Tundu Lissu afikishwa mahakamani kujibu tuhuma za uchochezi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Tundu Lissu afikishwa mahakamani kujibu tuhuma za uchochezi

ความคิดเห็น • 168

  • @amanimkambala8146
    @amanimkambala8146 7 ปีที่แล้ว +6

    tundu lisu umetisha kwenye ukweli lazima kuongea ukikubali kusifiwa na ukubali kukosolewa

  • @mwilathomas2382
    @mwilathomas2382 8 ปีที่แล้ว +9

    serikali ya Tanzania inashangaza kwa kweli hata sheria haizijui wakati ilitunga yenyewe haya ni maajabu

  • @hajihamis7910
    @hajihamis7910 7 ปีที่แล้ว +4

    nakukubali sana mtu wangu wa nguvu millad ayo

  • @jacksonsaganda1425
    @jacksonsaganda1425 8 ปีที่แล้ว +7

    utashinda ktk jina la yesu

    • @roseadam1296
      @roseadam1296 4 ปีที่แล้ว

      Usitamke Jina la yesu Kwenye upuuzi ww mungu anasimama Kwenye amani nasio kuingia barabarani kuleta machafuko ya Tanzania

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali sana

  • @immanuelswai6679
    @immanuelswai6679 7 ปีที่แล้ว +5

    ndio kaka koma nao.

  • @charlesmwalongo4568
    @charlesmwalongo4568 4 ปีที่แล้ว +3

    Umaarufu wa kuongea utaupata, ila kupata uongozi never.

  • @danielluvunzu553
    @danielluvunzu553 8 ปีที่แล้ว +3

    Dah yaan hp Lissu cna cha kusema mchi imerud miaka ya 60 km vle nyumba ya mtu

  • @husseinjejeleje6585
    @husseinjejeleje6585 8 ปีที่แล้ว +7

    safi lissu

  • @MzururajiAbroad
    @MzururajiAbroad 8 ปีที่แล้ว +3

    safi sana lisu

  • @maikofaustine8941
    @maikofaustine8941 4 ปีที่แล้ว +3

    2020 kura yangu lisu

  • @ibratpascal4225
    @ibratpascal4225 7 ปีที่แล้ว +5

    nc

  • @daybrelimite6666
    @daybrelimite6666 8 ปีที่แล้ว +1

    Yesu mtakatifu tena mtoto wa Mungu alipigwa mijeredi,itakuwaje, binadam asikosolewe,(our country is a democracy) we doesn't any racism).

  • @izraelyherman4467
    @izraelyherman4467 4 ปีที่แล้ว +2

    Ww ndyo uchwara tena huna Nia njema na nchi yetu hutachaguliwa labda vichaa wenzio

    • @AlumanaPilla
      @AlumanaPilla ปีที่แล้ว

      Lichwala kikubwa mwenyewe huna hata haya

  • @shd12m55
    @shd12m55 7 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh huyujamaa ni shidaa aisee

  • @hagaizakayo9605
    @hagaizakayo9605 7 ปีที่แล้ว +1

    Tundu Lisu pambana sema kweli acha hawa wanafiki wanaosubilia kusifia ili wapewe vihela kidogo ili sisi wakulima tuumie

  • @obedylayzer6606
    @obedylayzer6606 7 ปีที่แล้ว +3

    asante muheshimiwa lisu

  • @wizzditto747
    @wizzditto747 4 หลายเดือนก่อน

    From Zanzibar nakukubali miaka mia 100 💯

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhh tengeneza vizuri kauli zako

  • @marcopeter7451
    @marcopeter7451 8 ปีที่แล้ว +2

    lisu unaelekea kuwa insane,nitajie mambo matatu ambayo yanadhihirisha udictator

  • @carolakinasha2106
    @carolakinasha2106 8 ปีที่แล้ว +1

    Faida Fanoni I am not a member of any political party I am just a concerned citizen. Naona umekimbia kabisa. Hoja zimekushinda au unaogopa?

