KUTANA NA CHIFU LAZARO ALIYETUNZA HELA ZA KIKOLONI - "WAZUNGU NI WACHAWI KULIKO SISI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • KUTANA NA CHIFU LAZARO ALIYETUNZA HELA ZA KIKOLONI - "WAZUNGU NI WACHAWI KULIKO SISI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 136

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 2 ปีที่แล้ว +33

    Chief uko sawa kabisa tatizo sisi wa Afrika. Tunakimblia sana kusoma tamaduni zao zetu tunaona kama ushamba mtu akiongea kizungu anajiona kama akifa Haozi

    • @EbondoSounds
      @EbondoSounds 2 ปีที่แล้ว +2

      Yani hatari

    • @marrypius576
      @marrypius576 2 ปีที่แล้ว

      Ni shida

    • @Mohammed-vy4vw
      @Mohammed-vy4vw 2 ปีที่แล้ว

      Watu kama hao huwa hawakumbuki hata history yao ni washamba mimi napenda mila zetu na tamaduni zetu zakiafrica ✍️

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +9

    Hiyo nimeipenda... Mshiriki....kwa ...kina....mshirikina.. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @babphonc5794
    @babphonc5794 2 ปีที่แล้ว +17

    Nataman ingekuwa ndefu zaidi,mana mzee anaonekana anacho kitu kwaajili yetu juu ya utamaduni

  • @obwahmaxwell8717
    @obwahmaxwell8717 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee yuko vizuri. Genius

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว

    ASSALAAMU ALEYKUM CHIEF LAZARO CHIHOMA U SAY EVERYTHING IS TRUE ABSULTE I AM PROUD OF YOU AND UR FAMILY FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💙 💜 💖 💗 UR SON CHINA-BOY FROM 🇬🇧 I AM ORIGINAL FROM MOMBASA KENYA 🇰🇪 BUT I AM LIVING IN UK 🇬🇧 TZ PEOPLE ARE TOO KINDNESS ALLAH BLESSED WHOLE WORLD AND ALSO TZ PEOPLE AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Chroncha
    @Chroncha 2 ปีที่แล้ว +10

    chifu kuanzia leo wewe ndio babaangu mzazi,, nimekupenda Zaidi Chifu.
    naishi Ulaya lakn mimi ni MSHIRIKI KINA😆😆😆😆. VIVA TANZANIA, VIVA AFRIKA❤‍🩹

  • @imocymusic
    @imocymusic 2 ปีที่แล้ว +1

    Chief Lazaro chihoma😀jirani yangu kisasa medelii Dodoma,tunaomjua gonga like hapa😅

  • @richardrobert9480
    @richardrobert9480 2 ปีที่แล้ว +10

    Asee chifu yuko vizuri inabidi serikali imsapoti ili aanzishe shule kwaajili yakuenzi tamaduni za muafrika

    • @Zahrazahra-ue7bp
      @Zahrazahra-ue7bp 2 ปีที่แล้ว

      Shure yanini wakati kira mtu anajua mira zake ira wanareta zarau nakijifanya wanamambo ya kizungu

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 2 ปีที่แล้ว +13

    CHIEF KANIGUSA VIZURI AKILI YANGU DAAAH ILA SOMO FUPI SANA I WISH NIENDE KWAKE KUNA VITU NAAMINI NITAPATA ZAIDI

    • @BBrown_vevo
      @BBrown_vevo 2 ปีที่แล้ว

      😹😹🏃‍♂️

  • @kibatikombo713
    @kibatikombo713 2 ปีที่แล้ว +12

    Nimemkubali sana chifu ni ukweli mtupu inabidi tufufue tamaduni zetu kwa nguvu zote tumejiasahau mno, ndiyo mana tunafeli

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 ปีที่แล้ว

      Angalia hii 👇🔥❤
      th-cam.com/video/keekDotg4uM/w-d-xo.html

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +7

    Chifu upo vizuri sana sisi tumeacha ya kwetu tupo na yao wazungu

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 ปีที่แล้ว

      Angalia hii 👇🔥❤
      th-cam.com/video/keekDotg4uM/w-d-xo.html

  • @mwanjinzara8009
    @mwanjinzara8009 2 ปีที่แล้ว +4

    Mimi napenda wachawi waungane waanzishe tribu zao za ungo mikoan nasikia nyingi zinatoka mita ndege ikasome n I wish one day itokee safari za ungo

    • @breezycoby6306
      @breezycoby6306 2 ปีที่แล้ว

      Uchawi watu ni wakulidishana nyuma tungeutumia kwenda mbele ungekuwa kama wa mzungu tungekuwa mbali

