Tumsifu Yesu Kristo, tatizo ya nyimbo kama hizi, zimetungwa kuimbwa na watu wengi zikiimmbwa na wachache kunskuwa na mapungufu. Ila waimbaji wameimba vizuri sana, ila uhachi kusikia sauti ya watu wachache hata urudie mara ngapi
Depuis Kinshasa Rdcongo.Je bénis le Dieu tout-puissant car Il est tellement bon et Il a donné de telles voix qui sont bonnes à ses serviteurs.Allez de l'avant mes frères et soeurs.Félicitations.
Kazi nzuri Despina mdende et el
Tumsifu Yesu Kristo, tatizo ya nyimbo kama hizi, zimetungwa kuimbwa na watu wengi zikiimmbwa na wachache kunskuwa na mapungufu. Ila waimbaji wameimba vizuri sana, ila uhachi kusikia sauti ya watu wachache hata urudie mara ngapi
Mahali nipo nazidi kubarikiwa.Mungu ambariki mtunzi
Hongereni sana.
Hamjawahi kutuunganisha.
Kila hatua mnayopiga, sisi tupo nanyi ili tuendelee kuishuhudia Imani ya Baba zetu.
Amina
Watching from America!! I watch every one of your videos
Safi sana naomba mtengeneze pia Uniangalie na Kunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa
Naupenda huo wimbo
Ogera sana dada umebarikiwa saut zuri mungu awe nawe
Kazi zenu zinanifariji sana Enyi mliobarikiwa mkapata wasaa wakumwimbia bwana kuweni na moyo safi na Bwana akawe faraja kuu
Hongereni sana kwa ujumbe mzuri sana
huyu jamaa anayepiga kinanda namkubali sana
Yupo vizur
Hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki
mbarikiwe sana,maana mnatupatia misa
Wimbo mtamu huo....hongera
Ongereni wimbo mzuri
Mwl.Peter. na Patiu big up kwenu
Hongereni kwa kazi nzuri.
mwl. Peter umefikia Dar na kurekodi safi teacher, I real appreciate you guys
Sauti zimetulia vizuri muendelee vivyo hivyo Kazi safi kabisa Mungu awabariki Sana
Hongereni waimbaji kwa nyimbo nzuri Mungu awabariki
Waaoh.. congrats...
Kariba nzuri, tamu. Hongereni
Hongereni kwa juhudi zenu. God bless you all.
Nyimbo hii ,inanfurahisha sana! Nikipata safari nayisikiriza !Noamba anwani ya Chorale hii
Mavazi kwa akina mama ni changamoto, wavae viremba kichwani. Hilo ndilo vazi la heshima mbele za Mungu.
Wimbo Kama huu wa utulivu unareflect Catholic kweli,hongeraaaa
Congratulations for wonderful voices an messenge, watching from Qatar, i can't stop reasoning nice. Continue with the same spirit, God bless you.
Nice song , nice voice
Nawapenda sana nipo huku Afrika ya kusini
je vous ecoute de la cote d.ivoire
vous me faites prier par vos belles voies
merci pour ce don que Dieu a depose en chacun de vous
Moja kati ya utunzi bora kabisa Wa Mzee wetu Mgandu. Mzee kweli alijua kuzipapasa nyuzi.
Hongereni sana, natamani kuimba nanyi🤦♀️🤦♀️
Munguu awabariki kazi nzuri wapendwaa❤
Mungu awabariki Sana maana nafarijika Sana na nyimbo zenu. Hakika Mungu atende jambo juuu yenuuuu❣️🎉🎊
Hongeren xn Kwa kazi hii nzuri 🎉❤
Hongereni sana mmeimba vzr Ila kwaushauri wangu mjitahidi sana kuwa simati na kuvaa sale inapendeza mnooo hivyo tu haileti raza sana..