  • @johanesdeocles6337
    @johanesdeocles6337 4 ปีที่แล้ว +2

    Awakuwezi hao

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 ปีที่แล้ว +2

    awareness, strong conscience are our weapons 👏👏👏

  • @hassanalibabukubwaaa273
    @hassanalibabukubwaaa273 8 ปีที่แล้ว +11

    kamndaa lisu nakuamini asilimia 100% pasukaa kaamandaa

    • @mjakavuai6114
      @mjakavuai6114 6 ปีที่แล้ว

      Hassan Alibabu kubwaaa u

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 ปีที่แล้ว +6

    tundu lisu yuko sawa kabisa ila serikali ina muogopa huyo mwana sheria

    • @mwilathomas2382
      @mwilathomas2382 8 ปีที่แล้ว +1

      tuko pamoja

    • @ferdinandnkamu8638
      @ferdinandnkamu8638 8 ปีที่แล้ว +2

      Ommy, Huyu Lisu hayuko sawa kwa sababu......Anachochea watu waasi akihamasisha kila anayejiona ni mzalendo na kila mahali tummuasi raisi wetu. Pia ana maana anawaona wasiomuunga mkono Lisu siyo wazalendo wa kweli. Hii ni dharau kweli kwetu tuliomchagua. Hapa inabidi atutake radhi watanzania. Anamtukana raisi na kumdharau kwa kumwita mjinga. Hizo zinaitwa propaganda za kisiasa ku-brainstorm wale wenye akili za chini (low IQ/simple minded majority). Lisu anatafuta umaarufu aonekane anapigania watu, kumbe anajipigania mwenyewe binafsi.

    • @immanuelswai6679
      @immanuelswai6679 7 ปีที่แล้ว +3

      Ferdinand Nkamu tatizo watanzania wamelala na hawajijiwi. wakiamchwa serikali haitaki m2 ajijuwe.

    • @hilalhilal7198
      @hilalhilal7198 7 ปีที่แล้ว +1

      Ferdinand Nkamu ww Instagram nn kk

  • @AbdulMalik-wg9mf
    @AbdulMalik-wg9mf 6 ปีที่แล้ว +2

    kamanda

  • @francissalamba8112
    @francissalamba8112 7 ปีที่แล้ว +2

    gooooder

  • @ramadhanawesusaleh9780
    @ramadhanawesusaleh9780 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @charlespaul5372
    @charlespaul5372 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmhhh aya

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 ปีที่แล้ว +3

    lisu big up hawana inshu hao kazi kuwaonea wapinzanitu,magufuli ushwara unapenda sifa tu

  • @EliamaniSarbabi
    @EliamaniSarbabi ปีที่แล้ว

    Asante sana walikupiga marisasi Mungu akakuponya usijali Mungu yupo na ww ata wakitaka waende hiyo mahakama ya Dunia wasikutishie

  • @michaeltuingilegewaubaridi8570
    @michaeltuingilegewaubaridi8570 8 ปีที่แล้ว +2

    work hard

  • @suleimanali9939
    @suleimanali9939 7 ปีที่แล้ว +2

    lisu mwanamme haswa

  • @bonybabalao8921
    @bonybabalao8921 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo wew ni baba wachadema

  • @mgeririganya1866
    @mgeririganya1866 8 ปีที่แล้ว +1

    huyo Lissu ni mropokaji tu so mm naona kama Serikali inamlinda,huwezi kumuita Rais "Dikteta Uchwara" thc iz Nonsense Politician

    • @mwilathomas2382
      @mwilathomas2382 8 ปีที่แล้ว

      mshamba ww huna point nyie ndo wafuta mkumbo

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @isakijuma9881
    @isakijuma9881 4 ปีที่แล้ว +1

    Yote hayo una taka kiti Cha uraisi

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 ปีที่แล้ว +2

    Lisu uko sawa kabisa wasikutishe waambie tu ukweli

  • @hassanmashambo1327
    @hassanmashambo1327 4 ปีที่แล้ว +1

    Uchwa kwel

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 ปีที่แล้ว +1

    Urais hupewi ww unataka kuvunja amani ya nchi yetu mama amekunyamazieni kimya mnamtolea maneno mabaya na kumuita majina mabaya ata fadhila huna ulipo pijwa risasi yy ndo alokuja kuona #

  • @mwakawalilehassani1666
    @mwakawalilehassani1666 8 ปีที่แล้ว +2

    acheni hivyo

  • @AlumanaPilla
    @AlumanaPilla ปีที่แล้ว

    Mungu akupiganie baba mtumishi wa Mungu aliehai Mungu alikuponya nalisasi zotezile anamakusudi nawewe simama mtumishi

  • @EliamaniSarbabi
    @EliamaniSarbabi ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana lisu ututeteee asee na Mungu akutie nguvu kweli ww una uchungu na nchi yetu

  • @josephjames3444
    @josephjames3444 ปีที่แล้ว

    Lissu me nakuhamini hapo hakuna shida kwako kwani wewe ni mwanasheria unyejiamini na wananchi tunakuhamini sanaaaa

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 4 ปีที่แล้ว +1

    Lisu umeshindaaa kesii asubuhii

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 ปีที่แล้ว

    Amuon ayo munakosea kabisa nyinyi selekali hichi hii amutendi hak kabis achen kabisa amun aibu we nyinyi amupendi kuwambiwa ukweli selekali ya Tanzania mumekuweje munapenda matumbo yenu yachibe tu

  • @sobyankwabi9931
    @sobyankwabi9931 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ndie eais

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 8 ปีที่แล้ว +1

    typing..