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +5

    mzee bwana du! hatari
    sana kumbeee nimekuelewa

  • @matanochengo9375
    @matanochengo9375 ปีที่แล้ว

    Ameni kumbusha marehemu baba yangu tulichelewa shambani mimi na mamkubwa pamoja na baba, mamkubwa alimuuliza baba tutaondoka saa ngapi kwende nyumbani baba alimjibu mamkubwa leo tutaenda nyumbani kuchelewa ilipofika saa moja kasoro baba alisema shikaneni mikono alafupia mfunge macho tulipo fanya hivyo dooooo noma sana nilijikuta niko home yani nilishangaa sana

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 6 หลายเดือนก่อน

    Uwo ni uchawi sio mungu

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +3

    Zembwela aje amhoji chifu kwa muda mrefu kwenye kipindi chake cha mswahili.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +5

    Video ni fupi sana ina mwendelezo?

  • @mwalagokache375
    @mwalagokache375 2 ปีที่แล้ว +5

    Chifu anaongea ukweli mtupu suala la elimu ya teknolojia ya muafrica imejengengewa kudharaulika ndio maana wanaifanya kujificha na walipokosa pa kuitumia wengine wanaitumia vibaya lkn ni elimu yenye tija kubwa sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 ปีที่แล้ว +2

    Chifu Kuna mambo anaongea point kubwa sana ,mfano Africa Kuna elimu kubwa sana walichukua wazungu ni kweli kabisa hadi Leo Kuna watu magenius sana lakin mwisho wa siku wanachukuliwa wanapelekwa ulaya Kwa kisingizio Cha kwenda kusoma zaidi ,kumbe wao wakifika wanaanza kuwafundisha wazungu kwamba hapa unafanya hivi na hivi wakiandika kwenye VITABU vyao ,ndio wanaanza kuwafundisha vitu vyao ambavyo hawana tena mahitaji navyo.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว

      chifu au mjinga tuu kuvaa kaniki walilo letewa na mzungu na manyoya kichwani kaona kapendeza , kama mizimu ya elimu mbona machifu wana maisha duni ??? na mpaka wanakuja wazungu tuliishi kwenye matembe ya nyasi !!!

  • @yoshuamsewaobedi3158
    @yoshuamsewaobedi3158 2 ปีที่แล้ว

    Tutakuwa nawachoka haandishi wa abari vitu vyamaana munavikatisha malema vituvya ovyo munavitiya virefu, tunawahomba mwende kwamara yapili kumuhoji babu ana mambo yakuhelimisha wa Africa asante sana.

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 2 ปีที่แล้ว

    Asante mzee

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee nimekukubali sana hata maswali magumu kwangu lakini umeyajibu kirahisi sana yani chiff yuko vizuri sana

  • @emaimaathuma5641
    @emaimaathuma5641 2 ปีที่แล้ว +2

    Endeleeni kumuhoji mzee atuletee habarizu nazani wote time penda mz anavo eleza kwakina kisemo chake ana shiliki kwa kina , mze anavitu tuna omba iwe na muendelezo

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumefundishwa eti uchifu na asili zetu ni Ushirikina..... Hii dunia imetubana sana waafrica baada ya kuletewa dini

  • @meddythekiller979
    @meddythekiller979 2 ปีที่แล้ว +4

    Babu kaniacha kidogo mshirikina sio neno la kizungu bhana na ushirikinaa ina maana ya kumshirikisha mwenyezimungu katika mambo asiyopendezwa nayo ndio maana ya ushirikina na ni neno la kiarabu dingii anaonekana anapenda kupaa sana🤣🤣🤣

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 2 ปีที่แล้ว +1

      Kacopy kutoka sehemu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni tafsiri ya katika imani za kidini, mtu huyo katafsir neno ilo kutoka katika wakati wa utumwa sasa nafikiri wewe ndiwe haukudadavua vizuri kichwani pako

  • @munyakatali7514
    @munyakatali7514 2 ปีที่แล้ว

    Safi mfalme umeeleza vinzuri sana uafrika

  • @therealomisakulu5416
    @therealomisakulu5416 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mzee atafutwe tena aje atufundishe hii elimu ya kupaa na ungo.

  • @memurutholais875
    @memurutholais875 2 ปีที่แล้ว +3

    Chifu umeongea ukweli mtupu kila sehemu kuna tamaduni zake . Wazungu hawatupendi sana waafrika tukionesha maendeleo upendo wao kwetu n ili wafanye biashara basi .

