JINSI YA KUFUNGA SOLAR VOLT 24 +BATTERY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 23

  • @SabriMohd-i7m
    @SabriMohd-i7m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Itakugarimu ngapi zote kabisa maalim

  • @gabrieljowi7827
    @gabrieljowi7827 ปีที่แล้ว +1

    Good work,,am watching from Kenya,,,,can i get attachment place in your Company next year may?

  • @lottolotto1454
    @lottolotto1454 ปีที่แล้ว

    Sawa nashukuru kwa kujibu.

  • @RehemaNzali-k9g
    @RehemaNzali-k9g 6 หลายเดือนก่อน

    Mnapatikana wapi kaka

  • @Kisepeog
    @Kisepeog 7 หลายเดือนก่อน

    Fundi wangu jisi yakujua kama zimekufa au zinafua moto mdogo inakuwaje

  • @AbuJunaidi
    @AbuJunaidi 10 หลายเดือนก่อน

    Bei gani zinsuzwa solar kama hizo complete

  • @mahamudabdullahi7506
    @mahamudabdullahi7506 ปีที่แล้ว

    Umefunga solar bila kutumia fremu
    Hii sio sawa Kwa sababu ya overheating on the ironsheet

  • @buberwazimbeiya7406
    @buberwazimbeiya7406 ปีที่แล้ว

    Kazi chafu, mwl amevaa kama yupo kijiweni😅😅😅😅😅😅

  • @maalimjuma2881
    @maalimjuma2881 ปีที่แล้ว

    leo sijakuelewa kabisa darasa hili hujatuonesha nyuma ya pannel waya zinawekwaje, pia kwenye kuunga betri inakuweje vile vile kwenye charger control hukumalizia kuunga, unekwenda so faster binafsi sijafahanu kitu kabisa!

  • @lottolotto1454
    @lottolotto1454 ปีที่แล้ว

    Hiyo kampuni ya LITAR nichukue lead acid battery au dry battery? Ipi itakuwa Bora kwenye matumizi yangu ya solar

  • @papiasmugabo6685
    @papiasmugabo6685 ปีที่แล้ว

    Jambo nataka sola

  • @Abuassma360
    @Abuassma360 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu zingatia mawasiliano hutukufii ss huku +254

  • @NyihitaChacha
    @NyihitaChacha 9 หลายเดือนก่อน

    24v mwisho isome ngapi

    • @MiwamboTV
      @MiwamboTV 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa maelezo ya Mwalimu inveta ya Vlt 24 isizidi 25 ukiona inafika mpk 30vt bc Kuna hatari ya kuunguza mashine

  • @sixofficial123
    @sixofficial123 ปีที่แล้ว

    Ivi earth kwenye solar inawekwaje

  • @lottolotto1454
    @lottolotto1454 ปีที่แล้ว

    Betri za solar kutoka kwenye campuni gani ni bora? Maana betri za Sundar hazifiki hata mwaka.

  • @Abuassma360
    @Abuassma360 ปีที่แล้ว

    Hii no yke mtema mbona haikubali kw wasp yasema invit

  • @Abuassma360
    @Abuassma360 ปีที่แล้ว

    Mr number yako ya whatapp ni gani mbona hii haitaki

  • @RehemaNzali-c6e
    @RehemaNzali-c6e ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi mwalimu