KHALIFA MPYA TV
KHALIFA MPYA TV
  • 187
  • 261 067

วีดีโอ

KISA CHA MIIRAJI SEHEMU YA 14
มุมมอง 8745 หลายเดือนก่อน
#kisa #miiraji #khalifamussa @KHALIFAMPYA-TV
KISA CHA MIIRAJI SEHEMU YA 13 BY KHALIFA MUSSA
มุมมอง 4737 หลายเดือนก่อน
#kisa #miiraji #khalifamussa @KHALIFAMPYA-TV
HISTORIA FUPI YA KHALIFA MUSSA YA ELIMU YAKE
มุมมอง 3.1K7 หลายเดือนก่อน
#historia #elimu #khalifamussa @KHALIFAMPYA-TV
Kisa cha Miiraji sehemu ya 12 @khalifa mpya tv
มุมมอง 5479 หลายเดือนก่อน
#kisa #miiraji #khalifamussa @KHALIFAMPYA-TV
KISA CHA MIIRAJI BY Khalifa Mussa Issa @KHALIFAMPYA-TV
มุมมอง 4539 หลายเดือนก่อน
#kisa #miiraj @KHALIFAMPYA-TV
Madhara ya kuishi na watu wasio swali @KHALIFAMPYA-TV
มุมมอง 3939 หลายเดือนก่อน
#madhara #kuishi #watu #wasioswali @KHALIFAMPYA-TV
HUKUMU YAO SIKU YA QIYAMA
มุมมอง 7339 หลายเดือนก่อน
#hukumuyaosikuya #qiyama @KHALIFAMPYA-TV
Kisa cha Miiraji Sehemu ya 10 By Khalifa Mussa Issa
มุมมอง 47610 หลายเดือนก่อน
#kisachamiiraji #khalifamussaissa @KHALIFAMPYA-TV
Je Dufu ni ibada, ni halali au haramu? By Khalifa Mussa Issa
มุมมอง 3.2K11 หลายเดือนก่อน
#je #dufu #halili #haramu #ibada #Khalifa @KHALIFAMPYA-TV
Kisa cha Miiraj Sehemu ya 09 @Khalifa mpya tv
มุมมอง 70511 หลายเดือนก่อน
#kisa #miiraj #sehemu #09 @KHALIFAMPYA-TV
Historia fupi ya Imamu Ghazaar R.a @KHALIFAMPYA-TV
มุมมอง 3.8K11 หลายเดือนก่อน
#imamu #ghazaar @KHALIFAMPYA-TV
KISA CHA MIIRAJI 08 By Khalifa Mussa Issa
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
#kisa #miiraji #khalifa #mussa #issa @KHALIFAMPYA-TV
JE HUYU MUHABI ALOYASEMA NI KWELI?
มุมมอง 3.6Kปีที่แล้ว
JE HUYU MUHABI ALOYASEMA NI KWELI?
Kundi la Peponi katika Makundi 73
มุมมอง 1.6Kปีที่แล้ว
Kundi la Peponi katika Makundi 73
KUFAA KWA MAULID MFUNGO 06 @KHALIFA MPYA TV
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
KUFAA KWA MAULID MFUNGO 06 @KHALIFA MPYA TV
ONYO: Kuwa makini na Aya hizi....@Khalifa mpya Tv
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
ONYO: Kuwa makini na Aya hizi....@Khalifa mpya Tv
IJAZA ZAIDI YA MOJA
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
IJAZA ZAIDI YA MOJA
Kisa cha Miiraji 07 by Khalifa Mussa
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
Kisa cha Miiraji 07 by Khalifa Mussa
KASHIFA NA HUELEWA MBOVU WA MAWAHABI @KHALIFA MPYA TV
มุมมอง 2.8Kปีที่แล้ว
KASHIFA NA HUELEWA MBOVU WA MAWAHABI @KHALIFA MPYA TV
Kisa cha Miiraji @Khalifa Mpya
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
Kisa cha Miiraji @Khalifa Mpya
KISA CHA HAARUT NA MAARUT by Khalifa Mussa Issa @KHALIFAMPYA-TV
มุมมอง 15Kปีที่แล้ว
KISA CHA HAARUT NA MAARUT by Khalifa Mussa Issa @KHALIFAMPYA-TV
Je Sayyidinaa Jaafar Albarzanj alikuwa Mshia? @KHALIFAMPYA-TV
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Je Sayyidinaa Jaafar Albarzanj alikuwa Mshia? @KHALIFAMPYA-TV
Chimbuko la Mashia
มุมมอง 725ปีที่แล้ว
Chimbuko la Mashia
Hekima ya Mtume S.a.w kumuoa Bibi Aisha akiwa na miaka 06 @Khalifa mpya tv
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
Hekima ya Mtume S.a.w kumuoa Bibi Aisha akiwa na miaka 06 @Khalifa mpya tv
Kisa cha Miiraji Sehemu ya 05 by Khalifa Mussa Issa @KHALIFAMPYA-TV
มุมมอง 809ปีที่แล้ว
Kisa cha Miiraji Sehemu ya 05 by Khalifa Mussa Issa @KHALIFAMPYA-TV
Kisa cha Miiraji Sehemu ya 04 @Khalifa mpya tv
มุมมอง 771ปีที่แล้ว
Kisa cha Miiraji Sehemu ya 04 @Khalifa mpya tv
Khalifa Mussa Issa 03/08/2023 Zanzibar
มุมมอง 2.6Kปีที่แล้ว
Khalifa Mussa Issa 03/08/2023 Zanzibar
DHIKRI MBURAHATI 28/07/2023
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
DHIKRI MBURAHATI 28/07/2023
Sheikh Swalehe (Manaqibu) Mburahati 28/07/2023
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
Sheikh Swalehe (Manaqibu) Mburahati 28/07/2023

