BIG BOSS |7|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo #comedy

ความคิดเห็น • 2.1K

  • @milungaapeshijerome
    @milungaapeshijerome ปีที่แล้ว +310

    Mimi ni wakwanza kuona BIG BOSS part 7 nipeni like zangu

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 ปีที่แล้ว +6

      Kwa hiyo ukiwa wa kwanza tukusaidie nini pumbafu sana

    • @echwaatips
      @echwaatips ปีที่แล้ว +2

      ​@@mustafamasudi8093Ni Raha tu ,usitukane

    • @selemansalumu-qq5ck
      @selemansalumu-qq5ck ปีที่แล้ว +2

      Sema wanachelewa sana kutoa had twamic

    • @tawiso_online_tv.
      @tawiso_online_tv. ปีที่แล้ว +4

      Nmefurah Sana huna majibu mabaya matusi yamemrudia

    • @Nody_official
      @Nody_official ปีที่แล้ว +2

      Kachukue kanisani😂😂😂

  • @wazirikipanga325
    @wazirikipanga325 ปีที่แล้ว +132

    Mambo hayo na bado mtachanganyikiwa sana mwaka huu😂😂

  • @gb-one6435
    @gb-one6435 ปีที่แล้ว +110

    Huyu ndio mrisi wa Kanumba #CLAMVEVO naomba nikushauri kwenye hizi move zako weka subtitles itasaidia Sana Kwa wasio elewa kisawahili na zitafika mbali Sana 🔥💪

  • @kayungilotv119
    @kayungilotv119 ปีที่แล้ว +43

    Dah wanangu hii movie inamafunzo makubwa Sanaa kwentu msiwe mnasema tu kua wakwanza Mimi nimewah nipen like zangu kiukweli tukumbuke siku zote nibola kidogo Cha halali kuliko kingi za halama nawasilisha 🙏🙏

    • @Vincentsyona-bj6qj
      @Vincentsyona-bj6qj ปีที่แล้ว

      Tajiri umejipanga movie Kari sana hongera sana!! Show show

    • @FaustineJames
      @FaustineJames 11 หลายเดือนก่อน

      Thank you my friend for telling that

    • @obetelecaleb
      @obetelecaleb 5 หลายเดือนก่อน

      Love you

  • @adinanemkomangue7076
    @adinanemkomangue7076 ปีที่แล้ว +39

    Jamani🙌 likes kwa MCHAWI mwenye KOFIA maana ameupiga na anaupiga mwingi sana hadi 🔥🔥

    • @Umela1199
      @Umela1199 ปีที่แล้ว +1

      Anapelekaaa motooooo😂😂

  • @twalhaahmed
    @twalhaahmed ปีที่แล้ว +629

    Wa kwanza kuangalia big boss 7 wapi likes zangu jameni😫

  • @ziyechabrahim5775
    @ziyechabrahim5775 ปีที่แล้ว +231

    umeuwa kwenye big boss clam nimefuatilia kuanzia mwanzo mpka sasa sema usichelewe kutoa mashabiki zako tun wait ✋️ sanaa 😂

    • @PhilemonGibos
      @PhilemonGibos ปีที่แล้ว +8

      Hakikaaa aisee anachelewa sawaa fanya uwahi mkuu kutoa tunasubiri

    • @annaki318
      @annaki318 ปีที่แล้ว +6

      Yaan kama Kila siku tuwe tunacueki new episodes za big boss

    • @halimatanzania7869
      @halimatanzania7869 ปีที่แล้ว +1

      anacherewa mimi huwa ananiondoa mawazo

    • @HAshimHamdani-dg1ws
      @HAshimHamdani-dg1ws ปีที่แล้ว +1

      Daa umeona eee

    • @MwanaidiRulimbiye-uf1mr
      @MwanaidiRulimbiye-uf1mr ปีที่แล้ว +2

      Bonge ya movie yaan

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 ปีที่แล้ว +70

    Safi sana clam na team yako kwa kutufunza kuwa wapambanaj na tusipende vya bure vna gaharama,ewe mola tufungulie milango ya baraka na utupe nguvu, afya njema na akl ya ufanuz wamaisha bora ya dunia na akhera🙏