  • @ushindimbwilo1398
    @ushindimbwilo1398 4 ปีที่แล้ว +1

    Hana sifa ya kuitwa kiongozi kwa kumutusi Rais

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo ukiongea ukweli tu anakamatwa ivi hii Ni nchi gan?

  • @jameskamuga3815
    @jameskamuga3815 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah wasomi mnakaz kwel

  • @kassimnasseb4845
    @kassimnasseb4845 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anajiamin

  • @carolakinasha2106
    @carolakinasha2106 8 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kulala Tundu Lissu. Wanyonge tunategemea watu wenye hekima na misimamo kama yako. Watu wasiotishiwa nyau.

    • @leilamohamed950
      @leilamohamed950 8 ปีที่แล้ว +1

      niko pamoja na wewe Caro

    • @mwilathomas2382
      @mwilathomas2382 8 ปีที่แล้ว +1

      aksante

    • @stevenmamba2464
      @stevenmamba2464 8 ปีที่แล้ว +1

      Magufuli anataka kutuletea utawala wa Rwanda.

    • @carolakinasha2106
      @carolakinasha2106 8 ปีที่แล้ว

      Kagame anafurahi kupata rafiki hasa kwenye suala la Congo. Magufuli atathubutu kuwaruhusu wanajeshi wetu wapigane na maharamia wa Rwanda na Uganda kweli wakati muhusika keshakuwa swahiba? Yetu macho.

    • @mwilathomas2382
      @mwilathomas2382 8 ปีที่แล้ว

      kweli mamaa yetu macho

  • @johntimba8304
    @johntimba8304 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja

  • @frankkimboka7491
    @frankkimboka7491 4 ปีที่แล้ว +1

    Tundu lisu

  • @geofreympango394
    @geofreympango394 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu aktetee

  • @faysalmahmuddidar7135
    @faysalmahmuddidar7135 7 ปีที่แล้ว +4

    uko-sahihi-lisu-na-siku'zote-ukweli-unauma-eti-wanadai-umesema-tz'kuna--njaa-ni-kweli-miaka-miwili-iliopita-tulikua-tunanunua-unga-kilo-sh-800'lakini-sasaivi-unga-kilo-1800'''''watumbue-lisu-tunaumia-kwakweli-japo-viongoz-wanatuendesha-kiudictet

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 8 ปีที่แล้ว

    just accept the leadership that is there for now .and I think maximum respect shld be given to mheshimiwa rais for him to do his work.remember he is the head of the country wengine miguu.we have a special way of solving problem with the person who is a leader.if this is wot is hapening will the citizen give respect to there rais?and tomorrow the citizen will do tiz to u as a member of parliament where will u take the case .Am out

  • @hajikatanje5961
    @hajikatanje5961 8 ปีที่แล้ว +8

    Nikweli serekali ina takakuleta machafuko, mbona sereikali iliyo pita hatukuyaona haya asifikirie ss walima korosho hatumuoni udictetor

  • @JohnJohn-vu9vn
    @JohnJohn-vu9vn 4 ปีที่แล้ว

    Hujanishawishi hata kidogo

  • @misalabadotto5514
    @misalabadotto5514 4 ปีที่แล้ว +1

    xana

  • @petrochundu9702
    @petrochundu9702 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tz

  • @braysonmamuya8853
    @braysonmamuya8853 8 ปีที่แล้ว +1

    wataelewa tu!

  • @ummykapera4660
    @ummykapera4660 5 ปีที่แล้ว +1

    wewe ulitakiwa ufungwe;unakashfu nchi yako sasa wewe una nini? wanasubiri nini kukuweka ndani

  • @ummykapera4660
    @ummykapera4660 5 ปีที่แล้ว +1

    we fara tu

  • @obugobaraka8491
    @obugobaraka8491 8 ปีที่แล้ว +3

    Muomba ngoma uvutia kwake...............

