Aliyekufa miaka 7 iliyopita na kufanywa msukule Kigoma arudishwa na nguvu ya maombi kutoka Dar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @JosephatMapunda-zj4bk
    @JosephatMapunda-zj4bk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mama,,Umefundisha Somo zuri la Imani namaombi,,

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mama kwa msaada wako hakuna Mungu alikupitishia hiyo binti Mungu akubariki sana

  • @rd-worldtv1500
    @rd-worldtv1500 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarik sana mama

  • @matthieumathaus9026
    @matthieumathaus9026 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwa sana mujakazi wa Yesu,Mungu ni mwema sana,na ana kupenda sana. Hakika una Mungu na una mpenda Mungu

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 2 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na utukufu nikwa MUNGU wambinguni 🙏🙏🙏 niushuhuda mkubwa mzuri sana umezidi kunitiya nguvu Kwa safari ya mbinguni ,na abarikiwe Mama Mtumishi wa MUNGU aliyesimama na maombi kwaajili ya binti luvness pamoja Mamake aliyetolewa kwenye msukule MUNGU wambinguni akazidi kumtumiya akarudishe wengi kutoka msukule apewe huduma kama ya Bishop Gwajima kwajina la YESU kristo naomba nakuamini Ameen 🙏🙏🙏🙏

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu anaweza yote

  • @kingkingos2932
    @kingkingos2932 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mueza barikiwa sana mama

  • @salamadickson8108
    @salamadickson8108 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeye ni MUNGU juu ya miungu yote barikiwa sana mama

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 ปีที่แล้ว

    Mama Mungu akubariki Sana tena Sana tuko pamoja

  • @SubilaJafeth
    @SubilaJafeth 28 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi MUNGU akubariki ninashida naomba namba yako

  • @maombivictoire4726
    @maombivictoire4726 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama Mungu akubariki sana tena zaidi ,Sweden tumefuata ushuhuda wako waajabu,naomba number yako ya simu.

  • @vivianrutaihwa6299
    @vivianrutaihwa6299 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mkuu sana

  • @florarichard2366
    @florarichard2366 3 ปีที่แล้ว

    God is great

  • @dionestermwinuka7520
    @dionestermwinuka7520 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani ww mama ungejua ulivyonisaidia basi tu.

  • @trisseyjackson9738
    @trisseyjackson9738 2 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kama hiki nilikuwa nahitaji shuhuda kama hili la roho mtakatifu. Nilipoteza mama pia ni miezi mitatu sasay. Moyo umepata nguvu za idiot na sita nyamaza mpaka mama arejee nyumbani.

  • @salamadickson8108
    @salamadickson8108 2 ปีที่แล้ว

    Napataje namba ya huyu mama

  • @Majison-qm2sv
    @Majison-qm2sv 5 หลายเดือนก่อน

    Mututilie numbers ya WhatsApp. Sisi tukombali

  • @florarichard2366
    @florarichard2366 3 ปีที่แล้ว

    God is great