WATAFICHIKA HADI LINI? FUATILIA YA TIGO, LISSU, NA SERIKALI YA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024
  • เพลง

ความคิดเห็น • 50

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 หลายเดือนก่อน +15

    Lisu ni Lulu katika taifa letu, viongozi wa serikali wangekuwa wanafaham umuhimu wa huyu kiongozi wasingewazia kumuuwa ili waongoze kirahisi, Asante sana mh Lisu.

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa หลายเดือนก่อน +9

    Acha Mungu aitwe Mungu siku za mwizi ni arobaini tu

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x หลายเดือนก่อน +6

    Mungu yupo,watajulikana tu

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 หลายเดือนก่อน +11

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akubaliki Sana Mwandishi na Mheshimiwa Lisu

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa หลายเดือนก่อน +6

    Ngurumo Mungu akukumbuke

  • @suleimankanjara7810
    @suleimankanjara7810 หลายเดือนก่อน +7

    Akina m na jeshi lake watafamika sasa inge kuwa vizuri hii kesi ikasikilizwa haraka kabla ya uchaguzi

  • @agro-millenium9526
    @agro-millenium9526 หลายเดือนก่อน +7

    Ahsante mtunzi

  • @NuruLutembeja-h1r
    @NuruLutembeja-h1r หลายเดือนก่อน +4

    Freedom is coming tomorrow. Na yajayo yanafurahisha,Mungu mkubwa sana tu!

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 หลายเดือนก่อน +6

    Dunia siku zote imeyumbishwa na makundi ya siasa, dini, kutengeneza makundi yanayojiona bora kuliko makundi mengine, maisha haya ni mafupi kwa wote, wala hatuna nyumba ya kudumu, auaye naye utamshangaa anakufa...

  • @BonifacyMadaraka
    @BonifacyMadaraka หลายเดือนก่อน +16

    Tundu Lisu ni hazida kubwa kwa nchi hii kuliko hata dhahabu na gesi tuliyonayo.MUNGU amembariki saana.

  • @NeemaKyarua
    @NeemaKyarua หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hujibu Kwa wakati wake na wakati wa Mungu ni sahihi

  • @YonahMwamwaja
    @YonahMwamwaja หลายเดือนก่อน +9

    Kweli kabisa mzee wangu ngurumo hiini akili kubwa saana walikuwa na malengo mabaya yakumuua tundu antipasi RISU wameaibika saana sikutegea makonda yupohivyo.

    • @albertmbise2670
      @albertmbise2670 หลายเดือนก่อน +2

      Makondo na Magufuli walijua kucheza na akkli za wananchi hasa wa hali ya chini

  • @LeahSangawe
    @LeahSangawe หลายเดือนก่อน +4

    Kweli Damu ya mtu haimwagiki bure. Tanzania aibu tupu..Si lila mtu wa kuua kama kuku. Wamezoea sasa. Mambo hadharani. Sema baba sema Mungu kakupa nafasi ya pili kuishii ili mashetani wajifunze jambo.

    • @wasengaswillah
      @wasengaswillah หลายเดือนก่อน

      Pole sana mweshimiwa Lisu, ukweli mimi sikulala siku mbili usingizi, nilikuwa nikilala nashituka naingia mtandaoni kusikia kama bado mzima?😭 Hakika Mungu ni mwema ukweli usiyo na shaka umeanza kujulikana! aibu yao watu waliopanga na kutekeleza mauaji yako, ukweli huwa haujifichi ni swala la muda tu!, Mungu asaidie kila kitu ili wote walio husika wawajibishwe.😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @myself4128
    @myself4128 25 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda Ni Muuaji Anajulikana ila Watanzania Akili zetu ndogo mno kama watoto unampiga asuhuhi halafu unamletea Pipi Jioni,Sikuhizi kajikosha anajifanya Kusaidia watu ila Muuaji mkubwa mno,Hii Serikali ya Ajabu mno jiulize mtu anapigwa risasi na hakuna alokamatwa mpaka Leo???sababu Samia alikuwa makamu wa Rais na sasa Rais kwaiyo anaendeleza Yale Yale!!!!

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน +5

    Ukweli maisha huelea !!

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +5

    Halafu eti wanaotuongoza wanajiita wenye utu,maadili,wenye hofu ya mungu na watenda haki.Hivi wenye hofu ya mungu na maadili wanafanya jinai?

