PART3:MCHAWI ALIEPATA DEGREE YA UCHAWI TOKA GAMBOSHI AELEZA MAISHA YA UCHAWI NA MATUKIO YOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 2 ปีที่แล้ว +8

    This guy knows how to explain himself. Very clear and concise.

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 2 ปีที่แล้ว +9

    Bwana Yesu Asifiwe Milele na milele Amina 🔥🔥🔥🔥

  • @cynthiamuli7258
    @cynthiamuli7258 2 ปีที่แล้ว +8

    Jesus saves..He is Lord...kama sio Yesu sai angekuwa amekufa...KAMA UNAAMINI YESU NI MWOKOZI NA MUNGU...like hapa 👍

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 2 ปีที่แล้ว +1

      Isaya 9:6-7 Hakika Yesu kristo n Mungu Mkuu🙏

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr facts thank you for kazi nzuli#NAMBA ZA MCHUNGAJI TAFADHARI

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +2

    Ww Sema ombeni kwa dhehebu na kwa Imani yako

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 ปีที่แล้ว

    👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwa dini yangu Ata ukiingia chooni uombe ndio uingie

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

    ibirisi anatesa ivo ili kulupiza maan na yy anasubili mateso yake ko hawezi kuwa na huruma wakati yeye hatahurumiwa, tumwombe sana mungu wakati wote, tuache uovu na tamaa anasa za duniani

  • @josephngunzu6473
    @josephngunzu6473 2 ปีที่แล้ว +1

    Je, muulize kama alipigwa ile chapa ya uko gamboshi kama vile Zablon

  • @sharonwalubengo8567
    @sharonwalubengo8567 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa chakula cha msibani huwa hakiombewi

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasukuma ni kiboko ndio maana wanapishana na simba hawawadhuru. Hata awe na ngo'mbe mia porini hawaguswi na mnyama yeyote.

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio kula tu Ata ukitoka nyumbani omba dua

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vitalisonyango6708
    @vitalisonyango6708 2 ปีที่แล้ว

    Mzee upako

  • @dirimarasani4010
    @dirimarasani4010 ปีที่แล้ว

    Uwongo

  • @emanuelmwihambi7994
    @emanuelmwihambi7994 2 ปีที่แล้ว

    wa kawnz

  • @latifaiddy8657
    @latifaiddy8657 2 ปีที่แล้ว

    Manake kwanza hapo nichekeeee😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 ปีที่แล้ว

      Ana kwa ana na mungu 🤣🤣🤣🤣

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว

    Atari sana ayo mambo ya kichawi

  • @rebound2179
    @rebound2179 ปีที่แล้ว

    Kwa mara ya kwanza nimesikia mtu anayesema vile mimi huamini: kutumia jina YESU KRISTO badala ya Yesu tu. Nilielewa kitambo kwamba jina KRISTO ndilo lililo na upako. Kuna watu wengine huitwa Yesu. Na kuna Yesu bandia kutoka kuzimu wa manabii wa uwongoo
    ...😂😂😂😂😂
    Vile vile, mimi huwa sisemi tu
    "Bwana asifiwe", bila kuspecify ni Bwana Yesu Kristo. Sababu ni kuwa hata Shetani ni bwana wa wanaomwabudu!😂😂😂😃😃
    Isitoshe, hata kufuata watu wanaoitana Mungu bila kuspecify kwamba ni Jehovah au Yahweh, Mungu wa Abraham, ni mtego. Miungu ni wengi!😂😂😂😂😃😂

  • @tututz100
    @tututz100 2 ปีที่แล้ว

    Megapro

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 2 ปีที่แล้ว +1

    Amesema hapo amemuona yesu yule wa kwenye movie ndo aliye mtokea,je huyo ndo yesu halisi?

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 2 ปีที่แล้ว +1

      Kasema mfano wa Yule mtu alioigiza kwenye movie ya yesu bali sio Yule mtu yeye katokewa Na yesu halisi

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja toka cape town

  • @emanuelmwihambi7994
    @emanuelmwihambi7994 2 ปีที่แล้ว

    Mr nakuelewa san jesus ni mokozi

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 ปีที่แล้ว

    Yani huku bongoo wabibi woooote ni wachawi? Mbona hivio? Mambo ya mungu waliweka wapi?