  • @innocentaugustine476
    @innocentaugustine476 ปีที่แล้ว +60

    Hata kama nimechelewa 😢 timu clam nipen hata likes 10

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana clam kwa kuskiza ombi letu la kipindi kuwa kirefu kimekuwa kitamu zaidi na sasa bado tu subtitles yani unatengeza movie la hatari tumependa hivi unavyoendelea much love..❤from kenya

  • @collinselamwenya8028
    @collinselamwenya8028 ปีที่แล้ว +82

    Kanumba Genes are back once again in east african....inshaaallah uwe writer mzuri Africa nzima

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 ปีที่แล้ว

      Hii movie kubwa sana tena sana nataka cd yake

    • @MohamedOsesondo1-dn9rd
      @MohamedOsesondo1-dn9rd ปีที่แล้ว

      Hakika mwamba Ana kosha

    • @EliahElias
      @EliahElias ปีที่แล้ว

      Ila mbon Kaa unachelewa kutoa move

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 ปีที่แล้ว

      ​@@albertkatuga2434wewe wawap bado unatumia cd

  • @Ellythegreat-cl5jv
    @Ellythegreat-cl5jv ปีที่แล้ว +98

    The best comedian in the new generation 🐐 kama unamkubali clam pita na like hapa 👇

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 ปีที่แล้ว +151

    Mambo hayo😅na bado utachanganyikiwa sana😂😂😂likes za mchawi mwakatobe hapa🎉❤

  • @عايشهعايشة-ر1ب
    @عايشهعايشة-ر1ب ปีที่แล้ว +1

    Mwenye kofia kaupija mwingi❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 ปีที่แล้ว +34

    This challenge of being prohibited to help your mother is too much!!!
    Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

    • @thadeymfoy9250
      @thadeymfoy9250 ปีที่แล้ว

      unazingua bhana yaan epsode moja mpka unasahau toa hata mara 3 kwa weak

  • @pauloshayo3206
    @pauloshayo3206 ปีที่แล้ว +32

    Walio kuwa wa kwanza kwenye big boss niweng jamn hata cjuh me ni wangapi ila yote na yote nimefurahi kwa kaz yako clam tunakupenda🔥🔥🔥🔥

  • @eliudmakambiofyouvzy3194
    @eliudmakambiofyouvzy3194 ปีที่แล้ว +35

    Leo wakwanza jaman clam ni fireee💥💥 naombani like ata tano tu jaman
    Big boss 7 ni fireeee

  • @sirngetich1815
    @sirngetich1815 ปีที่แล้ว +109

    I always check on this guy's timeline to see what he as posted 🎉😮much love from kenya 🇰🇪 🇰🇪 clam . The best content creator in East and west Africa currently ❤❤❤

  • @shadrackndossy8181
    @shadrackndossy8181 ปีที่แล้ว +7

    Alie umizwa na maneno ya mama clam vevo agonge like apa

  • @kelvindendya3781
    @kelvindendya3781 ปีที่แล้ว +6

    Kusema ukwel mtu anaenifurahisha zaid kwenye the boss ni hyu mxkaj anaekaza saut "we mchumba tuuu we zuchuuu" big up mwanang

  • @_Prince2023
    @_Prince2023 ปีที่แล้ว +39

    Sema hii season nitaifatilia mpaka mwisho maana sio poa yaani wengine acha waje2 naomba like zangu

  • @ShaShehan-gi8ol
    @ShaShehan-gi8ol ปีที่แล้ว +36

    Clam hujiona kama comedian but yupo zaidi ya comedian is the best actor in our country
    Gonga like kama unakubaliana nami

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. ปีที่แล้ว +32

    Mih hata nimechelewa ila wanaonifuata nipeni like za clamVEVO namkubali ¹⁰⁰%❤️❤️❤️💯☑️

