Hongera sana rubani mdogo kuliko wengine nchini. Nami mzazi ninaye Rubani kwenye familia yangu. PGM ni muhimu ili kuwa rubani. Pia PCM ni muhimu kuwa mhandisi wa ndege. Kila la heri Rubani wetu. Jitahidi kuongeza masaa ya kuruka hewani.
Kaka umenifuraisha sana umenikumbusha Bali nikiwa mdugo ilikuwa Naipenda sana Roket ANaile mistari Mpeni Hongera sana kijana Wetu Mungu Amuongoze lNshallaah 🌹🌹🌹🌹
Tunafunguka na elimu na Tanzania bado kunakiritimba nafasi za kusoma zinapatikana kwa kujuwana kijana unafunguwa upeo kwa watanzania. Hongera sana kijana mungu atubariki.
Hongera Sana mwanangu Mungu akulinde nyakati zote maana wengi hata hawawezi kuwajulisha watu hii elimu kwa kuona Ni wa viwango vya juu. Mungu akubariki Sana Nina mtoto siku zote anatamani kuwa rubani
Sahan hello. Nauliz Ivo. ATI. Mwenye ndoto izo. Kapata. Phys. D ,math. C, na. Geo B. Inakubaliwa au. Kam. Vip. Natak. No. Za uyo. Ruban. Kupat. Taatif. Zaidi
Hongera kaka no maombi ya watanzania wengi ambapo tumekuskilixa mungu akuongoze vema uwe na umakin zaidi na ukumbuke kumuomba mungu zaidi man bi yy usingefika hapo ulipo kwako ni jitihada na ndoto ulizakuwa nazo shukran kubwa Kwa Baba na mama ulinzi wa mungu uwe Juu Yao wavune matunda walioyapanda hongera❤❤❤
Mungu akubariki zaidi na akuepushe na misukosuko ya safari zako zote kipenzi. Umenihamasisha mwanangu ana 10 yrs aliniambia sana anataka kazi ya urubani. Umenipa moyo lkn hiyo ada nauomba Serikali isaidie hata kama kwa mkopo. Ahsanteni waandishi kwa kusaidia kutuelimisha.
Tanzanian young brother to be Inspired as pilot due to ur story, bro uko vizuri sana, kwa ada hiyo ya mil 200 nimeanza kuotesha miti ili vijana wangu wakifika form 4 niwalipie ada, nilichokupendea unawatia moyo vijana wenzio waione hiyo fani ya upilot inawezekana kama wakiwa na moyo wakujituma kama ulivyo wewe.
Devid hongera sana mwanangu maana my son called devid to.na ako bright sana shule namuombea nae aje kutimiza ndoto zake km wewe.hongera sana son devid love you
Siyo huyu tu, alikuwepo na ki Jana mmoja anaitwa Aman mgogoro, alikuwa ni balaa, alipata ajali ndege ikaanguka morogoro alifariki tukamzika mkonze Dodoma, ndiyo kwao.
Oooh, my God, nimekupenda bure, sipat picha mama ako akikuona anajisikiaje, hongera, nakuombea Mungu akufikishe mbali zaidi, na akulinde! big up! Mdogo etu!
Ananikumbusha wakati nipo shule kuwa rubani ilikua ni my dream na Hilda Ringo alikua ni role model wangu as the youngest female pilot wakat nipo O-level....but now nasomea udaktari and enjoying my career 😊😊😊😊
Hongera sana Rubani wetu. Damu ya Yesu ikufunikie siku zote za maisha yako.
Damu ya Yesu ikutunze kijana wetu mdogo
Hongera sana rubani mdogo kuliko wengine nchini. Nami mzazi ninaye Rubani kwenye familia yangu. PGM ni muhimu ili kuwa rubani. Pia PCM ni muhimu kuwa mhandisi wa ndege. Kila la heri Rubani wetu. Jitahidi kuongeza masaa ya kuruka hewani.
