PART2:MCHAWI ALIEPATA DEGREE YA UCHAWI TOKA GAMBOSHI AELEZA MAISHA YA UCHAWI NA MATUKIO YOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 2 ปีที่แล้ว +6

    🔥 BWANA YESU ASIFIWE 🔥mutumishi Davista aksanti sana kwa kutuleteya ushuuda ya Mchungaji uyu 🙂ana utulivu , unyenyekevu sana , teaching anointing ana nayo kweli nina jengwa tena kwa kumusikiya ..❤️ team yote na wapenda..n'a wafunika na Damu ya YESU❤️ vijana kama nyeye munatumiya socio-media ku okowa nafsi ningi ❤️new generation of young missionaries❤️vous êtes une grande source d'inspiration pour moi ❤️ Je vous aime de l'amour de CHRIST💃Tanzanians don't take it for granted...you are blessed 💃

    • @youngafricans7361
      @youngafricans7361 2 ปีที่แล้ว

      @@benjathekingofficialshows zidi kubarikiwa sana

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod 2 ปีที่แล้ว +2

    God bless you so much davistar.

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa?davista we mtu safi sana bro

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamn watu Mtumishi kasema baadhi sio wote jmn watoto wa ba mdogo muelewe Ni baadhi sio wote

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 2 ปีที่แล้ว +5

    Hatuwezi kukasirika sababu halina ukweli yeye ndio kapotea mtu mwenye akili timamu hawezi muita binadamu Mungu.yesu harudi asome vitabu vya dini vizuri vyakale elimu yake bado mtu alikuw mchawi eti leo mchungaji awa ndo wanao jificha kwenye mwavuli wa dini awachelewi kumiliki majoka iwape maono.

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว

      Nakusihi tu Hakikisha unatenga Muda wako kusoma.
      Vijana wengi wa kiislamu hamsomi uislamu na kufatilia vizuri.
      Wafilipi 2:9-11
      [9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
      [10]ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
      [11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว +1

      Ushahidi kutoka ex muslims kote duniani unaonyesha wazi wazi allah ndiye shaitana na muhammad alikuwa wakala wake.....
      FIKIRIENI SANA NDUGU ZANGU WAISLAMU!!

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc 2 ปีที่แล้ว

      @@issajumamwinyi6191 laana ikushukie.

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว

      @@salma-fc4xc \
      Pole sana dada .....Nimekingwa na Damu ya Yesu...
      ndugu zangu waislamu tokeni gizani...

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว +1

      @@issajumamwinyi6191 Hakika umesema lililo la kweli na haki, Muhammed si mtume wa Mungu, alipokea utume kwa kushikwa na homa na kudhani kua kachezea na mashetani, mkewe ndie anamwambia sio mashetani..
      Roho wa Mungu hashukiagi hivo watu msidanganywe.

  • @honestema
    @honestema 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh Leo ndo nimejua maziwa yanachakachuliwa unawekewa ya kiboko duuuuh Noma sana,🤗🙌

  • @myemail1517
    @myemail1517 ปีที่แล้ว

    I love the way he answers questions... He does it perfect.. I really learn from this testimonies alot

  • @minjanavigator8552
    @minjanavigator8552 2 ปีที่แล้ว +1

    GOD BLESS YOU DAVISTAR

  • @witness8760
    @witness8760 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani acheni kuzungumza vibaya kuhusu dini za watu! Yesu hana dini, anatupenda woote, mwenzenu nilikuwa wa dini na Yesu ameniokoa, na katika hizo dini ana watu wake na atawaokoa tu! Mbarikiwe wote Kwa jina la Yesu🙏🏿🙏🏿

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว +1

      wewe ni wale ukiona nyumba inachomeka unazima na mafuta ya taa....ushindwe katika Jina la Yesu!!

    • @witness8760
      @witness8760 2 ปีที่แล้ว

      @@issajumamwinyi6191 🤣🤣🤣🤣

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว

      @@witness8760
      Yohana 14:6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia NA Kweli NA Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.
      Waislamu wanafunzwa kumkana Yesu pale madrasa na misikitini eti sio Mwana wa Mungu >>>> MOTONI!!
      Yohana 3:36 Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatauona uzima bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake daima.”

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwann wachawi wanapenda fisi Kama usafir,story nyingi za wachawi nasikia fisi Kama usafir,,Kwann hawatumii wanyama wengine Kama tiger ,swala n.k

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 ปีที่แล้ว +1

    Sitaki tena maziwa

  • @cynthiamuli7258
    @cynthiamuli7258 2 ปีที่แล้ว +2

    Muslims mjue Mohamad hana mbingu...na dini yenu ni ya chuki...kila andishi ni mchukie adui ambaye ni muasi mkristo...Tokeni kwa hio dini...inawaootosha! Mtakosa mbingu kwa kuabudu Misikiti na maandishi yenu ya chuki tu.Asante🙏

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว

    Gob bless you Davistar

  • @macamezunguzungu241
    @macamezunguzungu241 2 ปีที่แล้ว

    Mr everything 🙏💪

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 2 ปีที่แล้ว +6

    Matendo Mkuu ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu kristo 🙏🙏🙏

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 ปีที่แล้ว

    Mr facts

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 2 ปีที่แล้ว

    👌👌

  • @user-mq2ip3dh4v
    @user-mq2ip3dh4v 3 หลายเดือนก่อน

    Nadhani kutokuwa na elimu kwa HUYO anaejiita mtumishi ndio tatizo. Nimekusikiliza Toka mwanzo nimegundua hujui kitu. Unanasabishaje uislamu na Gamboshi? Hujasoma ndio maana unaropoka tu..!