  • @owenyatv9142
    @owenyatv9142 ปีที่แล้ว +8

    @CLAM VEVO COMEDY Kazi nzuri sana brother iwe mwelezo kama ya OSMAN BEY YA AZAM TWO YA SAA NNE USIKU WANAO TAKA ISIISHE GONGA LIKE ZA KUTOSHA APA CLAM VEVO WA BIG BOSS 4:43

  • @justinhenry7982
    @justinhenry7982 ปีที่แล้ว +1

    Iyo funga KAZI kaka BG boss ata kupelekea motooo bado mtachanganyikiw Sana mwaka uu

  • @top10bestofnyarugusucam
    @top10bestofnyarugusucam ปีที่แล้ว +15

    utachanyikiwa saana mwaka huuu😂😂😂😂😂😂 ndo nilicho nichekesha saana

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td ปีที่แล้ว +27

    Clam nakupenda tanzania nzima unaongoza wenginewanafata bro from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda tim comedy gonga 👊👊👊 tujuwane

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo pat8 mmmmmm namuonea hiruma huyo mkuu wa wachawi kitamkuta kitu

    • @BUSHASHASWITCH
      @BUSHASHASWITCH ปีที่แล้ว

      Kutoka super shop Dubai rumonge 🇧🇮 shabik wakwanza niwew wapili nimim 😂😂😂 we ntiba

  • @modiasdapaula3039
    @modiasdapaula3039 ปีที่แล้ว +15

    Msombiji pia tunahipenda big boss. Hatali sana VEVO 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @GeoffreyOrage
    @GeoffreyOrage ปีที่แล้ว +4

    Loving from JAMAICA,🇧🇴,CLAM the big boss

  • @vicentngumbi4984
    @vicentngumbi4984 ปีที่แล้ว +6

    Nani mwingine anapenda hiyo sound ya wimbo.... Sonabileee...😊

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 ปีที่แล้ว +32

    Mwakatobe never disappoints 😅❤

  • @Official-Bee
    @Official-Bee ปีที่แล้ว +20

    Clam hii nayo ya kuingia genezani umejaribu❤

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 ปีที่แล้ว +6

    Na baaado utachanganyikiwa sana mwaka huu😂😂😂😂😂😂

  • @metisonnaftary5819
    @metisonnaftary5819 ปีที่แล้ว +6

    Mwamba umetisha big boss Iko juu sana nimeikubari na hisi ata Wana wanaikubari like kama na wewe umeikubari na unamkubari cram vevo

  • @amonygeofrey3201
    @amonygeofrey3201 ปีที่แล้ว +5

    Wa elufu ishilini jamani like❤kwangu nakwa Clam🎉

  • @DkKu140
    @DkKu140 ปีที่แล้ว +81

    Jamani mbasi mutowe episode 3 kwa siku anaekubari aweke like apo ❤

  • @ghanimaali1279
    @ghanimaali1279 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wangu nimecherewa rakini naombeni hâta liké tano kutokea you From burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 BG boss

  • @J4MOVESWAHILI
    @J4MOVESWAHILI ปีที่แล้ว +27

    Broo kazi nzuri sana lakini angalau ungekuwa unatoa video mbili kwa wiki ungekuwa unyama kama unasapoti hoja piga like 😇 ❤❤

    • @wehtamdeculone412
      @wehtamdeculone412 ปีที่แล้ว

      Hata mi naona hvo ayse make mpk tunasahau sasa tulipoishia

  • @tuntufyehenry1331
    @tuntufyehenry1331 ปีที่แล้ว +3

    Brother Brother Brother Brother
    I call you four Times.
    Unajua wew ni mtu mwenye kitu kikubwa mno na nizaidi ya unavyojifikiria au kujiona.
    Unafanya mambo ambayo industry ya Bongo ilikuwa imeshayapoteza.
    Kupitia wew watu wanajifunza zaidi sana.
    Brother soma vitabu zaidi , Angalia pia Watu wenye Upana mkubwa wa tasinia ya filamu nchi zilizorendelea wanafanyaje.
    Kila siku umisa kichwa kupata scene nzuri zenye kuelimisha pamoja na kufundisha.
    Unayaweka bayana mambo ambayo katika jamii yetu husika yapo.
    Brother watu wanahitaji Amani ya moyo na wengine wanahitaji kupata majibu ya misuko suko wanayopitia.
    Naamini wew ni Mtu muhimu katika jamii sitaweza kukuita star kwasababu star ni jina ambalo wakati mwingine linaweza kumfanya mtu asifanye yale ambayo alikuwa akiyafanya awali ila naweza kukuita “ an analyst of social problems and a provider of comfort and answers to unanswered questions in society”
    Au kwa lugha nyepesi “AN EDUCATOR”.
    Ujumbe huu ukufikie Clam
    Jitume zaidi na zaidi kila iitwapo leo tamani kuwa kuliko ulivyokuwa jana.
    YOUR THE BEST

