🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 409

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 หลายเดือนก่อน +14

    Safi sana Musiba umenena.
    Mwambie huyo mjinga Jemedari

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 หลายเดือนก่อน +13

    Safi sana Musiba.Liambie hilo lijemedari Said linajifanya lijuaji na Roho yake Mbaaaaaya.

  • @walespamba8989
    @walespamba8989 หลายเดือนก่อน +12

    Safi sana musiba kamatilia hapo hapo

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน +3

    kwa kuisemea Yanga nimeanza kukupenda kweli musiba hongera sana

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr หลายเดือนก่อน +10

    Safi sana kaka tumepata mtetezi sahihi wa kuwajibu jemedar na oruma piga za kichwa 😂😂😂😂😂

    • @OsmaniSiame
      @OsmaniSiame หลายเดือนก่อน

      Mbona wamakonde wanaakiri lakini kazumari hanaakiri

  • @saidkilungi641
    @saidkilungi641 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana msiba umemkomesha jemedar hajitambui kama anaakili hawezi jibu atakaa kimya

  • @KomboHamad-ty8cs
    @KomboHamad-ty8cs หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana bwana musiba tunakufatilia kutokea Pemba 🤝🤝

  • @YakubuMohamed-z4i
    @YakubuMohamed-z4i หลายเดือนก่อน +6

    Safi sana musiba nimekuelewa

  • @JumaChungi
    @JumaChungi หลายเดือนก่อน +22

    Safi sana kati ya ciku nilizofurahi ni leo yan leo umemkomesha jemedar na endelea hivo hivo mpaka anyooke

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizuri bro mupe makavu huyo jemedari

  • @CathelineMagawa
    @CathelineMagawa หลายเดือนก่อน +4

    Kaka misiba Mungu akubariki sana, tatizo ganondi kiburi sana

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 หลายเดือนก่อน +3

    Big up br kwa maelezo mazur sana

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 หลายเดือนก่อน

    Asante sana NDUGU YANGU

  • @ErastoChilanza
    @ErastoChilanza หลายเดือนก่อน +16

    Safi sana uko vizuri msiba mwambie huyo jinga ana makelele sana

    • @SadickDibundile
      @SadickDibundile หลายเดือนก่อน

      Naww unamjadili jemedali kwahyo ww na jemedali mtakuwa mnafanana kiakili

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 หลายเดือนก่อน

    Musiba uko sahihi ktk kushahuri namna ya kuboresha uchumi ktk klabu zetu.hongera bro.

  • @valentineshipula9315
    @valentineshipula9315 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja sana Musiba!

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 หลายเดือนก่อน +6

    Jmn msiba Mungu akubariki sana sana kwa mala yakwanza nimepata mtu wakumjibu uyu chawa cjui watu wengine hawamsikiagi cimpendi Uyu Jemedari saidi cjui ana matatzo kwenye mfumo wake wa akili au mm cimuelewi???? Oooh kumbe anavuta ugoro ndomaana anabweka tu

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana, nakukubali sana ukikomaa nae huyu anataka kuharibu soka la Tanzania

  • @DanielArnold-t6r
    @DanielArnold-t6r หลายเดือนก่อน +9

    Asante kaka musiba kwakuisemea yanga yetu

  • @FaustinaMkama
    @FaustinaMkama หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana msiba. Jemedal fara.

    • @PierreBukasa-fu3yx
      @PierreBukasa-fu3yx หลายเดือนก่อน +1

      Musiba upo sahihi, huyu jemedari kila kukicha yangayanga, hooovyo kabisa huyu jemedari,

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kweli, Jemedari hajui mipaka yake

  • @abednego1042
    @abednego1042 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana Cyprian…!

