Pumzika kwa amani Mwl. wangu John Stephano Mgandu. Wewe ni wa pekee sana katika uzao wa nchi yetu waliojifunza muziki, na kuonesha uwezo wao katika utunzi wa nyimbo. Hongereni sana vijana wa kwaya ya Mt. Augustino kwa ubunifu huu. Mmeutendea haki huu wimbo na nyimbo zingine za marehemu Mgandu
Wimbo mzuri sana, mmeimba vizuri, Organist pia ulitulia.I like old catholic songs, ukisikiliza unaona watunzi wengi walivuviwa na Roho Mtakatifu. Makoye, Kalolela, Saasita, Jisu, Kayetta, Mgandu, P.F. Mwarabu, Mukasa, Syote, Muhimbirwa and many more.. God bless you all. Organists wasipende kupiga filimbi na drums nyingi mpaka mtu tunakosaga ladha ya organ ya Catholic kwenye misa.
Hongereni Sana lkn kuna ushauri kwenu sauti ya moja tu inakuwa inasikika Sana tofauti na sauti Zingine Kama zinakoloma hv lifanyieni kazi hili au vifaa vinawekwa karibu na mtu mmoja tu

Hakika Nchi yote itakusujudia na kukuimbia ee Mungu!! Hongereni mnoooooo kwa kazi nzuri
Well sung
Hakika Nchi yote itakusujudia....Barikiwa sana The Galax Pro.Team.....
Safi Wanakwaya😀😀😀
despina ❤❤
Hakiki Nchi yote itakusujudia Ee Mungu mkuu. Barikiwaeni
Safi mno
Nawapenda mnoo
Jina la Bwana litukuzwe.Wimbo mzuri.Ahsanteni.
Hongera GALAXY PRO.
Kazi safi
Daaah. Basi tena. Maneno yanapoisha ndipo hapo.....
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Bara na visiwani aiseee... safi sana wataalam
Muziki umetulia sana.
Mzee Mgandu anafurahi tu huko mbinguni
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Wimbo mzuri sana, mmeimba vizuri, Organist pia ulitulia.I like old catholic songs, ukisikiliza unaona watunzi wengi walivuviwa na Roho Mtakatifu. Makoye, Kalolela, Saasita, Jisu, Kayetta, Mgandu, P.F. Mwarabu, Mukasa, Syote, Muhimbirwa and many more.. God bless you all. Organists wasipende kupiga filimbi na drums nyingi mpaka mtu tunakosaga ladha ya organ ya Catholic kwenye misa.
Nicee👏👏👏👏👏
Ah,nmeiskiaaa alto
Lovely and pleasing .....hakika kwapendeza kumsifu Mungu
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Wow ...sauti Tamu
Ee mungu,nchi yote na ikusujudie wewe🧎🏾♀🧎🏾♀🤲🏼🤲🏼
very nice,hii nd real catholic maan muziki umetulia sana,mpo ktk standard ya kikatoliki,mnatupatia misa
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
fantastic
Can't get enough listening.
Mungu awabariki mno kwa kazi nzuri sana sana.
Waah! Should be played at the world theatre. Nairobi Kenya is happy with you people
Nice song
Binti your songs soothes me and uplifts my soul, God bless you.
Barikiwa despina mungu akujalie afya njema
Dada pekee uliyebaki ukizienzi nyimbo za wazee kwa kiasi kikubwa. Mungu akubariki
Sauti zenu nzuri sana.mungu awabariki.
Kazi safi,mbarikiwe
MASSAWE MBACHO
Kazi safi mno.......
nice song🙏
Amen 🙏
beautiful, LOVE YOUR SONGS
KAzi nzury
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Mkiimba tena nipigieni cm nije nijiunge nanyi
Nice one ☺️
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Hongereni Sana lkn kuna ushauri kwenu sauti ya moja tu inakuwa inasikika Sana tofauti na sauti Zingine Kama zinakoloma hv lifanyieni kazi hili au vifaa vinawekwa karibu na mtu mmoja tu
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
💞💕💐
your songs are inspiring and real worship...excellent voices
0I
La,nije tufanye collaboration im Stella
😇💓
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Congratulations sister and brothers
VERY RIPE WITH MESSAGE CONRATULATIONS
th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Beautiful music. Can I hire the director?
Safi sana. Bonyeza hapa kuangalia nyimbo nyingi zaidi za dini th-cam.com/channels/enSaMf2P6bqpiVNBRHa6Nw.html
Mungu awabaliki kwa kazi nzr sana
Jaman hongereni,saut ya pili mbona aipo
Ok
Amina