Mna matatizo kweli halafu hadi hao Wazungu wafike Afrika Mashariki Waarabu wanawachukua utumwa na kuwaua. Hampendi kusema hayo, badala yake mnabadilisha kwamba hakuna Waarabu waliochukua watu kuwa watumwa. Hampendi ukweli, ila kelele za ajabu tu!
@@mkude ni kweli walisaidiana na machifu kuuziwa watumwa na kupeleka Bagamoyo wakawapandishe kwenye meli zao. ✍️ Mwarabu alifika kutafuta watumwa kabla ya Mjerumani hajafika Tanzania. ✍️ Najua ni vigumu kumeza ukweli, lkn huo ukweli habadiliki kwa uwongo na propaganda. ✍️ Nenda pale Bagamoyo Mkude, utaona na kujifunza kwenye makavazi ya taifa. Unaonekana historia hujui kbsa. ✍️ Nenda na Zanzibar ukajifunze soko la watumwa lilikuwa wapi, na nani walifika kukomesha huo ukatili. Pole sana! 🙏
Allahummaghfirahu warhamhu waskinahu firjanna
Mwamba alkua vzur sana uyu!
Ndiyo mzeee
Na ata akipewa uongozi mkiristo ni kunyanyasa watu Tena kwahali ya juu sana
Akili ni nywele .
Mna matatizo kweli halafu hadi hao Wazungu wafike Afrika Mashariki Waarabu wanawachukua utumwa na kuwaua. Hampendi kusema hayo, badala yake mnabadilisha kwamba hakuna Waarabu waliochukua watu kuwa watumwa.
Hampendi ukweli, ila kelele za ajabu tu!
Mwarabu yupi aliyekuuwa wewe
Wewe ndo mgonjwa kweli kasome historia acha kuongea Kwa chuki mwarabu alisaidiana na machifu kuigana na mjerumani wewe upo Dunia gani wewe
@@mkude ni kweli walisaidiana na machifu kuuziwa watumwa na kupeleka Bagamoyo wakawapandishe kwenye meli zao.
✍️ Mwarabu alifika kutafuta watumwa kabla ya Mjerumani hajafika Tanzania.
✍️ Najua ni vigumu kumeza ukweli, lkn huo ukweli habadiliki kwa uwongo na propaganda.
✍️ Nenda pale Bagamoyo Mkude, utaona na kujifunza kwenye makavazi ya taifa. Unaonekana historia hujui kbsa.
✍️ Nenda na Zanzibar ukajifunze soko la watumwa lilikuwa wapi, na nani walifika kukomesha huo ukatili.
Pole sana! 🙏
Yani wewe unashida
Acha udini usiokufikisha popote naona ukristo unawasumbua Sana vichwa vyenu
Achauhuni nawew yeye anazingumzia uhalisia inaoendelea
Huo ndo ukweli
Ukristo ni ushaitwani lazima utusumbue vichwa
Kwani kuna mbaya gani? Serikali yetu ikiwa ya kikistro!
Kuna ubaya gani serikali mkiwapa waislam??
Nyooo hata aibu huoni