Hongera mzee baba na pole kumpoteza senior pilot wako...nakupa hongera kwa kutoka cabin crew mpaka now ni pilot ambaye unaweza kuruka hadi masaa 15 angani sasa swali langu linakuja cabin crew wa ile ajali waliweza ku play part yao kama inavyo takiwa yeye kama yeye cabin crew alivaa life jackets(vest) na kwanini mlango akufungua mpaka amekuja mtu kutoka nje? na kingine kwanini wale ma pilot wetu awakutoka nje kwa kutumia emergency door kwa kule kule kwao si wanao wangeweza kutoka wote salama wale pilot kwasababu ndege ilibaki sehemu ya kutembea kwa juu kuja nyuma na pia awakuvaa life jackets vest daah kifo kina siri kubwa sana yaani kajitahidi mno mno amesahau kitu kidogo sana na ndio ingekuwa chance yake the best hapa tupo tu ktk hali ya kusema angejuwa angerudi mwanza the best decision kwasababu alikuwa nao abiria wa mwanza ange land for emergency then wangekuja mchana bukoba...bro hata wewe zingatia sana maamuzi yako tanguliza usalama wako kwanza pili chombo tatu kazi ipende kazi lkn ukiwa salama kipende chombo lkn ukiwa salama (SOP) hii ni safety operation procedure ukizingatia hii kitu kwenye kazi yako yoyote ile basi utatoboa mie nakutakia maisha mema inshallah mwenyezi mungu akujalie afya njema na Amani tele take care bro 💪🇹🇿🇦🇪
What he is talking about it’s just wrong, he was a trying to protecting his company, but intact was! Because the pilot himself he needed there for the married according to the really history, so, by all means he wanted to land over there, they say bad weather you have to avoid it, my question is why the pilot never went back to Mawanza ?????????
Huyu anamtetea babu rubaga coz wote n ma captain ila kwa maelezo yake na nlivomuelewa rubaga alizngua coz hakutoa attention kwa raia hakua na maamuzi sahihi alijiamini itakua sefly but ndio ajali ikatokea may be ilitakiwa arudi mwanza
Tofauti ya rubani wa ulaya yeye aliona hatari akawaandaa wasafiri wake kwamba tunatua ziwani na wavae kabisa maboya, na alipotua hakukua na msaada wa haraka abiria walijitoa wenyewe, ndege ya Bukoba imeporomoka bila Taarifa, ngoja tusubiri uchunguzi ukamilike lakini tunawaonba marubani muzingatie mafunzo yenu kama Hali ya hewa tatanishi usiondoe ndege ahirisha safari kabisa Bora malalamiko kuliko misiba
Ni kweli wao abiria waliambiwa wanarudi mwanza ghafura mtu anatua majini kwanini wasinge waambia ukweli dharura yoyote yaweza Kutokea wavae makoti ya life hfu na uokoaji wawepo karibu na eneo
Kwa upeo wangu naona rubani alijaribu kutua kwa nguvu coz ndege haikuwa na tatizo la kiufundi kusema ilimlazimisha yeye kwenda kwenye maji ila kilichopo ni kwamba mzee alijaribu kutua lakin vision ya runway ilikuwa hafifu hakuwa na nafasi ya kuona wanja na uwezekano wa kwenda mwanza ulikuwepo
Amesema huwa wanakuwa na mafuta ya kutosha hata kwenda kutua uwanja mwingine ikiwa walipo tarajia kutua kutakuwa na shida au dharula ya uwanjani sasa kwa nini hao hawakwenda kutua uwanja mwingine ikiwa huko walikokusudia kutua hali ya hewa haikuwa nzuri?
mimi pia naamini alifanya the best kabisa na watu kufa haikuwa tatizo la rubani ila tu wale tunao waita jeshi la uokoaji wale ndo hamna kitu kabisa, pale uwanja wa ndege kuna paswa viwepo vitu vyote vya emmergence na ukiangalia pale ni ziwani kumbe kila kitu kinapaswa kuwepo in case kuna tatizo mara moja watokee na kuokoa
Tatizo una hisi, anafanya kwa sifa, Elimu, kazi na Maisha yake kwa ujumla, amekuwa affected na lugha ya kiengereza, kwahyo hiyo hali ya code switch inakuwa switched automatically without his intention.. Kama una low minded, daa huwezi kunielewa, mpaka yesu akishuka
safi umeingea vizur ruban profesional tumekuelew
Ruban Assenga we ndo ruban ulieongea kitaalam na nina uhakika sehemu unayofanyia kazi wana bonge la Rubani nime enjoy sn. Big up bro.
Shukran Ruban kw maelezo mzr yaliyojitosheleza n pole sana kw kuondokewa n wafanyakaz wenzio ALLAH akupe Subra inshaallah
Huyu Ruban yupo vizur,,Mungu akupe utekelezaji wa kazi hyo kama unavyoweza fafanua.