  • @celsoarcanjo50
    @celsoarcanjo50 ปีที่แล้ว +20

    Vcs organizam bem é até rendi

  • @top10bestofnyarugusucam
    @top10bestofnyarugusucam ปีที่แล้ว +19

    ivi unaweza kuowa na unajua utakufa wiki ijayo 😅😅😅😅 😂😂😂 big boss nayo inastori kali kweli

  • @johndenakayajn633
    @johndenakayajn633 ปีที่แล้ว +19

    Wa kwanza leo
    Ambao wanaikubali BIG BOSS , tujuane apa

  • @OfficialDonny12
    @OfficialDonny12 ปีที่แล้ว +12

    Sikupimg clam nakukubali broo na wewe ndo najifunza comedy kupitia wew king of comedy

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe uyu chale chale anaitwa mwakatobe 😅😅😅😅mm yuwanifuraisha jomon nampenda na nyote nawakubali kutoka kenya wallh mwanipa raha ndani ya saudia rabia yani ata simuwazi ex wangu kwa muvi zenu mashallhhh 🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bintykikungu6900
    @bintykikungu6900 ปีที่แล้ว +1

    Wallah inatufunza tuwe na subra katika mitihani ya kidunia nahaswa katika utafutajj wa riziki tutafute rizki halali allah atujaalie mwisho mwema. nawapenda washiriki wote wahii ❤❤💯💯😊🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon ปีที่แล้ว +73

    Good stuff bruh 🔥🔥 keep them coming 🔥🔥

  • @HassanCoyo
    @HassanCoyo ปีที่แล้ว +10

    Wa kwanza Mimi like zangu na ninakukubali Sanaa mdogo wang clam VEVO ❤❤❤

  • @kimmsafitv7278
    @kimmsafitv7278 ปีที่แล้ว +17

    Big love from kenya 🇰🇪 mnipee like jamani kwa movie tamu big boss 7 on 🔥

  • @abdallahkhalifa6995
    @abdallahkhalifa6995 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha sana mzee ,,sema unchlewesha kazi ,,let mwndlzo

  • @briankrop
    @briankrop ปีที่แล้ว +1

    Wauh, Kenya watching,,much love,

  • @AMJtiktok
    @AMJtiktok ปีที่แล้ว +30

    Big boss im waiting for another party . Part 8❤❤❤

  • @AganzeJanvier-ug9ge
    @AganzeJanvier-ug9ge ปีที่แล้ว +23

    Hakika hii kaži nzuri sana clam unatiya natamani iendeleye ata EP 100kwani unatisha kijana wetu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunakupenda sana Congo

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 ปีที่แล้ว +5

    Kuna mtu kanichekesha sana😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @danielsenga-ku1nv
      @danielsenga-ku1nv ปีที่แล้ว

