Haya ndio maendeleo yetu ss waislam. Kubishana, kukososana, kashfa ndo maendeleo. Ukija kwenye suala la elimu, mahospital bure kabisa wenzetu wametuacha mbali sana.
Hawa wanataka madaraka na uchawa tu, mali za waislam wameuza zimeisha Angalia TV za kiislam ni za watu wa sunna, shule nzuri zote za sunna na alhikima wanajenga hosp wao shule wameua zimekua kama za makafiri watoto wamekua wa hovyo
Mtete hivyo hivyo yaum sah Mnapigania uzushi kwa nguvu maswali ya kujibu mnayo, kuna shekh anasema usiku wa kuamkia siku ya maulid ni bora kuliko lailatul-qadir salalah,,,,..😊😊😊😊😊
Neema ya mtume muhhamad ndio mfanye uzushi,,mtume anaswaliwa kila siku jaman, unajua kutetea uzushi,,lini swahaba au mtume mwenyewe alisheherekea birthday?mnalinganisha ukristo na uislam?!!kwahiyo ni sawa x-mas? Waislam tuna Eid mbili tu, hakuna sherehe nyengine uzushi mtupu
@@taurehassan7399 Anaetoa dalili ni aliezua bro Sasa bidaa mimi nitoe dalili ya nini? Wewe tupe hata hadith zaifu ya abubakar, omary, othumani au ally alifanya maulid,,au aisha, au fatwima..Alafu watanzania bwana yani kuraish wapo makka kule hatujaona wakisherekea hata siku moja, mtume amezaliwa saudi lini wameweka dayoff siku hiyo hamna kazi eti maulid nyie,,,..
@@rajabumsuya-hg8jd duh maskn,hya twende hvyohvyo,mfno me nimekuuzia unga umekwenda umerudi waniambia unga unafunza,hv hpo Nan anaetkiwa athibitishe kuwa unga unafunza?mteja au muuzaji?
@@rajabumsuya-hg8jd hya tujaalie maulid ni bid'aa haoulowataja wte hawakufnya je na ww unaweza tupa dalili ya bid'aa ya kuweka mashindano ya Qur'an na kupeana zawad na kutajana wa mwsho na WA kwanza?hya twmbie na ww ni swahb gn au mtume lini alifnya hvyo?
@@SAIDABDALLA-w9t kwan Mashia Ndio waanzilish wa Mambo ya Mawlid . Na Mashia Ndio wana mchango Mkubwa ktk kufanikisha sherehe hiz na kuwarubuni Masufi kuwa Tazameni sis tupo pamoja nanyi lakin Masalafi (Mawahabi) wanayapinga haya Mawlid ndio wanaleta Furqa baina yetu Waislam.
@@darajanida Kwani Mashia hawatoi michango ya mawlid na kuhudhuria!?unatak ushahid gan wa vdeo au. Ile Video ya kukata keki ya birthday ya mtume haitosh kuwa ni ushahid kweny hili???
masha allah shekh wetu towa hoja waache mawahab watoe matusii mana hawana hoja
Hakika
Shekhe wetu❤
Mashaallah
Alhamdulillah
Mashallah
Bidaa nzuri
Bidaa ni nin kwan
Labda nkuulize
@@harithkhan25 uliza
Elimu na ufahamu walionayo mashekhe wa bakwata katika dini ni msiba mkubwa kwa umma wa waislam Tanzani
Wew shekhe wa wapi
kirusi cha kgwahabi kisha kuwathiri
Shekhe
Kher kubwa
Haya ndio maendeleo yetu ss waislam. Kubishana, kukososana, kashfa ndo maendeleo. Ukija kwenye suala la elimu, mahospital bure kabisa wenzetu wametuacha mbali sana.