Hongera mzee baba na pole kumpoteza senior pilot wako...nakupa hongera kwa kutoka cabin crew mpaka now ni pilot ambaye unaweza kuruka hadi masaa 15 angani sasa swali langu linakuja cabin crew wa ile ajali waliweza ku play part yao kama inavyo takiwa yeye kama yeye cabin crew alivaa life jackets(vest) na kwanini mlango akufungua mpaka amekuja mtu kutoka nje? na kingine kwanini wale ma pilot wetu awakutoka nje kwa kutumia emergency door kwa kule kule kwao si wanao wangeweza kutoka wote salama wale pilot kwasababu ndege ilibaki sehemu ya kutembea kwa juu kuja nyuma na pia awakuvaa life jackets vest daah kifo kina siri kubwa sana yaani kajitahidi mno mno amesahau kitu kidogo sana na ndio ingekuwa chance yake the best hapa tupo tu ktk hali ya kusema angejuwa angerudi mwanza the best decision kwasababu alikuwa nao abiria wa mwanza ange land for emergency then wangekuja mchana bukoba...bro hata wewe zingatia sana maamuzi yako tanguliza usalama wako kwanza pili chombo tatu kazi ipende kazi lkn ukiwa salama kipende chombo lkn ukiwa salama (SOP) hii ni safety operation procedure ukizingatia hii kitu kwenye kazi yako yoyote ile basi utatoboa mie nakutakia maisha mema inshallah mwenyezi mungu akujalie afya njema na Amani tele take care bro 💪🇹🇿🇦🇪
Ndege ya precision inatoka direct dar bukoba bila kupita mwanza muda wa kurudi ndo bukoba mwanza dar
Ata Mimi najiuliza kwa nini mfanyakazi wa ndege hakufungua mlango? Na yeye amefundishwa?
Umeongeaa vizuriii na maelezoo yanaeleweka kiongizii
What he is talking about it’s just wrong, he was a trying to protecting his company, but intact was! Because the pilot himself he needed there for the married according to the really history, so, by all means he wanted to land over there, they say bad weather you have to avoid it, my question is why the pilot never went back to Mawanza ?????????
Tatizo la marubani wetu wasiku hizi ni macheck Bob sana.Hatuna marubani walio serious siku hizi
Waokoaji ndyo wamechelewa hatuna vifaa vya uokoaji ambavyo vipo stand by
Hongera rubani Assenga Kwa Maelezo mazuri upo vizuri rubani nimekuelewa
Asante kwa maelezo yaliyojitoshelea keep it up
good explanation thanks
pilot assenga
Huyu anamtetea babu rubaga coz wote n ma captain ila kwa maelezo yake na nlivomuelewa rubaga alizngua coz hakutoa attention kwa raia hakua na maamuzi sahihi alijiamini itakua sefly but ndio ajali ikatokea may be ilitakiwa arudi mwanza
Tofauti ya rubani wa ulaya yeye aliona hatari akawaandaa wasafiri wake kwamba tunatua ziwani na wavae kabisa maboya, na alipotua hakukua na msaada wa haraka abiria walijitoa wenyewe, ndege ya Bukoba imeporomoka bila Taarifa, ngoja tusubiri uchunguzi ukamilike lakini tunawaonba marubani muzingatie mafunzo yenu kama Hali ya hewa tatanishi usiondoe ndege ahirisha safari kabisa Bora malalamiko kuliko misiba
Wewe kaka!!!! Walipoondoka dar hali ilikua njema ila walipofika mwanza hali ndio mbaya au hukufuayilia taarifa wewe!!!
Ni kweli wao abiria waliambiwa wanarudi mwanza ghafura mtu anatua majini kwanini wasinge waambia ukweli dharura yoyote yaweza Kutokea wavae makoti ya life hfu na uokoaji wawepo karibu na eneo
Kwa upeo wangu naona rubani alijaribu kutua kwa nguvu coz ndege haikuwa na tatizo la kiufundi kusema ilimlazimisha yeye kwenda kwenye maji ila kilichopo ni kwamba mzee alijaribu kutua lakin vision ya runway ilikuwa hafifu hakuwa na nafasi ya kuona wanja na uwezekano wa kwenda mwanza ulikuwepo
Uncle Twinie 🔥🔥🔥
Amesema huwa wanakuwa na mafuta ya kutosha hata kwenda kutua uwanja mwingine ikiwa walipo tarajia kutua kutakuwa na shida au dharula ya uwanjani sasa kwa nini hao hawakwenda kutua uwanja mwingine ikiwa huko walikokusudia kutua hali ya hewa haikuwa nzuri?
Mm naona kilichomfanya asirudi mwanza na mafuta alikuwa nayo yakutosha,ni uvivu na uzembe
Maswali ni mengi sana lakini majibu yake mimi sijaelewa..
Ajali hii imesababishwa na nini au na nani?...
mimi pia naamini alifanya the best kabisa na watu kufa haikuwa tatizo la rubani ila tu wale tunao waita jeshi la uokoaji wale ndo hamna kitu kabisa, pale uwanja wa ndege kuna paswa viwepo vitu vyote vya emmergence na ukiangalia pale ni ziwani kumbe kila kitu kinapaswa kuwepo in case kuna tatizo mara moja watokee na kuokoa
Tunasukiaga Hawa watu ni usalama wa taifa Sijui kama ni kweli
Tanzania bwana Jambo limezua jambo
Kingerenza cha nini ongea Kiswahili tuelewe baba..
Tatizo una hisi, anafanya kwa sifa, Elimu, kazi na Maisha yake kwa ujumla, amekuwa affected na lugha ya kiengereza, kwahyo hiyo hali ya code switch inakuwa switched automatically without his intention..
Kama una low minded, daa huwezi kunielewa, mpaka yesu akishuka
Kuna mtu kamuuliza swal tena kwa kiingeleza kuwa kwa nn hakurudi mwanza kutua ishu yy kajibu kitaalam na nini kinatakiwa kufanya
Rubani kanyooka.. Safi Assenga!