  • @marcopeter7451
    @marcopeter7451 8 ปีที่แล้ว +2

    ole wako uvuluge amani ya nchiii hiiii

  • @ayoubrogath4297
    @ayoubrogath4297 7 ปีที่แล้ว +1

    wazalendo wa ouuzi ndo watakao kufata

  • @jbclasic3962
    @jbclasic3962 4 ปีที่แล้ว +1

    Saf

  • @boniphacemihayo1905
    @boniphacemihayo1905 7 ปีที่แล้ว +2

    nakukubal xna lixxu

  • @simbasimba3014
    @simbasimba3014 4 ปีที่แล้ว

    hapo ni wali nazi baba be forward not turn back baba yetu

  • @athanaschriss881
    @athanaschriss881 8 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa huwa mlopokaji kabsa afu serikali wamemfumbia macho kwa kumtukana rais! Angenikuta kipindi hicho nimetoka depo wakanikabizi sizani kama angetembe kwa doso ambayo ningempa huyu jamaa!

    • @kelvnkahaamba2895
      @kelvnkahaamba2895 8 ปีที่แล้ว

      ww ara utoke depoo vip unajivuniaa kutoka depo shwayn kambi ganii upo ww mbona XX maaskar kma ww na tunakausha xo wote tunampenda a miri jeshi mkuu

  • @MURLIJuma
    @MURLIJuma ปีที่แล้ว

    Endeleen kuwapa kesi viongoz wetu

  • @reonardlukas8584
    @reonardlukas8584 4 ปีที่แล้ว +1

    msenge wewe usitutishe mama wewe

  • @emmanueledward8824
    @emmanueledward8824 8 ปีที่แล้ว +1

    Kebo una shida bwege we ndo maana unaitwa kebo

  • @athanaschriss881
    @athanaschriss881 8 ปีที่แล้ว +2

    ww kelvin cjui umetokea pori gani aisew maana pumba tupu tu unazoongea

  • @josephmangure7715
    @josephmangure7715 7 ปีที่แล้ว

    Tundu umesomea sheria uchura unahisi kuwa kuna siku utakuwa Rais wa TZ. utaumiza kichwa chako na mwisho utaishia jela miaka yote ulikuwepo mwisho utaishia kugawana pesa za zilizotoka kwa Lowassa kimia ufisadi ukafuta sasa sijui na huyo unaye mwita uchwara unataka akupe pesa ili unyamanze?. subili 2020.

  • @aishazulfa2832
    @aishazulfa2832 7 ปีที่แล้ว

    sema baba. nakuaminia wape visu siwapendi hao

  • @josephmangure7715
    @josephmangure7715 7 ปีที่แล้ว +1

    wale wanao fikili kuwa wataona machafuko TZ watakufa bila kuyaona mtaungana wajinga mnaofanana kisha mtateketea wenyewe.

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +2

    tundu lissu akiachiwa safari hii kwa maneno machafu anayomtolea mh.rais. Mimi natafuta uraia wa nchi yeyote. mbona akiachiwa?itakuwa anatumwa kumtukana rais na vyombo cha sheria! haniingii akilini kumtukana rais hivi, polisi Ipo, jeshi,lipo km so wao wanaomtuma amtukane rais ni nani?

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 7 ปีที่แล้ว +3

    upo sahihi kijana nakubaliana nawe

  • @kevilekule6919
    @kevilekule6919 8 ปีที่แล้ว

    tuwe makin na ges tulio gundua maana inaweza kuwa ni kama njia ya kutugombanisha

  • @hamdanimohammed5220
    @hamdanimohammed5220 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulistahili zawadi uloipata huezi kumuita kiongozi wanchi dikteta uchwara mbulula wewe

  • @kasimunkondo1503
    @kasimunkondo1503 7 ปีที่แล้ว

    muwe makini msipoangalia wananchi watawachoka kwa tabia zenu za kugombanisha wananchi na serikali yake kiukweli wanasiasa hasa wa upinzani acheni tabia ya chui maana hakiwa na tatizo binadamu hawazi kumsaidia kwa tabia zake mbaya nafikiri nimeeleweka

  • @ayoubrogath4297
    @ayoubrogath4297 7 ปีที่แล้ว

    acha hilo giza liingiee huyo ni uchochezi

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 4 ปีที่แล้ว +2

    Lissu tunakujua umekuja kutuvurugia amani unamtukana Raisi wa nchi hadharani! Ww ni nanitena waandishi wa habari wakuogope km ukoma ww kujifunga bomu huoni tabu make upo vzr mabeberu waulaya wamekujaza mifukoni mapesa ya kuvuruga Amani kwenye uchaguzi kumtukana Rais wa nchi ni kosa linatosha kujuweka ndani mpaka uchaguzi upite