KWQNI kukosoana simnaanza nyiny
Mawahabi
Hawa wanataka madaraka na uchawa tu, mali za waislam wameuza zimeisha
Angalia TV za kiislam ni za watu wa sunna, shule nzuri zote za sunna na alhikima wanajenga hosp wao shule wameua zimekua kama za makafiri watoto wamekua wa hovyo
Mtete hivyo hivyo yaum sah
Mnapigania uzushi kwa nguvu maswali ya kujibu mnayo, kuna shekh anasema usiku wa kuamkia siku ya maulid ni bora kuliko lailatul-qadir salalah,,,,..😊😊😊😊😊
@@rajabumsuya-hg8jdwatu wasunna wamewezeshwa na makafiri ndo maana wapo kwajili ya dunia sio dini
Uwepo wako
Lete dalili porojo eka pembeni
Hakika twataka dalili ya kupinga
Unatetea bidaa kwa nguvu sana
Lakini unamfatilia unampeda mashallah
Tuletee ushahid wa kua maulidi bidaa usituambie bidaa ikiwa waropoka
Hakika@@talalbsh
mbona matarumbeta ya kiwahab mkitakiwa hushahid kuwa maulid nibidaa hamtoi au hamna ni ushabiki tu
Ndio na ww lete dalili ya kupinga bid'aa kw nguvu sna
Neema ya mtume muhhamad ndio mfanye uzushi,,mtume anaswaliwa kila siku jaman, unajua kutetea uzushi,,lini swahaba au mtume mwenyewe alisheherekea birthday?mnalinganisha ukristo na uislam?!!kwahiyo ni sawa x-mas? Waislam tuna Eid mbili tu, hakuna sherehe nyengine uzushi mtupu
Niambie maana ya bidaa kwanza alaf nkuulize swali
Na ww ukikataza Jambo pia uwe na dalili,hya lini mtume alikataza birthday?alfu km umesoma hupti tabu ukiwa wasopekwa ndo unaongea pac na elimu
@@taurehassan7399 Anaetoa dalili ni aliezua bro
Sasa bidaa mimi nitoe dalili ya nini? Wewe tupe hata hadith zaifu ya abubakar, omary, othumani au ally alifanya maulid,,au aisha, au fatwima..Alafu watanzania bwana yani kuraish wapo makka kule hatujaona wakisherekea hata siku moja, mtume amezaliwa saudi lini wameweka dayoff siku hiyo hamna kazi eti maulid nyie,,,..
@@rajabumsuya-hg8jd duh maskn,hya twende hvyohvyo,mfno me nimekuuzia unga umekwenda umerudi waniambia unga unafunza,hv hpo Nan anaetkiwa athibitishe kuwa unga unafunza?mteja au muuzaji?
@@rajabumsuya-hg8jd hya tujaalie maulid ni bid'aa haoulowataja wte hawakufnya je na ww unaweza tupa dalili ya bid'aa ya kuweka mashindano ya Qur'an na kupeana zawad na kutajana wa mwsho na WA kwanza?hya twmbie na ww ni swahb gn au mtume lini alifnya hvyo?
Wanachokoza halafu waki raddiwa Wanalia lia.
Ndugu zenu ni Mashia kweny hili.
Kvp
@@SAIDABDALLA-w9t kwan Mashia Ndio waanzilish wa Mambo ya Mawlid .
Na Mashia Ndio wana mchango Mkubwa ktk kufanikisha sherehe hiz na kuwarubuni Masufi kuwa Tazameni sis tupo pamoja nanyi lakin Masalafi (Mawahabi) wanayapinga haya Mawlid ndio wanaleta Furqa baina yetu Waislam.
Kvp
Sw na nyny ndgu zenu ni washirikina,utatu ktk dini
@@darajanida Kwani Mashia hawatoi michango ya mawlid na kuhudhuria!?unatak ushahid gan wa vdeo au.
Ile Video ya kukata keki ya birthday ya mtume haitosh kuwa ni ushahid kweny hili???
NGOMA KUKATIKA KUDANSI
KUTOSWALI SWALA TANO KWA WENGI WAO NDIO MNATETEA????!
Wanaokatika niwachache kuliko wanaomswalia mtu
Sabab hata katika waliokuwa wakiish na mtu hawakua wote wako sawa
Kwiy usiwahukum wote
@@SAIDABDALLA-w9t Ndugu yangu mimi si mtoa hukumu. Mtoa hukumu ni Allah.
@@Al.habeebAl.habaaib na mung anasema kuwa malipo yatazingatiwa na nia kwaiy mung atahukum hiv inshaallah
Shekhe wetu❤
Mashaallah