Asante sana Haji Manara waeleze hao makolo watavimba wapasuke wanaume tunaendelea pamoja na kuwafundisha kuwa tumeleta figisu ambazo wao wamezoea. Asante
Kama ulishindwa kutufunga juzi utatufinga wapi tena sisi sio level zenu Na musijinad kutufananisha na ninyi hatufanan kwa lolote Nje ndan na ww nina point 4 wew una ngapi😂😂😂
Sasa unataka kufananisha Champions na confederation? Confederation ni kwa walio feli Champions, hebu tuchukulie picha mpo Champions na mmefika robo fainal, halafu mnakutana na timu kama wydad au mamelody, kwa mpira ule mlio cheza taifa Jana mngepigwa mvua ya magoli kwenye Champions.
Hakuna shabiki anaeanza kushabikia tim Anamika 40 tena kwahamia Tim pinzani njaa inakusumbua Simba. ni club kubwa haitaki wezii ndiomaana wakakufuza naunbahati tungekuchuna ngozi mzungu pori weee
Ila sikulaum ulishasema wenye akili ni wawili,ww ndo ulisema kombe la shirikisho nikombe la waliioshiindwa au yule pacha wako.iliujue ukubwa wa simba simnakuja apa South Africa utakaauwadanganye Tena ao wasiokua naakili nakunukuu wenye akili ni wawili ni maneno yako.
Napenda yanga Na mi nmurundi love from Bujumbura
ndiyomaana inaitwa yan'g Africans hivyo una haki ya kuishabikia timu ya wananchi
Mungu akubariki kwa kuipenda yanga
Pamoja sana 💪
Hongera Yanga inatambulisha uafrika halisi hivyo Yanga ni Africa nzima fungueni matawi Afrika nzima hii ni timu yenu
Asante sana Haji Manara waeleze hao makolo watavimba wapasuke wanaume tunaendelea pamoja na kuwafundisha kuwa tumeleta figisu ambazo wao wamezoea. Asante
Semi final ya michuano gani? Mbn mlitoka mapema asubuhi?
Manaraaaaa 💚💛💚💛💚👏🏆🎖️🔥💥💪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unyamaaa💛💚💛💚💛
Alhamndulilah Inshaallah Allah atujaalie Kheir
Nabii Haji. Pamoja sana kaka. Sasa tunaenda kuimaliza vema hii fainali
El bugaaat mungu akuwekee
Nakubali mwanangu
naipenda xana sana young young ni moto tena moto onfire
Mungu,akulinde,bugat,retu🙏
😳😳😳😳😳😄😄😄😄😄 unawakera sana michepuko ya Wydad
Mungu asante
Kk haji yanga 😍❤❤❤❤🙏
Yanga I love uuuuuuuuuu
Mwakarobo fc makasiriko yataanza
💛💛💛💛💚💚💚💚💚🖤🖤🖤🔰🔰
❤❤❤ sana yangaaa
Haupo sawa manara
Yanga ni babalao yanga ni🔥🔥🔥
Hio kuku nyie kweny cmu yangu inajirudia 😅😅
Bugatti kama bugatti 😂😂
Yanga raha sana💪💪
Hahaha uyu ndo bugati ninae mjua Mimi akixhapata raha hahahaha we are yanga Africans
Manaraaaa hoyee
Tumefuzuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔔🥁🎤🔥
Vibataro haoooooo wPe khabari yaoooo🔰🔰💛🎉🎂🎉🎉🎉🎉🎉🕺🕺
Buggati💛💛💛💛💚💚
Aseee Kuna Watu wanajua kukera😂😂😂
Hamujielewi tafuten wenzenu wa shirikisho mujibizane sisi kwetu ni ubingwani tu hatuja shirikishwa
Timu zinazocheza Hilo kombe si vilaza zimeshindwa kuvuka clab bingwa zinafelli zikapewa kombe la waliofeli Sasa unatamba nn?
Kweli baba
Toka apaa mwarabu Toleo la mwisho
Hajiiiiiiiiiiiiii, Duh!
Ni kweli, wale ni wazee wa lobo, cc zetu ndooo! Hao ni kuku tu tena wa wiki 2 wala c kienyeji teh teh teh!
Ma
Kolo njee wakubwa twenden fainal saf sana manara
Kinagombaniwa kikombe cha walioshindwa,😔Ila sio mimi niliosema hivyo!!!!!
Cha Caf lakini
Mmektana na timu gan.
Huyu kichaa, yatokayo mkunduni kwake yanatoka Pia mudomoni kwake. Nchi hii imejaa wehu, huyu ndiye alikuwa awe M- NEC wa CCM.
Makolooooooo!!!!
Kwel We Unabalah Zito
Njaaaaa mbaya
Isha Allah
Mwaka mmoja tu kwaiyo Yanga imeanzishwa 2023 au nauliza tu hapa?
Caf waandae kombe la robo maana
Umejuaje kaka
We kolo msimu wa kwanza sem final wakati mlitolewa club bingwa mechi mbili tu
hivi ni mwaka wa kwanza yanga inashiriki na nkufuzu nau ni baada ya miaka mingi kujaribu kufuzu mwaka nhuu ndio inafuzu
Hajiiii,Yangaaa
Huyu jamaa mpuuzi saana.