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Hauwezi kupendwa na wanadamu wote basi ata waafrika wapo wasio wapenda wazungu pia ata kuwapenda waafrika wenzao swala lakumpenda mtu hiyo ni tabia ya mtu binafsi nausijumuishe jamii nzima

  • @sadickjoseph1502
    @sadickjoseph1502 2 ปีที่แล้ว +1

    Ohooo

  • @josephhamisi8775
    @josephhamisi8775 2 ปีที่แล้ว

    Babu uko vizuri@ joseph moses hamisi

  • @prosperulungi2998
    @prosperulungi2998 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee anaongea ukweli sana

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 2 ปีที่แล้ว

    Duuu safi Sana

  • @salehmohamed6768
    @salehmohamed6768 2 ปีที่แล้ว

    Yani uyu chifu nimekubali sana

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว +1

    nashangaa miaka nenda miaka rudi mpaka wanakuja wazungu tuliishi kwenye nyasi , hatukuwa na maandishi , hatukujua kusoma wala kuandika , dhahabu , almasi hatukujua kama ni mali wakati ipo chini ardhi yetu . hawa sio machufu walishangaa tochi ya mzungu , na wakapewa makaniki na wazungu na wakafurahi , huyu mzee kaongea upuuzi mtupu

    • @hamisiseph8312
      @hamisiseph8312 2 ปีที่แล้ว

      Uwo ni uongo uliolishwa elimu ilikuwepo Tena kubwa sana ,

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว

      @@hamisiseph8312 elimu ya uyo mzee au elimu gani ? elimu ya mizimu au !!! titajie mifano sio kubisha kwenye ukimya

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hamisiseph8312
      Elimu gani ilikuwepo na ilileta miundombinu gani????

  • @kingibandajembe2247
    @kingibandajembe2247 2 ปีที่แล้ว

    Watu wanauza papazao kwa kuiga wazungu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +2

    Hizo pesa mniambie zina thaman gani na mimi nilete zangu kobubu kimejaa babu aliniachia pesa ya mkoloni🙈

    • @joramkimario9321
      @joramkimario9321 2 ปีที่แล้ว

      Upo wap nikachambue hapo zang nikupe pesa

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +1

    Teknolojia ya kishetani

  • @jacksonjacksonjacksonjacks9879
    @jacksonjacksonjacksonjacks9879 2 ปีที่แล้ว

    Mbona bendera ya Russia 🇷🇺 kichwani Kwa mheshimiwa chifu . Au

  • @innocent__tz
    @innocent__tz 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah!🤔🤔🤔 chief una akili sana wazungu walilitambua hilo kwamba sisi tuna akili sana ndio maana wakatuharibia mapema mbwa hawa

  • @ollymagics
    @ollymagics 2 ปีที่แล้ว +1

    mzee anaongea kama producer S2kizzy🤣🤣🤣🤣🤣

    • @BBrown_vevo
      @BBrown_vevo 2 ปีที่แล้ว

      😹😹

    • @defxtro
      @defxtro 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaaaa

  • @benedictodaniel1842
    @benedictodaniel1842 ปีที่แล้ว

    Ntapanga siku kuja kukutembelea siku moja

  • @ambroceharouna5897
    @ambroceharouna5897 2 ปีที่แล้ว

    Kama umesoma history utaelew mzee anamanisha nini

  • @deejayfire3356
    @deejayfire3356 2 ปีที่แล้ว

    Mzeee kaongea point sana!?

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 ปีที่แล้ว

    Kulingana na gharama za mafta tunaomba kama utaalam wa ungo utmike ili mlad mtu afke salaama na gharama zitakua nafuu hongera chief

  • @aboubakarykongoti6704
    @aboubakarykongoti6704 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mzee Yuko Sawa Sana

  • @ndugutv5417
    @ndugutv5417 2 ปีที่แล้ว +1

    MTOA VIDEO TUNAOMBA NAMBA YA CHIEF AU TUSAIDIE KUMPATA MZEE WETU.
    TUNAOMBA SANA MSAADA WENU

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 ปีที่แล้ว

    🤝💪

  • @leonardmayunganyamfanka9623
    @leonardmayunganyamfanka9623 2 ปีที่แล้ว

    Chifu yuko sawa

  • @donpablo7698
    @donpablo7698 2 ปีที่แล้ว +3

    Chief anaongea ukweli kabisa Ani siku afrika tukirudia tamaduni zetu tukaacha za kizungu hii afrika unae iona sasa ivi haitakuwa Kama ilivyo Ani tungekuwa taifa lenye nguvu na teknolojia ya hali ya juu kabisa watoto wa mama afrika amkeni turudi tulikotoka tujenge misingi imara ndo tutaeza enda mbele hatutaweza kwenda mbele kama nyuma hatujajenga misingi imara mda nisasa malkia na wafalme wa afrika amkeni