      Mchawi mwakalobo nna mwelewa mzee wa ntamfinyanga nitampelekea motor mkuu

  • @HappyDaudi-ub4hw
    @HappyDaudi-ub4hw ปีที่แล้ว +3

    Waoooo 🤗🤗 I love you so much naomy & mbwela ❤️❤️ nawapenda sana 😘😘 Big Boss 🔥🔥

  • @JumaMohamedeLaisse
    @JumaMohamedeLaisse ปีที่แล้ว +81

    A história é muito incrível e incomparável

  • @oppaTz
    @oppaTz ปีที่แล้ว +11

    Umetisha sana janja kwa iii kaz daa sio poa mwanangu wachanikupe mauwa yako🌹🌹

    • @Swahili14
      @Swahili14 ปีที่แล้ว +1

      Maua wape wanawake 💀

  • @SanifaAthuman
    @SanifaAthuman ปีที่แล้ว +10

    Nilikuwa naisubili kwa hamu kazi nzur clam

  • @RobertMahimbo-ts5rv
    @RobertMahimbo-ts5rv ปีที่แล้ว +4

    Unajua mwanagu clam kadili siku zinavyozidi kwenda hii story inazid kuwa nzuri

  • @linusp233
    @linusp233 ปีที่แล้ว +6

    I love this dude clam much love from +254 🇰🇪

  • @leekaijage6815
    @leekaijage6815 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤ mwenye anasikia hii ajifunze kitu mali za ibirisi zina masharti magumu sana usione watu wanang'aaa

    • @daudizakaria5330
      @daudizakaria5330 ปีที่แล้ว

      Wee ach tu kk shetani sio kiumbe kizuri

  • @Uwamahoro-fefe.15
    @Uwamahoro-fefe.15 ปีที่แล้ว +9

    Hongera kwa kazi nzuri ,Ila mnachelewa sana kutuletea muendelezo

  • @BBBTv-om9qz
    @BBBTv-om9qz ปีที่แล้ว +13

    Steve mweusi should see these na awache mchezo...Big up Clam Vevo💪 Waiting for big boss 8

  • @johnjoachim1606
    @johnjoachim1606 ปีที่แล้ว +13

    Big up sana bro unajua sana.... Na mimi natamani sana kuigiza na wewe ila sijui nitakufikiaje

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 ปีที่แล้ว +2

    Jaman kuna BIG BOSS znatolewa na sio org mnafanyaje kuthibit hali hii🏐🤒🤒

  • @AloyceEmanueli
    @AloyceEmanueli ปีที่แล้ว +1

    Mambo hayo na utachanganyikiwa zaid hahahaha uyu jamaa namkubal sana

  • @NOW972
    @NOW972 ปีที่แล้ว +5

    😂😂naomba like leo wakwanzaaaaa.clam bravo

  • @ibrahimwaswa3995
    @ibrahimwaswa3995 ปีที่แล้ว +13

    Dah! Tena Mimi si wa kwanza 😭😭naomba likes jamani

  • @highlandartsacademy6892
    @highlandartsacademy6892 ปีที่แล้ว +24

    Congrats #VEVO...keep the good work, watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @angelmgonja1776
    @angelmgonja1776 ปีที่แล้ว +4

    Ohh my GOd king of actor is born❤️❤️❤️.Am very glad to seee these kind of lesson he deserves 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Hassan26_official
    @Hassan26_official ปีที่แล้ว +1

    Jaman mi ni murundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wa Kwanza kuangalia big boss nipen like zangu bx

  • @FayzonNigur-x2d
    @FayzonNigur-x2d ปีที่แล้ว +4

    ❤❤❤❤❤❤❤ new hero of bongo fleva

  • @Swahili14
    @Swahili14 ปีที่แล้ว +53

    Clamvevo is the best comedian in Tanzania
    Particularly in this generation 😭❤️

    • @geraldnjau7186
      @geraldnjau7186 ปีที่แล้ว +1

      Clam sio comedian ana act comed yy Ni acter✍️

    • @Swahili14
      @Swahili14 ปีที่แล้ว

      @@geraldnjau7186 ok

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 ปีที่แล้ว +52

    BIG BOSS IS NEXT LEVEL❤

  • @officialott6222
    @officialott6222 ปีที่แล้ว +1

    bwana kuikweli humu ndani me namfuata mwakotobe ani huyuu mwamba ni anazingua ile mbaya🤣🤣🤣

  • @mkoloni254muziq7
    @mkoloni254muziq7 ปีที่แล้ว +5

    This has been a touching story so far....I really love it...big up @ClamVevo

  • @ismailr2tz136
    @ismailr2tz136 ปีที่แล้ว +11

    Napenda kazi zako clam

  • @irenebenety921
    @irenebenety921 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda sana mnaigiza uhalisia wa maisha yetu dah nataman nijiunge na nyie