Hongera sana kazana usiishie hapo
Kaka umenifuraisha sana umenikumbusha Bali nikiwa mdugo ilikuwa Naipenda sana Roket ANaile mistari Mpeni Hongera sana kijana Wetu Mungu Amuongoze lNshallaah 🌹🌹🌹🌹
Safi sana Mdogo wangu..yaaani una wa Inspire wengi...Big up sana
Asee Mimi Ni mama wewe Kama mwanangu Mungu akuinue japo skujui da kweri ukitia Nia yote yanawezekana
Tunafunguka na elimu na Tanzania bado kunakiritimba nafasi za kusoma zinapatikana kwa kujuwana kijana unafunguwa upeo kwa watanzania. Hongera sana kijana mungu atubariki.
Hongera sana mdogo wangu Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaid ❤
Asante kwa elimu sababu sikujua haya yote. Mungu akulinde, akusimamie kwenye maisha yako.
Big up kijana wengine igeni juhudi za huyu mwenzenu. Msihofie malipo Mungu ni mwema kama nia ipo.
Hongera sanaaaa,lakn kwa unavyoelezea tu naona pia na nyumbani pia kuna uwezo wa kipesaa.
Hongera Sana mwanangu Mungu akulinde nyakati zote maana wengi hata hawawezi kuwajulisha watu hii elimu kwa kuona Ni wa viwango vya juu. Mungu akubariki Sana Nina mtoto siku zote anatamani kuwa rubani
HONGERA SANA RUBANI WETU, UNAHAMASISHA WAZAZI KATIKA KUTIMIZA AU KUHAKIKISHA WAZAZI WANAWASAIDIA WATOTO WAO KUTIMIZA NDOTO ZAO.
Mimi nina kaschana kangu kana ndoto hyo Mungu asaidie,mana sio Kwa hyo ada
Maa shaa Allah
Hongera sana kijana
Mungu akuzidishie Elimu na watu wote kila mwenye ndoto yake njema Mungu amuwezeshe
kuitimiza
Aamiyn
He is very humble.. he really deserve it .. humble people gets far💪
Exactly my dia
Sahan hello. Nauliz Ivo. ATI. Mwenye ndoto izo. Kapata. Phys. D ,math. C, na. Geo B. Inakubaliwa au. Kam. Vip. Natak. No. Za uyo. Ruban. Kupat. Taatif. Zaidi
Hongera kaka no maombi ya watanzania wengi ambapo tumekuskilixa mungu akuongoze vema uwe na umakin zaidi na ukumbuke kumuomba mungu zaidi man bi yy usingefika hapo ulipo kwako ni jitihada na ndoto ulizakuwa nazo shukran kubwa Kwa Baba na mama ulinzi wa mungu uwe Juu Yao wavune matunda walioyapanda hongera❤❤❤
Hongera mdogo wangu.MUNGU akulinde ufike mbali zaidi ya ulipo.
Mungu akubariki zaidi na akuepushe na misukosuko ya safari zako zote kipenzi. Umenihamasisha mwanangu ana 10 yrs aliniambia sana anataka kazi ya urubani. Umenipa moyo lkn hiyo ada nauomba Serikali isaidie hata kama kwa mkopo. Ahsanteni waandishi kwa kusaidia kutuelimisha.
Jitahidi urudishe nusu ya gharama alizotumia baba na mama kukusomesha huko Africa kusini🎉
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika utafutaji wako
Hongera sana, Mungu azidi kukuinua, uzidi kupanda viwango vyaa juu
Aiseeee umenihamasisha sana,kiukweli kila mtu anakuwaga na ndoto ila umasikini ndo unaotufanya tushindwe kuzifikia ndoto zetu
Rubani mdogo Tz umetisha ubarikiwe
Dooooooooh,I like de way He's speaking,ana gud speaking.
To be Honest I like de Pilot.
He's gud on Everything.
Hongera kijana nimekupenda bure kwa uwezo ulio nao umenisuuza sn
Hongera sana David. Wahongere wazazi wako pia kwa kukufanya ndoto yako itimie. Barikiwa zaidi.
Vidimpozi kakaa mashaallah..umzuri..mngu akulinde na husda za waja wake...
Damu ya Yesu ikulinde daima...kwa kweli umejua kuiheshimu pesa ya wazazi wako tena kwa muda mfupi ukaelewa vzr sana .Ubarikiwe sana David Matonya.