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 หลายเดือนก่อน +8

    TIGO hatuna imani nao na wafumuliwe, washenzi wakubwa

    • @daviddsouza735
      @daviddsouza735 หลายเดือนก่อน

      Usitegemee tofauti kubwa kwenye kampuni zingine za simu

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u หลายเดือนก่อน +6

    Lissu ni sauti ya hakki

  • @EstherSamwel-vk4wb
    @EstherSamwel-vk4wb หลายเดือนก่อน +3

    Bashite amepatikana na simba machachari.

  • @omuze1290
    @omuze1290 หลายเดือนก่อน +7

    Sasa hakika nimeamini kuna makaburi ambayo yamepambwa na kumeremeta kwa nje na kuheshimiwa sana LAKINI marehemu wa makaburi hayo wako wanaungua moto kuzimu!
    😢😢😢😢😢

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus หลายเดือนก่อน +3

    Walisema hawajui ulipo, au huu ni utaratibu wa akina spika, maana kuna spika mmoja pia alisema hajawahi kusikia kama kuna watu wanatekwa au kuuawa.

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 หลายเดือนก่อน

      Mtangulizi wake alisema hajui alipo Lisu. Yalipo msibu, aliokuwa akijikomba kwao hawakumtetea. Angalau alokuwa akiwabeza walimtetea.

  • @EsterYohana-ix7ii
    @EsterYohana-ix7ii หลายเดือนก่อน

    Lisu Mungu akulinde sana haya yanafichuka kwa sababu yauongozi wa dhuruma kwa wananchi wanyonge, Asante Mungu kwakusikia kilio cha watu wa hali yachini, wanyonge hawana ham na nchi yao, hatuna ham na bunge wala serikali mahakama ndohivo twende wap

  • @emmanuelwambura9413
    @emmanuelwambura9413 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupongeza sana ninaishauri juu ya huu wimbo Tanzania Tanzania....sijui nakufikishiaje

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi หลายเดือนก่อน +5

    Mimbo mzuri sana

  • @kastulideemay6721
    @kastulideemay6721 หลายเดือนก่อน +1

    Kumekucha, hakuna jambo litakalo baki sirini kwa wakati wote....!

  • @SPRF_Tele_Health_Studio
    @SPRF_Tele_Health_Studio หลายเดือนก่อน +3

    Nilichogundua ni kwamba! Kama humpendi mtu fulani kwa chuki na kwa vyoyote vile hutowezi kumpenda mtu huyo, mbali na kusikiliza chochote anachosema mtu huyo hata kama kina mantiki; hasa kama mtu huyo anaingilia masilahi yako!

  • @SichivulaGevasi
    @SichivulaGevasi หลายเดือนก่อน +3

    Munga akubalik

  • @HassanWasiwasi-lq1kh
    @HassanWasiwasi-lq1kh หลายเดือนก่อน +1

    Nimeifuatilia hotuba hii ya mwamba katika channel za TH-cam tofauti tofauti nimegundua kuwa wamekata sehemu nyingi muhimu za hotuba, duh 😢😢😢.
    Mh: ngurumo hongera kwa uzarendo wako 🎉.

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda หลายเดือนก่อน +1

    Siku zote haki uchelelewa lakin haki naukweli aufi niliwambia damu zawatz zilizomwagika miaka yote zitanena

  • @alfredsotoka2852
    @alfredsotoka2852 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa wimbo huu

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 หลายเดือนก่อน +1

    Yan mkuu mambo yaliyokatazwa na magufuli kwa sasa yote yamerudi, mashulen,Mahospitalin na ktk ofisi mbalimbali dharau zimerud kwa kas

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 หลายเดือนก่อน

      Mbona mjadala wako hauhusiani na mada iliyopo? Mada iliyopo haihusiani na kusifu na kutukuza watu.

  • @fikiaupeo
    @fikiaupeo หลายเดือนก่อน +1

    Hii inchi itakombolewa na mawakili😢😢

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 หลายเดือนก่อน +1

    Upele Umepata Mkunaji

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 หลายเดือนก่อน +2

    Kumekucha!!!

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 24 วันที่ผ่านมา

    Tigo tigo kunanini
    Yangu masikio na macho
    Sim mad yanu nimepaki kwanza nicheki
    Tigo mpo salama

  • @wilibertwilibrod8289
    @wilibertwilibrod8289 หลายเดือนก่อน +1

    Tigo tuanze kuchoma laini zaoo

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 หลายเดือนก่อน

    JinAi haifi ndiyomaana Babilon yasiku ile ilianguka ndiyomaana farao yamiaka ile ilianguka kwahiyo hAta serikali yawashenzi tz itaanguka vibaya ajabu tukokushuhudiya siyomdamrefu

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko หลายเดือนก่อน +2

    Sauti lisu

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 หลายเดือนก่อน

    Ujinga wako ni mzigo kwa taifa