ความคิดเห็น

  • @nzwibasaidi7953
    @nzwibasaidi7953 วันที่ผ่านมา

    Mmekutana wote hamjielewi

  • @abuibra
    @abuibra 7 วันที่ผ่านมา

    Africa mnabahati sana mna mawalii wengiii na mitume wengi.

  • @nungunungutv3172
    @nungunungutv3172 14 วันที่ผ่านมา

    Assalam alaykum....naomba mpelekeeni ombi khalifa mussa atusimulie hadhara ya katoro bukoba 1978 ambayo sheikh muhammad nassor alipigiwa dufu

  • @HusseinKalivolo
    @HusseinKalivolo 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu kasema sisi washirikina niemuondowa katika hesabu za waislam mbele ya allah

  • @HusseinKalivolo
    @HusseinKalivolo 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu kasema sisi washirikina niemuondowa katika hesabu za waislam mbele ya allah

  • @HusseinKalivolo
    @HusseinKalivolo 24 วันที่ผ่านมา

    Ndiyo ni wane. N'a yulu yao kuna mumoja naye ni gausi

  • @HusseinKalivolo
    @HusseinKalivolo 24 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni kweli mawali ndiyo misumari ya duniya

  • @HusseinKalivolo
    @HusseinKalivolo 24 วันที่ผ่านมา

    ASanté tupo kabisa.

  • @MaryWanja-m4h
    @MaryWanja-m4h หลายเดือนก่อน

    Mtoto wako akifanyiwa hivo utacheka hivo????

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven หลายเดือนก่อน

    Allah akujaalie umri mrefu na afya njema

  • @ArnestAmbuka
    @ArnestAmbuka หลายเดือนก่อน

    Mbwa wewe

  • @AmneAbdulhakim
    @AmneAbdulhakim หลายเดือนก่อน

    Shirki tu

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 26 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mpuuzi tu usiyejua chochote katika dini. Kwako hasara ni Duniani na Akhera. Mmekalia fitna tu misikitini hamna ibada wala uchamungu

  • @eliymanueljesus376
    @eliymanueljesus376 หลายเดือนก่อน

    Dhu😂😂😂😂

  • @SaidShabani-s8c
    @SaidShabani-s8c 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamndullah m,mung atusaidie

  • @sheikhidrisa9793
    @sheikhidrisa9793 2 หลายเดือนก่อน

    Maaashallah

  • @AbdullnasirSalim
    @AbdullnasirSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @AbdullnasirSalim
    @AbdullnasirSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Mass

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa alikuaga anakurupuka tu nshamburuza sanaaaa...allaah amlipe anayostahili kuna makosa amekosea sana watu wa sunna na sijui kama alitubia mpaka alipokufa

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 3 หลายเดือนก่อน

    Sio kila mweny mambo ya ghaibu ni mchawi, wengine ni daraja.zaid mchunguze unaye mjaji mwenendo wake ukoje ktk udhahiria???

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 3 หลายเดือนก่อน

    Ulimu ya sheria na elimu ya twarika zikikutanishw pamoj ni sabb moj.wap ya kufikia ucha Mungu na mawalii wote ni wachaji Mungu.Hupew elimu ya dhahir na ya siri.

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 3 หลายเดือนก่อน

    Uwalii ni cheo kilicho jificha ni mar chache tu mtu.kujulikan.,na hatojulikan ila na wale wanao muamini tu.

  • @sabontumohamed9192
    @sabontumohamed9192 4 หลายเดือนก่อน

    Amiiiin yaa rabbi 🤲❤️

  • @المسلمالنظيف
    @المسلمالنظيف 4 หลายเดือนก่อน

    mashaallaha

  • @salimseif2427
    @salimseif2427 4 หลายเดือนก่อน

    Imam Ghazal Mashallah

  • @المسلمالنظيف
    @المسلمالنظيف 5 หลายเดือนก่อน

    mashaallah

  • @BintKhamis-t9v
    @BintKhamis-t9v 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤

  • @pananijunksimela96
    @pananijunksimela96 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar

