WALIOGOMA KARIAKOO! MJADALA MZITO BUNGENI, WAZIRI MWIGULU AWEKA WAZI CHANZO "NCHI HII NI YETU SOTE"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz - บันเทิง
Hii nchi sio yakwetu wote ingekua yakwetu wote wakati raia wanapinga tozo zenu ulisimama Bungeni ukasema ambae hataki tozo ahamie Burundi
Wewe waziri wa fedha ndo tatizo uliuambia kama hatulipi kodi basi tuhamie burundi wewe kweli ni mtoto wa mkulima umetoka kijijini kweli mbona mzee mpango alikua vizuri
Kwa kauli hiyo tu mh unaonekana huko tayari kuelewana na wafanyabiashara maana hakuna unacho kubali kua unawaumiza bali Unawaagiza wavumilie maumivu
Kusikiliza, ni suala Moja na kutekeleza bi suala lingine
Wewe mwenyewe ulisema kwamba ikiwa hautaki kulipa matozo mliyo yalundika ukasema tuhamie Burundi,
Mimi Niko burundi
😮😢😂ww ulienda kula butter ikulu ya marekani ukakajisifu kuwa Mimi no mgogo was kwanza kuingia ikulu ya whit huose .hii film itatusaidia Leo hizo hela zikowapi..kodi zinalipwa ww unanunua mabasi na tim za mpira tutaendaje mbele .ninyi wenyeewe wanyonyaji
mmmmmhhhhh hiyo sio kweli,,,,mngekuwa mnajali ungetushauri tuhamiye Burundi?kama hututaki tozo za miamala?
Kusikiliza na kutekeleza maombi yao nivitu viwili tofauti,hamjatekeleza kabisa jambo hilo siyo zuri,kwanini watu wanacho lalamikia hamtusikilizi?
Mhe mwiguru mnatufanya hatuna akili itaasiri nini,naomba mtumjibu Gesi mnajumua nchi gani kwa mtaji wabei gani na mnatuuzia bei gani nafaidaida inaingia kiyasi gani hiyo faida kiyasi gani kinaingia ktk maendeleo na kiyasi gani kinaingia kwenye matumizi ya serikali,
Gesi inatoka ktk nchi yetu
Madini yanatoka ktk nchi yetu
Samaki zinatoka ktk mchi yetu
Bahari ipo ktk nchi yetu
Havitosho hadi mtulindikie makodi yaajabu
Mkitaka tuendane wabunge nao watumie magari ya kawaida namishara zao zishuke kama ujaona kodi zetu zishuke
Kwa mtazamo wangu ,serikali haiwezi kulipa madeni kwa mfumo wa kisasa wa kodi wakati tangu zamani serikali ishazingua ,,,tusikopi na kupest,,serikali itafute vyanzo binafsi vya kulipa madeni mbona tuna rasimilimali nyingi tuu ardhi safi vyakula bei juu,uchumi wa viwanda hauendi hivyo....huku ulaya walipa kodi kwanza ndio wanazingatiwa na hawachagui ............
mwigula be setious ;,acheni kukopa above uwezo wa nchi ;matekeo mnaumiza wafanyabiashara; jisikieni guilt ncji inazimika kibiashara;punguzeni matumizi serekalini mnaumiza watu
Serkali ifungue maduka mtishie raia tuone hizo risit za million 12
Toka tumepata Uhuru hii ndio serikali ndan. Yamiaka 3 kila kitu kinapanda being Mara 3 uwiiiiiiiiiiiiiii
Nchi hii sio ya babu zenu na awamu ya sita.mchoamuwa nyini na kundi lenu kivyo hivyo .nikutokuwa na upendo rohoni mwenu mna roho za kutu.usitusifie uongo mwizi we
Kumanina zako mgogo asiye na akili za ubinadamu .sulemani aliomba akili na malifa.akapewa Mali .nyie mnawabia wananchi mnanunuwa mabasi na matim ya Moira.kwa kodi za,wanchi .dunia ni mapito hata utuibie chumba cha peke yako kinakusubiri vinabaki hapahapa dunia.
Wewe mwikulu usidaganye wananchi.
Unaruhombaya nasa.
Wewe na wenzako mmejimilikisha serikali.
Mna muangusha mama.
Sasa hivi una jikosha.
Wakati wenu utafika.
Mungu ana waona.mume kula kiapo kusaidia raia.
Na mume wageuka.poa tu.
Maombi yao 28 mbona hamja yapokea wala kutekeleza hata moja,mhe waziri usijibu kwa wepesi hivyo.
Ipo siku tu,mnazani hatuumii,bandari tulikataa lakini mkatuona sisi wananchi niwajinga mkasaini mikataba isiyo na kikomo,bandari 54 zote,aridhi hikal 9.m kasolo yote waomani na wazungu mmewapa uwanja wakia na kuwavunjia wana nchi nyumba mmewapa waraabu,hata mlima kirimanjalo mtabinafsisha kwahali hiyo,bado pesa hazitoshi.
Kodi hadi mtu akifiwa na mgonjwa kwa bahati mbaya mwili ukitolewa Odini ukihifadhiwa tu,ule mwili wamalehemu mnautoza kodi hamjui nilaana,hakuna mnacho panga kutusaidia,wakati nyinyi mnatibiwa bule watotowenu hadi wazazi wenu hata mkifa hatozwi maana niwaheshimiwa hajui huo niubaguzi niupendeleo,ipo siku wala haipo mbali
Usajili Singida ihefu unafanya kodi ipande
Mbona unan'gan'gania Kodi hizo ? ndiyo unapatia fedha za kumiliki timu ya mpira wakati hakuna biashara unafanya
Wacha kutupata mafuta ya samaki wewe mwingulu.
Halmashauli wanatubambika makosa wanafunga biashara halafu watoza faini kubwa kosa la buku faini laki tano huu utawala wa wapi polisi wao na hakimu wao
Wala hatukuhitaji tena,
na mm nataka ninenepe kama ww
Mnavopitisha hizo sheria kandamizi hamluyaona hayo??
Ina maana mlikuwa mnatujalibu wananchi???
Tunataka katiba mpya tumewachoka sasa....
Mbona wkt w KIKWETE alipunguza wizara alikombaini wizara ndiomaana tulitesa wizara zimeongezwa ndiomaana mnaongeza vat Tozo, Serkali ifungue maduka,ili tuone hizo fain za million 12 mnatisha raia wa kwetu hii hamia Burundi hua tukosa imani,
Wafanya biasha watalipa kodi ambazo hazita tumiza jamani. Natozo zakilasiku zitolewe
Hela mnazo kopa world bank zinafanya kazi gani ikiwa mtapunguza utekelezaji wa miradi??
Kazi za nchi zimehamia ulaya kuzunguka kuomba madeni sasa munakosa namuna ya kulipa hayo madeni munawapandishia kodi wafanyabiashara
Huyu si ndio alisema tuuamie Burundi mnatuonea sana akuna m2 anataman kufanya biashara
Kusikiliza siyo hoja, tatueni tatizo mapema kama mnaamini migomo inawarudisha nyuma. Kesho wamepinga kutoka moyoni.
Kenya