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

    Huyo yesu mwenyewe ni muuaji Kwa ushahid wa Luka 19-27 andiko linasema na sasa Kwa wale maadui zangu ambao hawataki niwe mfalme wao waleten hapa mkawaue hapahapa mbele yangu na yesu alipomaliza kusema hayo akawatangulia mbele akaelekea yerusalem sasa sisi tutamfuataje mtu muuaji kama huyo ? Yaan anaagiza asiomkubali auwawe sasa tufuataje mtu wa namna hiyo? SI itakuwa kituko tena Cha Karne ?

    • @funny-videos-animation
      @funny-videos-animation 2 ปีที่แล้ว

      Yesu aliukubali utu, ili atuokoe sisi, kakini kabla ya hapo, yeye aliukua ni Mungu.
      Na sasa bado ya kutoa maisha yake msalabani, kufufuka siku ya tatu, na baadaye kupaa mbinguni, sasa ako jatika Utukufu wa Mungu aliokua nao mwanzoni.
      Somo hilo umelitaja, maana yake ni Yesu atakuja mara ya pili, kutoa hukumu kwa wanao mtumikia shetani.
      Yaani wale wamekataa kumkubali kama mwokozi wao.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว +1

      @@funny-videos-animation kamtolea nani maisha na wakat imeandikwa Kila nafsi iffe Kwa dhambi yake

    • @funny-videos-animation
      @funny-videos-animation 2 ปีที่แล้ว

      Iko hivi:
      18 Kwa hiyo, kama vile uasi wa mtu mmoja ulivyoleta hukumu kwa watu wote, hali kadhalika, tendo la haki la mtu mmoja linawafanya watu wote waachiliwe huru na kupewa uzima.

    • @funny-videos-animation
      @funny-videos-animation 2 ปีที่แล้ว

      Isaya 53
      1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia?
      Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
      2Maana, mbele yake Mwenyezi-Mungu,
      mtumishi wake alikua kama mti mchanga,
      kama mzizi katika nchi kavu.
      Hakuwa na umbo wala sura ya kutupendeza,
      wala hakuwa na uzuri wowote wa kutuvutia.
      3Alidharauliwa na kukataliwa na watu,
      alikuwa mtu wa uchungu na huzuni.
      Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu;
      alidharauliwa na tukamwona si kitu.
      4 Hata hivyo alivumilia majonzi yetu,
      na kubeba huzuni zetu.
      Sisi tulifikiri amepata adhabu,
      amepigwa na Mungu na kuteswa.
      5 Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,
      aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.
      Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;
      kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
      6 Sisi sote tumepotea kama kondoo,
      kila mmoja wetu ameelekea njia yake.
      Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu,
      ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
      7 Alidhulumiwa na kuteswa,
      lakini alivumilia kwa unyenyekevu,
      bila kutoa sauti hata kidogo.
      Alikuwa kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni,
      kama kondoo akaavyo kimya anapokatwa manyoya.
      Hakutoa sauti hata kidogo.
      8Alidhulumiwa, akahukumiwa na kupelekwa kuuawa;
      na hakuna mtu aliyejali yanayompata.
      Alifukuzwa kutoka nchi ya walio hai,
      kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
      9 Walimzika pamoja na wahalifu;
      katika kifo aliwekwa pamoja na matajiri,
      ingawa hakutenda ukatili wowote,
      wala hakusema neno lolote la udanganyifu.
      10Mwenyezi-Mungu alipenda kumwumiza
      na kumweka katika huzuni.
      Alijitoa mhanga kwa ajili ya kuondoa dhambi.
      Mtumishi wa Mungu atakuwa na wazawa;
      ataishi maisha marefu.
      Yeye ndiye atakayetimiza mpango wa Mwenyezi-Mungu.
      11Mungu asema:
      “Baada ya kutaabika sana,
      mtumishi wangu atafurahi.
      Kwa kuwajibika kwake kikamilifu,
      atatosheka na matokeo hayo.
      Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwadilifu
      atawafanya wengi wawe waadilifu
      Yeye atazibeba dhambi zao.
      12Kwa hiyo, nitamweka katika cheo cha wakuu,
      atagawa nyara pamoja na wenye nguvu;
      kwa kuwa alijitolea mwenyewe kufa,
      akawekwa katika kundi moja na wakosefu,
      alizibeba dhambi za watu wengi,
      akawaombea msamaha hao wakosefu.”

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      @@funny-videos-animation mbona mnapenda sana kumsemea yesu Kwan yeye Hana mdomo wa kujisemea nyie vip Mimi ninatakaka unipe andiko yesu mwenyewe aseme kuwa Mimi yesu nitakufa ili niwakomboe dhambi zenu. Andiko wapi yesu anasema mwenyewe mnataka kudanganya watu hapa