikiliza imekatikia chiani
Shekhe swaimu Kuna kitu unatakiwa ukiangalie sana katika mic Yako maana sauti in muungurumo sana
Hiyo mic itakua imewekwa kwenye spiker inayotoa sauti sasa spiker na mic kuna mvutano wa sumaku ndio inaleta hiyo hali
Haraam haifai Sheikh wacha kutumia Hadith za mtume kupotosha umma , Allah hapendi mja wake apigwe usoni nahuu mchezo wangumi ili upate pointi lazima ngumi iende usoni huoni Hilo no Jambo Haraam kabisa Allah anakuona na ataenda kukuuliza.
Washekh waovu hao allah hawatarzama siku ya mwisho
bado wanachekesha tu
Mbona fupi utam unakata
Allah amekataa mjawake kupigwa usoni na point ya ngumi ni mtu umpige usoni , kiupande wangu jinsi nilivosoma Jambo la ngumi za namba hii no Haraam na Allah hapendi