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA หลายเดือนก่อน +3

    Musiba congratulations
    #timuyawananchi ni timu kubwa sana
    Big up sana Musiba

    • @johnmsagga5327
      @johnmsagga5327 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa mjinga sana anaongea upumbavu tu

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 หลายเดือนก่อน

      ​@@johnmsagga5327kwani umeitwa umsikilize?acha kiherehere

    • @AbdulShemweta-db8mf
      @AbdulShemweta-db8mf หลายเดือนก่อน

      huyo ni mtu mzima hovyo hana akili

  • @JosephatMwaipopo
    @JosephatMwaipopo หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Musiba hawa wahuni inafaa kuwajibu hawa mara moja .Ingelifaa upewe kitengo pale Yanga ili kuwajibu wahuni akina Jemadari Gb64 Kisugu na wengine waliojazana mitandaoni kuishambulia Yanga kila wakati. Fikiria kama yule msemaji wa simba ambaye utafikiri ndio msemaji wa Yanga ameacha kabisa kuisemea simba kila siku ni Yanga

  • @Moonlight-m7l4h
    @Moonlight-m7l4h หลายเดือนก่อน +2

    George Ambangile very smart

  • @lilamaganga2690
    @lilamaganga2690 หลายเดือนก่อน +6

    Big up sana Legendary

  • @kimsaid5859
    @kimsaid5859 หลายเดือนก่อน

    True brother umepiga kwenye mshono liue kabisa senge hilo😢

  • @pillyedward7180
    @pillyedward7180 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kaka Musiba nina zawadi yako ukija Bunda

  • @kibiritizuberi9361
    @kibiritizuberi9361 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana waambie hao vibaraka wa kutumwa

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 หลายเดือนก่อน +1

    Jemedari ni Kolo 5IMBA

  • @franktarimo271
    @franktarimo271 หลายเดือนก่อน +4

    Safi kaka unaeleweka sana

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 หลายเดือนก่อน +1

    Musiba nakukubali mno 💛💚🖤✅

  • @makischocho4613
    @makischocho4613 หลายเดือนก่อน

    Jemedari fala sana

  • @HarunaHalfani
    @HarunaHalfani หลายเดือนก่อน

    Hongera musiba kuongea point

  • @ToyoboAndrea-he8fv
    @ToyoboAndrea-he8fv หลายเดือนก่อน +4

    Upo vizuri kiuchambuzi Kaka, mpe makavu mshamba mmoja huyo kolo

  • @HalimaIssa-pu4yt
    @HalimaIssa-pu4yt หลายเดือนก่อน +2

    Simba tabu ipo pale pale. Yanga Bingwa

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana Kwa kumpa makavu huyo hasidi asielala usingizi kuiwaza yanga Kila akiamka kuichafua yanga akome

  • @donatienroger0977
    @donatienroger0977 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ndapenda sana the way ukonaongeleya wachambuzi wa Tanzania wengi hawajuwi mambo ya kabumbu kwa uchambuzi nikama amesikiya mambo ya umbeya umbeya alafu wengi wao wanaenda mitandaoni na kuongeya pumba. Uwe unawapatiya seminar ya kujuwa how kuchambua mambo ya kabumbu ama wawe wanafatiliya fabrizo Romano njinsi anapanaka football information

  • @petermarwa8438
    @petermarwa8438 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana utafikiri ameajiliwa na yanga kumbe Yuko jkt

  • @harunamdende
    @harunamdende หลายเดือนก่อน

    Leo Sasa umeongea point

  • @ElizabethShango-n6w
    @ElizabethShango-n6w หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kbisaa

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq หลายเดือนก่อน +3

    mtashobya josia nikiwa Kenya unakubarika sanaa

  • @EfraimjonathanNdono-py6bk
    @EfraimjonathanNdono-py6bk หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri kaka

  • @ShamumaChiuka
    @ShamumaChiuka หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana kaka

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 หลายเดือนก่อน +2

    Mdg wangu ubarikiwe kwa kuonyesha Jemedari kuwa Yanga siyo Kariakoo ya Lindi. Yanga ni lidude likubwa sana

  • @MvugwaKamongoye
    @MvugwaKamongoye หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni mwalimu nifundishie hao wachambuzi maadazi akina Jemedali said

  • @AziCure
    @AziCure หลายเดือนก่อน

    Jemedari n hasidi

  • @MussaLilombo-e8o
    @MussaLilombo-e8o หลายเดือนก่อน

    Musiba amejitolea kumdhibiti Jemedari. Jemedari ni Mpumbavu sana.