  • @DiEnghammuscat_
    @DiEnghammuscat_ ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri saana Big Bro🙏🏾

  • @jamilamwarabu3890
    @jamilamwarabu3890 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha 😂😂😂😂 watamchanganya sana naona Big boss inaenda kuwa tamu sasa wap like zangu jm😢

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 ปีที่แล้ว

    Huko meisho unemalza vzr sana mbwa wewe..👏👏👏🙌🙌💥💥

  • @zekelly_025
    @zekelly_025 ปีที่แล้ว +13

    I wish next party even tomorrow 😂😂😂 Bug up Clam

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 ปีที่แล้ว +9

    Shida yako unachelewa sana kutoa mzee ila unajua sana mzeee Big up 🔥🔥🔥

    • @Nehemiaally
      @Nehemiaally ปีที่แล้ว +1

      We unazan ni viaz hv ambavo havina process yeyot

  • @godfreymaingu1467
    @godfreymaingu1467 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana clam nilikua nahamuu nayo sana week nzima umemaloza mb zangu fanya uwe unatuwaishia kidogo

  • @mulidebuanauasse8785
    @mulidebuanauasse8785 ปีที่แล้ว +1

    Tunasubilia party two (2) kwa hamu sanaa kazi kwako vevo

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +3

    Big boss is the best episode in this era clam na washiki wote never disappoint us ❤❤❤

  • @sayeedmzungu6807
    @sayeedmzungu6807 ปีที่แล้ว +4

    Sema mchawi katobe ana hatr🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abuuslater9242
    @abuuslater9242 ปีที่แล้ว +19

    This is Dope,keep it up Clam unakitu Kakangu,hongera kwa wote wahusika.🙏🙏🙏

  • @mbarukuabdallah2891
    @mbarukuabdallah2891 ปีที่แล้ว +6

    Kuna chakujifunza sana kwenye hii BIG BOSS,,, BIG UP broh

  • @georgeroberts876
    @georgeroberts876 ปีที่แล้ว +1

    Clam kiboko yako,.. wewe moto wa kuotea mbali,... hapa Kenya tunakuenzi.

  • @laizerboy3151
    @laizerboy3151 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mama mchawi so poaa kaondokeje palee

  • @ClementineShurweryimana
    @ClementineShurweryimana ปีที่แล้ว +7

    Nimejikuta nalia😢 clam Leo umeniliza ongera sana umeweza na umeweza tena😢😢❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 ปีที่แล้ว +5

    Nomaaa sana 🔥🔥🔥

  • @kichuyabooykichuya4525
    @kichuyabooykichuya4525 ปีที่แล้ว +4

    Mm wakwanza kutoka kenya nipe laiki zang 😂

  • @laizerboy3151
    @laizerboy3151 ปีที่แล้ว +1

    Ebwana eee mkuu wakoo ni katili sanaa

  • @Kita_Tz
    @Kita_Tz ปีที่แล้ว +1

    Stor kali kinoma daaah more❤❤❤❤❤❤❤ BIG BOSS

  • @apronarycharles3673
    @apronarycharles3673 ปีที่แล้ว +4

    Wape salamu zangu Leo nimekuwa wa kwanza gonga like hapo

  • @dorcasngiro9319
    @dorcasngiro9319 ปีที่แล้ว +6

    ❤❤❤napenda jmn usicheleweshe muendelezo nipo makin na Bigg boss 🔥

  • @JamesKereth-zb8cb
    @JamesKereth-zb8cb ปีที่แล้ว +27

    Thanks for next episode 😊

  • @queenmaggy8869
    @queenmaggy8869 ปีที่แล้ว

    Nakupenda saaaana clam bigo boss tamu saaana,unanimaliza méga

  • @abdulrazaqfils4234
    @abdulrazaqfils4234 ปีที่แล้ว +19

    Wawooooo good job 's guys 🇨🇩🇨🇩 am waiting for part 8 Inshallah