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 ปีที่แล้ว

    Mr Facts anatuma moto🔥 Gambosh 😂.Utachukuliwa msukule usiku 😂

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว

      Mr Fact anajua nguvu iliyo katika Jina la Yesu hakuna atakae mshinda.

  • @suzanadeimamo7726
    @suzanadeimamo7726 2 ปีที่แล้ว

    Ngoja kwanza

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 2 ปีที่แล้ว

    Sa itakuwaje....maana ni wenzao sasa!

  • @IANA2030
    @IANA2030 2 ปีที่แล้ว

    😳😳😳

  • @vincentchogo282
    @vincentchogo282 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni wenzao😅😅

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 ปีที่แล้ว

    Wa nne leo mapema leo

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 2 ปีที่แล้ว

    Huu ni Michael na mnafanya hivyo ni Michael sasa Dini hana

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 2 ปีที่แล้ว

    ungemuuliza aelezee mambo aliyoyaona huko gamboshi ilivyokuwa na shughuli walizokuwa wanafanya huko

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani shetani ni mjanja sana anagawa vyeo kwa kila mtu

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 ปีที่แล้ว

    Nimefika kwua mwenye PHD ya mashatani

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 2 ปีที่แล้ว

    Kaanza vizur huko mbele sasa anavutia kwake,hiv sisi waislamu tungekuwa tuko pamoja na hao watu wa gambusi situngekuwa tunasishi kwa Raha sana duniani lkn mbona tunarongwa,tunatupiwa majini,tunachukuliwa misukule basi tusingekua sahihi tungeishi sana kwa Raha hapa duniani na tungepata tabu ahera andeleeni Kua gizani

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว +1

      Kupotea gizani hakukupi maisha mazuri, Njoo kwenye Nuru upate uzima.

    • @hope_402
      @hope_402 2 ปีที่แล้ว

      @@michaelbengesi9838 Ameeeeen

    • @monicambuva529
      @monicambuva529 11 หลายเดือนก่อน

      Unqvyosema raha unamaanisha nini? Huwez ipata raha kwa shetani kazi hame ni mateso...

  • @chriscao9828
    @chriscao9828 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo amegonga sawasawa 😁😁😁waislamu ni watu wa gamboshi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Mtakapo kufa ndio mutajuwa ipi dini ya Mungu na ipi ya shetani.mfano upo hebu tizameni maisha ya wanaokwenda kanisani na misikitini uvaaji wao sio kama baa au klabu ya ngono. Hakika kafiri hana akili mana alieyuumba viumbe vyote pamoja na wewe unamwita shetani..sasa nyie mumeumbwa na Mungu yupi . nyie wakristo.

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว

      Wewe unatafutwa na Yesu uokoke achana na dini

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว

      @@basilisamsaka8469 yupo wapi yesu baa. Au magengeni

  • @selmaselma8452
    @selmaselma8452 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ni muongo hawawezi waislamu hao. Muongo huyo

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว

      Ushahidi kutoka ex muslims kote duniani unaonyesha wazi wazi allah ndiye shaitana na muhammad alikuwa wakala wake.....
      FIKIRIENI SANA NDUGU ZANGU WAISLAMU!!

    • @selmaselma8452
      @selmaselma8452 2 ปีที่แล้ว

      @@issajumamwinyi6191 Audhu bilahi mina Shewtani,umepotea kabisa

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว

      @@selmaselma8452
      Sijapotea aisee.....ila wewe na waislamu wote!!
      Hebu tulia ujiulize....mbona kila murtad ulimwenguni anatoa ushahidi allah ni shaitani?
      wachawi, waganga, washirikina, pindi tu wakimjua Yesu, wanalaani walikokuwa - UISLAMU!!
      muhammad kachezewa pangoni na shaitan akiwa amevalia sura ya malaika jibril....yeye mwenyewe kakubali hata akamsimulia mkewe ambaye hakuwa naye pangoni....
      Yesu pekee ndio uzima wako wa Milele...
      Achana na isa bandia wa muhammad tafadhali...
      FIKIRIA @Selma Selma ......

    • @selmaselma8452
      @selmaselma8452 2 ปีที่แล้ว

      Rudi kwa Allah ndugu yangu kabla umauti haujakufika,soma quruani vzr ipo tafsiri ya kiswahili. Kisha chukuwa maamuzi. Hao piq wamepotea tunawaombea washtuke kabla ya time kupita

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 ปีที่แล้ว

      @@selmaselma8452
      Hehehe ...Ni rudi kwa allah niingie motoni?
      misikitini tulifunzwa kupinga Biblia na Yesu sio Mwana wa Mungu ----Kazi ya shaitanii kupinga Mwenyezi Mungu!!
      Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakumwamini Mwana pekee wa Mungu.
      FIKIRIA SANA!!