  • @hitmanhunter9557
    @hitmanhunter9557 8 ปีที่แล้ว +1

    huku tunapoelekeaa uku nomaa sana aseeeh

  • @godfreychristopher4733
    @godfreychristopher4733 8 ปีที่แล้ว

    Ni kosa kisheria kutukana au kukejer hadharan,,we mwanasiasa bhana alaf unavunja sheria hadharani...ongea kistaarab tutakuelewa,,bt big up kwa kurekebisha nchi

    • @mwilathomas2382
      @mwilathomas2382 8 ปีที่แล้ว +2

      we unaijua sheria ww au unajiandikia t imradi waone umepost! au ukiulizwa tusi liko wap hapo unaweza lionyesha, nyie ndo huwa mnafungwa nyie

    • @tmagoti
      @tmagoti 8 ปีที่แล้ว

      we mwanasiasa bhana alaf unavunja sheria hadharani.....sheria ipi mzee
      acha kuburuzwa!

    • @godfreychristopher4733
      @godfreychristopher4733 8 ปีที่แล้ว +1

      +Tito Magoti wanasiasa wanatuendesha km gari bovu coz wanajua watanzania hàtunaga muda wa kufanya utafit wala kuchambua vitu.,tunategemea wenyewe ndo watuambie kila kitu

  • @abeatech1479
    @abeatech1479 4 ปีที่แล้ว

    Unajipambanisha mwenyewe ukidhani kuna mtu anatamani wewe umwongoze ,hata huku ikungi hatukutaki kibaraka wa mabeberu ,hatukutaki kaombe uongoze uliokuwa

  • @nyanda427
    @nyanda427 7 ปีที่แล้ว +1

    VIONGOZI WAPUUZI KAMA LISSU WANATAKIWA KUNYONGWA; LISSU HUNA ADABU HATA KIDOGO

    • @eliasigusely4793
      @eliasigusely4793 7 ปีที่แล้ว +1

      we ndio unaadabu

    • @shedyjr3227
      @shedyjr3227 7 ปีที่แล้ว

      watu wapuuzi kama wewe wanatakiwa kugeuzwa misukule ili walime kila siku

    • @anthonymgogo2651
      @anthonymgogo2651 6 ปีที่แล้ว

      Fala hili

  • @saulmwakyusa1001
    @saulmwakyusa1001 8 ปีที่แล้ว

    seriklini icwabane wapinzani pia wapinzani wactumie maneno yacyo faa kama kumuita rais ni dikteta MCHWARA aaaaaaaaah jamanie ah ah

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 ปีที่แล้ว

    Yupo anaadhibiwa huko aliko 🤣🤣

  • @wizzmkandawile1140
    @wizzmkandawile1140 4 ปีที่แล้ว

    Tundu lisu kiboko ya magufuli

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 ปีที่แล้ว

    Hahahaha mnamkamatia ile ile 😂😂😂

  • @abdallahmesso7732
    @abdallahmesso7732 ปีที่แล้ว

    Ufahamu gani wewe mungu au mtabiri wewe ndo mchwara Acha ushamba wewe

  • @tz7976
    @tz7976 4 ปีที่แล้ว

    Upinzani ni kupinga palipo na madhaifu ya serikali sio kumtukana mkuu wa nchi na kumuita UCHWARA kiukweli huyu jamaa anastahi kufungwa jela maisha yake yote

  • @kingchaga806
    @kingchaga806 7 ปีที่แล้ว +3

    aaaah mbona umetumia maneno mazito xana

  • @abeatech1479
    @abeatech1479 4 ปีที่แล้ว

    Unaongea kwa kubweka bweka ,tundu lisu we ndiyo uchwara ,nani kakuita utajikabiri mweyewe mjinga weee, wewe ni mwanasheria "primitive "kauli zako hizo zinatuchefua kwani mtawala ndiye amekupeleka mahakamani au ni hilo do more lako chaff,hivi kwani nani kakuleta uliokuwa ? Ndiyo sera ulikuja nazo kujinadi ungwe mkono ?

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 ปีที่แล้ว

    heheheheheeeee...tundu lisuu ni mtundu kweli bado anaita raisi Dictator uchwara

  • @mamaperona1220
    @mamaperona1220 8 ปีที่แล้ว

    wewe unaefananisha Na walima korosho vipi,wao ni watanzania wenzako, we toa maoni yako sio kuonesha dharau Kwa watu wengine wenye kuipenda democrasia kama wewe