Mwenyezi mungu awarehemu wazee hawa wa kisangu, mwagala, salinyambo, na mwanjali, Ndio waliwapokea wazee wa mwanzo wa kiburushi kukanyaga ardhi ya usangu
Ukweli Ni kwamba ,hawa waburuch,Ni wayahudi, Ambao walitekwa na kupelekwa utumwani babeli ( ambayo Ni Iraq) Biblia ya kiingereza inawataja katika Nehemia 11:5 kwa neno Baruch,ambao huku tunawaita waburushi Biblia ya kiiswahili,inawataja katika Nehemia 11:5 kama baruki,ambayo katika biblia ya kiingereza Ni Baruch ambayo ndio hiyo kabila lililopo mbarali
@@ismaelabubakarali Tumesoma Vitabu Vya Historia Hatuja Kurupuka, Tanzania ina Wayahudi Wengi. Wengine wapo Mkoani Kagera, Arusha, Mbeya N.k Usifikiri kila Mtu kama Wewe,Tunasoma Historia. Hata Wale Unawafikiria Wewe ni Waarabu si Wote Wenye asili ya kiarabu,Wengi ni Wayahudi Ambao Walisilimu na Kujiunga na Dini ya Kiislamu kwa ajili ya Usalama Wao,wakafundishwa kiarabu na wakaitwa Waarabu baada ya kuslimu.
Rostam Aziz pia ni Mbulushi .
Mwenyezi mungu awarehemu wazee hawa wa kisangu, mwagala, salinyambo, na mwanjali, Ndio waliwapokea wazee wa mwanzo wa kiburushi kukanyaga ardhi ya usangu
Proud of Baloch Nation
Like that
Sasa maoni yangu waandike kitabu cha historia ya waburushi...wawe na makataba ya waburushi
He is talking fact
That's Balochi I can speak that
Nafurahi saana kuona Wasangu wenzangu
No
Mungu mwema
Kuna jambo nimejifunza kuhusu waburushi nilidhani waburushi ni watu kutoka Yemen
Ukweli Ni kwamba ,hawa waburuch,Ni wayahudi,
Ambao walitekwa na kupelekwa utumwani babeli ( ambayo Ni Iraq)
Biblia ya kiingereza inawataja katika Nehemia 11:5 kwa neno Baruch,ambao huku tunawaita waburushi
Biblia ya kiiswahili,inawataja katika Nehemia 11:5 kama baruki,ambayo katika biblia ya kiingereza Ni Baruch ambayo ndio hiyo kabila lililopo mbarali
Wacha hizi uongo. Mwenyewe amesema historia yake.
@@ismaelabubakarali Tumesoma Vitabu Vya Historia Hatuja Kurupuka, Tanzania ina Wayahudi Wengi.
Wengine wapo Mkoani Kagera, Arusha, Mbeya N.k
Usifikiri kila Mtu kama Wewe,Tunasoma Historia.
Hata Wale Unawafikiria Wewe ni Waarabu si Wote Wenye asili ya kiarabu,Wengi ni Wayahudi Ambao Walisilimu na Kujiunga na Dini ya Kiislamu kwa ajili ya Usalama Wao,wakafundishwa kiarabu na wakaitwa Waarabu baada ya kuslimu.
❤❤👍
Wabaruchi ni ndugu zangu Kule Igurusi
Can I get this man address