Beatrice John y
ji
oookyj
Dooooooooh,this guy jmn ana gud Smile as dat.
God be with Him.
mungu akufunike kwa dam ya yesu katka safari yako zote uishi maisha marefu
Safi sana , na hongera sana wazazi wa huyu kijana,
Mtangaxaji.kazi.nzr umeuliz mswal.mzr xna pia lubni anafaa kuwa mwalimuu
Hongera sana bro you have made ur dream true
Mashallaah Mungu akuzidishie baraka Wa Tanzania tuko juu kumbe love and all the blessings from Uk
Mbarikiwe nyote nawapenda sana nyote 🥰🥰👏🏽🤲🏽🙏🏽👌🏽👌🏽 all 😊🎉🎉
Tanzanian young brother to be Inspired as pilot due to ur story, bro uko vizuri sana, kwa ada hiyo ya mil 200 nimeanza kuotesha miti ili vijana wangu wakifika form 4 niwalipie ada, nilichokupendea unawatia moyo vijana wenzio waione hiyo fani ya upilot inawezekana kama wakiwa na moyo wakujituma kama ulivyo wewe.
Mashaallah. Pilot Matonya Allah azidi kukuinua uendelee mbele mpaka uendeshe madege makubwa InShaaAllah
Amiiin
Jambo lakwanza nikusapoti bwana matonya atamimi natamani kuwendesha tatizo pesa naskiya ninyingi san
Mashallwa mashallwa mungu akulinde na husida na akupe afya nzuri nakutakiya Kilala heri kwenye pirika zako na maisha yako 😘🙏🙏🙏
Mashaallah mashaallah tabarakallah nimekupenda jinsi unavyoongea na huna majivuno mungu akusimamie
Nice..
Allah akupe nguvu na ujasiri zaidi uweze kufanya na wengine waweze
Nzuri sana ...nimeipenda haya mahojiano
Mashaallah ongera rubani Allah akulinde🤲🤲😊
Devid hongera sana mwanangu maana my son called devid to.na ako bright sana shule namuombea nae aje kutimiza ndoto zake km wewe.hongera sana son devid love you
Hongera kaka mungu azidi kukufanyia wepesi inshaallah
Mungu atupe maisha malefu ya ni nimekubali sijui niombeeje natamani nione atawazazi wako niwashukulu jani ningekuwa na uwezo ingeleta zawadi
Great !!!
TZ Boy
Mwanangu wa Dodoma !!
Keep it up
Congrts my little boy
David well done kijana ##proud of Dodoma ##proud of gogo tribe
Daah honger david mungu akutangulie
Kumbe ndiyo rubani mdogo, hongera sana
Hongera sana kijana,,umenisaidia sana na mimi kujua jinsi ndege inavyotembea angani,Mungu akusaidie ufike mbali
hatari sana mm pia nimejifunza nimepanda ndege sana ila sikujua ina ruka sana. hii no baraka 🙏
Matonya,kichwa kimetulia!HONGERA.
Daaah kweli mungu anajua wakuwapa sipati picha ningekuwa mimi!!ha ha bravo bro huna majivuno
Kabisa yan hadi nimempenda 😁
nafikiri cha kwanza,ungeipaisha mpaka kiraeni uwanja wa shule ya msingi kustua wanakijiji😅
kingereza kingekua kingi
Mashaalah kijana mstaarabu sana,,Allah akuhifadhi
Rubani lkn Hana maringo mashaallah Mungu akutangulie
Hivi kumbe wagogo hawavumi kumbe wamo🤗
Siyo huyu tu, alikuwepo na ki Jana mmoja anaitwa Aman mgogoro, alikuwa ni balaa, alipata ajali ndege ikaanguka morogoro alifariki tukamzika mkonze Dodoma, ndiyo kwao.
Na alivyo handsome ivyo lazima asumbuliwe😩, mi mwenyw nimependa😝🤗❤️
Aziza 😂😂😂
Hhhahhh mkwe Wang u uyo jmni
Hongera Sana mungu akuzidishie Kila laher ufanikishe ndoto zako
Ndiyo maana hukutakiwa kuwa rubani mungu hawezi kukubariki kea sababu maombi yako ni mabaya.