  • @AshaAlly-u1f
    @AshaAlly-u1f หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana umeongea ukweli huyu jamaa kazidi sn mchambuzi wa mchongo jemedali anatumika sn

  • @amanikhamisi334
    @amanikhamisi334 หลายเดือนก่อน +1

    Daah msiba upo ccm au yanga

    • @Asia-p5r
      @Asia-p5r หลายเดือนก่อน

      Waziri mkuu ni ccm halafu ni simba pia ...sy dhambi

  • @issaPanadol
    @issaPanadol หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations mzee wangu kwa7b jemidari said hana akili

  • @ommykiss7049
    @ommykiss7049 หลายเดือนก่อน

    Ambangile the best Tanzania

  • @peterngatunga1527
    @peterngatunga1527 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri sana mwananchi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +1

    Safi sanaa kk tatizo nchi yetu haina watu wabunifu wao mihemko wakiona unafanya biashara furani wote kweli kabisa kuna bidhaa nyingi sanaa ukizitengeneza pesa nyingi mnooo

  • @AdamuGaya
    @AdamuGaya หลายเดือนก่อน +2

    Unasema kweli kaka jemedari ni mpuuzi

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale หลายเดือนก่อน +1

    Da, ila umetuchambia mtu 😂😂😂 asante sana

  • @khamisali3876
    @khamisali3876 หลายเดือนก่อน +1

    Uko juu ya msitari musiba towa ilimu

  • @dismaskullaya8520
    @dismaskullaya8520 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka Msiba huyo jemedar Bint kazumari anachuki sana na Yanga ,sababu tu kuna kiongozi alimnyima nauli ya kwenda kwa bibi yake ,mwambie atuachie timu mshamba wa lindi

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 หลายเดือนก่อน +1

    Mlio karibu na Jemedari mwambieni aachane na huyu jamaa.. 😊

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni musiba bro

    • @MussaLilombo-e8o
      @MussaLilombo-e8o หลายเดือนก่อน

      Siyo aachane na huyu- aachane na propaganda za uongo dhidi ya Yanga

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op หลายเดือนก่อน +3

    Huyo jemedari ni mjinga sana, hicho kipara ukoko kimejaa tope na kazi ni Yanga akiamka, Yanga akilala. Nyambafu!

  • @bahatisanga8890
    @bahatisanga8890 หลายเดือนก่อน

    Saiz umeanza kuongea point

  • @JustinsaMtula
    @JustinsaMtula หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria หลายเดือนก่อน +2

    Safiiiii saaaan ulikuwaga wapi kipnz jmn😂

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 หลายเดือนก่อน +2

    Jemedari ni baba roho mbaya

  • @michaelhaule-fb2vs
    @michaelhaule-fb2vs หลายเดือนก่อน

    HAKINA BINADAM AMBAE SIMPENDI ANAEMZIDI JEMEDALI

  • @ramadhannyanda8091
    @ramadhannyanda8091 หลายเดือนก่อน +2

    Msiba naomba piga kwenye kichwa bado anahema mshenzi sana huyo jemedari.

  • @JumaaKanduru
    @JumaaKanduru หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizuri

  • @SOPHIASALUMU-u3b
    @SOPHIASALUMU-u3b หลายเดือนก่อน +2

    Jemedari punguwani mbwa Koko mshenzi hana adabu wahovyo na furuku hayawanizuzu fyakin lipyanda nguruwe furuku

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie หลายเดือนก่อน +1

    Hongela wanayanga tumepata mtetezi manahawa wakinajemedali kukicha nikuipondayanga sijuwi yangaimemkosea nini nawapowengi wenyetabia kama jemedal saidd

  • @ShusaSote
    @ShusaSote หลายเดือนก่อน

    Safi sana msiba

  • @KalongaMANYENYE
    @KalongaMANYENYE หลายเดือนก่อน

    Wamezidi sana kuisema yanga

  • @richardmessayi9578
    @richardmessayi9578 หลายเดือนก่อน

    Well said!!

  • @MichaelSangula
    @MichaelSangula หลายเดือนก่อน +2

    Nakupongeza Msiba kwa kutueleza ujinga wa Jemadari ni mtoto mdogo sana na limbukeni kimpira

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga หลายเดือนก่อน +2

    Kwani jemedar anapoisema ya nga ameajiriwa yanga, jemedar aachane na yanga.