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว +1

      kani mpaka wanakuja wazungu kitu gani kilituzuiya tusiwe taifa lenye nguvu na lililo endelea ? mpaka wanakuja wazungu tuliishi kwenye nyasi , hatukuwa na maandishi , hatukujia kusoma wala kuandika ,. hatukujia dhahabu na almasi ni mali wakati zipo kwenye ardhi zetu . mapepo ya machifu yalitufumba ya macho , kuyaAbudu na kutunyanyasa kiakili na kimwili . ujinga mtupu wa hiyo mizimu

    • @donpablo7698
      @donpablo7698 2 ปีที่แล้ว +1

      @@whatisthetruth.8793 soma historia ya mtu mweusi nyuma kabla ya utumwa ndo utajua ulichokuwa unaandika apo nimatope

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว +1

      @@donpablo7698 sasa hiyo historia kabla ya utumwa ipo wapi , usilete hadithi za paukwa pakawa na akenda akenda akendaaaaaaaaaaaa!!!! ipo wapi miji ijiyojengwa na machifu kabla utumwa ? , vipo wapi viwanda vya kutengeza vitambaa na nguo vya machifu kabla ya utumwa ? hayo makaniki meusi wanayo vaa machifu ni zawadi za kupumbazwa walizo kuwa wanapewa na wakoloni wa kizungu, vipo wapi vitabu vya literature , science , madecine,. Math , vya machifu kabla ya utumwa kwa ufupi hatukuwa navyo , na kama tulikuwa navyo nambie wapi nakavione na nitajifunza

    • @donpablo7698
      @donpablo7698 ปีที่แล้ว +1

      @@whatisthetruth.8793 Fikra za mwafrika zimepotoka nenda kasome maajabu ya Apo misri nenda kasome Mali empire nenda soma Ethiopia Alafu ndio uje ongea apa

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      hoja yangu bado imesimama pale pale , mpaka wanakuja wazungu kitu gani kilituzuiya tusiendelee🤔🤔🤔 kikubwa na huwa ujinga wa kuabudu vipepo vinavyotaka sadaka kangara na togwa🤣🤣🤣 na ni hao hao machifu una wasifia walidanganywa na wazungu kwa vioo na tochi 😂😂😂

  • @zuenaabdi7631
    @zuenaabdi7631 2 ปีที่แล้ว

    Chefu ako sawa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ปีที่แล้ว

    Na huo ndio ukweli

  • @zebedayopetro4472
    @zebedayopetro4472 2 ปีที่แล้ว

    Mzee kachanaaa

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu nimefunza

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +1

    Mizimu majini na mashetani.sawa sawa na wanaowabudu miti na masanamu

  • @fasterdeule8503
    @fasterdeule8503 2 ปีที่แล้ว

    Kisasa ni wapi

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 2 ปีที่แล้ว

      Kabla ya kufika nane8 ,ukitokea Dodoma mjini baada ya kupita Ipagala, na Martin Luther school
      Eneo walilojengaga nyumba za wabunge

    • @emableelias6691
      @emableelias6691 2 ปีที่แล้ว

      Ukitoka Dodoma kama unakuja dar kabda hujafika 8...8...centar unayokutananayo ndio kisasa

  • @ndugutv5417
    @ndugutv5417 2 ปีที่แล้ว +1

    MAFUTA YA UPAKO ni jambo DOGO KWA ASILI YA MWANADAMU WA KWANZA AU MILA

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว

      Kwa muafrica hakuna Mwanadamu.
      Kuna WATU. Mwanadamu anatokana na Adamu na Adamu hatokani na waafrica anatokana na visaasili vya wana wa Israeli

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 2 ปีที่แล้ว

    Watoto mmejua Sasa .Mmetupa wazee leo mmekuwa wehu huu mjini.Mnarudishwa kwenu maiti.Na wakifa hao wazee hakuna Taifa Tanzania.Hao ndiyo walinzi waliyo Baki wa rasilimali zetu.

  • @edwardlupolaso2061
    @edwardlupolaso2061 2 ปีที่แล้ว

    Kwan angetunza almasi angepungukiwa nn

  • @rashidmilanzi253
    @rashidmilanzi253 2 ปีที่แล้ว +1

    Chifu wewe nimzalendo haswa waaambie vijana waleo mimi naamin chakwangu sana kulikochamzungu

  • @georgespenser1038
    @georgespenser1038 2 ปีที่แล้ว

    wekeni muendelezo

  • @hasheemabby2583
    @hasheemabby2583 2 ปีที่แล้ว

    Mbona fupi sana

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว

    Mbona fupi....