Akuna kama Marana kwa kweli uyu jamaa niatari sana ana juwa ku kera sana
kwani yanga ndioimeanza leo ilatunajuwa wwe nimlevi ulikamatwa na pkt ya embasy kwaiyo hatukushangangai mkubwa yupo shilikisho wwe mbwakweri
Manara bhna nakumbk aliwah kusema young African ndo club ya kwanza itayo leta kikombe cha caf hapa na mbna nkama naziona dalili
Tumekumc xn bro rud ulingon
mtu kaunguruma huyo 🤣🤣🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
El bugatti bana!😅😅😅😅
UMEANZA TENA,MBONA MLISHINDWA MBUZI KATOLIKI WW
mwaka wakwanza kivipi yani hata sijaelewa hapo walipopigwa nje ndani na Rivers ulikiwa mwaka wa ngapi.!! ?
Asante
Afu wala hatulingi😂
Mbwa koko hili limejaa mavi, mwizi Huyu, aliiba CCM aka lala ndani na akatombwa, leo anatamba!
Wewe si ulisama kombe la walio shindwa leo unalisifia unajizima data
Kweli ww sopenga
Wambie ukweli tapa tapa mwage hao
Wamefuzu semi fainal ya kombe la luza.!! Mwaka wa kwanza semi ya kombe la luza.!!
Kombe La Luza Lilitoa Goli Bora La CAF Alilofunga Sakho.
Bugatti manara Bugatti
Eti mwaka wa kwanza tu nusu fainali kwani mmeanza kucheza mashindano ya kimataifa mwaka huu 😅😅😅 huna akili ww ndegelesi !
Kombe gan ? Umecheza na Nan mafungo nyinyi
Bado Fa Simba tunawachapa
Kama ulishindwa kutufunga juzi utatufinga wapi tena sisi sio level zenu
Na musijinad kutufananisha na ninyi hatufanan kwa lolote
Nje ndan na ww nina point 4 wew una ngapi😂😂😂
Haji tunakukubali sana.
Huyu ni mjinga sana anajiona kuwa yeye unawezo wakuongea chochote haujuwi kuwa hanajialibia
Dah 😂😂😂😂😂😂 biyebiyeeeeeeeeee kuku nyie
💛💚💛💚💛💛💛💚💛💚💪💪
Unyama mwingi🤏🤏🤏
We Mpumbavu unaongea pumba tyu huna lolote kojoa ulale
Top 10 unashika namba ngapi
Matako ya nyani wewe
Wametosha bhuhatyy🙃😄🤒😄🤒😃🤥💛🤓🙏🤥🙏🤥🥰🤥🥰
"Kuku nyie"😅😅😅
2najua inawauma sema ndoivo waleeee
Timu inamiaka 80 huna hata aibu eti mwaka nusu fainali
Kolo amekuwa kuku 😂😂
💚💚💚💚💚
Sasa unataka kufananisha Champions na confederation? Confederation ni kwa walio feli Champions, hebu tuchukulie picha mpo Champions na mmefika robo fainal, halafu mnakutana na timu kama wydad au mamelody, kwa mpira ule mlio cheza taifa Jana mngepigwa mvua ya magoli kwenye Champions.
🤣🤣🤣🤣🤣Nimechekaaa
Aliyekuroga bado yupo hai,tutakutafutia dawa
Mnafik tu huyo Kaz Hana hapo Kaz yake kupiga debe tu
Hawa Sasa Hivi Jina Lao ROBO ROBO Robot.
Kwa kauli hizo kweli utaacha kuwa mrembo?
😂😂😂😂😂😂wanyoooshe kuku hao
TV yako (Manara TV)unaiharibu kibiashara
Daah uyuu jamaa anakera vby mno 😜
Kinyonga huyooooo
Wana Simba Wala haturing nguvu 1
Akili zinaendana na maumbile yko
Bila nguvu ya simba yanga isinge fika apo
Hakuna shabiki anaeanza kushabikia tim Anamika 40 tena kwahamia Tim pinzani njaa inakusumbua Simba. ni club kubwa haitaki wezii ndiomaana wakakufuza naunbahati tungekuchuna ngozi mzungu pori weee
Ila sikulaum ulishasema wenye akili ni wawili,ww ndo ulisema kombe la shirikisho nikombe la waliioshiindwa au yule pacha wako.iliujue ukubwa wa simba simnakuja apa South Africa utakaauwadanganye Tena ao wasiokua naakili nakunukuu wenye akili ni wawili ni maneno yako.
Nusu fainali ya mambumbumbu
Kombe la chekechea ndo unatamba
Simba bado klabu kubwa unajua wwe!South Africa Marumo 2 Yanga 0.Penati Yanga kwa heli.Sisi kuku!?
Kweli kabisa, YANGA ni BINGWA wa MAKOMBE na MAKOLO MLIBWANJI ni MABINGWA wa KUSHIRIKI...🤣🤣🤣
Pia tushaomba nusu fainali tucheze na wydad 😂😂
Ww huna akili fala tuuu
Ukija simba utaongea hayohayo tena
Walio feli kiumeni una miaka 20 sio robo tu hatua ya makundi hamufik pumbavu
Si ulisema kombe la looser vipi Leo tena akili ya hawa watu aisee haya bhana ngoja nikojoe nikalale