Historia ya sheikh waliid al hadi ki elimu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 87

  • @mohamedimuhango4440
    @mohamedimuhango4440 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Sheikh Walid kumbe ulionekana zamani naona kabisa daraja yako ipo juu zaidi ya hapo, Allah azidi kukujaalia afya njema 🙏

  • @njamambwana3755
    @njamambwana3755 3 ปีที่แล้ว +19

    Nilikuwa najiuliza huyu Sheikh kwanini amekuwa na utulivu wa hekima,Kumbe amepitia kwenye mikono salama ya wazee masheikh magwiji Masha Allah!

  • @msarama5406
    @msarama5406 ปีที่แล้ว +2

    Historia nzuri Mashaa Allah usiache kufundisha

  • @massoahussein8132
    @massoahussein8132 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah..Mashallah..nilikuwa natamani sana kupata historia ya Shk Wangu nimpendae sana kwa ajili ya Allah...Shukran kwa Ya salaam TV.. mtuletee na masheikh wengine.

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 3 ปีที่แล้ว +11

    MashaaALLAH Tanga , Lamu , Mombasa na Zanjibar Pamejaaliwa Elmu kubwa Sana , Allah ailinde miji hii , Aaameen

    • @mosimba467
      @mosimba467 ปีที่แล้ว

      Naushoga ndio umejaa huko iombeeni miji yenu jamani

    • @cheka480
      @cheka480 ปีที่แล้ว

      @@mosimba467 Tunaomba usiku na mchana atuondoshee hilo tatizo ila Allah (s.w.t) anapokuletea mtihani anajua nini anachokifanya subra nayo ni ibadah. Na hivi vitu vinaumiza zaidi sehemu ambapo kuna deen au waumini wengi wa dini yetu. Tunamlingania Allah (s.w.t) kwa ndugu zetu huko walipo.

    • @allystar5406
      @allystar5406 ปีที่แล้ว +1

      @@mosimba467 KITU USICHOJUA NI KWAMBA TANZANIA BARA NDIO INAONGOZA KWA IDADI YA MASHOGA KABISA KAFUATILIE TAKWIMU ZA MWAKIBE UTAELEWA ACHA CHUKI NA HIYO MIKOA YA ELIMU NA HATA ELIMU YA DUNIA MIKOA HIYO ILIKUWA YA KWANZA WATU WAKE KUSOMA

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 ปีที่แล้ว +4

    Shekh mtulivu sana anahekima mungu akuongoze

  • @heritientuba6339
    @heritientuba6339 ปีที่แล้ว +1

    kila la kheri shekhe Mpya wa dar es salaam kumbuka watu ni wanaafiki sifa nyingi kumbe wanakungoja uteleze kidogo waanze fitna zao Allah akuifadhi na Shari zote.

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 2 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah al habib ustadh Walid Mungu amuweke na amuhifadhi. Amesoma kwa wanazuoni wakubwa wacha Mungu masharifu wema. Nampenda sana yeye na elimu yake na darasa zake..
    جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الحبيب الأستاذ وليد حفظك الله ورعاك. اللهم آمين يارب العالمين.

  • @twahamwela2158
    @twahamwela2158 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah!!! Allah ambariki sana sheikh Walid kwa kweli anafanya Kazi kubwa Sana

  • @akidawangara2323
    @akidawangara2323 3 ปีที่แล้ว +17

    Kweli ardhi imechukua watu wema. Hekima ya hao masheikh na kazi waliyofanya...haki yanamtoa mtu machozi. Mwenyezi Mungu amrehemu Sheikh Muhammad bin Ayubu, Sheikh Suleiman Mbwana, Sheikh Muhammad Al Burhan na wengine wote waliotangulia mbele ya haki.

    • @salamajuma2931
      @salamajuma2931 ปีที่แล้ว +3

      Hakika sheikh Walid ni wazi mioyo ya wengi imemkubali. Mm nafc yangu moyo wangu unakitu kizito juu ya mapenzi juu yk katika njia ya Haki ya Mola wetu mlezi. Allah azidi kumbarik kwa kazi ya Allah ya kutuelimisha.

    • @aishaabdullah837
      @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว

      Ameen

  • @sheikysaguti1265
    @sheikysaguti1265 2 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah sheikh wald nimependa historia yako ama kila mmoja anahistoria yake

  • @jamaldinabubakary9507
    @jamaldinabubakary9507 2 ปีที่แล้ว +6

    أحسنت يا دكتور شيخ وليد .. حفظك الله ورحم الله والديْك يا رجل صالح بن رجل صالح

  • @fatyymohammed1378
    @fatyymohammed1378 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah Mungu azidi kukuongoza Shekhe wetu

  • @AmadBell
    @AmadBell ปีที่แล้ว

    Allah amzidishiye ilmu ma sha Allah

  • @muslmlushototv4802
    @muslmlushototv4802 2 ปีที่แล้ว +2

    Shekh walid nakukubali sana Allah akupe umri mrfu

  • @mssfonlinetv
    @mssfonlinetv 2 ปีที่แล้ว +2

    Laa ilaaha illaallaah Allaah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika AAMIIN na ampe kheri ktk kabri lake Babu yetu Shk Alhad,
    Nivosikia umemuombea umri mrefu nikashtuka nikatizama kumbe Mimi ndio nimechelew kuipata hii video,
    Mpk jana Babu yetu ndio anamwezi KABURINI.

