Mwalm naomba kujua, iv kwa upande wa solar haijalishi vifaa vyako vya solar na bettry vina nguvu kiasi gan? Au mpaka solar kubwa na bettry kubwa ndo unakuepo uwezekano wa kutumia changer over!
mwl wetu wa Dunia Mimi nakukubali mpaka basi ,,,,nikuombe ukipata muda utufundishe kutumia multmeter especially ktk ufundi umeme yaani kupima mifumo mbali mbali ya umeme
Nakusikiliza nikiwa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿.Nakuelewa sana fundi wangu.
Tuko pamoja ndugu
Nipo na swali engineer je tanesco
ticha hapo nimekuelewa ila hiyo cheng over,inaweza kutumika kwenye geneletar au inategemeana na kulingana na Amp ya kifaa husika..
Pamoja mkuu
Na tichaa cable ya 1.00 onaeza tumiwa kwa mataa pia ama kwasababu inakaribiana na ile ya 1.5 ....
Apo juu ya changeover nimekupata lakini apo kwenye kuwasha na kuzima na kuwasha.
Mwalm naomba kujua, iv kwa upande wa solar haijalishi vifaa vyako vya solar na bettry vina nguvu kiasi gan? Au mpaka solar kubwa na bettry kubwa ndo unakuepo uwezekano wa kutumia changer over!
Sasa hapo kwa vile umefanya series solar ni watt ngapi ?
Tuletee na kuunga changeover switch ya generator au procedure ni kama za hapo tuuu
mwl wetu wa Dunia Mimi nakukubali mpaka basi ,,,,nikuombe ukipata muda utufundishe kutumia multmeter especially ktk ufundi umeme yaani kupima mifumo mbali mbali ya umeme
Nitawaletea hivi karibuni
Unaweza kufunga wire inayotoka moja kwa moja kwenye luku kwenye changeover switch hiyo
Yes