EXCLUSIVE: SABABU ZILIZOMFANYA RUBANI ATCL ASHINDWE KUTUA BUKOBA na KURUDI MWANZA ZATOLEWA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah 🤔 mkiwa mnaona Hali ina chenge ni Bora watu wawe wanarudishwa kwakweli 😳

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 ปีที่แล้ว +1

    Fungeni taa ili rubani aone wacheni kubahatisha na maisha ya watu

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 2 ปีที่แล้ว

    Maja mnyama yupo chuo""😂😂rubani alishtukiaaa. Bora tu alivyojiongeza.

  • @egidiusthadeo5573
    @egidiusthadeo5573 2 ปีที่แล้ว +2

    Wahaya wanatumia usafiri wa dege sana

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 ปีที่แล้ว +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @happypeter4331
    @happypeter4331 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania yatupasa kumwomba Mungu tusilizike na hii khali shetani yupo kazini na hizi ndizo nyakati za mwisho zilizotabiliwa

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +1

    Endeleeni tu, ila mjue bado tuna machungu ya kupoteza ndugu zetu, Na mficha maradhi, Kifo humumbua.

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 2 ปีที่แล้ว

    Anna unauliza vizuri sawa ila kwanini hujauliza ndege ilio dondoka ziwani?

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 ปีที่แล้ว

    Ha hahaha endeleeni kuibipu victoria

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว +1

    Bado tunamachungu na hatuhitaji kuingia kwenye machungu tena

  • @azizaawadhi3239
    @azizaawadhi3239 2 ปีที่แล้ว

    Uwanja huo ni changamoto sana

  • @kelvinherman8211
    @kelvinherman8211 2 ปีที่แล้ว

    Siasa hizi

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 ปีที่แล้ว

      Siasa wapi na wapi hali ya hewa umeona uzembe wawafanyakazi wa uwanjani hali ikibadilika lazima umtaarifu rubani

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 ปีที่แล้ว

    Kwa Nini msitue chato ? Chato na Bukoba ni karibu , kagera ni mkoa wa mvua Sana hasa wilaya Bukoba .. ..

  • @marysadiki1887
    @marysadiki1887 2 ปีที่แล้ว

    Hii ccm hawataki ukweli jamani

  • @moshimoshi1163
    @moshimoshi1163 2 ปีที่แล้ว

    Nyie waandishi kuwa realistic kwa sababu hapo ndege inayooneshwa ni kubwa boeing wakati ilohusika jana ni bombadia

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 ปีที่แล้ว

    Miundo mbinu zinatia shaka kama ni salama/rafiki. Unaposena rubani anatumia visual landing ikiwa na maana rubani kutua Kwa kutumia kuona kwa macho badala ya kutumia mitbo ya kiteknolojia hapo tayari. I hatari na si salama/rafiki kwani uwezekano wa makosa ya kibinadamu (human error) ni mkubwa kutokea.

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 2 ปีที่แล้ว

    Lubani au rubani ??
    Kuna michezo munataka kuliuwa shirika la Ndege Air Tanzania

    • @mariamabebe34
      @mariamabebe34 2 ปีที่แล้ว

      Ungekuwepo bukoba usingeongea jana na leo ni giza na ukungu hata leo wamejitaidi kutua,pia ni khali ya kawaida ndege kushindwa kutua khali ya hewa ikiwa mbaya sio kitu kigeni

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 2 ปีที่แล้ว

      Una uhakika na ulisemalo? Kwa nini usiziamini taarifa sahihi zinazotolewa na wahusika?

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 2 ปีที่แล้ว

      @@sylvestercameo6263 ndio hiyi ni sahihi kabisa

    • @marysadiki1887
      @marysadiki1887 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna kitu hapa uwanja hauna uwezo ujinga kabisa hakuna mtambo wa kuongoza mpaka tutumie hali ya hewa

    • @marysadiki1887
      @marysadiki1887 2 ปีที่แล้ว

      @@mariamabebe34 hapa hatuna mtambo ni ujinga mtupu ccm ndio tumefikia hapa