  • @fatmacheshyathman8684
    @fatmacheshyathman8684 2 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah sheikh Walid Allah akuhifadhi na afya njema.

  • @msarama5406
    @msarama5406 ปีที่แล้ว +1

    Yupo tofauti sana na Muhammad Idd na wote zao la Sheikh mkubwa ila huyu anautulivi mno anapita mulemule kwa sheikh Muhaamda Ayoub Allah amrehemu

  • @sheikysaguti1265
    @sheikysaguti1265 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awaraham masheikh zetu wamefanya makubwa waliandaa viwanda na malghafi zilizo safi naghali mungu amfanyie wepesi mlezi wetu sheikh muhammad bin Ayyuub na msheikh wengine Allahumma Aamiin

  • @alijuma80
    @alijuma80 2 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah 💖🌿🌿💖🌿💖🥀🥀🥀🥀

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH

  • @suleiman5257
    @suleiman5257 ปีที่แล้ว

    MashaAllah
    Twaomba aendele kusoma Kwa masheikhe wakumbwa wanaotambulika hasa wasahi waliyotoka njee Kwakuwa zamani ilikuwa ukisoma kidogo umekuwa sheikh

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว

    Kumtafuta kugumu Allah awafanyie wepesi mashekh zetu

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 ปีที่แล้ว

    Kumbe.wotee. wametokea. TAMTA mungu alekhem Mukhamed Ayyubu Maan shaallah shekh

  • @jihrezally
    @jihrezally 3 ปีที่แล้ว +1

    vizuri sana akhy tunaomba tuwafuatilie na mashekhe wengine

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mashaAllah

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa allaah historia nzuri sana

  • @abdulrahmanmohamed8789
    @abdulrahmanmohamed8789 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri maa shaa Allah. Ingependeza kama suala la kusoma lingepewa muda mkubwa. K.m angeulizwa jumatano ya mwanzo alianza muda gani? Nani alimuanzisha? Alisomeshwa nini na akaendelea kwa utaratibu upi? Uzito gani aliupata wakati anasoma? Marafiki zake walikuwa wepi? Walifanya murajaa' vipi? Mikasa aikumbukayo wakati wa kusoma; mambo ya kufurahisha; mambo asiyoweza kuyasahau wakati yuko chuoni. Walimu wake na mwalimu yupi kamsomesha nini? Kwa sasa anaendelea kusoma kwa nani na kwa utaratibu gani n.k Cha muhimu mpate simulizi iliyo kamili na itakayomchukuwa mtoto au mwanafunzi katika 'Safari ya kutafuta elimu'.

    • @yaasalaamonline5300
      @yaasalaamonline5300  2 ปีที่แล้ว

      Inshallah no.2 inskuja 🙏

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 ปีที่แล้ว +1

      Mtangazaji muhoji hayo maswali aliyoeleza al akh
      Hapo juu

  • @jumaally6277
    @jumaally6277 3 ปีที่แล้ว +1

    yaa salaam

  • @salehemohamed2937
    @salehemohamed2937 3 ปีที่แล้ว +2

    MashAllah

  • @abdallahmkomboz2679
    @abdallahmkomboz2679 3 ปีที่แล้ว +2

    Sauti kwa mbali hvii!! Tunamuomba naye Shekh samir atupe historia yake

  • @Salimajeeb
    @Salimajeeb 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaa salaam yaa salaam

  • @khalifaallyibnadam9983
    @khalifaallyibnadam9983 3 ปีที่แล้ว +1

    ALHAMDULILLAAAH ALHAMDULILLAAH ALHAMDULILLAAH

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @jumaally6277
    @jumaally6277 3 ปีที่แล้ว +1

    yaa saa laam

  • @Salimajeeb
    @Salimajeeb 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeuwa mzee💯✍️

    • @SHECK177
      @SHECK177 2 ปีที่แล้ว

      Ufwate njia hizo alhabiib

  • @mohamedabubakar9852
    @mohamedabubakar9852 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Tabarakallah

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 ปีที่แล้ว

    Maaasha Allah

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 3 ปีที่แล้ว

    يا سلام

  • @saidiiddi9591
    @saidiiddi9591 3 ปีที่แล้ว

    MashaAll MashaAll

  • @ibrahimually1196
    @ibrahimually1196 3 ปีที่แล้ว

    يالسلام سلنا والمسلمين

  • @mursalmrisho1538
    @mursalmrisho1538 3 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndizo elimu na hivi ndivyo zinavyopatikana bila shaka

  • @sadambakari9756
    @sadambakari9756 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallakh

