Unajua itikadi ya mashia (raafidhwa) juu ya Qur'an? Juu ya maswahaba? Ndoa ya muta'a? Kupaka maji juu ya khofu mbili? Maadui wakubwa wa uislamu unawafahamu? Kaa chini usome ili ujue yote hayo then uje na conclusion je ni waislamu ama laa na c kwa akili zako tu. Allah atuongoze katika haqqi 🤲
Mtamzamo wako wewe kama nani ni ahlul ilmu? Au mtamzamo wa hawaa za nafsi yako tu? Soma ndugu mashia wanamatusi makubwa kuanzia kuongea uongo hadi matusi kwa mtume na maswahaba
Ahsante mzee wetu Allah akujaalie Umri Mrefu na Afya Njema
Khalifa Mussa unatufaa sana Allah akupe umri mrefu na ilimu nyingi
Ahsante sana sheikh wetu Allah akujaze kheri
Tunaomba muendelezo wa Kisa cha Miiraji Sehemu ya 08
MSIKILIZE HAPA HUYO MUHABI
th-cam.com/video/MUxnIAKwO-A/w-d-xo.htmlsi=ln0t3E3ybRC1jszr
Kisa cha Miiraji Sehemu ya 08 hamjaweka mpaka sasa
Kwa mtazamo wangu mashiha ni waislamu pili msiba uliyo tukumba ss waislamu ni kundi la wahabi kwa kuwa kufurisha wasiyo fwata mismamo yao tu.
Unajua itikadi ya mashia (raafidhwa) juu ya Qur'an? Juu ya maswahaba? Ndoa ya muta'a? Kupaka maji juu ya khofu mbili? Maadui wakubwa wa uislamu unawafahamu? Kaa chini usome ili ujue yote hayo then uje na conclusion je ni waislamu ama laa na c kwa akili zako tu. Allah atuongoze katika haqqi 🤲
Mtamzamo wako wewe kama nani ni ahlul ilmu? Au mtamzamo wa hawaa za nafsi yako tu? Soma ndugu mashia wanamatusi makubwa kuanzia kuongea uongo hadi matusi kwa mtume na maswahaba
Mbona na mashia huwasemi?
Au ndio wafadhili wenu?
Wanatukana maswahaba na wake wa mtume?
Kawasema mbna ipo video
@@abdulazizmwipi9295 Alaaa kumbe ya kutafuta????
Uliza kwanza, usiuruhusu ujinga wako uwe ni hoja kwa jambo usilolijua uhakika wake