HISTORIA YA KUSISIMUA YA CHIFU MELELE ALITUMIA MABAVU/ WENYEJI WALIKIMBIA/ ALIFUKUZWA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Mzee kasimulia ukweli kabisa maana hata mama yangu alipata kunisimulia nilipokuwa mdogo melele alitesa sana watu na kuwaua aliteka watu na kuwafanyisha kazi ngumu na kuwauwa
Wakwanza jaman
❤ kabila langu la wasafwa
Mbona unatumia ubini ambao si wa kabila lako?
@@docldocl1621 ubini wa nani acha kukalili Wewe
@@shedrackmwaipopo219 Hakuna Mnyakyusa anayeitwa Ngole Wala hakuna Msafwa anayeitwa Mwaipopo,na kama wapo ni wale ambao hawalipendi kabila lao mpaka wanaamua kutumia majina ya makabila mengine, mmojawapo wewe
Mbona we Mnyakyusa? na historia ya Msafwa wapi na wapi?
Mtangazaji ungetafuta wazee wa Kisafwa labda wangetupa utamu zaidi.
th-cam.com/video/DCQCeScf5HM/w-d-xo.html Yesuuu weee mbega pasiteri windaya😂😂bamuteze ikariso ahita yisohoreraho murusengero||mbega akumiro isi irarangiye peeeee
Kama chifu alifukuzwa na akakimbia hiyo ngome yake je alirudi lini maana kaburi lake lipo hapo.
Aliyezikwa hapa ni mtoto wake sio merere mwenyewe.
Melele baba ndio alizikwa hapo! Lkn melele mtoto ndio alikimbia