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

    Gusa maandish ya blue ukatazame Video yangu nilivyomfunika MC BALAA th-cam.com/video/ZXoVZuZFMy8/w-d-xo.html

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh7103 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mrudi tena kwa chifu Azidi kutuelimisha

  • @janviermanager4887
    @janviermanager4887 2 ปีที่แล้ว

    huyo mzee ni mchawi kabisa 😃😃😃

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 2 ปีที่แล้ว

    Angalia hii 👇🔥❤
    th-cam.com/video/keekDotg4uM/w-d-xo.html

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakala wa shetani utawajua.na watumishi wa Mungu utawajua kwa matunda yao

    • @danimark3300
      @danimark3300 2 ปีที่แล้ว +1

      Unawaita mawakala wa shetani kwasababu wazungu ndio walikufundisha hivyo. Tunaishi uongo tunasali uongo tunafundishwa uongo pia ndio maana ukweli ukifundishwa sio rahisi kuukubali kwasababu umeishi kwenye uongo toka unazaliwa.
      Mwafrika dini umeletewa.

    • @wilfredlukowo9476
      @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว

      @@danimark3300 kaa kimya huelewi chochote

    • @wilfredlukowo9476
      @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว

      @@danimark3300 mbona hutaji waarabu.

    • @danimark3300
      @danimark3300 2 ปีที่แล้ว +1

      @@wilfredlukowo9476 wote wako kundi moja haoo

    • @danimark3300
      @danimark3300 2 ปีที่แล้ว +1

      @@wilfredlukowo9476 😀😀😀😀😀 unahitaji kuelimishwa sanaaa

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว

    Hizo tamaduni na ibada za kimila ndo ibada ya miungu,mtawajibika kwa Mungu aliyejuu

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 2 ปีที่แล้ว +2

      Hakuna unacho jua kwaiyo tulia

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว

      @@goodluckmsoka3660 wewe ndiye huelewi, keep silent ☝️

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 2 ปีที่แล้ว +1

      Ukija juwa Dunia inavyo endeshwa utakuwa umechelewa sana kwa maana unaishi kwa kukariri kila kitu kutoka kwa wazungu wangesema mungu yupo baharini mngeamini pia

    • @davidchange4936
      @davidchange4936 2 ปีที่แล้ว +1

      We fuata maandiko yako ya dini si tunafuata tamadun pia mungu ndo Mana sisi tunamshrikisha mungu ili atusaidiee tamadun lazm tunafuata

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว

      @@davidchange4936 uchaguzi ni wako

  • @tonymaster3619
    @tonymaster3619 2 ปีที่แล้ว

    😁😁🥰 LOVE STORY MY ENJOY NA WENZAKO👇👉👪👈👇💐💐
    """SIKU """NJEMA"""🥰👇👇
    th-cam.com/video/EDlvq5luglo/w-d-xo.html✍️

    • @ingekuaje
      @ingekuaje 2 ปีที่แล้ว

      Akili kubwa sana

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +1

    Ifike mahali kupaa na ungo iwe kawaida, msijifiche mnapopaa, na isiwe usiku tu'.....yaani mchana inabidi tuwe tunaona NYUNGO zinapishana tu' ...fyuuuu...fyuuuuu...fyuuuu....!

    • @Maconcepty
      @Maconcepty 2 ปีที่แล้ว +1

      Hhhh😂😂😂

    • @jacksonjacksonjacksonjacks9879
      @jacksonjacksonjacksonjacks9879 2 ปีที่แล้ว +2

      Mixa traffic ndaniii 😂

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว

      @@Maconcepty ... kabisa'...!

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jacksonjacksonjacksonjacks9879 .... ukiangalia sana ni bora tu' tuwe tunapaa , halafu iwe kawaida bila mauchawi uchawi...!...yaani unampa mtu lifti mnajiachia....halafu UTAMU zaidi NYUNGO inafika mpk MASHARIKI ya MBALI...!

  • @suzyclement3899
    @suzyclement3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Ale Sande muwaha

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa washirikina umetudanganya hilo neno ni la kiarabu المشركين sasa na liko tangu zamani huyo chifu arudi shule

  • @simbadume1694
    @simbadume1694 2 ปีที่แล้ว

    Mzee kaongea ukweli,hata wazungu wachawi ndio mana unakuta freemason illuminati,Africa tukuze vitu vya kwetu,mkataa kwao mtumwa..

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzeee uko vizur Sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sana story za kichifu

  • @robertplasidus5179
    @robertplasidus5179 2 ปีที่แล้ว

    imeeleweka san chief