Hongera baba m mungu kulinde na hassad
Hongera sana kijana umebobea maelezo yako yamenyooka
Oooh, my God, nimekupenda bure, sipat picha mama ako akikuona anajisikiaje, hongera, nakuombea Mungu akufikishe mbali zaidi, na akulinde! big up! Mdogo etu!
Hahhaah nmecheka sn kuhusu mstri du !!!nmekuelewa bro💪👊🙏
Wagogo tuko juu hongera mwanakwetu matonya wa dodoma
Hongera kaka kuwa na kijana kama wewe TANZANIA lazima tujidai
hongera mdogo wangu mungu akuzidishie akupe mapenzi nakazi yako amin
Duuu maisha haya sawa bhana
Hata Mimi nilikuwa naita loket duu hongera sana devi
Je inakueje kuyafanyahaya yote hayo😊😂🎉
akaaaaa yupo handsome boy😂😂
Wow! Be blessed genius
Hongera sana. Humble boy God bless you
Nimejikuta naipenda tu interview nilitamani isiishe na tabasamu 👌
Ooh kumbe wazaz wake walikuwa wanasafir sanaa nje.aya sisi wakwetu wanachoma mikaaa basi tutawauzia mikaaa sanaaaaa
Hahahahhh
Hahahha
hukohuko kwenye mikaa ,Mungu anachomoaga huko watu
😂😂😂😂
😂😂😂 nimecheka sana
Aaaiii poa sana my bro duuuuh pilot 👨✈️ wetu uyooo.
Aise mungu akuzishiye maarifa zaidi na zaidi
Ongera sana rubani wetu mungu akubariki kaka yangu
Bigup kalumbu brother from another mother
David ameipenda kazi yake na amefuzu kihalali amejibu kwa ufasaha. Vijana wajifunze kutoka kwake well done young man i enjoyed the interview❤
Mungu akusaidiee ufike mbaliii
Mmmmmh hongera
Ananikumbusha wakati nipo shule kuwa rubani ilikua ni my dream na Hilda Ringo alikua ni role model wangu as the youngest female pilot wakat nipo O-level....but now nasomea udaktari and enjoying my career 😊😊😊😊
😂😂😂 Dr. Mercy Elly
Honqera sana kaka
Yaani natamani ningepata mtu wa kunielekeza nilikuwa napenda kusomea urubani ila dah ndio imeshakula kwangu umri umeenda, hongera sana kijana.
Hongera sana kaka aisee msalato sasa inawasomi
Wema Moses weeeeee
Hivi ni mim tu nd nahis saut ndogo sanaa! Ama sim yng jmn saut ndogoo mnooo ,,,,but honger bro God bless you 🥰🙏
Simu yako tu, sauti kubwa tu inatosha kabisa
Cimu yk tu
mashallah mungu amuongoze kwa kila jambo aje kutufuata huku tusha choka kutizamana na waraab
Upo vzr dogo, Hongera!
Hongera sana kaka mwanangu anapenda sana kua pilot natumaini siku moja atakua
Smart sana
Hongera, nataman mwanangu aje kuwa pilot
Rubeni mdogo, ana umri gani . Jamani .
Umeambiwa sasa ana 25
Mungu akutie nguvu Dav #Dasen Endelea kukua kiroho,kimwili na kiakili zaid
Na hongera sana kwa kupigania Ndoto yako.#Be Blessed
Congratulations 🎊 and God bless you my kaka
Hongera sana pilot mungu akutangulieee
Tisha sana mzee baba salite 🙌
Hongera sana Ruban na watangazaji.
Mungu atakupa nguvu fanya kazi broo usilembe kazkaz
Mungu atakusaidia ndg yng kwenye kazi yako
Hongera sanaa, very humble
Devi ongera mm anna duuuuuu uko vizuri
Hongera sana kaka angu
Safi sana.
Amazing
Mwanang katisha kweli kasoma sio mjanja mjanja!!! Daa ndege kutoa moshi nimependa jibu lake na jibu la frequency!! Salute bro