SIKIA KILICHO MPATA MCHUNGAJI MWITA AKIWA MADHABAHUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @highonebalo8289
    @highonebalo8289 11 หลายเดือนก่อน +3

    Bwana Yesu unapendeza Mwokozi.
    Unapendeza Mfalme Yesu
    Unapendeza rafiki Mwema❤❤❤❤❤

  • @josehkibona7565
    @josehkibona7565 11 หลายเดือนก่อน

    Neno safi na Mungu atusaidie tuishi ktk neno lake

  • @highonebalo8289
    @highonebalo8289 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu ni mtamu jamani!!!!!!!
    Haleluya!!!!! kumtumikia Mungu kuna faida ya kutosha!!
    Bwana Yesu unashangaza; huzoeleki Mfalme!!!!

  • @EliyaJames-fn3dz
    @EliyaJames-fn3dz 5 หลายเดือนก่อน

    Pastor mwita nimetiwa moyo sana na ushuhuda wako!!!

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nimejisikia vizuri kukusikiliza, aisee mbinguni Kuna Raha sana

  • @highonebalo8289
    @highonebalo8289 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Mchungaji ni mnyenyekevu sana. Watu kama wewe ni hadimu mno.
    Utainuliwa ushangaze ulimwengu. Nimekupenda sana.!!!

  • @marthadarema834
    @marthadarema834 11 หลายเดือนก่อน

    AMEN Yesu utabaki wewe kuwa mtoshelevu Wangu cku za uhai Wangu

  • @mbwamboenedy3593
    @mbwamboenedy3593 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki Mtu wa Mungu endelea mbele uzidi kuinuliwa na Bwana

  • @salvatorybakilana2378
    @salvatorybakilana2378 11 หลายเดือนก่อน

    Aisee Mungu ni mkuu sana

  • @Sidi-f1g
    @Sidi-f1g 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @mckingu4004
    @mckingu4004 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimehudumiwa kipekee sana, Ubarikiwe sana Mkurugenzi pastor Mwita

  • @esthermagori7091
    @esthermagori7091 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu yu hai, Yesu nitosheleze

  • @michaelabeid1135
    @michaelabeid1135 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ukubariki kwa kweli kwa ushuhuda.siku na mimi nitashudia amen

  • @Sarah-y2i2t
    @Sarah-y2i2t 11 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa kutuhurumia

  • @bettywanjala5630
    @bettywanjala5630 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema sana mipango yake haichukuziki

  • @lucaskanyasutv9385
    @lucaskanyasutv9385 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu

  • @gabrielmkumbo2242
    @gabrielmkumbo2242 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Mungu akubariki sana huduma yako inanibariki sana

  • @sarahjoram2550
    @sarahjoram2550 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli YESU ni mzuri anastahili kuabudiwa milele utukufu kwa Mungu wetu 🙏🏼

  • @michaelsamwelmmari9087
    @michaelsamwelmmari9087 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @tausimwinuka
    @tausimwinuka 11 หลายเดือนก่อน +1

    Acha Mungu Aitwe Mungu kwa Hakika....,

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 11 หลายเดือนก่อน

    BWÀNA Mwema Wakati wote Oooooo Atukuzwe YEHOVA ALIYEHAI ndio wewe Sasa Kusudi limetia Ndio maana Uliokolewa Dunia nzima wanakusikia. Glory Glory to Almighty God. Ni kweli. Hongela

  • @YamcleKisatt
    @YamcleKisatt 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuinua kwa somo zuri sana sanaaa

  • @kwelimlwafu5756
    @kwelimlwafu5756 11 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana
    Tunatazamia badiliko kubwa kutoka kwenye hii idala

  • @ALEXLUKIKO
    @ALEXLUKIKO 10 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa BWANA, Mwanza unapatikana wapi/ sehemu Gani?

  • @meshackkulinda1753
    @meshackkulinda1753 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asubuh ya leo nimekufikiria na nilkuona zaman nikiwa mdogo tulikuwa majirani pale boman Tarime na ulikuwa unarafik yako Ayub, cha ajabu napta mtandaoni nakuona.Mungu akubariki, ila ulikiwa ujawa mchungaji ulikuwa umeokoka, kama sikosei ulikuwa unadambaza majani ya chai

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi 😭😭😭 kusudi la MUNGU halizuiliki

  • @mwalongojulius1755
    @mwalongojulius1755 11 หลายเดือนก่อน

    Machine ya yesu ya kazi piga kazi mara ya kwanza kumuona kawe tanganyika pekaz SOS adveture alinibariki sana usimwache yesu songa mbele

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen,Amen Mungu mukuu kabisa

  • @karyinabdulmamboleo1940
    @karyinabdulmamboleo1940 11 หลายเดือนก่อน

    😭😭jaman huyu YESU nakupenda Bwana Yesu

  • @jannefidelis1364
    @jannefidelis1364 11 หลายเดือนก่อน

    Duuuh yesu ndiye njia ya kweli na uzima

  • @justussebastian4779
    @justussebastian4779 11 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli Mungu ni Mkuu,abarikiwe sana huyu mtumishi wa Mungu

  • @LucasMagawa
    @LucasMagawa 11 หลายเดือนก่อน

    Mmm aiseee mungu ni mwema

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mungu anastahili utukufu na heshima. Zamani nilikuwa namfwatilia Cosmas Chidumule alipookoka na wimbo wa 'Siku zote tunaimba, Yesu ni Bwana!'. Lakini sasa tunaye Mwamba huyu hapa - Rev Mwita...DMS itasababisha uamsho mpya, kwa TAG mpya!
    Naona sehemu ya nusu ya hali ya kimbingu imeshashuka tayari

  • @barakacharles3466
    @barakacharles3466 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani huo wimbo Yesu pokea heshima ameimba nani?

  • @roseyona9524
    @roseyona9524 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika Yesu pokea heshima

  • @mediatz8537
    @mediatz8537 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu ni Mungu

  • @aishagumbo
    @aishagumbo 11 หลายเดือนก่อน

    Jina la Bwana LIHIMIDIWE

  • @marymanoti840
    @marymanoti840 11 หลายเดือนก่อน

    Amen tunaabarikiwa sn

  • @CaptolinaRuhara
    @CaptolinaRuhara 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu anatupeleka mahali namtukuza.

  • @GladysMagubo
    @GladysMagubo 11 หลายเดือนก่อน

    Chai jaba

  • @HappinessElisha-b6x
    @HappinessElisha-b6x 11 หลายเดือนก่อน

    Ameewn balikiwaaa sana

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv 11 หลายเดือนก่อน

    Amem

  • @barakacharles3466
    @barakacharles3466 11 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭 ushuhuda unaliza sana huuu baba ukweli mkurugenzi DMS Mungu Akutunze sana baba Yani hayo mashaili ya huo wimbo natamani sana kama unge tutengenezea nasisi maana unaujumbe unao gusa sana maisha yangu🙏🙏🙏🙏

  • @EmmaYator
    @EmmaYator 5 หลายเดือนก่อน

    Ee bwana mungu ninakushukuru maana wewe huu mtosholevu

  • @esthermagori7091
    @esthermagori7091 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeni

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 11 หลายเดือนก่อน

    Umeniongeza kitu