Undani wa ndege ya ATCL kushindwa kutua uwanja wa Bukoba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @claudsanga8162
    @claudsanga8162 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania hii kazi sana

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 ปีที่แล้ว +5

    Inaonyesha huko Kagera kuna abiria wengi sana wa usafiri wa anga lkn uwanja wa ndege ndio tatizo

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +1

    Wahaya na mbwembwe zote mjini mnashindwa kujichanga mjenge Airport Nzuri kwenu??

  • @zulfanangali7541
    @zulfanangali7541 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani bukoba kuna nini mungu wangu..

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 2 ปีที่แล้ว

    Aiseee,,

  • @prudence_muta
    @prudence_muta 2 ปีที่แล้ว

    This man is honest

  • @jonathanbyabato2091
    @jonathanbyabato2091 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ni kawaida. Na ndio maana ya pilot. Ukikuta kuna senene unakwepa.

  • @johnrimoy1613
    @johnrimoy1613 2 ปีที่แล้ว +1

    Rubani atashinikizwaje vipi kutua !! tuhuma ni nzito sana.

  • @kingwilliam1807
    @kingwilliam1807 2 ปีที่แล้ว +5

    Huo uwanja hauna tofauti na viwanja vya porini tuu

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 2 ปีที่แล้ว

      Bwege wewe. Unajua nini kuhusu viwanja vya ndege. Unaropoka tu

  • @gts5007
    @gts5007 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu mtangazaji, kwa case ya Mwanza kukuacheni muendelee kwenda Bukoba, ni pale tu rubani akisema "Field in site".
    Ina maana legally wanaendelea kutua "VISUALLY". Kwa kuwa Bukoba hakuna INSTRUMENT APPROACH.
    Changamoto hii ni pale hali ya hewa ikiwa mbaya, mvua na mawingu mazito yaliyoshuka chini sana, upepo mkali sana.

  • @neemamnape4656
    @neemamnape4656 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivo viwanja vingine vya senene sio kutua ndege

  • @jonathanbyabato2091
    @jonathanbyabato2091 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni kawaida tu. Ukikuta kuna tembo uwanjani utua?

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu Uwanja Uangaliwe Kwa Jicho la 4

  • @phabianshimba6791
    @phabianshimba6791 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania hatuwahi kuwa makini na vitu vyetu ubabaishaji Kila Kona upo,, na sababu zinazoelezwa hata hazina uzito wakukwamisha ndege kutua, kama kweli Kuna miundo mbinu imara. Ifike hatua tukubali makosa sio Kila kitu kukingia kifua Kwa ajari ya maslahi yenu binafsi,, angalieni usalama wa watu.

  • @rtp9010
    @rtp9010 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaa kuna shida sana kwenye haya masuala ya kitaalam

    • @jesuinababili2280
      @jesuinababili2280 2 ปีที่แล้ว

      Am speechless... beta kufukuzwa kazi... story the same like wale makomandoo wa Mbowe. Ajira za Tz ukiwa smart hutakiwi

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 2 ปีที่แล้ว +2

    Katika huu uwanja hapa kuna tatizo na sidhani kama kuna miundombinu mizuri hapa ikiwemo runway na tower na umeme sidhani kama hivyo vitu niko sawa sawa

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 2 ปีที่แล้ว

    Nasafiri sana na ndege ila nimekuwa na wasiwasi na domestic flights,ni heri tu nitumiee basi, vision ni hatari sana hali ya hewa ikiwa mbaya, ila kama instruments zipo ndege inatua vizuri.

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣hii nchi bhana ngumu sana, Kwahiyo jamaa angefosi alikuwa anailoweka na hiyo. Inakuaje mtu ajiongoze mwenyewe angani hii hatari sana.
    Haya tumewasikia Ngoja mi niendelee zangu kuvua Dagaa wangu huku ziwani

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 ปีที่แล้ว +2

    Zilaizi mtoa roho bado yupo bukoba

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 2 ปีที่แล้ว +1

    Ajari nyingi ukichunguza niuzembe tuu ..basi .✍️✍️✍️

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mchezo unachezwa mbona sielewi? Miaka yote ndege zinatuaje Bukoba?

