Subhanalah! Muogopeni Allah maulidi ni ya dini ya bakwata. Dini ya mjumbe wa Allah Haina maulidi. Mtume SAW hakufanya Wala masahaba hawakufanya. Mtajibu kesho mbele ya Allah mliyapata wapi? Kuna mambo muhimu zaka ni nguzo ya tatu mbona hamfanyii kazi? Wapeni watu haki zao. Mtamwambia nini kesho Allah. Hiyo ni mtihani ya nyie Maulamaa.
Watu wengine hamnaga adabu wala aibu na iyo ndiyo sababu waislam tunarudi nyuma mno yaani mtu mzima mzima na matatizo ambayo yapo duniani wewe ume kaa maulidi tu mtaulizwa wewe, je una msada upi? Na kwanini unafata jitulize na umuombe mola wako msamaha. Sheikh walidi Allah akuzidishiye apa duniani na kesho akhera watu tunajifunza kwako mengi Allah akupe umri mtefu wenye manufa Aamiin Aamiin ❤
MASHAALAH ULIPO TUPO SHEIKH LETU USIYE NA KIBRI MUNGU AKUWEKE 🤲🤲
MashaAllah sheikh Wareeď Allah akulipe kheri Duniani na Akhera
Allah aku hifadhi ya shaikh waleed na akumiminie baraka na rehma
Mashaallaa sheikh wetu Waleed
Asante shekhe nmejifunza kitu kupitia mawaidha yako shekhe kaz kwangu kuyatekeleza na kuyafanyia kaz
Yaan shekhe waleed nikikuona namkumbuka Zingizi jamni,,Allah anrehem
❤
Subhanaĺlah
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.
Shukraan sheikh
Shukran Ahsante
Masha Allah 🙏🙏🙏
Mashaallah shukran shekhe
Mashaallah!!
Mbona mnaichukia sana bakwata
Shukran
Mimi naukiza hivi sisi tunaoskiliza mawaidha ktk cimu jee nasie tunafunikwa na malaika nakutajwa na M/Mungu
Ongela shehe
Mawaidha maxur
Mawaidha mazuri .....lakini sauti inakwamakwama
Hiz darsa zinafanyikaga wap na saa ngap na lini na ni kwa wanaume tu?
Mtume hakutumia sim mbona ww unatumia sim Wacha fitna izo kuhusu maulid.Nyamaza kimya.
Subhanalah! Muogopeni Allah maulidi ni ya dini ya bakwata. Dini ya mjumbe wa Allah Haina maulidi. Mtume SAW hakufanya Wala masahaba hawakufanya. Mtajibu kesho mbele ya Allah mliyapata wapi?
Kuna mambo muhimu zaka ni nguzo ya tatu mbona hamfanyii kazi? Wapeni watu haki zao. Mtamwambia nini kesho Allah. Hiyo ni mtihani ya nyie Maulamaa.
Kalale na mke wako uko
Huko ndo ufukunyuku !! Pilipili IPO shamba kinakuwasha nini !???😅😅
Watu wengine hamnaga adabu wala aibu na iyo ndiyo sababu waislam tunarudi nyuma mno yaani mtu mzima mzima na matatizo ambayo yapo duniani wewe ume kaa maulidi tu mtaulizwa wewe, je una msada upi? Na kwanini unafata jitulize na umuombe mola wako msamaha.
Sheikh walidi Allah akuzidishiye apa duniani na kesho akhera watu tunajifunza kwako mengi Allah akupe umri mtefu wenye manufa Aamiin Aamiin ❤
@S.Swarfa Ikiwa Maulid hayafai kwakuwa hakufanya mtume wetu na maswahaba, Je mashindano ya kusoma Qur'an pia yakataze.
Swahaba gani alishindanisha watu kusoma Quran?