Neno la Mungu linasikika vema, linatosha kweli. Hongera.
hongereni mmeimba vizuri Mungu awabariki
Mioyo ya unyenyekevu,
Nyimbo za heshima mbele za Mungu na wanadamu, Mungu awabariki
Mbarikiwe kwa uinjilishaji
Jumapil ilionjemaa kbsaa 33Domikaa😊
Waaoooo!! Wimbo mtam sana... mbarikiwe
Keep it up very nice
Mgandu alijua sana cjui kama atatokea mtunzi kama huyu mzee
Hongereni sana you are ablessing to me and to many sauti nyororo sana God bless you always
this is a truly a catholic song. Keep receiving blessings
Hongereni sana, mtembee na nyimbo hizi. Mkienda kwenye michiriku tutawashangaa
Hongereni sana kwa kutubariki 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hongereni sana ,sauti za kikatolik michiriku waachieni wengine
Hongereni nyote.Mungu awabariki kwa kutumia talanta zenu kuhubiri.
Hongera ujumbe mzuri
Asanteni kwa kuinjilisha kwa njia ya kuimba. Pokea baraka kama nanyi mtubarikivyo kwa mziki mzuri
Love this song really touches me like the Sorpano God bless the singers
From Bukavu, DRC, I send my congratulations to this team for its exceptional skills. God bless beautiful voices.
Hongereni
Awesomeness
Mung awabaliki sana Tena San awap nguv kutangaz neno la mung Kwa kuimb nyimb zen zur san
More appreciate my lovely teacher sir.marianus
saf sana Mwenyezi Mungu awabariki
Depuis Kinshasa Rdcongo.Je bénis le Dieu tout-puissant car Il est tellement bon et Il a donné de telles voix qui sont bonnes à ses serviteurs.Allez de l'avant mes frères et soeurs.Félicitations.
Merci je vous soutiens dans mes prières.
I loved to hear a saprano voice from this track... Thank you for the blessed voice.. good job there
Welldone be blessed
Ukuu wa Mungu unaendelea kudhihirika kwa kazi zenu
Hongereni sana kwa nyimbo zenu nzurii nimeipenda sanaa
Mnanibariki sana watu wa Mungu,be blessed
Wow , ni tamu sana🙏🙏
Hongereni sana wana wa mungu wimbo mzury sana 🙏🙏🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Ukurasa huu nimetega mlango wazi kupokea uimbaji huu bora kila wiki.
Mjaliwe nguvu ya Utume dawamu.
Amina saaana mwalimu
Nice one...
Ninapousikiliza wimbo huu nafarijika sana. Asanteni sana waimbaji wote ,Mungu awabariki.
The song is a blessing to me,,,kazi nzuri.Mbarikiwe🙏🙏
Listening to this while praying...I hope I come back to this song with a testimony of answered prayers 🙏❤️
Thisbis really amazing. Keep up team
Hongereni kwa utume wa uimbaji
Nyimbo nzuri sana
It's 2024 and I still love this song❤
Mnifundishe kupiga kinanda..😅😅😅😅🔥🔥🔥
Hongereni waimbaji wote
Hongereni sana 🙏🙏🙏🙏 nyimbo zuri sana
Mungu awabariki nyote
Mungu awabariki
I Love Desphina's vocal 🥰
❣️
Asanten kwa kutubariki na wimbo mzuri ❤️🙏🙏🙏
Jeremiah 29:11❤❤❤❤For all the plans I have for is for prosperity....
God bless you keep up
❤love the song be blessed
Always I will stay PROUD to be a RC Christian entirely.May you All be Blessed abundantly in Christ Jusus Name Holy Father and the Holy Spirit.Amen
Amen
Umenibarki saanaa
Hongear organist na waimbaji
Halleluya. Uje Bwana Yesu
Evangeliser autrement! Merci pour le beau texte.
God has good plans for each and everyone of us ❤❤
Hongereni kwa utume
Nice one.
I have been longing for this from you gouys. Congrats
Blessings 🙌
Wewe bwana mungu wetu
je vous ecoute chaque jour car je comprends tres bien ma langue
mmetisha sana hasa Maria is
Shalom Shalom Wapendwa❤️✝️❤️✝️❤️
Congratulation
Kama una chochote kinasumbua nafsi au mwili wako tafuta sehemu yenye ukimya usikilize wimbo huu
nitume mimi tshombo chaton ee bwana
Safi sana
Wooooowww blessed 🙌🙌🙌🙌
Much blessings sister😘😘🙏🙏🙏
That God bless you.
Fantastic
Be blessed u guys