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 หลายเดือนก่อน

      Shabiki, mpenzi na nimwanachama wa yanga.

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا หลายเดือนก่อน

    Safi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VirejiaNgingo-zs1ef
    @VirejiaNgingo-zs1ef หลายเดือนก่อน

    Safi sana msìbs

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน +2

    Jemedali sijui kwanini haipendi Yanga kutwa kuisema vibaya Yanga na utajibeba Yanga ni team ya wana Nchi tupo na tunatamba nayo😂😂

  • @econmirajifacts5411
    @econmirajifacts5411 หลายเดือนก่อน

    Nami nawashangaa sana jkt kumpa huyu jamaa u. co

  • @IddGeka
    @IddGeka หลายเดือนก่อน

    mwambie

  • @OsmaniSiame
    @OsmaniSiame หลายเดือนก่อน +1

    Sawa side umeongea vzr kazumari takataka nahuyo friji takataka

  • @JohnKyungu-i9z
    @JohnKyungu-i9z หลายเดือนก่อน

    Msiba nmekuelewa vizuri,nakuomba namba yako tuongee off air

  • @MICHAELMLANGWA-o4x
    @MICHAELMLANGWA-o4x หลายเดือนก่อน +2

    Safi SANA mpe ukweli huyo

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 หลายเดือนก่อน

    Nmekukubali san brother umekuw mkweli san juu ya jemedari side

  • @SwadakatYusuph
    @SwadakatYusuph หลายเดือนก่อน

    Brather muambie kabisa huyo choko

  • @MohamedMoa-rl5zj
    @MohamedMoa-rl5zj หลายเดือนก่อน

    Mzee wangu musiba umeongea vizuli sana uyooo jemedari dawa yake niki pigo tuuu

  • @MohamedNdoli-k4w
    @MohamedNdoli-k4w หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga หลายเดือนก่อน +1

    Jemedari alikosa kibarua pale YANGA, ana visasi ( simple minds always discuss people/institions). Aibu kwako.

  • @kalikenechota8606
    @kalikenechota8606 หลายเดือนก่อน

    Jemedar jiangalie

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe หลายเดือนก่อน +4

    Leo umetufirahiaha Wana yanga,, mpe za uso mtoto ndogo uyo

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 หลายเดือนก่อน

    Jemedari ni wa chini

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 หลายเดือนก่อน

    Huyo jemeni ni hovyo kbs , an I hope ana vyeti feki

  • @chombe539
    @chombe539 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwamba

  • @kinyanyaonline3658
    @kinyanyaonline3658 หลายเดือนก่อน

    Hio ngono ndio inawasababisha WACHEZAJI kua majerhhi kila wakati😢

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx หลายเดือนก่อน

    Musiba upo sahihi, huyu jemedari anaakili ndogo, halafu nimchambuzi mshaba,😂😂😂😂😊😊

  • @hamzamwamedi7176
    @hamzamwamedi7176 หลายเดือนก่อน

    Jemedar endelea kuwapa ukweli naona umewagusa sana. Umerusha jiwe gizani Jemedari ndio mana unasikia makelele.

  • @HalimaIssa-pu4yt
    @HalimaIssa-pu4yt หลายเดือนก่อน +2

    Ana Akili Ndogo Tahira Akae Akijuwa Yanga Bingwa

  • @akaniwa04tv35
    @akaniwa04tv35 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa nakuelewa kaka Musiba mpe taarifa sìsi Yanga hatuna jambo dogo

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza ushamlipa Membe hela zake..!?
    Acha kuchimba mkwara Jemedari anaujua mpira kuliko wewe..
    Unasema ukiona mtu anajadili watu jua hana akili sasa wewe unayemjadili Jemedari tukuweke fungu gani? Mshamba kwenye football

    • @Asia-p5r
      @Asia-p5r หลายเดือนก่อน

      Mbumbumbu fc....

    • @Stewart-l6t
      @Stewart-l6t หลายเดือนก่อน

      Hapa hujadiliwi anaeleweshwa maana jemedari mpira hajui kweli anamihemuko ya ushabiki hao Simba wenye kipindi wanataka kumuacha Manula alianza mdomo kuisema simba