  • @المسلمالنظيف
    @المسلمالنظيف 5 หลายเดือนก่อน

    mashaallah

  • @bensonelisa3225
    @bensonelisa3225 5 หลายเดือนก่อน

    Mtume alikuwa anatoa hukumu kwa mtu kutokana na mwili wake

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 5 หลายเดือนก่อน

    اللهم صل وسلم وبارك عليه أبدا

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 5 หลายเดือนก่อน

    MASHAAAALLAAH

  • @musayosia4081
    @musayosia4081 5 หลายเดือนก่อน

    Maashaallaah ❤

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 6 หลายเดือนก่อน

    ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ❤

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 6 หลายเดือนก่อน

    ila suala la kuwauwa masheikh mawahabi wanahusikaje wakati historia inajulikana hawa masheikh waliipinga serikali juu ya kuleta utalii somalia ?si suala la kwenda makka na kurudi ukauwa masufi .tuweni wakweli jamani

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 6 หลายเดือนก่อน

    ALIYEAMBIWA HAYA MANENO ALIELEWA NA KUTUBIA NA KIKUBALI KUWA ALIKOSEA, SASA NYIE MNABWEKA NINI HAPA!!? HUYO NDUGU YETU KAFAFANUA KWA DALILI NA KAWEKA KITABU NA UKURASA,SASA IKIWA MNA UBAVU MTAFUTENI MUMCHALENJI, NYIE WENGINE HATA KUTAWADHA TU HAMJUI SEMBUSE KUSALI.LAKINI KWA KUTAFUTA KUONEKANA MASHEIKH MNABOBOKWA TU HAPA

  • @AllySibila
    @AllySibila 6 หลายเดือนก่อน

    Wengi elimu hawana humu wanacoment akili zao

  • @HawaMohamed-g7c
    @HawaMohamed-g7c 6 หลายเดือนก่อน

    Shukuran sana shekhe

  • @abubakarindete6c
    @abubakarindete6c 7 หลายเดือนก่อน

    Uyo rais

  • @TwalibNEVERGIVEUPKhamis
    @TwalibNEVERGIVEUPKhamis 7 หลายเดือนก่อน

    As. Alaukum. Naomba link ya channel ya Telegram

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 7 หลายเดือนก่อน

    Na pia naomba jina la hicho kitabu kitabu ulichosema ni cha mwanafunzi wa Ibni taymiyya

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe hapo mbona unatukana? au hujisikii na kujiona.

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 7 หลายเดือนก่อน

    Ni nani aliekataa kuwa hakuna makarama?

  • @MmohamediPoyo
    @MmohamediPoyo 7 หลายเดือนก่อน

    Allh amrehemu shekh uwesu amin

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 7 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah unatupa faida kubwa sana ila muendelezo usichelewe

  • @yammuhamed736
    @yammuhamed736 7 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu kheiyra ❤️❤️

  • @moneyyousuph3230
    @moneyyousuph3230 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah Khalifa Mussa

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 7 หลายเดือนก่อน

    Mawalii wapi hawa wana onekana wanafiq kabisa hata nyuso zao hazina ndevu... Washirikina wakubwa nyie... Nadhani katika utwarika ukiwa mchawi na ukiwa na miujiza kwa njia za kishirikina basi uta abudiwa... Bora ya mayahudi na manaswara ni makafiri wa dhahir kuliko nyie wanafik mliovaa vazi la kiislamu kisha washirikina wakubwa

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 26 วันที่ผ่านมา

      Mche mola wako mpuuzi wewe. Hujui chochote kuhusu dini. Mtume Muhammad (S.A.W) kawaeleza mawalii wa Mungu jinsi wanavyokuwa na sifa zao hadithi kibao. MaSheikh zenu hawana sifa hata moja katika hizo. Muwe mnasoma dini

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 26 วันที่ผ่านมา

      Wewe una tofauti gani na makafiri wa Makka kipindi cha Mtume Muhammad (S.A.W) walimuita Mtume kuwa ni mshirikina na mchawi. Kwahiyo hii habari yako juu yetu inakurudia wewe mwenyewe

    • @NuruJumanneHamimu
      @NuruJumanneHamimu 19 วันที่ผ่านมา

      Wana Adabu yatosha kukujuza.

    • @NuruJumanneHamimu
      @NuruJumanneHamimu 16 วันที่ผ่านมา

      Uwena Adabu kabra hatuja kusikisha Adam kwa hao niwana wa chuoni

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 8 วันที่ผ่านมา

      WEE NI CHIZI MSIKITINI. NDEVU NI NGUZO YA NGAPI KATIKA NGUZO ZA UISILAMU!? AU NI NGUZO YA NGAPI KATIKA NGUZO ZA IMANI!? AU NI NGUZO YA NGAPI KATIKA NGUZO ZA IHSANI!? DINI ISINGEPATA SHIDA HIZI INAZOPATA SASA KWA AJILI YA USHETANI WENU.MLAANIWE MILELE

  • @Yusuphmazohany
    @Yusuphmazohany 7 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli dufu sio kweli alifahi kabisa

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa hyo kuna kufaa nadhiri kwa kitu kilicho haramu?

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 7 หลายเดือนก่อน

    Kisa cha miiraji mbona humtumi