Dufu linafaaa kwahyo mtume aruhusu kitendo cha kishetani kifanyike mbele yake alaf asikikemee?? Pili yafaa kuweka nadhiri kwa jambo lakishetani ndani yake ikiwa nadhiri ni ibada? Sheikh ujaweka wazi unaongea kwa mafumbo mwenzio alipoongea aliweka wazi hoja zake kielimu
Sheikh m/mungu akujaaliy Kilalakheri tunashkuru sana m/ mungu awapetawfik wafuate ibada ya kweli
Kiukweli dufu sio kweli alifahi kabisa
Kwa hyo kuna kufaa nadhiri kwa kitu kilicho haramu?
Msizozane bana hayo hapo ni maswala khilaafu katika ufahamu ila nyote muko sawa,muna Maulamaa wamepita kwa ufahamu wenu tofauti
Dufu ni haramu liwe la wanawake au wanaume dufu ni sawa na ngoma😭
Wengi elimu hawana humu wanacoment akili zao
Dufu la wanawake sio wanaume kucheza kama wanawake
Hiihadithi inawakin kwamba shetwan anamuogopa sana Omar kuliko mtume,? Kipimo chaakili kinakataa
Dufu linafaaa kwahyo mtume aruhusu kitendo cha kishetani kifanyike mbele yake alaf asikikemee?? Pili yafaa kuweka nadhiri kwa jambo lakishetani ndani yake ikiwa nadhiri ni ibada? Sheikh ujaweka wazi unaongea kwa mafumbo mwenzio alipoongea aliweka wazi hoja zake kielimu
Angeweka nadhir yakunywa pombe ange ruhusiwa? Mtume hawezi kuruhusu haramu mbeleyake
Hakika tumempigia mwanadamu katika Quran Kila aina Mfano , Lakini Binadamu ameshinda kila😂kitu Kwa Ubishi!
na wewe ni Miongoni mwa hao wabishi