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 2 ปีที่แล้ว

      Useme huo mchezo ili wahusika wasikie uokoe maisha ya watu

    • @thomasabelmwakipesile5280
      @thomasabelmwakipesile5280 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndege kushindwa kutua Bukoba hii si mara ya kwanza imeshafanyika mara nyingi sana hasa kipindi hiki cha mvua sema hii imetangazika sana kutokana na ajali ile ya Precision air! Mara nyingi huwa ndege inarudi mwanza! Nimeshashuhudia mara nyingi sana zaidi ya mara 10!

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 2 ปีที่แล้ว

      Umeshaambiwa tatizo ni hali ya hewa sasa mchezo huo anaufanya nani?

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 ปีที่แล้ว

    Katibu kweli umekwepa na kukutana na vigingi vingi sana.

  • @hassanimilanzi6454
    @hassanimilanzi6454 2 ปีที่แล้ว

    Hizotalifa hatuitaji kuzisikia kea

  • @an6808
    @an6808 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni hii ajali tu ya juzi ndio imefanya rubani asitumie uzoefu, huyu rubani angetua kama Precision ingekua haijalowekwa mule

    • @elibarikimaganga9571
      @elibarikimaganga9571 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwenzako akinyolewa zako tia maji, Kuna muda majanga yanatusaidia kutufanya tusijiamini kupitiliza hata kama tuna uzoefu sana kwenye vyombo vya moto.

  • @drgreysonbabishomba
    @drgreysonbabishomba 2 ปีที่แล้ว +5

    HUYU MTANGAZAJI MBONA ANAMNYIMA NAFASI RUBANI KUELEZA UKWELI!?

    • @Shammy-rn3tn
      @Shammy-rn3tn 2 ปีที่แล้ว

      Hilo suala 'la malalamiko ya marubani kufukuzwa kazı kwa ajili ya kukataa kutua uwanja wa ndege ni nyeti sana. Na pia malalamiko hayo kutoshughulikiwa na mamlaka pia ni nyeti sana. Discretion ya Rubani ina involve risk ambayo purely ina depend na reasoning ya Rubani in flight not operational officer. Kwa hiyo kumlazimisha kutua kwa sababu nyinginezo haşa kwa mtazamo wangu itakua ni za gharama za kibiashara ni makosa yasiyosameheka.

  • @aronemmanuel2632
    @aronemmanuel2632 2 ปีที่แล้ว +1

    Du mbna htar xana jaman

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe hili suala la mafuta kibaba Si tu kwetu watu wa magari 🤣⛔ marehemu RUBANI hakua na mafuta ya kutosha kumwezesha kurudi Mwanza 🤣🤣🤣🤣 Hongera sana RUBANI wa BOMBERDIER ✈️

  • @theball4556
    @theball4556 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh, asee!

  • @hassanimilanzi6454
    @hassanimilanzi6454 2 ปีที่แล้ว

    Hizotalifa zandege hatuzitaki kuzikia kwasabu tunamachugu talifa zaovwu hatuzitaki kabisa kumbu takizo mulikuwamuna juwa leo munatoa talifa ambazo azieleweki

  • @bminawandu
    @bminawandu 2 ปีที่แล้ว +1

    Uzembe huu serekali ya mma wauni wengi sana

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 2 ปีที่แล้ว +1

      Wahuni ni walio jenga uwanja chato pasipo na abiria badala ya bukoba

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 2 ปีที่แล้ว +1

      @@billgussy6099 duuuuu

    • @bminawandu
      @bminawandu 2 ปีที่แล้ว

      @@billgussy6099 usitete nchi imerud ilipo toka chato pia tanzania usi sahau wana staili kupata kila kila kitu ajalisha kuna abiria au amna

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 2 ปีที่แล้ว

      @@bminawandu hivi wewe kwa akili yako unadhan uwanja wa ndege una jengwa tu popote???

    • @bminawandu
      @bminawandu 2 ปีที่แล้ว

      @@billgussy6099 inawezekana naongea na mtu ambae ana uwelewa mdogo nchi hii una viwanja vya ndege 180 vya watu binafsi 100 serekali 80 utaniambia chato awastaili kuwa na uwanja cha ndege ila una umia wwe kuwa na uwanja wa ndege mzuri wa staili pia wao kama wa tanzania

  • @jeremiahmussiba2473
    @jeremiahmussiba2473 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna watu wa mamlaka ya hali ya hewa kutoa taarifa mapema kabla ya ndege haijafka bukoba?

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 2 ปีที่แล้ว

      Ushaambiwa unaongozwa na mtu wa Mwanza ukifika distance fulani. Jamaa wanakwambia sasa endelea mwenyewe utatua