Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @zainabjuma9168
    @zainabjuma9168 2 ปีที่แล้ว +3

    Umefikisha na tumethibitisha, na hayo hayo uliyoyaacha bado yanaendelea, Allah akuhifadhi uliko wewe na wale wote waliotangulia Amin,wewe utakufa na wao watakufa Kisha kwake yeye mtarejeshwa.

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 7 ปีที่แล้ว +10

    allah amrehem shekh hassan ilunga nawooote walio tangulia mbele ya hakiii

  • @yahyanduwayo6209
    @yahyanduwayo6209 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akurehemu sheikh Illunga

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

    Sheikh ilunga yupo sahihi sana kapigania sana uislamu nampongeza sana

  • @binmungiadinininasahachane5888
    @binmungiadinininasahachane5888 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezimungu amjaalie kila la kher jannat firdaus iwe makaz yake amiin

  • @omhssana3064
    @omhssana3064 9 ปีที่แล้ว +7

    RAJABU illunga alikuwa noma mungu amlaze mahali pema

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amlaze pema na jami islam

  • @omhssana3064
    @omhssana3064 9 ปีที่แล้ว +3

    RAJABU.H.HOZZA illunga basi tena mungu akuhifadhi

  • @abdulkareemally8371
    @abdulkareemally8371 7 ปีที่แล้ว +4

    Ilunga tumekuelewa na tunatenda . sisi ni mayiti na tutarudi kua mayiti.

  • @sw832
    @sw832 2 ปีที่แล้ว

    Ukweli unauma kila mtu ana jua kama Nyerere ndio aliyo ya fanya hayo! Leo yuko wapi!? Ukipanda pili pili utavuna pili pili tu! Shekhe mungu akupumzishe peponi Amiin

  • @chiambabakali5412
    @chiambabakali5412 6 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe kher huko uliko

  • @ahmedghoth4945
    @ahmedghoth4945 7 ปีที่แล้ว +4

    takkbiiirrrrr

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 5 ปีที่แล้ว +2

    Waaao takbir

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 2 ปีที่แล้ว +1

    Genius

  • @ahmedghoth4945
    @ahmedghoth4945 7 ปีที่แล้ว +4

    pwani yooooote ilikua milki ya waislamu yooote

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwa ujinga wao wenyewe, kila siku wanawauzia makafiri na wanaona ufahari kufanya hivyo, Leo makanisa yanachipuka kama uyoga!!!

  • @yusuflittanda2949
    @yusuflittanda2949 7 ปีที่แล้ว +4

    Wako wapi kama ustaadh Ilunga, ili ujumbe ufike

    • @muhajiryayub7406
      @muhajiryayub7406 5 ปีที่แล้ว

      yusuf littanda t

    • @hassansumera7818
      @hassansumera7818 3 ปีที่แล้ว +1

      Yupo mwanafunzi wa ustadhi Ilunga anaitwa ust.Adili Yuko dodoma msalata

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 7 หลายเดือนก่อน

    Anahubiri chuki tu. Hana jipya

  • @ramadhandaudi6591
    @ramadhandaudi6591 5 ปีที่แล้ว +4

    huyu si mpumbavu anakuamsheni mliolala

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 4 ปีที่แล้ว

    Makafiri wana nguvu ya kishetani

  • @farajafares
    @farajafares 11 ปีที่แล้ว +2

    wewe ni mwehu usitugombanishe watanzania kwa itikadi zako za kipumbavu, fikiri tofauti

    • @swahibubugufi8181
      @swahibubugufi8181 7 ปีที่แล้ว +3

      Kila msema kweli siku zote huwa Mwehu hilo tunalijua sana.

    • @sistymbombo397
      @sistymbombo397 5 ปีที่แล้ว +1

      mbumbumbu haya madrasa zilitaifishwa? pumbafu swain utachomwa moto kwa chuki zako

    • @askofkobogo4361
      @askofkobogo4361 5 ปีที่แล้ว

      ww hujielewi

    • @chinaboy3983
      @chinaboy3983 4 ปีที่แล้ว

      ww ndo mwehuu,,,

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@sistymbombo397 mbumbumbu wewe!!

  • @salumcoleman7980
    @salumcoleman7980 11 ปีที่แล้ว +1

    huyu bwana ananekana hajielewi

    • @askofkobogo4361
      @askofkobogo4361 5 ปีที่แล้ว

      mamak nd hajielewi

    • @chinaboy3983
      @chinaboy3983 4 ปีที่แล้ว +1

      wew ndo hujielewi hata kusoma na kuandika hujui

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Toa hoja, usikurupuke!!!

  • @alphoncegwandu6057
    @alphoncegwandu6057 2 ปีที่แล้ว

    Pumbu kweli

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว +1

    Mim nafkri km unataka kulalamikia utawala inabidi ulalamikie ccm maana huu ni mfumoccm tulionao sio mfumo kikristo hata iyobakwata imeundwa na utawala wa ccm, kwahyo acha kuwasingizia wakristo labda km unania ya kuwa chochea wasiojitambua na kusababisha vita ya kidini, wakt ktk maisha yetu waislam na wakristo ni ndugu wa damu, kwa sababu hakuna mkristo asie kuwa na ndugu muislam na hakuna muislam asie kuwa na ndugu mkristo, kwahyo wewe hauna dhamira nzuri na watanzania, acha kutuchochea,
    km wakulaumiwa ni ccm tu, acha kupotosha

    • @fatmawakati8098
      @fatmawakati8098 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe tafuta maana ya ccm utajua kama ni mfumo kirsto. Mbali na maana ya chama cha mapinduzi

    • @hassansumera7818
      @hassansumera7818 3 ปีที่แล้ว +1

      Ccm ndio ipo ndani ya mfumo ndio maana haiwezi kutenda uadilifu baina ya waislam na wakristo huo ndio mfumo, he unakukumbuka hutba ya member bungeni kuhusu Tanzania kujiunga na OIC Kisha akakengeuka.

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 2 ปีที่แล้ว

      Huyu ilikua lazima afe

    • @simonmwandu2214
      @simonmwandu2214 2 ปีที่แล้ว +1

      @@igurusitv6553 wew huta kufa?

    • @yassinnuru4758
      @yassinnuru4758 ปีที่แล้ว +1

      Allah akuepushe na Adhabu za kaburi

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 11 ปีที่แล้ว +2

    we naona ndio mpumbavu hivi haya yanayotendeka bado unajiona wewe ni mwerevu ndio nyinyi Nyerere kisha mnakufa na njaa kisha mnalalamika ,safari hii mtaelewa tu nyie

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 ปีที่แล้ว

    Bado hujitambui waislam wanashida gani hapa nchini kwani mkoloni alikua anawatawala waislamu pekee hovyo Sana wewe

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Mjinga wewe, inavyoonekana hujui historia ya nchi hii!!!!

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 4 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo we hujui historia na akili yako bado Ni ndogo Sana