  • @twahirmussa4421
    @twahirmussa4421 3 ปีที่แล้ว

    Yaa salaam

  • @wazirabbasy1652
    @wazirabbasy1652 3 ปีที่แล้ว

    yaa ssalaaam

  • @azizasana9313
    @azizasana9313 2 ปีที่แล้ว

    Mashllaaleh

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 ปีที่แล้ว

    I wish Mwaipopo angepata japo tone la hekima ya shekhe WALIID BIN SHEKHE ALHAJI OMARY

  • @omaryally1482
    @omaryally1482 3 ปีที่แล้ว

    Ya salaaam

  • @sheikhabdulmajidabdallah9625
    @sheikhabdulmajidabdallah9625 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah

  • @wazirimwanyoka7949
    @wazirimwanyoka7949 3 ปีที่แล้ว

    YAA SALAAM

  • @Fredrickmarinya
    @Fredrickmarinya 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam aleiku Ustadh Abdulhaliim naomba kufahamu kabla Mwalimu Imamu Sheikh Walid hajaenda Lamu kusoma alipitia Kwa Sheikh yupi na yupi jijini Dar Es Salaam akisoma dini.

  • @hassanheresiwambura8341
    @hassanheresiwambura8341 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @zulfasaid8783
    @zulfasaid8783 2 ปีที่แล้ว +1

    Historia za kiilimu zina athari.

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna_Alie_soma_kwa_shekh_MUHHAMMAD_AYOOB_akatoka_patupu_wote_sasa_wanakula_RAHA

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 3 ปีที่แล้ว

    mashallah

  • @sudaissaid8428
    @sudaissaid8428 2 ปีที่แล้ว

    Mufti Kabi wa Znz

  • @sheikhramiaisanga3035
    @sheikhramiaisanga3035 3 ปีที่แล้ว

    Hakika miongoni mwa sirri za kuyafikia mafaanikio pia ni zile fat'ha za wale masheikh. Na karama za sheikh Muhammad Ayoub mapema ulizishuudia

  • @assayyidaydaruus181
    @assayyidaydaruus181 3 ปีที่แล้ว

    Mama

  • @khelefomary4486
    @khelefomary4486 ปีที่แล้ว

    Raha ya historia alikuwa awepo MTU pembeni yeye awe hayupo ndio inapendeza sana

  • @KassimMohammed-u5x
    @KassimMohammed-u5x 7 หลายเดือนก่อน

    Kama mmeenda nyumbani kwake basi sio mgeni wenu ni mwenyeji wenu

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 2 ปีที่แล้ว

    hivi mbona natafuta kuona historia ya shekhe muhamadi ayubu na shekhe sulaymani mbwana

  • @amiriushanga1128
    @amiriushanga1128 ปีที่แล้ว +1

    Nawaona mawahabi mnavyo payuka kwa chuki mulizonazo mnateseka mkiwa wapi kwani?

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 2 ปีที่แล้ว

    Wachieni ndevu mnanyoa O suna ya nani?

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 3 ปีที่แล้ว +1

    JITAHIDI UTULETEE MASHEIKH WOTE...
    KIPOZEO, KOMBO FUNDI.. NK

  • @athumanimakorongo246
    @athumanimakorongo246 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba na mashekh wengine lkn pia tunaomba na qaswiida

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว

    Madhehebu ya Kitwariqa ni Madhehebu
    ya Bidaa na Madhara yake yanaonekana
    Masheikh wengi wa
    Kitwariqa wameshindwa kutofautisha
    baina ya Sunna na Mambo ya
    Uzushi ktk Dini
    ila Allah atuhurumie
    na atusamehe tuu

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 ปีที่แล้ว

      Madhehebu Ya Kitwariqa Ndio Yapi Mwalimu?
      Na Madhehebu Yasio Ya Bidaa Ni Nini?

    • @allystar5406
      @allystar5406 ปีที่แล้ว

      SHEKHE WAKO WA SUNNA FUATILIA HISTORIA YAKO AMESOMA KWA SHEKHE MOHAMAD BIN AYOUB

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 3 หลายเดือนก่อน

      ninani kakuuliza wewe wahabi?

  • @barackmalitne6870
    @barackmalitne6870 2 ปีที่แล้ว

    Huyu kasoma elimu yakizushi bidaa hana ilim yakisheriya niwazushi wala haifai kusoma kwahawa niwatu wa bidaa.

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 ปีที่แล้ว +1

      Elimu Ya Kizushi Ndio Elimu Gani?
      Au Fanni Gani Hio Mwalimu? 👂
      Lete Naswi Inayokataza Kusoma Kwake?
      Na Nani Ambaye Naswi Iseme Tukasome Kwake ?

    • @yussuphidrissamwalugoya1606
      @yussuphidrissamwalugoya1606 ปีที่แล้ว

      Katika wajinga wewe namba moja

  • @abuuirtifaahaamid3310
    @abuuirtifaahaamid3310 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @kanalyabdul4014
    @kanalyabdul4014 3 ปีที่แล้ว

    Yaaa salaam

  • @salimually2388
    @salimually2388 3 ปีที่แล้ว

    Ya salaaam

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 2 ปีที่แล้ว

    maashaallah